Тёмный

Cook with Wema Sepetu - S06E11 DivaTheBawse 

Wema Sepetu
Подписаться 288 тыс.
Просмотров 99 тыс.
50% 1

Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii shorturl.ae/XTizL
Connect with me;
Instagram - @wemasepetu
Twitter - @wema_sepetu
Click here bit.ly/wemaApp to Download Wema App on Playstore
Click here bit.ly/wemaApp to Download Wema App on Appstore
#CookWithWemaSepetu #WemaApp #Bestizzo

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 137   
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
yes mwanarab anaeshim ndoa yake sababu malezi ndo alie kulia ya kidini lakini heshima ya ndoa anaijua awezi kutoka bila kumuomba ruhusa mme wake ao wanao comment Wana comment chuki ukweli ndo huo sababu wao awawezi kuishi maisha ya ivyo ndoa kwanza ni heshima kwa mme kauli dini ndo utajua lakini kama ndo mmekutana disco mmelewa ndo ntaishi maisha hayo sababu ndo mtu unayo taka sio maisha ya kidini wala ndoa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Год назад
Tena hao ndy hawana heshima ht kidogo kwa waume zao yaani hawawajari kwa chochote c chakula wala nn mtu anatoka anavyotaka msidanganye umma hapa tunaishi nao na tunaona vitendo vyao
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Год назад
Nakupenda saaana diva wangu yaani nakupenda saana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ allah awalinde weye na mume wako😊
@ladymzana4511
@ladymzana4511 Год назад
Leo mmekutana Diva na Wema English iko safi, kingereza chenu hakinaga doa, kimenyooka, halafu sauti zote nzuri ila ya Wema Sepetu ni nzuri zaidi, ila Diva umetushangaza wapenzi watazamaji ''' Yani unapika halafu unamuuliza wema uanze nini?
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Diva.kweli unapenda ndoa maana umenenepa sana.mganga anakukosha
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Katika siku zote diva leo kapendeza sana yan na ilo wig limempendeza sana sio makatan yake yale
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Год назад
Wig iko top notch 👌👌👌👌
@HaryansDotto
@HaryansDotto Год назад
Nakupenda Sana dada naomba kupata mawasiliano yako
@HaryansDotto
@HaryansDotto Год назад
Samahani dada naomba mawasiliano yako nashida na wewe samahani dada mzuli
@mwanajumamwinyi2665
@mwanajumamwinyi2665 Год назад
Mganga ana warabu ndani yake😂😂😂😂😂😂😂mrongo hyu
@benimanzekele9075
@benimanzekele9075 Год назад
Wema karembo sana
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 7 месяцев назад
Amependeza wema na nguo yako
@Zuuh4286
@Zuuh4286 Год назад
Tunajivunia kuwa sweet heart Wemaaasepengaaa❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Год назад
Duuu diva kanenepa ad anaboaaaa,jitahd upungue diva
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Год назад
Mumewe anapenda Mke mnene
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@bahatisunga1642 😆😆😆😆
@ankovictor1564
@ankovictor1564 Год назад
Wema nakupenda
@morenalbian13
@morenalbian13 Год назад
Kabody kamkubali wema ❤❤❤❤u are gaining whoza shem umenfanya kazi
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Год назад
Diva nakupenda umeuliza cos uko real
@nassornassor686
@nassornassor686 Год назад
Diva anasema ana miaka 25 ,alafu anaonekana ni mmama na wema ni msichana
@avelinafurahaoisso5491
@avelinafurahaoisso5491 Год назад
Da wema mbona watuwekea nusu nusu dada you know we love you na twependa kipindi hiki chako weka full episode please
@hajatally2220
@hajatally2220 Год назад
Danlod wema app ndo utafaid
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Год назад
My sepetungaaa ❤
@mawia2545
@mawia2545 Год назад
Why is it always Soo short?
@delphinkavuthe
@delphinkavuthe Год назад
Sauti yako haibadiliki kama vile tu ilivyo katika filamu nyingi.
@shaaqlassique6644
@shaaqlassique6644 Год назад
Wema you need a reality drama show
@Linda-1999
@Linda-1999 Год назад
Da wema 😂😂😂nimechoka sana Yani uyu mrembo ajui kupika😂😂😂
@mwanaedwin1734
@mwanaedwin1734 Год назад
Wema nakupenda nakashepu chako natamani nikuone
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
Jaman Diva kazoea kupikiwa kam Beyonce 😂😂
@MariamMasinde-vm5kr
@MariamMasinde-vm5kr Год назад
Mbona hamuongelei zaid kuhusu mapishi
@sikudhanicharles3933
@sikudhanicharles3933 Год назад
Diva uyo bwana ako ana Kaz gani ya maana mpk akukataze usitoke😂😂😂😂 em acha kuongopa bwan
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
Kweli wapo wanaume wa hivyo atakama pesa ana ni kweli Tanzania
@ramladhire
@ramladhire Год назад
Sifa zote diva tambi zakushinda duh
@marymaryrose1719
@marymaryrose1719 Год назад
Wema your have nice hair
@kokugonzaalfred8640
@kokugonzaalfred8640 Год назад
Wema anadokoa tambi bado hazijapikwa🤣🤣
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 Год назад
Wema hata hiii itakulipa mamaaaa plz tuekee full epsod bana hata huku twatumia hela zetu bana😢
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
Kweli🤣🤣🤣🤣
@mariyammbonakimysasaabdaal124
He kumbe hadi uku Kuna wakwanza Nikajuwa huba tuu na jua kali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Год назад
Nimechekaaaaa kaaa chiz😂😂
@estafanuelifundi
@estafanuelifundi Год назад
😂😂😂😂
@estafanuelifundi
@estafanuelifundi Год назад
Mpak kwa zumaridi kuna wakwanza
@kibibisafi3331
@kibibisafi3331 Год назад
Kuachana for six hours 😂😂😂😂
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Mwanamke mzuli hujui kupika
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Год назад
Panya zimekutana wote wanataman ujauzito mungu wakumbuke hawa jaman
@jannyjmamdak2570
@jannyjmamdak2570 Год назад
Mungu awakumbuke Ameeeen 🙏
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Mbona wema aliwatoa mwenyew alie na mungu wake aombe toba tu kwakuja kwenye media kusema nimetoa mimba kadhaa aliona sifa kusema dhambi km ile kwa umma alie na mungu wake tu
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 Год назад
@@zainabwage4658 Hakika ni toba tu kama watoto Mungu alimpa yeye akawaua
@wilmotkarisa6174
@wilmotkarisa6174 Год назад
Mmeacha kupika mnaongea mambo tofauti...wema vipi bwaaana?
@aishaharuni2937
@aishaharuni2937 Год назад
From Kenya ❤❤❤
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Год назад
Huyu diva mmmh
@maramara5621
@maramara5621 Год назад
Mimba mimba hiyoooooooo. Hana Uarabu wowote labda mwarabu wa mchongo
@marthatv64
@marthatv64 Год назад
Wakwanz leo like zangu wap
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Год назад
Sawa 😂😂😂😂😂
@achantyyahya4290
@achantyyahya4290 Год назад
Ukipewa Izo Like Zinakusaidia Nini
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
long hair look Gud on you na icho kimwili kigauni🔥🔥😍
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah, cute wema
@annalubango9899
@annalubango9899 Год назад
mmekutana sasa mnatunyoosha na king chenu
@mwaminievelyne3604
@mwaminievelyne3604 Год назад
Kwani Diva mapishi wapi nawapi🏃🤣🤣🤣kupika hajui
@tabumpate9722
@tabumpate9722 Год назад
Penda sana wewe mpishi ulie makini
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Год назад
Nawapenda lakini funikeni nywele zetu.
@hamisaadam7358
@hamisaadam7358 Год назад
😂😂😂😂😂 Yan uweke mafuta arafu uweke vanilla Duuuh
@magdalenampanda1426
@magdalenampanda1426 Год назад
Ushauri funika nywele ukiwa jikoni zaweza ingia ktk chakula
@khaulajuma4123
@khaulajuma4123 Год назад
Aibu anajita mtoto wa kitanga😂aweke vanilla kweny mafuta🤣🤣🤣🙌
@khaulajuma4123
@khaulajuma4123 Год назад
Da Wema ulize tu??ipi!!?😂nyie nimecheka narudia kila mda🤣🤣🤣
@saimonsolomon8557
@saimonsolomon8557 10 месяцев назад
Jaman huo mtafuno wa tambi😂
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Wazuri jamani
@angelsogolani1991
@angelsogolani1991 Год назад
Anajua kupika huyu kweri? Jamani😅😅
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Год назад
Hajui kupika that's why kachagua tambi
@fettysaid769
@fettysaid769 Год назад
Wema sepetu ♥️♥️♥️
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 Год назад
wazungu wamekutana leo
@lolollololi1050
@lolollololi1050 Год назад
Wake wakiarabu mnaowazungumzia kama watulivu mnawajua kweli hawatulii nyimbani hawa ni viguu na njia 🤣🤣🤣🤣
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Год назад
Tena maraya walio kubuu😅😅😅
@masoudaass
@masoudaass Год назад
​@@maidamwaipopo9603 Tena Sana mambo wanaenda kufanyia kwao
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Leo kimeumana mzungu na mzungu mwenzio full ving'eng'e 😂
@upendommbaga7070
@upendommbaga7070 Год назад
Hapa ndo utajua kuwa diva ajui kingereza yaan leo hana mbwembwe maana anajua wema atampiga lock.. hahah
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Umenena leo kapunguza Cos kakutana na kiboko yake
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😂😂😂
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@upendommbaga7070 😆😆😆😆
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Год назад
Wazungu 2 😂
@zaynabmwanjovu1002
@zaynabmwanjovu1002 Год назад
Tambi znaonewa na wasiojuwa kupika jaman haaaa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😂😂😂 eti km wake wa kiarabu, eeh alafu yule anauwaarabu arabu 😂
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
😆😆
@mariamsaidi6147
@mariamsaidi6147 Год назад
Wema unapiga makelele na izo tambi unazotafuna🤣
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Год назад
Heee yule ni muarabu???
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 Год назад
Hapa hakuna mtu,makongoro tu ndo yamebaki
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
😂😂😂😂good one
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 Год назад
Nanaona mgeni waleo mapishi yamempiga chenga
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
amesha sema ajuwi kupika ila anafuzwa
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Mtihan kwel wigi kubwa akili sifuri 😆😆😆😆
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Год назад
Shoga hajui kupika tambi😂
@faustellamathew2125
@faustellamathew2125 Год назад
Natafuta mafuzo ya mapishi kunifuza nakuniajiri
@sikapendinakapenda4170
@sikapendinakapenda4170 Год назад
👍🏻
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Wema huji kipindi badala ya kuongelea mapishi mnaonge umbeà😢
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Ni kwer
@Mb0g0z
@Mb0g0z Год назад
Diva karekebishe meno
@sadiamassage9589
@sadiamassage9589 Год назад
Weeee musidanganywe wake wa kiarabu hawakai ndani kupikia waume zao subutuuuu akikaa ndani sana hupenda kulala tuu hata kuoga ni bahati baya waambie kulala na akiamka ni mwendo kwa mamake hata mume hajui kala nn weee
@maramara5621
@maramara5621 Год назад
😂😂😂Kweli Yela Yela, Sirah sirah. Diva hafiki mwarabu kwa lolote, wake wakiarabu hawashiki Chochote kazi kitandani tu kujiremba na kutoka kwenda kwa mama zao
@kadegashibani5934
@kadegashibani5934 Год назад
Umeona eeh my 😂😂
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 Год назад
Tunafanya kazi kwao ndo tunajua hata kuswaki ni shida
@mumasa498
@mumasa498 Год назад
😂😂😂 tujuane tunao ishi nao
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
​@@maidamwaipopo9603 ukiona hivyo huyo mchafu doh 😅😅😅😅 mimi mwarabu wangu nachupi ikiingi damu anasafisha ndio anatupa kwenye ghasala lakini wengine😂😂😂😂 wachafu wanaweka hivyo hivyo
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 Год назад
🤩🤩🤩🤩🤩
@Twandana2010.
@Twandana2010. Год назад
Ila Diva jamani mganga? Alafu kupika mtihani 😅😅😅😅
@celineerick7740
@celineerick7740 Год назад
🔥
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 Год назад
Diva umetuangusha
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 Год назад
Sauti kichefuchefuu😫
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Ww km huna mimba bac una husda inakusumbua😆😆😆😆
@zoab2699
@zoab2699 Год назад
We diva ustarabu gani huo tunakata tambi kwa mdomo kisha una rudisha katika sahani unapika mchafu mkubwa we
@SaidoosaidiSaidoosaidi-ly7gw
powa
@gracegrace2561
@gracegrace2561 Год назад
❤❤❤
@kubwalaodancers
@kubwalaodancers Год назад
🔥🔥❣️❣️💞🙏🏼
@Twandana2010.
@Twandana2010. Год назад
My wema ❤❤❤❤
@2PAC.77
@2PAC.77 Год назад
Fally Ipupa
@ashamasoud1929
@ashamasoud1929 Год назад
Nani kaskia km abdul mualabu 😄🤣
@Melaninjoy
@Melaninjoy Год назад
Mashallah 😊😊😊
@nqlwangasaida8061
@nqlwangasaida8061 Год назад
❤❤❤❤😊
@RizikiNdale
@RizikiNdale 5 месяцев назад
🎉😂😂😂😂
@emilykinya6514
@emilykinya6514 Год назад
Wema unatafuna nn kwa sauti hivo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Tambi
@johariiddy2128
@johariiddy2128 Год назад
Hahahaa
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
😍😍😍❤️
@bonnetambweofficial
@bonnetambweofficial Год назад
😂😂😂
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Год назад
Wem❤❤❤
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Hiyo tambi diva kaitia mdomon halafu kairudisha kwa tambi zengine 🤮
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 Год назад
Upo makin shost mie ikabid nirudie kuangalia ndii nikamuona kaichanganya na nyingine
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😂😂
@petersitta7545
@petersitta7545 Год назад
Sasa hio sio cock Ni kipindi Cha mahojiano
@maramara5621
@maramara5621 Год назад
Bibi wa Mganga sheikh wa Mchongo 😂😂kweli diva pumbavu aisee ukaolewa mchepuko no 1,300,. DIVA VIPI Boyfriend wako mzungu wa Marekani wewe nawe sio wakuolewa na Mganga,,, ukizaaa naye tu hiyo jela yako milele😭Abdul akawalee watoto wake walele wale, Diva hapo hata ukiomba talaka unarongwa narudi maxima Allah akusaidie tu ila abdul ni kaa balaaana pigo la kafiro jehamu
@mercymdodo1473
@mercymdodo1473 Год назад
I love these beautifuls souls of mine@divathebawse@wemasepetu
@emmilyokoko7342
@emmilyokoko7342 Год назад
❤❤❤❤
Далее
Cook with Wema Sepetu - S06E12 Phina
8:09
Просмотров 17 тыс.
Cook with Wema Sepetu S02E06 Elizabeth Michael (Lulu)
8:08
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
Extra Scenes: Cook with Wema Sepetu/Nandy
14:44
Просмотров 350 тыс.
Cook with Wema Sepetu S01E10 Gigy Money
5:07
Просмотров 397 тыс.
Cook with Wema Sepetu - S05E05 Didah Shaibu
8:07
Просмотров 142 тыс.
Cook with Wema Sepetu - S08E01 Isha Mashauzi
8:06
Просмотров 24 тыс.
Cook with Wema Sepetu S05E01 Tabu Mtingita
9:50
Просмотров 142 тыс.
Cook with Wema Sepetu S04E05 Aunt Ezekiel & Kusah
8:12
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43