Lakini watanzania n wachoyo,yaani ndugu Yao anatoa wimbo kama hii na hata comments hawako🤣🤣🤣🤣sisi wakenya kweli tuko n umoja,Kenya hoyeee let's support our brother this is soo encouraging🙏🙏🙏🙏
Mimi Ni mkenya na kusema ukweli nampenda huyu mtumishi wa mungu Christopher mwahangila. sabubu ngoma zake sinatibu magonjwa yote, oooh Asante Sana my brother nataka siku moja nikutane na wewe.
Am a kamba but I love this songs they are Soo encouraging and they have a good message 🧎🧎fanyika ngazi kwangu wapi likes za wakamba na anyone amefikiwa na hii message
huyu mtu wa MUNGU kaitwa kweli kwa njia ya kuimba Yan iviunajua anaimba kwa Robo mtakatifu kwel Mungu azidi kukuinua nabarikiwa ninapo ckiliza nyimbo zako amen amen.
Mungu azidi kukufanya kuwa chombo chake kilicho imara Nyimbo zako zinanifanyaga kusimama na kumhangalia Mungu ktk maisha yangu, Nyimbo zako ujawai kutungia mwilini, bali roho wa Mungu yu juu yako
Nanena baraka juu ya maisha yenu,naomba Mungu aweze kusimama na nyinyi kwa jina la Yesu Kristo.Nanena kuhusu damu ya Yesu kristo iliyomwagika msalabani calvary,deni yote ililipwa.Yohana 3:16.Mungu ako upande wenu,nakemea,naharibu mipango yote ya ibilisi juu ya maisha yenu katika jina la Yesu Kristo aliye mwokozi wangu.
This song come at a time am going through breakdown in my life right, left but hearing the massage am fully blessed 🙏🙏🙏🙌 thanks dear God for my battle's are in your hands 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo huu umekuja kwa wakati nalia nimempoteza mtoto wangu wa kipekeee tu Naomba Mungu asimame nami kwa wakati huu Mngumu nivuke haya majaribu nikiwa na nguvu juu yy ndo hupeana na yy ndo hutwaa😭😭😭
Amen amen amen amen amen and ❤❤❤😂😂 ........ 🎉🎉 amina Aminaaaaaa MUNGU Baba ajawaishindwa Ee YESU-BW simama nami ktk vita yangu maana peke yangu siwezi ...... hakika wewe ndiye MUNGU wa uslma wetu ....... ohoo Yahweh uwatazame watumishi wako hawa upate kuwatimizia kuling na na haja za mioyo 👏👏🙏 Neema yake BW-MUNGU iwe nanyi daima