Kikweli ndani ya Nafsi yangu, nawaombea sana hawa wahadhili wetu wanao lingania dini kwa wasiokua waisilamu wanafanya kazi kubwa sana, kwasababu wanakutana na vichwa vigumu sana ambao wamelishwa matango poli na viongozi wao wa kikiristo, sasa unapokutana navichwa ambavo nivigumu mpka aje kuelewa na akawa muisilamu dah nikazi kubwa mnooo ,Allah awape Taufiq iliokua bora na muendelee na kazi ya Mwenyezi
Send it now to them si wameweka number zao za sim. Changia na Allah atakuzidishia. Support so they use more time kwa daawah. Mana na wao wanakazi zao. So ili tuwape nguvu zaidi ya kuwa kwenye daawa lazma tutoe.
Da nilitamani sana mda usiishe muendelee maana tayali walikua washakubali nisawa na mchezo wa mpila gol kipa ashapotea harafu umebaki na golitu harafu refa anapiga firimbi ete mpila umeisha da Sasa sijui utafungatu naje ukifunga refa ataikubali ndivyo ilivyotokea Leo washakubali lakini mdaumeisha nanikweli lazima watu wakamuombe mungu hakuna jinsi inshaAllah sikunyingine wataelewatu kama niwakuelewa maana hata umfundishe mtu miaka kumi kamaniwakuelewa ataelewa nadakikatu lakini kama sikuelewa atasubuli mpaka yesu aludi nabado hataelewa mungu awabariki sana masheikh wetu tunawapenda sana mlitupotea kidogo shidailikua Nini maana tunatamanisana kuwaona kilasiku ila tunawaombea sana mungu awajaalie afya na uzima mzidi kutufundisha Yale ambayo hatuyajui tuweze kuyajua assalamualaikum wabillah taufiq amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Assalamu Alaykum. Munajisumbua bure. Mzee Hassan hawachi, hiyo ni tabia na umri ni mkubwa. Mchukulieni kama mzee wetu aliyejitolea. Mimi nimemuelewa hivyo na nishakubali matokeo. Allah amjaalie umri twaweel.
Asalam aleikum ...napenda sana mafunzo yenu brothers ...lakini ningependa kujua hicho kitabu ambacho sheik Hassan amekishika ni kitabu Cha Nini mkiniambia naweza tafuta nijisomee niongezee elimu yangu ....shukran sana brothers
Allhamdhullillaih namshukuru ALLAH kwa kuwaona ndugu zangu katika Imani nilikuwa nimepotea kwa sbb ya internet lkn saii niko hewa ninawafatilia kila kona
Wakristo wanasema Mungu ndo Yesu na Yesu ndo Mungu, eti Mungu amejifanya mtu!, na Yesu anasema hakutumwa bali kwa wana Israel, na wana sema kasulibiwa ili abebe zambi zao ila hata yeye Yesu alilalamika Mangu wangu Mungu mbona umeniacha hapo kajivuwa kuzamini watu wakati analala mika ameachwa na Mungu wake, ikiwa Mungu alikuja kwa mwili wa binaada , huo mwili hajauvuwa mpaka leo na kama hajaivuwa atakuwa dhaifu na kama kauvuwa mwili basi hakuna haja katika kipindi hichi kumuabudu Yesu wakati hayupo tena duniani vipi abudiwe wakati hakuna andika ale sema yeye Yesu Mungu na kama halipo, Yesu hana Mungu ? Ikiwa anae Mungu na saa hii hayupo duniani kwa mwili wa binaadamu vipi abudiwe Yesu ikiwa Wakristo wanasema kaja duniani akiwa amevaa mwili sasa huo mwili hajauvuwa ?
watu kujieleza kwamba ni wakristo is just a slogan iliyokuja wapotosha viumbe za mwenyezi mungu. Ustadhi Salim na mwalimu Ali msichoke tafadhali. one day people will revert back from the slavary mission of christianity.
Yesu (Masihi Issa mwana wa Maryam)si Mungu bali ni Mjumbe wa Mungu قال الله تعالى:{وإذقال الله ياعيسى ابن مريم ءأنت للناس اتخذني وأمي إلهين من دون الله قال سنحانك ما يكون لى أن أقول ما ليس لى بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علم الغيوب}المائدة 116 {ما قلت لهم إلا مآ أمرتني به أن اعبدوا الله ربي وربكم ..} المائدة 117 {قال الله هذا يوم ينفع الصادقين صدقهم لهم جنات تجري من تحتها الأنهار خالدين فيهآ أبدا رضي الله عنهم ورضوا عنه ذلك الفوز العظيم} سورة المائدة 119 {ورضوان من الله أكبر}
"Wamaa khalaktu l-insaa wal-jina illaa liyaabuduun". Allah anasema sikuumba majini na watu ispokuwa waniabudu mm tu. Alhadith Almuslim akhwa lmuslim laa yadhlimuhu walaa yaslibuhu". Muislam ni ndugu WA muislam asimdhulumu Wala asimsulubu ama kumtesa. Qur-an, "wamaa arsalnaa illaa rahmata lil-aalamiin" Allah anasema" na hatukukupeleka ewe Muhammad ispokuwa ukawe rehema kwa walimwengu wote. Swali 1.kwani majini ni viumbe ama si viumbe. 2.km ni viumbe nani kaviumba?. 3.wanaishi ulimwenguni ni kina nani? 4.kwann Mungu akuumbe akose kukuwekea utaratibu km baba kwenye nyumba ana uratibu wake kwa watoto jee Mungu anakosaje kukuwekea utaratibu anaoutaka yeye? Someni maandiko msisomewe maandiko.