Mulitudanganya kwa magufuli kumbe mlimuua na makonda Tena mmemuua hapana hatukubali muwaachishe watu watoto wao na wazazi wao Bora mngemwacha tuu mm Kama mm Sina usingizi nawaza tuu Tanzania hii vip hatuelew kwa kwel
Nyie viongonzi wa chama husika jichanganyeni tuu na likinzo ya makonda mkija kutanganza amekufa tuu olle wenu ck hiyo tunangoja tuu maana hata wakuu wa nchi wamesikia wananchi wanalalamika makonda Yuko wapi nyie mmenyamanza tuu ok tusubiri