Тёмный
No video :(

Danguro 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 957 тыс.
50% 1

Kila nyumba ina jina lake, Danguro ni nyumba pia yenye kazi yake maalum.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 533   
@jkizondoswahilibites434
@jkizondoswahilibites434 5 лет назад
Kicheko cha Sepa ajab yaani cha ki Boss kweli.. you are doing a great job out there!
@eviepretty9006
@eviepretty9006 5 лет назад
mnashindwa kuomba kupunguziwa mb zisiende Sana mnaomba dole😂😂😂😂😂😂😂😂
@sanusanu4329
@sanusanu4329 5 лет назад
Tunatumia Wi-Fi
@benjaminsamson1145
@benjaminsamson1145 5 лет назад
😂😂😂😂😂dole tena
@credo7837
@credo7837 3 года назад
Unamambo webint🙄
@debosstv43
@debosstv43 5 лет назад
Joti nzuri sana ni comedy pia ni Fundisho kwa jamii ya sasa , Sioni LIKE ZA JOTI jaman gonga zote
@jimmiejr9531
@jimmiejr9531 5 лет назад
Tume like post tayari
@debosstv43
@debosstv43 5 лет назад
@@jimmiejr9531 ok mkuu
@fredibasubi5233
@fredibasubi5233 5 лет назад
kweli kbs
@fredibasubi5233
@fredibasubi5233 5 лет назад
haaaa ajakuelew inafuraisha
@bkaymartine2696
@bkaymartine2696 5 лет назад
Hahahaaaa!!! we Joti hatareeeeee kam umemkubali joti dondosha like hapa twende
@abdallahally1266
@abdallahally1266 4 года назад
Bkay Martine duh hatali xanaaaaaaa
@lucykitege7650
@lucykitege7650 3 года назад
Woyooo hatar
@thesoul1610
@thesoul1610 5 лет назад
Tungekua tunawah na Kanisani nakumludia mungu wetu kama hivi, maisha yangekua poa sana!!...guys tuwe tuwah na sehem za ibada. Ijumaa Kareem!!
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
Kwako pia ijumaa kareem
@zulfajafary524
@zulfajafary524 5 лет назад
Ameen inshaallah
@minaaaldo.1510
@minaaaldo.1510 5 лет назад
kweli kabisa
@toshmbag172
@toshmbag172 5 лет назад
Ila na ww umewai huku kama sisi eeh ?
@shailahshshhsh9415
@shailahshshhsh9415 5 лет назад
na we pia
@neemamsabaha1112
@neemamsabaha1112 5 лет назад
😂😂😂na me nna kichupa😂😂😂😂joti weeeeeeeee.....me ndo founder😂😂😂😂😂
@ashabasha1414
@ashabasha1414 5 лет назад
Am so impatient before I see joti...now ma heart is calm🤣🤣🤣🤣team Uganda...were are we
@binsaalimalhemeidy8111
@binsaalimalhemeidy8111 5 лет назад
Hahahahahaha bint basha he made ur day
@ashabasha1414
@ashabasha1414 5 лет назад
@@binsaalimalhemeidy8111 you know
@binsaalimalhemeidy8111
@binsaalimalhemeidy8111 5 лет назад
@@ashabasha1414 Uganda sehm gn
@ashabasha1414
@ashabasha1414 5 лет назад
Kampala
@eliamaloko1302
@eliamaloko1302 5 лет назад
Jinja town
@angelavenassi1831
@angelavenassi1831 3 года назад
I always like your comedies and you’re so funny I like you and I love it
@nicoledyame3384
@nicoledyame3384 5 лет назад
joti kajamba!! nimecheka balaa😂😂😂
@salomekilienyi6008
@salomekilienyi6008 5 лет назад
Nicole Dyame naomba unicheki whatapp kwa namb 0620645302
@stevenbugas7554
@stevenbugas7554 5 лет назад
Naipenda team hii bwana.... You're so talented comedian
@photoshoptv4156
@photoshoptv4156 5 лет назад
Hahahaha utabaki kuwa juu sana joti.
@hechythiibest8524
@hechythiibest8524 5 лет назад
Hahahaha comedy plus funzo kwa jamii #mtabaki kua juu
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 5 лет назад
Hahahaa jamani jamani alichokifanya Joti 3:05 akili zake anazijua mwenyewe .looh nmecheka kwa sauti ..
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 5 лет назад
Na yeye kuna mda anajisikia jamani kwann msimpiganieee.... (y)
@rasvuaimarley4049
@rasvuaimarley4049 5 лет назад
hivi joti una akili wewe 😂😂😂
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 5 лет назад
Mnachochea nakushangiria uchafu. nakuhalalisha zinaa kuifanya kama jambo la kawaida...Allah atusameh na atuongoze katika njia njema
@bakariminange8685
@bakariminange8685 5 лет назад
Umeelewa vibaya ilo ni fundisho baba shida ulikimbia shule na kiswahili una F
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 4 месяца назад
Kwel alikimbia
@nururajabu8555
@nururajabu8555 5 лет назад
😂😂😂shumayla kiboga 😁😁kagauni kamekupendeza htr
@Kimaro_Comedy
@Kimaro_Comedy 5 лет назад
😅😅😅😍😍😚😚 i love Joti tv
@DeApple05
@DeApple05 5 лет назад
😂😂😂😂😂joti bwana😀 eti nna kichupaaa😁kweli wembamba wa reli 😂
@jabeyumegu4762
@jabeyumegu4762 5 лет назад
Mambo
@HabilyTech
@HabilyTech 5 лет назад
Joti shenzi😂😂😂
@abasmaige4951
@abasmaige4951 5 лет назад
😂😂😂🤣🤣🤣eti Mi mwemyew nakichupa
@jojo_linkissabiny5238
@jojo_linkissabiny5238 5 лет назад
Ayo matako ya joti alivobebwa hapo so poa😂😂😂😂😂😂😂
@hechythiibest8524
@hechythiibest8524 5 лет назад
Hahaha nimecheka jaman
@dayanarenatus5481
@dayanarenatus5481 5 лет назад
Joti hahahahaha mkeo anachekaje huko alipo,,,si kwa hilo kama mtungi
@CHALTV
@CHALTV 5 лет назад
👍👍👍👍👍
@bcutetv6598
@bcutetv6598 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀😀 It's so funny
@monilahhamisi8129
@monilahhamisi8129 5 лет назад
Msofi umenenepa kweli comedy inalipa joti niajili
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 5 лет назад
Ongeza utam kaka apa sukari kidogo Ime pelea love you j
@isabellamassawe9224
@isabellamassawe9224 5 лет назад
😀😀😀😀jaman sopa cheko tu ndo unaponiburudisha😀😀😀
@angelpella437
@angelpella437 5 лет назад
Nmempenda huyu kaka
@kabangaonline4523
@kabangaonline4523 5 лет назад
Iiiii ndo serious comedy embu gonga like kama umeikubar
@ramafrica9016
@ramafrica9016 5 лет назад
Joti mti mkavu kweli,kukomaa huko hatareee😂😂😂like back
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 5 лет назад
😂😂😂🤣🤣jot mambo ni moto
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 лет назад
hahahaaaaa daaah jot nomaa asiee nakubali kazi iko biyeeeeeee
@zachariaosenga7818
@zachariaosenga7818 5 лет назад
😂😂😂😂😂 chuku weni like yenu👏👏👏👏😂😂😂😂
@osmanwanyaka
@osmanwanyaka 5 лет назад
Joti ni nomaaa sanaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rajabusaid2692
@rajabusaid2692 5 лет назад
Sipatii pichamkewajoti anaangalia kweli😀😁😁😂😁😁😁😁😁
@salmabintuthman3243
@salmabintuthman3243 5 лет назад
😃🤣🤣🤣😥😥😥 ajab sana! Joti hoyeeeee.!! Eti mimi founder!!🤓🤧🤧
@fatmaissa6681
@fatmaissa6681 5 лет назад
😂😂😂😂 jamana tunaombeni muwe mnatuwekea Na behind the scene ,maana c kwa vituko hivo
@josiepamela3992
@josiepamela3992 5 лет назад
Mama dame anajua kuuvaa uhusikaa 🤣🤣🤣
@hechythiibest8524
@hechythiibest8524 5 лет назад
Yaaan fundi balaa
@aggreykihara1511
@aggreykihara1511 Год назад
Sopa kicheko Cha kitajiri nakubali😂
@leilaabdul8597
@leilaabdul8597 5 лет назад
Yaan joti jmn u made my day 😂😂😂😂😂😂😂
@omarkhamis4804
@omarkhamis4804 5 лет назад
Laila vipi
@ruwaydahsaid6148
@ruwaydahsaid6148 5 лет назад
Joti nimeipendaa hio nguo naomba kuazima
@yonathemonitor6633
@yonathemonitor6633 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥jot fala kwel yaan 😂😂😂😂😂😂
@Rafikiboniface
@Rafikiboniface 5 лет назад
Joti je ris jusqu’à fatiguer.merci beaucoup mon pote 🙏🙏
@zackygomez1241
@zackygomez1241 2 года назад
Malheureusement il connait pas français
@zackygomez1241
@zackygomez1241 2 года назад
Joti atakuja kuniua miee😁😁😁😁😂😂🤣🤣😆
@donyokhamees9578
@donyokhamees9578 5 лет назад
Wapi ndugu zangu wa United Arab Emirates
@alfarsiali2779
@alfarsiali2779 5 лет назад
Kwan wote walio kuwa UAE wanajiuza ww viip
@donyokhamees9578
@donyokhamees9578 5 лет назад
Ali Kwan kuna sehem nimeandika wanaojiuza hapo
@jujulizzy283
@jujulizzy283 5 лет назад
huyo jamaa ajielewi achana naye ungejua sheria zilizopo uku u.a.e usingethubutu kukitesa kidole gumba chako kwa upuuzi
@jujulizzy283
@jujulizzy283 5 лет назад
uko pande zipi mkuu mie ni alwathba abudhabi mr donyo
@alfarsiali2779
@alfarsiali2779 5 лет назад
@@jujulizzy283 me npo Muscat Oman
@praxedadominic9864
@praxedadominic9864 5 лет назад
Jotii 😂😂😂😂💕
@veronicambaga9995
@veronicambaga9995 4 года назад
Kiboga leo umekosa soko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-bk1vv5zt1f
@user-bk1vv5zt1f 9 месяцев назад
Penda sana jot comedy
@hadijaabdallah4161
@hadijaabdallah4161 4 года назад
wee kaka jot unajiaibixha sana mwanaum mzm unakaz yakujifanya mwanamke
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 5 лет назад
Kweli kunawatu wanafanya hiz business 😂😂😂😂
@sharifajuma3612
@sharifajuma3612 5 лет назад
Kwel wala ujakosea
@godfreyzongera5899
@godfreyzongera5899 5 лет назад
Safi sana. Funzo ndani ya burudani.
@nwntz
@nwntz 5 лет назад
tunaomba behind the scene hahhahahhahaah
@Micpiu
@Micpiu 5 лет назад
Umesema cha maana Mkuu😂
@falzfalz7678
@falzfalz7678 5 лет назад
khaaaaaaaa jotiiiii
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 5 лет назад
Jamaa anabahat mbaya sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 11 месяцев назад
Sop alikuwa ana juw sana jmn
@ommystar8827
@ommystar8827 3 года назад
Sopa. Nakukubali sanaaaah. Kaka
@gamarhugo3419
@gamarhugo3419 5 лет назад
Hii kali zaidi......
@mariamuiddy6876
@mariamuiddy6876 3 года назад
😂😂😂😂😂hayo macho yani joti ww
@maryrosechamanga7553
@maryrosechamanga7553 5 лет назад
Nakukubari sana joti
@majeshibakari3398
@majeshibakari3398 5 лет назад
I'm from Norway and I don't understand the language ila nmecheka sana mamae 😂😂😂
@jacklineadolf1255
@jacklineadolf1255 5 лет назад
We fala kwelii umecheka kiswahili au😂😂😂
@kimrudiger5084
@kimrudiger5084 5 лет назад
Anazingua kwel mjomba
@iddirashid8038
@iddirashid8038 5 лет назад
hahhhaaha hiyo ila nimecheka sna mama kakuandikia nan loh dunia nzito hii hahahhaha
@hbgwaay
@hbgwaay 5 лет назад
Falaa sana wewe
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 5 лет назад
Hahahaha Im in Somalia but sijui kidhungu ila uyu fala jt ni moto
@rashyramy8066
@rashyramy8066 5 лет назад
Na mimi Leo nimekuwa wa kwanza duuuh
@malihamusah5368
@malihamusah5368 2 года назад
Sopa na misemo ya kisonko gosh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 joti wallai ww sijuwi ulipewa adhana ulipo zaliwa🤣🤣🤣🤣
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 5 лет назад
😂😂😂jot we ni shida
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 5 лет назад
Joti ety 🙌 anakichupa wenyew vichupa km mie naomba like 😂😂😂😂😂😂😂😂
@bircatrina898
@bircatrina898 5 лет назад
Nani kaona vimatako vya joti
@ramadhanijuma7106
@ramadhanijuma7106 5 лет назад
Sopa mm nakupenda unafanana na kanumba sema nyoa hizo Rasta zako kuwa Kama mwanzo
@kidotifetty8929
@kidotifetty8929 5 лет назад
😂😂😂😂 hukupata kitu masikin 😂😂 umeambulia makofi
@hasyno9805
@hasyno9805 5 лет назад
Mnaomba like mnazipeleka wap au faida yake ni nni
@astridatheobald9951
@astridatheobald9951 5 лет назад
shany flonk
@annievibes8794
@annievibes8794 5 лет назад
mie nitaanza kuwapa dislike
@hasyno9805
@hasyno9805 5 лет назад
@@astridatheobald9951 vip
@khalidsalim5299
@khalidsalim5299 5 лет назад
Ee afadhali uvae hivyo ukifanya hizo vituko lkn sio uvae km muislamu!!
@sumyahkalama
@sumyahkalama 5 лет назад
Napenda joti akiwa amevaa dera 😂😂😂
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 5 лет назад
Safi sana Joti ujatuangusha ata cku 1.
@davianjosephjoseph3121
@davianjosephjoseph3121 2 года назад
Ila sopa nae kicheko icho😂😂😂😂
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 лет назад
Kweli jamani haya yapo au joti wew mungu anakuona ujuwe
@christianfelex5078
@christianfelex5078 2 года назад
2022 tujuane 🤣🤣🤣🤣
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ka wezere kalivyo chongoka sasa
@denisteye9699
@denisteye9699 5 лет назад
Hahahaha,,,,FOUNDER
@hfafjjhdfgh1545
@hfafjjhdfgh1545 5 лет назад
Niwah 🥰
@allyjibbo1196
@allyjibbo1196 5 лет назад
Jamani joti namkubalii....nachekwa kwelii
@zawadimhina68
@zawadimhina68 5 лет назад
😀😀😀😀😀 nimejikuta nacheka
@davydee9747
@davydee9747 3 года назад
daaah nishai we nom
@kingswebe3251
@kingswebe3251 5 лет назад
Leo nisiku ya nne siongei na mke wangu kisa kasema anampenda joti.
@andrewemanuel9513
@andrewemanuel9513 5 лет назад
Hahahahahahahahahahaha
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 лет назад
Jinyonge
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀
@salomenachunga3590
@salomenachunga3590 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@kingswebe3251
@kingswebe3251 5 лет назад
@@zaynsalma3466 😂😂😂
@kelvinmwacha3684
@kelvinmwacha3684 5 лет назад
hahahahaaaaaa jot shez
@younginspired3899
@younginspired3899 5 лет назад
We polisi sio kwa mabanzi hayo kumuangushia mwenzio 😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃
@FM-ir2nq
@FM-ir2nq 3 года назад
Those eyes na make up ya kiboga yatisha..🤣🤣🤣🤣🤣
@irinemacha2951
@irinemacha2951 5 лет назад
Cyo Kwa macho hayo Joti.jmn😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@mariamhaidari7170
@mariamhaidari7170 5 лет назад
Joty kweli we faunder c kw wowo ilo🤣🤣🤣
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 5 лет назад
Hatariiii
@sampatrick9951
@sampatrick9951 5 лет назад
Kanya au masikio yangu
@isaacm1852
@isaacm1852 5 лет назад
Eti mimi ndio founder🤣🤣🤣
@milliardere9177
@milliardere9177 3 года назад
Sopa hiyo ceko nayijifundisha kila siku
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 5 лет назад
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃kiboga jmn
@ibrahimuissa2245
@ibrahimuissa2245 5 лет назад
Salute kwako joti
@ukhtynaa1096
@ukhtynaa1096 3 года назад
Dakika ya 8:37 kiboga alivyobebwa Mali za umma zimejikusanya kama kibuyu😀😀😀😀😁😁😁 dairekta hakuona jaman
@revinamussa7320
@revinamussa7320 5 лет назад
Baba wawili uyooo
@brightonlamela7819
@brightonlamela7819 5 лет назад
daaa joti nomaaa.
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 года назад
Huyu kweli kaa kanumba
@madiankhaher545
@madiankhaher545 5 лет назад
hii move ingeisha bila hiyo difenda kuonekana ungetoa maelezo vizur 😂😂😂😂😂😂😂
@leonardjohn9119
@leonardjohn9119 5 лет назад
😃😃 eti amesoma vita duu
@stevewanga957
@stevewanga957 5 лет назад
Watu wazima salamu zao ni pesa 🤣
@azizamussa181
@azizamussa181 5 лет назад
😃😃😃😃
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 2 года назад
Yaan joti mbal na Kaz yako sidhan kama uko timamu🤣🤣🤣🤣
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
na nyie kenge mnaoombaga like hua mnawazaga nini ?
@renildevenerand8256
@renildevenerand8256 5 лет назад
Sijuwi watu wakiomba like mnaumia nini.ndio utamu wa youtube ukicomment watu waki like unajisikia vizuri.
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
huo ni umama ....
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
@@kashmilmlotwa4808 kenge kabisa hawa...
@officialkamdudu
@officialkamdudu 5 лет назад
@@kashmilmlotwa4808 kenge hawa unakuta mtu hata kabla hajaangalia hata video kashaandika oooh nipeni like..... ili iweje kenge hawa ?
@saltanal-amri3950
@saltanal-amri3950 5 лет назад
Official Kamdudu 😁😁mi najuaga wanapata hela kutoka kwa joti like zikiwa nyingi
@jonasjohn1384
@jonasjohn1384 3 года назад
Mi jamani sija wai kulala namwana mke arafu Nika mpa era ,
Далее
Mla Uliwa
8:29
Просмотров 1 млн
NIPE CHANGU
9:40
Просмотров 567 тыс.
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 84 тыс.
KUMBE BIBI
6:44
Просмотров 1,1 млн
DANGULO EP 02 ||love story 💕💕
13:03
Просмотров 4 тыс.
UBAYA UBWELA
2:15
Просмотров 1,2 тыс.
MISTAKE | 1 |
16:18
Просмотров 1 млн
KINGWENDU ANAUZA MBOGA ZA MAJANI/ EPISODE 04
12:22
Просмотров 1,7 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
Kumbe kiziwi
8:17
Просмотров 2,4 млн