Тёмный

DAIMA TUTAKUKUMBUKA |Makame Nuhusi |MoveMpya |Adiltv | 2021 |AdilAbdallah 

Adil TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

#AdilAbdallah #HarusiyaJirani#AdilAbdallahQaswida#AdilAbdallahMakameNuhusi
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza.
Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

Развлечения

Опубликовано:

 

16 янв 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@amanmohd9435
@amanmohd9435 3 года назад
Kazi KUPOTOSHA watoto nakuwajaza ujinga.
@hashilfarhan7319
@hashilfarhan7319 3 года назад
Ukitaka uwe na dhima mbele ya Allah basi somesha somo la historia ya mda huu maana ile histororia ya kweli haisomeshwi na vitabu vinavyosema ukweli ila kama unataka vitabu basi kitabu cha kwanza soma kitabu "Kwa heri ukolini Kwaheri Uhuru",kinapatikana sehemu mbali mbali katika maduka ya zenj.
@gyeong5972
@gyeong5972 2 года назад
Ni kweli et
@khamissalum9285
@khamissalum9285 3 года назад
Maana yamapinduzi nimawaji.yawaisilamu.wenzetu nakutawaliwa na wabara namtunda nikunyimwa haki zetu.wazanzibar
@hassanalihassan5073
@hassanalihassan5073 3 года назад
Daah hiii kazi safi sanaaa na huyu mtoto wa kike anajua sanaaaaa yaani ana confidence sanaaaaa
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Shukran sanaaaaaaaa
@saliymhubayb1427
@saliymhubayb1427 3 года назад
Eti juzijuzi ndio tumepata vikalio hahaha nchi tangu mushike mnamiaka mingapi ndio mnapata shuke na vikalio leo
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 3 года назад
Mie naona historia yetu zanzibar tunafichwa wala hatuijuwi watu wanaogopa kusema ukweli.je hawa wakoloni wameacha maovu tu na je kama yapo mazuri waliyoyafanya mbona hamtufundishi.
@farajaschoolzanzibar
@farajaschoolzanzibar 3 года назад
Mnakosea sanaa mwarabu siye aloitesa ZANZIBAR kazi imefeli 🤕🤕🤕🤕
@hajielmi7518
@hajielmi7518 3 года назад
Inabidi wajiangalie Sana maana wanaingia ktk siasa bila kujijua
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
Wamefeli feli feli' uongo usiokifani' mungu hapendi uongo 'kwasababu uongo unasimamiwa na shetwani
@shariffaabdalla2170
@shariffaabdalla2170 3 года назад
Hengereni sana mmefanya kazi nzurii Makame Nuuhusi From🇺🇸🇺🇸😋😋🥰
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Ahsante sana
@shehabakarmbarouk5493
@shehabakarmbarouk5493 3 года назад
Fanya maendeleo ya sanaa yako ila habar ya historia achana nayo allah ndio anahistoria ya kweli kwa wanaadamu unaweza ukajikuta pabaya kesho akhera wote tunaipend zanzibar na watu wake ila historia ya afrika mzima imepotoshwa na wakoloni wenyewe kama unataka ukweli zama sana utapata ukweli ....usinikuuu tu utafel kweli kweli
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Ucjali broo tupo pamoja 🙏
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 3 года назад
huyu mtoto mashallah ana kipaji cha hali ya juu aendelezwe
@khamismohd3170
@khamismohd3170 3 года назад
Leo Ni mtu wa Kwanza kukoment
@PEMBANKWETU7
@PEMBANKWETU7 3 года назад
Ugonjwa wenu Hamujifahamu mpaka ss
@suleimannyange42
@suleimannyange42 3 года назад
Filam iko Safi Sana tunaweza zenji mover .
@34wolfman74
@34wolfman74 3 года назад
Mtoto yupo vizur sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Ahsante
@asrymohd6690
@asrymohd6690 3 года назад
Waanaaa ila kwalo mmefeli sana badstorikali
@arafasaleh8741
@arafasaleh8741 3 года назад
Hii film kusema kweli nimtihani mumekoseya kusema kweli
@amanmohd9435
@amanmohd9435 3 года назад
Upuuzi tu watu wanakwenda mbele nyie mnahanisika tu amba MAPINDUZI...Kazi zenu ujinga nakupotosha tu.
@muzdalfathemed5428
@muzdalfathemed5428 3 года назад
Nimekubali sana lkn munakosea san tulieni 👍👍👍
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 3 года назад
Matunda niyajuayo mimi ni embe, chungwa fenesi na matufaa
@hajielmi7518
@hajielmi7518 3 года назад
Na mm ndio hayo hayo na mall ya michenzani😄😄😄
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 3 года назад
@@hajielmi7518 😂😂 asante
@AsmaAsma-rc2gq
@AsmaAsma-rc2gq 3 года назад
Kazi nuzuri🔥🇦🇪
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 года назад
Sema kweli japo kua chungu.
@_m55_23
@_m55_23 3 года назад
Musielimishe historia mbovu na yaowongo
@issahassan8361
@issahassan8361 3 года назад
Makame yule jamaa aliekupiga makwaju ya mwaka mpya kavaa kibos kapendeza kinoma km TRA
@allyshaame8071
@allyshaame8071 3 года назад
Hiyo story sioya kweli
@hassanalihassan5073
@hassanalihassan5073 3 года назад
Jamani kazi kama hizi musichoke kuzishaire ili hiiii wapate kukua kwa haraka kuikwel munajitahidi sana na juhudi zenu tunaziona jamani mashabiki tusiwavunje moyo wasanii wetu. Shaire kwa marafi,ndugu, na jamaa.😊🤚
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Ahsante kaka tunapenda sapot yako pia tunapokea ushauri,mawazo na story pia
@nabilali7090
@nabilali7090 3 года назад
Mm WA 5
@user-vu1bf3rn6m
@user-vu1bf3rn6m Год назад
Waongo Hakuna kitu bure
@abdullahmussa5678
@abdullahmussa5678 3 года назад
Revolution of Zanzibar tuisome hii topic tutaelewa baadhi ya mambo.
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Kweli
@ndembotv4643
@ndembotv4643 3 года назад
Kweli
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 года назад
Ovyooo
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 года назад
Kaka yangu hamad nakuona
@mfungwahuru
@mfungwahuru 3 года назад
Dogo wa kike kanifurahisha dah...anaweza mumsimamie vizuri
@user-vu1bf3rn6m
@user-vu1bf3rn6m Год назад
Hakuna kitu bure
@user-vu1bf3rn6m
@user-vu1bf3rn6m Год назад
Ukenda septali Kama huna pesa utakufa
@user-vu1bf3rn6m
@user-vu1bf3rn6m Год назад
Uwongo tu
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 3 года назад
mumefeli waungwanaa
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 3 года назад
acha kupotosha watu, hujui historia, kwanini kituo cha utumwa kiwepo kanisanibna kisiwepo mskitini, acha kuporojaaaa
@abuuubeida8337
@abuuubeida8337 3 года назад
Siokweli muarabu siealie fanya watu watumwa achakupotosha watu
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
Wambie uongo tuu mungu atawahukumu kwa uongo wao'!! Historia ya ukweli imefichwa wanadanganya woote
@hamidrashid819
@hamidrashid819 3 года назад
Kwa iyo utumwa ulianza wapi kiongozi na je wakt wa sayyid said bin sultan utumwa ulikuwe au haukuwepo? Sayyid na jemshid nae vip ulikuapo au haukuwepo? Em nisaidie ilo swala?
@hamidrashid819
@hamidrashid819 3 года назад
All in all tunapaswa kujua kwamba sabbu ya uwepo wa theory kwa wasomi wa kubwa ni mmoja kutoweka sawa mwengine akaeka sawa. So ukiin kzi ya fasihi imkosea andaa mazingir ya wew ujuae kujenga so kutuma matusi haisaidii.
@abuuubeida8337
@abuuubeida8337 3 года назад
@@hamidrashid819 biashara yautumwa ilikua inafanyika kanisani unguja je muarabu anakanisa Manisa nilamzungu mbona hamusemi kwamba mzungu kaleta utumwa ? Na ikopicha yakamera siyakuchora kwamba waafirica wamembeba mzungu wavuukanaemto je kushaiyonapo yamuarabu ?
@abuuubeida8337
@abuuubeida8337 3 года назад
@@hamidrashid819 musipumbazwe hizinimbinu zamakafiri muwachukie waarabu namuchukie alichokujanacho muarabu na muarabu alichokujanacho ni uislamu hiyondio sababu tuzindukeni America niipisababu yakuwa nawatuweusi niutumwa mbonakuko hamusemi mwapotosha
@saliymhubayb1427
@saliymhubayb1427 3 года назад
Hamujui historia nyinyi mwarabu gani kaleta utumwa eti warabu walitukosesha huduma muhim waukize mababu zako huduma zilivokua hapo zamani na sasa huyu jamaa nibureee
@hemedmedy693
@hemedmedy693 3 года назад
Mbona huwataji wazungu unawataja waarabu tu sasa kwataarifa yako huo utumwa haukuwa waarabu watupu na so waarabu wote
@johnmeshak3616
@johnmeshak3616 3 года назад
Mimi wa 5
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 3 года назад
Kwanini kituo cha utumwa kikawa kanisani na cyo msikitini,hebu litathimin hili ndugu zangu msipotoshe watu
@saidhaji4098
@saidhaji4098 3 года назад
Good
@maryamkishamoto3126
@maryamkishamoto3126 3 года назад
Vp
@adammakame2154
@adammakame2154 3 года назад
Watu wana ekti move bila ya kua na elimu Wala fikra achen kupotosha jamii na kuijaza chuki na uhasama bora km hamuelew kitu kaeni kmya tu
@hemedmedy693
@hemedmedy693 3 года назад
Acha uongo mnafiki mkubwa haya mambo so yakujadiliwa kwa sasa acha kutia watoto ujinga
@rashidabass9139
@rashidabass9139 3 года назад
Mm wa 2
@shariffaabdalla2170
@shariffaabdalla2170 3 года назад
Wangapi tulikuwa tunaisubiria kwa hamu ii filamu ya makame nuhusi?
@AdilTvOnline
@AdilTvOnline 3 года назад
Ahsanteni sana🙏
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 года назад
Duh mtihani kweli angalieni kdg Video za Hasani Ilunga mutapata hvy vitu
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 года назад
Hawa ndio wanavyofindishwa watoto ili kupotoshwa uwangalie tu lau kama sio waarabu hata dini ingefika kweli wapeni watoto wenu ukweli wa mambo
@hajielmi7518
@hajielmi7518 3 года назад
Waache unafiki
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 года назад
Kwahy waarabu ndio walikuwa wanawatesa Sana Wa Zanbr bx tumalize utata dini yetu wazungu ndio waliiyeneza
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 года назад
Someni historia zakweli musilishwe propaganda dadayangu
@dullaomar3610
@dullaomar3610 3 года назад
Hii historia muna ipotosha siku hadi siku na kupandikiza chuki tu.
@adammakame2154
@adammakame2154 3 года назад
Mpuuz huyu jamaa anajifanya msomi kumbe mjnga waarabu niwaislm hawwa wez kuwatesa watu ivo pia ikumbukwe waarabu ni waislm kwann kituo cha watumwa kiwepo kanisan mkunazini najuta hata kuangalia huu upuuz
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 3 года назад
hamna hyo syo historia kaeni kitako muisome historia ya zanzibar musipotoshe historia ya zanzibar
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 года назад
Chefu.
@habibasule2360
@habibasule2360 3 года назад
wivu tu
@hamidrashid819
@hamidrashid819 3 года назад
Mbona hamlani wala kutukana pindi mkiona riwaya pendwa zimeenea ktk nyimbo na fan nyengin za uigizaji? Sabb hasa nini??
@amanmohd9435
@amanmohd9435 3 года назад
Wewe unapingana na Katiba ya Zanzibar...Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni Nchi ...sasa wewe unaposema Nchi moja maana yake MNAENDELEA kupotoshana nakujazana maujinga tu
@samalsaid1327
@samalsaid1327 3 года назад
Hii filamu inauongo na prpaganda....
@chaumaraali8201
@chaumaraali8201 3 года назад
taja hasara ya muungano na faida zamuungano bc
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 3 года назад
Acheni ujinga nyinyi washenzi mbwa nyinyi msipotoshe watu mama hako aliwahi kukwambia kuwa ameuzwa pale lanisani
@issahassan8361
@issahassan8361 3 года назад
Acha kutukana watu ww unajifanya unajuwa ww mwenyewe umepotoshwa
@hamidrashid819
@hamidrashid819 3 года назад
Wew usitukane ivo bc binaadam mwenye akili hmkosoi mtu kwa hali kama iy busar ni kitu cha bure wee mbon hujielew huu ni mtandao na unafik mbali kwanin utukane?
@hamidrashid819
@hamidrashid819 3 года назад
Kuwa na heshima bc kidogo. Muungwan akirekebisha hapasui ukuta.
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 3 года назад
Washenzi tu hawa hawahitaji kutumiliwa busara hawa ni mbwa kama mbwa wengine
@ngalafilm1855
@ngalafilm1855 3 года назад
Mm wa tatu apa
@mohdmjawir2913
@mohdmjawir2913 3 года назад
Mm nauliza tu viogozi watu wamesoma wapi kipindi hocho
@princenyakurungwi6925
@princenyakurungwi6925 3 года назад
Kweli hilo suali ni lamsingi sana,kama ni kweli hivyo wanavyo sema basi wesengeweza kupata elimu
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 3 года назад
mbna picha zote za waarabu ni za kuchora hakuna picha hata moja ya kupigwa kwa kamera hao waarabu wakitesa watu na mbna picha za wqzungu zipo filamu ni mzuri ila maana ya historia kaeni chini muisome hyo historia hii inaongeza chuki tu baina yetu wazanzibar
@khadijaabbas1581
@khadijaabbas1581 3 года назад
Kuna mapinduzi " uliyaona?!"
@khatibabdi
@khatibabdi 3 года назад
Nimeyaona, Nimepigana
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 года назад
Muarabu gani alimtesa mtu?
Далее
skibidi toilet 76 (full episode)
08:11
Просмотров 10 млн
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 4,8 млн
Mjumbe Kichefu Chefu - 1&2 | Official Bongo Movies
1:08:54
Maskini Jeuri - Part 1 | Official Bongo Movies|
53:23
Просмотров 422 тыс.
NYUMBA MOJA # Part 1 / Dongo I Naomba I Kake Simba
19:40
UONGO WA KALE PART 3 MAU MPEMBA NA DONGO
8:37
Просмотров 70 тыс.