Тёмный

D Voice X Barnaba Classic, Platform Tz & Lody Music- Kuachana Shingapi Remix 0710283676 

D Voice
Подписаться 359 тыс.
Просмотров 977 тыс.
50% 1

D Voice's new Jam 'Kuachana Shingapi' Produced by JM & O Right
#Dvoice #Barnabaclassic #Lodymusic #Platformtz #kuachashingapi
• Mzee wa bwa x palu sim...
• Mzee wa bwa x palu sim...

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 624   
@vocalizertz6868
@vocalizertz6868 10 месяцев назад
Wangapi wamekuja huku baada ya D.VOICE kuwa jamaa wa WCB 😂😂😂
@esthermassawe4123
@esthermassawe4123 10 месяцев назад
Tuko wengii wazee😅
@LuluMussa-z6k
@LuluMussa-z6k 10 месяцев назад
Ha ha ha
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 10 месяцев назад
😂😂mm hapa Gasper Arusha
@CatherineMarandu-xn1io
@CatherineMarandu-xn1io 10 месяцев назад
😅😅😅am here nimekuja kurelate kule ana vidrade akawa ananichanganya
@DORCASGIDEON
@DORCASGIDEON 10 месяцев назад
Oyaaahh😂😂😢🔥🔥nmekuja kuhakkxhaaa n yeye kwelii!!??😂😂
@asmaafumbuka3406
@asmaafumbuka3406 2 года назад
Remix tamu Sana pia nimefurahi kwasababu wote mlio shiriki Ni wasanii ninao wapenda Sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu💙🔥🔥🔥
@aishalucas3502
@aishalucas3502 2 года назад
❤❤
@kingpusitv7921
@kingpusitv7921 2 года назад
💥💥💥💥💥💥♥️♥️ nakuja nakuja na remix mopaoooooooo
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 года назад
Video quality=100% Ujazo wa wimbo kwa ujumla ni 💯% Unyama mwingiiiiii sanaaaaa
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 года назад
unyama mwingiiii sana 💯 😆
@willypaulmsafi5833
@willypaulmsafi5833 2 года назад
mziki taratibu ndugu zangu wa TZ, much love from KENYA.
@Official_qaimahtz
@Official_qaimahtz 2 года назад
D voice
@sidembelah7725
@sidembelah7725 2 года назад
Kubwa
@sidembelah7725
@sidembelah7725 2 года назад
Kali
@sidembelah7725
@sidembelah7725 2 года назад
Sana
@maryhaule5625
@maryhaule5625 2 года назад
D,Voice 💪💪💪🇹🇿🇹🇿
@prettydollcindy1124
@prettydollcindy1124 2 года назад
The reason I love the tanzanian musicians so much,is because u r so much committed to your work Good work and I wish you the best of all guys mwaaaah!
@yussbreezy918
@yussbreezy918 2 года назад
Barnaba never disappoint but all of them did well🔥🔥
@byamsmarley9644
@byamsmarley9644 2 года назад
Gong like 🤜🤛 Apo Kam umemkubal Platform kwa vers Iyo✌️✌️
@elishambilinyi8925
@elishambilinyi8925 2 года назад
Platform tz killed it👑🔥🔥
@lidancerchris
@lidancerchris 2 года назад
LET'S GO!!⛽🔥🚬
@danceelite2176
@danceelite2176 2 года назад
good style and fit voices kabisa this is a beautiful song guys and we need more. keep it up
@peterkariuki566
@peterkariuki566 2 года назад
I love the collaboration bros...much love from +254 ♥️♥️♥️
@mpalazotz7753
@mpalazotz7753 2 года назад
Huyu pratofom anabalaa atar nko tkot kipande hiki kina trend nawaza Nan kaimba hongera jamaa
@WillikisterRWOGA
@WillikisterRWOGA 5 месяцев назад
Haloo kweli had mm napendwa kipande Cha platform
@mziwanda_empire4033
@mziwanda_empire4033 2 года назад
Platform. Ume wakarisha wote. 🤣🤣🤣Vease ya 3. Unyama
@aimableoseyaeric
@aimableoseyaeric 10 месяцев назад
Walio itazama video iyi baada ya D Voici ku signe katika lebo ya WCB gonga likes tujuwane😅
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 2 года назад
Dogo wa mwisho kaua sana then barnaba....🙌🙌 keep the good work...ngoma kali sana
@abduljembe6608
@abduljembe6608 2 года назад
Platform kaua sana
@rauranzion9416
@rauranzion9416 2 года назад
Aki platform mistar Kali xana yaan xtyle yake
@101_Didas
@101_Didas 2 года назад
Angalau sisi tusio na hela tumepata wa kutufariji 😀😀😀😀
@polit-mayian6207
@polit-mayian6207 Год назад
They all did a great job 👏 🎉I love the song 🎵 so much from South sudan 🇸🇸
@mwanahamisnsillah7800
@mwanahamisnsillah7800 2 года назад
Platform on fire ❤️❤️❤️❤️
@KITALAMBOAPPTANZANIA
@KITALAMBOAPPTANZANIA 2 года назад
Platform Killed 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💥
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 2 года назад
Platform kauwa Sana
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 2 года назад
Wooow you nail it guys love it nice song indeed 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍
@Eddo-es7zs
@Eddo-es7zs 2 года назад
1. Platform 2. D voice 3. Barabara 4. Lody music
@ramayonline2281
@ramayonline2281 9 месяцев назад
Kama wew n team wasafi tujuane kwa likes nyingi
@emmanueljuma7823
@emmanueljuma7823 2 года назад
one of the best video nimeiona toka mwaka umeanza na ni self made kutoka bongo 🇹🇿 land 🔥🔥🔥🔥🙌🏾. mmetisha keep doing good music
@BizzyJanabi
@BizzyJanabi 2 года назад
D Voice Eeh Keep it up blood unaweza mzazi kikubwa kukaza Dua Nene kwako Unyama Sana✌🏽SINGELI FOR LIFE🔥
@denohfieboi3071
@denohfieboi3071 2 года назад
❤❤❤ Barnaba never disappoint
@taarifahabari4856
@taarifahabari4856 2 года назад
Platform msanii na nusu
@sharonnyaranga4720
@sharonnyaranga4720 Год назад
The last guy killed with the lines🔥🔥🔥
@heiskann
@heiskann 2 года назад
Platform killed it at 80% of the whole song he killed it ... I appreciate him
@abduljembe6608
@abduljembe6608 2 года назад
Hakika Platform kawameza Barnabas na Lody Music japo wote wamefanya poa
@youngmilly6464
@youngmilly6464 2 года назад
Good music mwanangu
@Agnes-qq4np
@Agnes-qq4np 2 года назад
Huyu platfom anajuwa mpaka anajuwa tena🙌 verse zote yeye katisha bala
@maryhaule5625
@maryhaule5625 2 года назад
Waaaooh mwaaaa 😍😍🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 shilling ngapiiiiiii!!!!!!!!!!!
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 года назад
Unyama mwingiiiiii sanaaaaa 🔥🔥
@ajayrykerandrewofficial6273
@ajayrykerandrewofficial6273 2 года назад
🥰🥰🥰🥰🥰🥰✊🏽💪🏽💯 🔥🔥🔥🔥 Kali sana, asanteni ndugu zangu kwa ujumbe mzuri 🤗🤗🤗 Too much love from Denmark 🇩🇰💪🏽
@pascalernest2226
@pascalernest2226 2 года назад
Kazi nzuri 🙏 Mimi pia naimba nyimbo za injili naitwa PASCAL ERNEST nimetoa nyimbo yangu ya kwanza inayopatikana You tube kama Pascal ERNEST-Neema Yake naombeni sana support yenu 🙏 na mungu atawabariki nyote 🙏🇹🇿
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Ongera,
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx Год назад
Classic Your Are The Killer No One Like You In This Song And Big Up Platform 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@antarsangali4456
@antarsangali4456 10 месяцев назад
Barnaba the classic one.Huu mchanyato kati ya Barnaba, Lody Music, D Voice na
@amosnicodemus2009
@amosnicodemus2009 2 года назад
Kwr tukiwa hatuna money wanatutexa
@Mkatoliki001
@Mkatoliki001 2 года назад
My favorite artist’s ❤️🔥🔥
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 2 года назад
🥰🥰
@Samibooy.
@Samibooy. 10 месяцев назад
Didn't know bdo ulikuwa unawachilia hits ata kabla ukuje wcb🔥🔥
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 10 месяцев назад
Sauti yake nikama macvoice
@Mtotowarambo
@Mtotowarambo 2 года назад
D voice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 2 года назад
much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 года назад
Let's go 🔥🔥
@farajamagesa
@farajamagesa Месяц назад
apo ulipoitikia D Voice et Babugum,dah! saut ka Salman Khan ❣️❣️ nyimbo TAMU jamani🌹🌹🌹🌹
@omardaudi2928
@omardaudi2928 2 года назад
Kama ufundi peleka veta
@nancybungei9113
@nancybungei9113 10 месяцев назад
Ako taented sana tunakuombea uzidi kung'aa 👏👏👏
@aishahamidu6876
@aishahamidu6876 2 года назад
ptrf umewa ufundi veta
@gloryglory7553
@gloryglory7553 2 года назад
Barnaba uwekwe chini ya ulinzi😂😂😂haiwezekani uwauwe madogo kiasi hicho🤣🙌🙌VocalMaster
@brayankennerdy7033
@brayankennerdy7033 2 года назад
Plat4m onfire
@jaycalliam100
@jaycalliam100 2 года назад
Kenya loving it 💯💯💯🔥
@jedidahadhiambo2432
@jedidahadhiambo2432 2 года назад
D voice with the cutest smile..... platform did justice to his verse, Vocals on point 👌
@AthmanOscar-l4q
@AthmanOscar-l4q Год назад
Platform uko juu kama mfuko wa shati keep it up bro❤
@Mc_Muz
@Mc_Muz 10 месяцев назад
Platform alikuwa hot sana humu 🎉🎉🎉 platform aliuwa kinomaaaa
@moyoamina2014
@moyoamina2014 2 года назад
First time watching this song and its lit, love from 254
@datopmusic
@datopmusic 2 года назад
D voice mnyama naomba subscribe yako mi kwako tayar Da top music my angel official video karibu tuishi
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 10 месяцев назад
Hivi uliwalipa wote watatu hawa au walikubeba tu d voice saiz upo next level wcb
@ClaireHappy
@ClaireHappy 2 года назад
Platform😍
@moblack8740
@moblack8740 2 года назад
Unyama sana 🙌❤kazi nzuri
@Kangodo_Once_AGAIN
@Kangodo_Once_AGAIN 2 года назад
Nkbl kijana
@nkuruvalerie3367
@nkuruvalerie3367 Год назад
Asante kaka yetu,tunateswa na mapenzi kumbe bule,kuachana shilling ngapi?
@nellyflo9736
@nellyflo9736 2 года назад
Voice ya Barnaba.💘🔥
@umurashidi414
@umurashidi414 2 года назад
Dogo unajua sana
@arabgandaempire
@arabgandaempire 2 года назад
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@sidembelah7725
@sidembelah7725 2 года назад
D voice ni mtamzania kumbe
@cathbertmbacho6457
@cathbertmbacho6457 2 года назад
Nomaaaaa
@johnchonde4873
@johnchonde4873 10 месяцев назад
Jamaa tayari alikuwa msanii mkubwaa hata kabla ya kuingia wasafi tofauti na kina Rayvanny, lavalava na zuchu walivyoingiaga
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 2 года назад
kuna dogo kaficha wenzake apa dah noma sana
@noswingofficial9624
@noswingofficial9624 2 года назад
From Rwanda nakupenda sana lody music
@Massina_tz
@Massina_tz 2 года назад
Kesho Bhas Tunzo Wanampa Sholo Mwamba Jaman Nchi Hiiii Big Up Sana D Voic
@abdanchama3022
@abdanchama3022 2 года назад
Nyimbo Kali video Kali imejaa sana Kila sehemu but Kaa ukijua tu hii cyo singeli
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Pratform💥💥💥💥💥💥
@davidmichael8748
@davidmichael8748 2 года назад
Platform umenikosha Sana💪💪
@sakinaseleman818
@sakinaseleman818 2 года назад
platform kauwa sana
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 10 месяцев назад
Hata nlkuwa simjui nimekuj baada ya Diamond kumtangaza, kweli nimekubali WCB ni dude kuuuuuuubwa
@winfridamwashilindi6216
@winfridamwashilindi6216 2 года назад
poa kabisaaaa
@winfridamwashilindi6216
@winfridamwashilindi6216 2 года назад
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 2 года назад
Sijawai ckiza singeli kama hii tangu nijue singeli bro d voice waenda mbali kaka mdogo 🔥🔥🔥
@KendiKiremi
@KendiKiremi 2 года назад
All artists are fire lakini huyo wa mwisho... wadada wa mjini... is liiiiiit lyrics wise, sauti, and all.. chorus pia nimependa sana❤ from 🇰🇪
@sharonnyaranga4720
@sharonnyaranga4720 Год назад
I acknowledge this ❤❤❤
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 Год назад
Bonge la pin,,beat hatari - hata ujumbe ya nn ung'ang'ania mtu
@dfinalpatrick8555
@dfinalpatrick8555 2 года назад
Tuacheni utani ladha hii ndio mxiki halisi wa kitanza nia umepoa mtamu kinoma
@manyaramanyara8872
@manyaramanyara8872 2 года назад
Kevya ndani ndani.💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salehmohd8094
@salehmohd8094 2 года назад
D voice umetish sana hilo song 🔥🔥
@rojasbernady1814
@rojasbernady1814 2 года назад
Unyama Sanaa follow. Ringo boytz tz
@ShamaMchata
@ShamaMchata 10 месяцев назад
Nyimbo ni 🔥🔥🔥🔥
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 года назад
duh uu wimbo unaniliwaz san kuach shingap wewe kuachw bei gan
@sungurajuma6999
@sungurajuma6999 2 года назад
Mmeupiga mwingi vijana WENZANGU
@natakakuifutachannelyakoet2109
@natakakuifutachannelyakoet2109 2 года назад
Nice work 🔥
@annymassawe1311
@annymassawe1311 2 года назад
Lody music on fire
@Kambachurchgal-hg4zx
@Kambachurchgal-hg4zx 10 месяцев назад
Nmefika huku ,,,after welcoming you WCB
@potinotz9157
@potinotz9157 2 года назад
Platform Aliuaaaaaaaa
@jacklinegoodluck4890
@jacklinegoodluck4890 2 года назад
Platform kaua 🔥🔥
@firdausissa1337
@firdausissa1337 2 года назад
🔥🔥🔥🔥
@HeriTarim-sm5tm
@HeriTarim-sm5tm 11 месяцев назад
Lody mkali jamn duh keep it up
@realpupanene
@realpupanene 2 года назад
"Kwani kuachana shingapi wewee, kuachwa bei gani ?!" 😂🙌🏿🔥
@marthaemily8446
@marthaemily8446 2 года назад
Goma la maana huchoki kusikilza jmn🤗
@manuellm-star3335
@manuellm-star3335 7 месяцев назад
Everyone one nailed it🔥🔥🔥
@omarisalim2304
@omarisalim2304 2 года назад
Barnaba fundi wa music.... Yaan unaingia popote
@MohamedyAlly-p8c
@MohamedyAlly-p8c 10 месяцев назад
Mopao mtu mbadi naskiza kipande chake tu
@yohanajoseph6948
@yohanajoseph6948 2 года назад
Kali aiseeeee
@andreaswai7586
@andreaswai7586 2 года назад
Banarba CLASSIC, Hapo ime Tiki kinoma, big up Banarba CLASS ✊🏿✊🏿
@exposedcelebrities516
@exposedcelebrities516 10 месяцев назад
Wangapi waja hapa baada ya kusigniwa na simba❤