Thanks sana Kwakuendelea kuweka vitu kama hivi... Ila nilikuwa naomba kama unaweza kufanya ya jinsi ya kurecord clean vocals... Yaani njia nzuri ya kupata vocals kali...(Plugin unatumia wakati unarecord na jinsi ya kuandaa Vocals kwa ajili ya mixing)
Uli upate vocal safi ni lazima: 1. Uwe na chumba tulivu (Acoustic room) 2. Sound card yenye ubora 3. Microphone yenye ubora 4. Muimbaji bora 5. Computer yenye uwezo ( isiyochosha kufanya kazi) 6. Fanya projects zako in 24bit sio 16Bit 7. Elewa unafanya nini
Lavalava ni msanii mzuri sana natamani sana kufanya nae wimbo na lazma utaenda mbali. Sana kwa uwezo wangu na wake na uwezo wa laizer wa kumix na kupiga beat❤ y Binafsi naweza kupiga beat za afrobeat kwa fl so najua mziki mzuri. Laiza ulipaswa uheshimike sana hapo maana kwa asilimia kubwa ya hizo nyimbo unashiriki mpaka kwenye utunzi🏆🏆🏆