Тёмный

Darsa ya Lugha ya kiarabu||Nah-wu|| 91 ||Muhammad Bachu || 6 September 2024 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 758
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 21 день назад
Shukran jazakallahu kheir sheikh
@MbwanaHusein
@MbwanaHusein 21 день назад
Sheikhe tupe elimu kajili ya Allah Allah atakulipa
@MbwanaHusein
@MbwanaHusein 21 день назад
Awa wanafunzi wa majadida awatafuti elimu kwajili ya dini wanatafuta ushabikitu
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 22 дня назад
Abu Rudud umefanya kazi nzuri sana. naona kijana amekimbia mada zengine hapa
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 22 дня назад
Ameacha kubishania upuuzi na utoto.. Yule bwan Abuu muache aendelee na utoto wake.
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r 23 дня назад
Tulkuamni sana ila kwa sasa tumebainikiwa una Ujbu ww bachu
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 22 дня назад
Kapige dufu
@mussasalafiy
@mussasalafiy 22 дня назад
Hakika
@hasaanislamiccenter6283
@hasaanislamiccenter6283 23 дня назад
نعم هذا ما نريد
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r 23 дня назад
Umedoda bachu tfta kzi nyengine ufanye au utaaji kwa maneno ulyo ombwa kutaraaji na Abuu ruduud bila ivo tutazidi kukuona ww nmtu wa btwil
@abdallahzahor1676
@abdallahzahor1676 23 дня назад
Enyi vibaraka vya Abuu fauzani Mulio tumwa kufanya fujo acheni chuki
@abdallahzahor1676
@abdallahzahor1676 23 дня назад
@@yahyaphd dah munajitia wasomi mpaka leo hamjaona kosa la bango lenu la pongwe
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 23 дня назад
Ustadh Muhammad Bachu kuna radd uliniweka mdomo wazi pale uliposema kukosea Qur'aankimatamshi ni kumzuliaAllaah uongo😳 Je muislamu kumzulia Allaah uongo atabaki kuwa muislamu kweli❓
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 23 дня назад
A.alaykum.Shekh usimuache Abuu Rududi amekuchafua sana mtie Adabu.
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 23 дня назад
Mhhhhh kielimu yupo nyuma Bachu
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 23 дня назад
😂😂😂😂
@imranmfyomi2919
@imranmfyomi2919 22 дня назад
Abu ruddud kwa bacho bado sana maana namjua vizuri
@imranmfyomi2919
@imranmfyomi2919 22 дня назад
majadida chuki itawaua.
@abduhanafi8143
@abduhanafi8143 23 дня назад
Sasa wewe kunahajagani kwenda kutokapovu kubishana somesha bwanaaa wacha kuwatukana kinasuyutwi naowalikua binaadamu wanakosea
@IlyasaMakame
@IlyasaMakame 19 дней назад
Dah darasa zako kwaza basi
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 22 дня назад
Barakallahu fiyka wajazaakallahu khaira
@NuzlaBunu
@NuzlaBunu 21 день назад
Mashaallah sheikh muhammad bacho ninakufahamu vyema kabisa kwa darsa zako za lugha Allah akujazi kila la kheir .
@hassanmussa4734
@hassanmussa4734 23 дня назад
Muhammed bachuri naona ukizidiwa t huwa hutaraja bali unakaa kimyaa kuna kipindi cha nyuma ulianzisha mada akaja Abul Abass wa Zanzibar ukakimbia ukatoa udhuru na sas iv Abuu Fawzaan nae unajifanya kama hukuanzisha mada rudi kijana utarajaa hutabadilika bali ndio Allaah anapenda na mshkuru aliekufundisha usikae kimya rudi utarajaa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 23 дня назад
Lakini nafikir kama amekubali kama kakosea lakini kuna namna ulitaja ajibu kama unavyotaka wewe ili ufurahi.
@hassanmussa4734
@hassanmussa4734 23 дня назад
@@Hamis-ks1sy wala hakuna namna kubwa yy kasema kesi dismis huo sio uungwana uungwana aweke wazi tu kwani atapungukiwa nin zaid ya kuongezeka katika ilmu yake aseme t ukweli na aombe msamaha yanaisha uko ndio kutarajaa na ikitokea Abuu Fawzaan akiendelea baada ya yy kutarajaa tutasema hakukusudia dini ila kwasas muhammad bachu anaonekana hataki dini bali ilkuwa ni ushabik t wa kulazimisha makosa na iyo haki inayokubaliwa ppot aliyoilingania iko wapi aoneshe kivtendo hatopungukiwa chcht kile
@imranmfyomi2919
@imranmfyomi2919 22 дня назад
mbona alikubali kosa. majadida ndo huwa hawakubali makosa. wao wamekaa kumfurahisha mafuta tu ndo zao
@mussasalafiy
@mussasalafiy 23 дня назад
Kesho Sheikh Abuu Ruduud anaendelea na no 7
@imranmfyomi2919
@imranmfyomi2919 22 дня назад
Acha aendelee na radi za makosa ya kilugha ..
@Nature-xe7lu
@Nature-xe7lu 22 дня назад
@@mussasalafiy abuu ruduud sio mchezo bana...
@HajiJuma-rb4or
@HajiJuma-rb4or 23 дня назад
Sheikhe Muhammad tunapata faida sana kwa darsa yako ya lugha na tunakufaham sana tu kwasababu unajuwa kusomesha MashaAllah kwahyo sisi wengne tunaomba muendelezo uwendelee mpaka mwisho wa ktabu hchi na chengne InshaAllah,
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 23 дня назад
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 23 дня назад
Shukran yaa sheikh
@salumsimai614
@salumsimai614 23 дня назад
Shukran..SANNA mwalim...
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 23 дня назад
Hii inamuuma sana Abu Rudud kwa sababu unafundisha yy hafundishi ndio maana anaumia
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 23 дня назад
😂😂😂😂 eti hafundishi hiyo markaz yake anafundisha nani ?😂😂 halaf mnafundusha matango pori
@QudraIbnUmar
@QudraIbnUmar 23 дня назад
​@@jumanneissa8226Mahizb bhn tabu telee
@madulually5751
@madulually5751 23 дня назад
Naona vibaraka wa abu fawzan sasa mko humu....sasa sio dini bali vita chanzo cha mafuta vs barahian
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r 23 дня назад
Ndio tmo umu kuaambia nynyi vibaraka wa bachu mwambieni shekhe wenu ajibu maswali ya abuu ruduud asijezidi kufedheheka
@abdallahzahor1676
@abdallahzahor1676 23 дня назад
​@@AbubakarMuqaddam-f2rewe jadida maswali gani hayo ya kumshinda sheikh wetu
@husseinkhalfan8378
@husseinkhalfan8378 23 дня назад
Katika yako wew bachu na abuu ruduudi nani Allah kamdhalilisha kwenye neno هذيان kama ulivyosema mwenyew maana tunaona kimya hujibu hoja za ubuu rududi
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 22 дня назад
Ameamua kuacha utoto na upuuzi!!
Далее
Трудности СГОРЕВШЕЙ BMW M4!
49:41
Просмотров 1,4 млн
KWA NINI NIMESILIMU 22 August 2024
29:36
Просмотров 101 тыс.
ATHARI ZA LGBTQ
5:31
Просмотров 3,2 тыс.
RADDI KWA DJ SAIDI QUBUURIYY || Muhammad Bachu.
38:54