Ata mimi mungu naomba unibariki na miaka yenye baraka kama vile umebariki shosh ,ni sije nikasumbue watoto wangu wala kusumbuliwa na mwili wangu ee mungu unibariki na uzidi kubariki shosh.
Kwani aki hawa ma haters wanakuanga wanadamu waukweli aki?juu aki mimi huwa nashindwa ama ni shetani mwenyewe huwa anaweka un like kwa videos kama hizi
WAITITU wa WANGENGI......Aanake na airitu aitu mwiha ??? Nimweyonera ?? namutuure mugaga ati gutiri wira ?? ndamwira mukumaka ta meetha inyui,mmmh ciringi tonginya uingire waabici. Thengiu muno MAITU WITU for setting a clear picture unto those who always like crying wolf,fox and what not.
Hakuna hata gava gani inaweza kutuanjili sisi zote,hata zama akina babu zetu hawakua wameanjiliwa na walilea watoto,so hatuwezi toshea kwa office sisi sote,job nizaaina nyingi na maisha inaendelea,kosa kufanya kazi ushinde ukiraumi serikali,utalala jaa na serikari itaendelea tu,jameni tujipange.