Тёмный

Da'wah nyumbani Kwa mungu mtu 'Jehova' Wanyonyi na Malaika wake. (Part 1) 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Straight Path Association tunaendelea kufikisha ujumbe wa Uislamu katika miji na vijiji. subscribe kwenye channel yetu uzidi kupata faida.
Simu: MPESA / WhatsApp +254722600533
WhatsApp Business +254777600777

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 314   
@khadijamnayahe8011
@khadijamnayahe8011 2 года назад
Inna lillah wa Inna ilayh rajiuna,huyu Mzee Allah amfanyie wepesi,apate kumjua Mungu wa kweli,na nyinyi masheikh wetu msichoke kulingania dini ya Allah.
@hiimbinaimmuslim3041
@hiimbinaimmuslim3041 2 года назад
Asatafirullah nyinyi hasa hamna akili subuhanallah wallahi hakika nyinyi mmepotea dah maskin Mungu akuhidini mjuwe ukweli mpate kufuwata
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 2 года назад
Wallah akili zao HAZINA akili kabsaa *sumun bukumun*
@shehaothman2948
@shehaothman2948 2 года назад
Wallwahi Adam mara tu baada ya kupiga Shahada, Kanawir uso wake. Alhamdulillah
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Subuhannallah, yani mzee mzima unadanganywa kumuabudu binadamu mwenzio ukiona kabisa kua ni kufuru kubwa!!tena anaejiita mungu amekujia kabila 12 pekeyake Allah atuepushe na shetani
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 года назад
Sheikh mlisahau kuwapa majina ya kislamu hao mlio wasilimisha kwa pamoja
@munaabdul1447
@munaabdul1447 2 года назад
SubhanaLLAH yani hii dunia inamambo namshukuru ALLAH kwakunijaalia mimi kuzaliwa katika uislam napia namuomba ALLAH anijaalie nife nikiwa muislam pamoja na kizazi changu kwamaana huu ni mtihani kwakweli yani inasikitisha wallah..alafu maajab ya ALLAH waislam yani palipo na waislam na makafiri utajua tu kwamaana waislam wako na nuru ALLAH AKBAR..mashekh wetu ALLAH awape subra na umri mrefu ulomwema yani ukomnakotembea mwayaona mengi sana yakushangaza nakusikitisha..yani nimeshangaa sana..
@hawawanjiku5394
@hawawanjiku5394 2 года назад
insha'Allah ,Allah awajaliye mufikishe dini kila Mahali
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 года назад
Masha Allah, Allahu Akbar, kazi nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elimu na afya njema na subra katika kazi mnayoifanya na awape amani majumbani mwenu Amiin Thumma Amiin
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 года назад
Ameen
@hafidhjumaally398
@hafidhjumaally398 Год назад
@@prettyaysha7892 of
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 2 года назад
Am not a Muslim but I love your channel. Unapendeza na unafundisha watu kwa upendo bali si kwa kejeli na dharau kama wanavyofanya waisilamu wengine
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Shukran kwa hilo na karibu sana kwenye dini yetu
@kassimngao9828
@kassimngao9828 2 года назад
Karibu ndugu katika uislamu.
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 года назад
Astaghfirullah Rabbi min kulli zambi wa Atoobu llaiyh yani mtihani kweli inshaAllah Allah awaongoze awaongoze njia iliyo nyooka MashaAllah shaikhe wetu Allah atakubarik kila la kheir na baraka kwa kazi hii ngumu InshaAllah Allah atakulinda kwa kila libaya popote undapo amiin
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Allahuma ameen, nawe pia Allah akulinde
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 года назад
Amiin thumma amiin
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 года назад
Shukran sheikh Yusuf na ramadhan kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe kila la kheri na waliosilimu ni ndugu zetu karibuni sana kwenye dini ya haki uisilamu
@sabrimawali1682
@sabrimawali1682 2 года назад
C TV I'm in my so I'm لا لا رز. At
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Hapo lazima papatikane msikiti
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 2 года назад
Asalaam Allaykum warahmatullahi wabarakatuh, masha Allah, kwa kweli sheikh Ramadhan unafanya Dawa kwa kila kijiji, natumaini utafika Changara siku moja, panapo majaliwa, nawaombea dua kwa Allah
@bashiryusuf9670
@bashiryusuf9670 2 года назад
Ikiwa yesu ni mtoto WA mungu yupi ? Wanyonyi ama wambingu na ardhi Allah awaongoze binaadam tunapotea
@ااجج-ط5د
@ااجج-ط5د 2 года назад
Mashaa Allah Tabaraka Allah mwenyezi mungu awaongonze ma sheikh wetu
@saidkhalid6745
@saidkhalid6745 2 года назад
Giving Da'awah to the old man is the toughest of all Da'awahs.This people from my locality will confuse you with their own confusion until you can no longer understand where their brains relocated too.Innalillah wa innah ileyhi rajioun
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Masha Allah, mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu, ombi langu hao waliosilimu washikwe mkono, namaanisha wapate elmu ya uislam
@buyuni1
@buyuni1 2 года назад
Ma sha Allaah, Mwenyezi Mungu awahifadhi kwa Dawaa
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 года назад
Shekh ramadhan na mashekh wenzio Allah awape afya njema na ujira mkubwa hapa duniani na kesho akhera 🤲🤲🤲 na uvumilivu kwa changamoto mnazo pitia yaarabby watazame mashekh wetu kwa jicho la huruma 😭😭😭
@husna34562
@husna34562 2 года назад
Amiin
@shadyabdallah7247
@shadyabdallah7247 Год назад
Amiin yaarabiy
@abdallahmungwana8667
@abdallahmungwana8667 2 года назад
Sheikh Ramadhan Leo ni Leo nimecheka hadi naumwa ,Ati Yesu ni Mwana wa wanyonyi
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Chizi huyu mzee🤣🤣
@jamilshisia5929
@jamilshisia5929 2 года назад
Masha Allah
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Dini zengine vichekesho
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Hatari sana
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Me Naona ni kutokujua tu kwasbb hawajui chochote kuhusu m'mungu
@Sandra39823
@Sandra39823 2 года назад
@@duniawadunia4824 mkristo hajui Mwenyezi Mungu, ingelikuwa wanamjua Mwenyezi Mungu wasingejiita mungu, only christian can worship human being,
@abeidjuma1855
@abeidjuma1855 2 года назад
Na shekhe hii mitaa pia yafaa tujenge madrasa na miskiti pia itakua ubora Sana InshaAllah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Allah atufanyie wepesi
@cideboy100
@cideboy100 2 года назад
Ati mungu anaenda state house kuimba na kuchezea binadamu
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 2 года назад
Msiba mkuu Wallah
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 года назад
Subuhanallah 🙄🙄😭😭😭firauni Wapili huyu Allah amuongoze kabla umauti
@suheilahsuheilah4968
@suheilahsuheilah4968 2 года назад
Mashekhe nawapongeza sana Allah awalipe kheri
@radhiaoman9828
@radhiaoman9828 2 года назад
Subhannallah kumbe mpaka sasa wapo wenzie na firaun
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Wapo tele Allah awaongoze
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 года назад
Duuh walai hii ni Kali eti ameoa Mtoto wa malaika Gaburili!! invunja mbavu mmenitengezea siku watu wangu.
@lemalisipilali
@lemalisipilali Год назад
Mashaallah Allah akibar Allah awalipe inshallah
@shadyaadam8919
@shadyaadam8919 2 года назад
Subhanallah Kweli tembea uone!!! Hv kumbe kuna watu wanaamini mungu tu mpaka Karne hii? Wallah masheikh wetu Allah azidi kuwapa umri na afya ili Muieneze dini ya Allah. Subhanallah!! kumbe bd watu wapo gizani hv?????? Nimeshangazwa kwakwel
@achywashanty9630
@achywashanty9630 2 года назад
Wengi
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 года назад
Inaailah wainaailaih raajiun wallah huu ni msiba yaan unajiita malaika dah masheikh wetu hongeren kwa kaz nzur ya kuwaelimisha watu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Shukran jazeelan
@mutomubaya
@mutomubaya 2 года назад
Pongezi kwa Watu wa mji huo kwa kuhudhuria mkutano wa kuelimishwa kuhusu Allah. Allah ndiye Mwenyezi Mungu. Yeye pekee ndiye alieumba kila kitu. Wanaotaka kuwa Waislamu watamkisheni kwamba, Hakuna apasae kuabudiwa (kwa haki) ila Allah na kwamba (hakika) Muhammad ni Mtume wa Allah.
@aishaally6602
@aishaally6602 2 года назад
SUBHANAH ALLAH nimtihani huu
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 года назад
Huyo msabato aitamka shahada vyema Hadi shedde na mada zake mashaa llah mungu awafaye waislam wakweli wenye kufuata dini Kwa hakika
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад
Aamina
@abdallahmungwana8667
@abdallahmungwana8667 2 года назад
Na Ile dini ya Mafuta pole , ilinimaliza
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 2 года назад
Astaghfirullah Kenya watu wamepotea unamuabudu vp mwanadam mwenziwe
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Sio kenya ni ulimwenguni
@swalehswaleh3608
@swalehswaleh3608 2 года назад
Dah, hatari
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Hatari sana
@hassanjaphari5710
@hassanjaphari5710 2 года назад
Mashallah. Ndugu yenu ktk imani nafatilia from Tanzania
@dulaali3338
@dulaali3338 2 года назад
Mashallah hap ndo tnatakiw tutie akili wat wnahangaik kw ajil y Allah na cc tujitolee kwa Njia ya Allah kwa Njia yyt
@khalfanikishki2646
@khalfanikishki2646 2 года назад
Kazi mnayoifanya insha,Allah ikubarike kwa Allah. Malipo yake makubw mno! Hata mm naifanya.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Ameen, shukran jazeelan Allah akulipe Jannah
@khalfanikishki2646
@khalfanikishki2646 2 года назад
@@StraightPathDawah kwa sote insha,Allah. Nipo mtwara huku kusini mwa Tanzania. One nitawatembelea Kenya.
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 года назад
@@StraightPathDawah sheikh pls angalieni video za yule mchungaji ndacha na vitabu anazotumia kupotosha watu akisema vitabu zile ni za kiislam na mtume amekiri kufa kwa yesu na MUNGU kuwa na mwana pls angalieni hlo
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 2 года назад
Kazi unayo ifanya sheikh wetu ma sha Allah, jazaa yako iko kwa Allah. Sijakuona hata siku moja ukibishana na masheikh wengine mitandaoni bali kazi yako kubwa ni kuwalingania wasokua waislam kuja kwenye uislam na waislam wenye imani dhwaif kuwaleta kwenye imani ya kisawasawa, in sha Allah ukipata muda watembelee na ndugu zetu Wamasai, kuna video inetrend week hii kwa kweli imenisikitisha sana.
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 года назад
Inalilahi wa ina ilaihi rajiun msiba ni kuwaelimisha tu ndio dawa mungu atawasaidia wamjue yeye ndio muumba wa kweli ishalla
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 года назад
Masha Allah, Allahu Akbar
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 2 года назад
Msiba mkubwa snaaa hpo kw mzeee mngu amuogeze
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Kwani malaika anatumia miwani? 😄
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 года назад
Allahu akbar!
@richardochieng7959
@richardochieng7959 Год назад
Naomba siku moja mnikute na mniulize yesu ni nani nitawajibu vizuri
@AminaCuisine692
@AminaCuisine692 2 года назад
Straightpath TV si huyu jamaa alikufa kitambo sana ama ni mwingine.
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 2 года назад
Waluhya wetu jamani. Khatundi
@ramazecha2877
@ramazecha2877 2 года назад
Mashalah mashekh wetu awape umri mrefu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Allahuma ameen
@swalehswaleh3608
@swalehswaleh3608 2 года назад
Majnun, subhanalah
@luluamin1388
@luluamin1388 2 года назад
Sio sawa kumuita majnun. Hakuna aliekamilika. Tuwaombee Mungu na tujiombee Allah atulinde na tuongoze sisi na wao. Dharau sio njema
@AshaAsha-ng1ug
@AshaAsha-ng1ug 2 года назад
Astaghafrulah jaman kwel mtu anajiita mungu,,,,wakati tumeambiwa mwenyez mungu hafananiahwi na chochote,,,,,Hana mfano,,,hakuzaa wala hakuzawa,,,,takbiiiiiiiiiiiiiiiiiir☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
@saumukayaa3979
@saumukayaa3979 2 года назад
Mashaa.Allah. Allah.amuzindishia.muwatowe.watu.kwenye.geza..nawapate.kuona.nuru
@loysamwel6308
@loysamwel6308 2 года назад
Msilimishe uyo Jamaa anachafuwa wakirito
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunz quran kusom kuandik gusa pi
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunz quran kusom kuandik gusa pi
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunz quran kusom kuandik gusa pi
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunz quran kusom kuandik gusa pi
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 года назад
subuhanallah mungu yatupe hatima njema duniani n'a ahira ishallah sasa Malaika wapo duniani wanatembea nanguo zarangi yanjano navitabu mikononi yarabi
@hakimabdul7494
@hakimabdul7494 2 года назад
Mashallah 😁😁😁
@ismailponda1269
@ismailponda1269 2 года назад
Matajiri mko wp izo ndo sehemu za kuweka miskiti ili wapte imani zao zidumu
@nooroman2535
@nooroman2535 2 года назад
MashaAllah Mashelhk yetu kwakumtangaza Allah
@johnjuma7578
@johnjuma7578 2 года назад
Kondoo wa Mungu wanaendelea kupotezwa inasikitisha.
@assfzainab912
@assfzainab912 Год назад
Nibinadamu ama kondoo mbona wadharau wenzako wanapotezwa kivip
@nzakashabani3945
@nzakashabani3945 2 года назад
Msomaji mashallah
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 2 года назад
Allah awatie nguvu masheikhe wetu inasikitisha sana watu hapo hawajielew kbc
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 2 года назад
Masha Allah wahadhiri wetu Allah azidi kuwapa nguvu na afya ya kuilinganiya dini ya haki
@lileoh3893
@lileoh3893 2 года назад
Hua nazani uongo dunia ya ya sasa kunamtu anaweza jiita. Mungu na watu wakamuabudu mhu mtihani mukbwa
@ZainabHassan-q7k
@ZainabHassan-q7k 6 месяцев назад
❣️ Mashallah ❣️ mashallah ❣️ mashallah ❣️❤ Allah ❣️ awalipe ❣️ kheri ❣️ inshallah ❣️
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 года назад
Isha Allah mungu awajalie mufike hapo maana hata dini ya uisilamu wengine hawaijuwi mtihani
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
InshaAllah nass tuwasupport
@cabdisiciid6504
@cabdisiciid6504 2 года назад
Allah will accept his repentance
@AbdulkarimBasekana-dg1qy
@AbdulkarimBasekana-dg1qy Год назад
Mashallah
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Astaghafiru allah wewe nimalaika subhanaallah hakuna dini ila waisilamu tu alhamdulilah rabillamin
@iddyally7228
@iddyally7228 2 года назад
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@rooseupojuubuanaaarose3011
@rooseupojuubuanaaarose3011 2 года назад
Masha Allah tabarak Allah Allah awahifadhi mashekh wetu...Alhamdulilah thumma Alhamdulilah
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Part 2 sheikh
@williamomia5001
@williamomia5001 2 года назад
Yesu kristo ni mtume wa mwenyezi Mungu bali siye Mungu jameni ila ni kiboko yao kwa mashetani, labda ntakuuliza swali baadae
@makenakendi9014
@makenakendi9014 2 года назад
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@janet3998
@janet3998 Год назад
Mnakimbilia vinyonge SI mkuje Kwa wa adventista , I hate Islamic with passion.
@AbdulkarimBasekana-dg1qy
@AbdulkarimBasekana-dg1qy Год назад
😂😂
@bintjasirbintjasir4175
@bintjasirbintjasir4175 2 года назад
Nakupenda san kwaajil.ya Allah 😘😘😘
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 года назад
Masha Allah Ustaz
@tamashamagoma2941
@tamashamagoma2941 2 года назад
Allah awape umri mrefu wenye manufaa, matunda tunayaona. Kazi mzifanyazo ni kubwa Sana. Tunawapenda kwa ajili ya Allah.
@AbelSabuni
@AbelSabuni 5 месяцев назад
waarab na wazungu wametulanghai san.......halaf mnazingua kujifanya wema nyie
@ahmedrustu1283
@ahmedrustu1283 Год назад
لا اله الا الله محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم USILAMU RAHA ALHAMDULILLAH
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 2 года назад
Huyu mzee. Simuelewi kabisaa apiga kushoto na kulia. Yakupwa na kujaa
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 2 года назад
Sikusikilaza yote nilikua bz nimachia kwa wale wanao silimishwa ... Haya ni makubwa kwakweli ALLAH awaongoze kwakweli Ma sheikh Allah awaongoze kwakweli kwani mwapitia changamoto kubwa sana Allah awaongoze wapate kuijua haki
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Год назад
Uyo ajawai kuisoma YOHANA 5.37?
@josephatmuveta7995
@josephatmuveta7995 Год назад
Worship your god without having to compare your faith with that of others. You mock Jesus Christ yet you preach in mosques that he is the one to return on qiyama? Christians all over the world are waiting for the return of JESUS CHRIST THE SON OF GOD. When will you ever settle down and worship your god? You have spent every minute comparing as others worship.Jesus said, "No one comes to the Father except through me."He goes on to say, "Every knee shall bow and every tongue confess that Jesus is Lord. " God Himself said, "This is my beloved son, in whom I'm pleased. " But we know that whenever we, true Christians mention the name of Jesus, hell quakes. He is a consuming fire. He causes a lot of discomfort in some quarters. Finally, Christianity preaches love and peace. Christians, please hold onto your faith and shame the Antichrist as instructed by the only book, the Bible.
@foodcook3626
@foodcook3626 Год назад
Hiki kijiji kinahitaji dawa kweli
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Sana
@jamaljama1093
@jamaljama1093 2 года назад
Asalam Aleikum Inaalilahi waina ilehim rajiun huu ni msiba mkubwa kama wako watu kama hawa duniani Allah awafanyie wepesi mashekhe wetu
@joseealexislenguumeni18
@joseealexislenguumeni18 Год назад
Me sii mwislamu ila anavyofundisha huyu mwalimu atafanya mtu abadilishe dini...hana kejeli yeyote ile kama wanavyofanya wenzetu wenye tumewazoea jijini...
@meshacklekie5066
@meshacklekie5066 Год назад
Hivi kwann msitafute vichwa bila kumuongelea yesu vibaya
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 года назад
Duuuu ya Leo Kali Yani Mtu anajitamalaika 😭
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
😢
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Hawa wengne m naona hata ni wendawazimu
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 года назад
@@maherzain615 😂😂😂
@enockbk
@enockbk 2 года назад
Huyo MTU si mkristo Wala muislamu mwanadamu kujiita MUNGU Ni kufuru
@tatujuma8781
@tatujuma8781 2 года назад
Natafuta comments za wakristo sizioni...kwani hawajaona uyu mungu wao mwengine
@themuslimhunter430
@themuslimhunter430 2 года назад
Masha Allah , JazakAllahu kheyran Dawah lazima iendelee ..
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 года назад
Subhanallah
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭jamani jamani mtu anaabudiwa😭😭😭😭😭jamani ujaahili mpaka leo?
@mgenibwanamdogo2826
@mgenibwanamdogo2826 2 года назад
Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza inshaallah ameeeen yarabb nafatilia sana hii chanel
@AbuMuhammad
@AbuMuhammad Год назад
Ustaadh Ramadan tunaeza fanya hizi videos zako in Arabic subs. I can do that for you inshaAllah we partner
Далее
КОТЯТА В ОПАСНОСТИ?#cat
00:36
Просмотров 1,7 млн
WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU
46:54
Просмотров 13 тыс.
WANA KIJIJI WASHANGAA KUSIKIA YESU /ISA (AS) NI MUISLAMU
1:47:15