Tumekuelewa Sana Mwalimu! na Ahsantee Sana.. Lkn naomba unitumie link ya kupata image ISO ya Windows 7 SP1 (service Parck 1) Program nyingi zinashindwa kirun kwenye vission ya RTM
Mwalimu nilikua naomba ukipata muda unisaidie 🙏mfano nimepewa kazi kwenye excel alafu naambiwa niipeleke kwenye word na powerpoint , napata shida unaweza kunisaidia tafadhali 🙏
Sorry..naomba solution la problem hii..laptop yangu inajiwasha yenyew hata kama umeizama ..mwanzoni ilimwagikiw na soda but nikiaisafisha ..baada ya hapo tatizo ndo lilipoanzia