Тёмный
No video :(

DAWA YA MSALITI - PART 02 - SIMULIZI YA MAPENZI 

Ankojay Simulizi
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Ni hatua gani ambazo kijana Hance atachukua dhidi ya mkewe Flora ambae anaonekana na tamaa ya pesa baada ya kuchepuka na Mheshimiwa kisa pesa.
karibu katika sehemu hii ya pili ya simulizi yetu hii nzuri ya mapenzi yenye kisa cha kusisimua ili tuweze kujua hiyo Dawa ya Msaliti Ni nini.
‪@ankojay_‬

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 233   
@ankojay_
@ankojay_ 10 месяцев назад
Part 03 hii hapa 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-D4EwwJGTGWY.htmlsi=RYKD_y9pz4lDjDX7
@user-vg5og7en8u
@user-vg5og7en8u 6 месяцев назад
❤❤ mambomengi yanafundisha lakini pamoja nayote flora akumpenda kabisa hansi maana arimuonea huruma2
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 11 месяцев назад
Leo na me nimewah like zangu jaman,🔥
@GraceBakari-wo8ly
@GraceBakari-wo8ly 11 месяцев назад
Wakwaza leo asante anko jay
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc 11 месяцев назад
Jaaman simu yng ilipotea nikamic sana simulizi jaaman numerud tena kukiwasha love you guys nazan tiki pamoja
@silviakipingi3778
@silviakipingi3778 11 месяцев назад
Wanawake mungu atusaidie tuwe na mioyo ya kulizika na kile tunachopewa na waumezetu tamaa so nzuli mapenzi yanauma jamani pole kaka
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 10 месяцев назад
Aame Mungu ampe Nansi moyo wa subrah
@user-sj9rt4fy9d
@user-sj9rt4fy9d 10 месяцев назад
😂
@Rahmamadua
@Rahmamadua 11 месяцев назад
Wa tatu jamani naomba like zangu❤❤❤ vipenzi
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 11 месяцев назад
Asate sana simlizi ako Jay ubalikiwe sana
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 11 месяцев назад
Asante kwa muendelezo tuna burudika na kujifunza
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 11 месяцев назад
Nimewahii nipeni likes zengine
@Zizzah2707
@Zizzah2707 11 месяцев назад
Dawa ya msaliti unampiga tukio ambalo haamin maisha yake yote kama ni msela chukua piss kali na kama ni mdada pata kajamaa kazur and gentlemen ❤❤❤❤❤❤
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 11 месяцев назад
Very very true💯
@yustamhoma
@yustamhoma 11 месяцев назад
​@@priscillahsirya65446😅😅
@ytyg7261
@ytyg7261 11 месяцев назад
Wow nilibyo waza ndivyo ilibyo ❤
@wertqwe8326
@wertqwe8326 11 месяцев назад
Jamani hasi hiosauti yako inatumaliza hata mwarabu. Wanatuita na hatuwasikii❤❤❤❤❤
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 11 месяцев назад
Basi mie nimekua kituko ndani kwa waiguru,natembea na sim kona zote kusikiliza story 🤣🤣
@Zizzah2707
@Zizzah2707 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂mwendo wa kuvaa nguo za mifuko tuuu😂😂😂😂😂😂
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 11 месяцев назад
Aaa wee waende huko mie ninayo mkononi nimeweka sauti ya chini sim krb ya sikio nikifika jikoni naitenga hp mambo ysnaendekea🤸🤸🤸🤸🤸
@Zizzah2707
@Zizzah2707 11 месяцев назад
@@user-yl4zp5qd7t tafta ipod mamaaaaah utanishukur baadae
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 11 месяцев назад
😅😅😅
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 11 месяцев назад
Hii simulizi imenikusha mbali sana nivyo wachwa na mme wangu hospital but nilipona nabado anaomba msamaa hadi leo😭😭😭😭
@nancynancy4362
@nancynancy4362 2 месяца назад
Achana nae
@lucyjohn1342
@lucyjohn1342 11 месяцев назад
Asantee ankojy 🔥🔥🔥👏
@dinahwafula2538
@dinahwafula2538 11 месяцев назад
Tamaa mbaya ni wanawake rithika na chenye uko nacho mwishowe usije kukosa vyote
@FatakiFabien-co2qs
@FatakiFabien-co2qs 11 месяцев назад
Sija jelewa lakini tuko pamoja nipeni liké 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@user-wq7nl3pc1j
@user-wq7nl3pc1j 10 месяцев назад
❤🎉😂asante sana anko jay🎉😂❤😊
@AishaNanzua
@AishaNanzua 11 месяцев назад
Wakwanza❤❤❤
@SpecioseNshimirimana-dk6jg
@SpecioseNshimirimana-dk6jg 2 месяца назад
Ankojey nami sijui Dawa ya musaliti.
@Rebeka-zy6wt
@Rebeka-zy6wt 11 месяцев назад
❤❤❤❤ mtaka mawili hukoswa vyote 😂😂😂😂
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 11 месяцев назад
Wapi like za wadau wa Anko Jey simulizi
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 11 месяцев назад
Waoooo vzr hii imekuja dairect ubarikiwe sana Anko Jay
@zuenahz5514
@zuenahz5514 11 месяцев назад
Duuuuuuuuuuh sio kwa kuchelewa huku jmn niko nainjoy na simulizi pamoja na music wake ni full kudance huku nasikiliza simulizi big up anko Jay
@dhuhasaid636
@dhuhasaid636 11 месяцев назад
Umetisha akojay kwani wa dada wa kazi ndo wanaongeaga hivyo 😅 vipi mganga😂😂 hongera ankjay sidhani kama kunaatakae kifikia kipaji chako maaan wahusika wengi ila umewapa saut ❤
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 11 месяцев назад
😂 😂 😂
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 11 месяцев назад
Upo sahihi hana pigamizi❤
@user-ip6hb1nq2u
@user-ip6hb1nq2u 11 месяцев назад
Fanya hivyo ankojoy part 3
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 11 месяцев назад
Anko jey one sound please hiyo sauti ya glory iwe kama ya Ashura
@dinahwafula2538
@dinahwafula2538 11 месяцев назад
Daah watu wako na roho mbaya kweli Raisi anafikiri kwa kumfunga hansi ndio kafunga mapenzi yao ajue kwamba mapenzi ya kweli hayafi
@laylasaid8406
@laylasaid8406 10 месяцев назад
Kimaumana😂 Hy daw ya usaliti
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 11 месяцев назад
Dawa ya msalliti haya twende nalo ni kumpigya na number asiyoijuwa uje umtiye aibu❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@Zahar-px8md
@Zahar-px8md 11 месяцев назад
No1 gonga like
@zainabmohamed9439
@zainabmohamed9439 10 месяцев назад
Baba Rais mkali hasa kasahau kwamba MKUKI KWA NGURUWE KWA BINAADAMU MCHUNGU
@jadenchris5506
@jadenchris5506 10 месяцев назад
Dawa ya msaliti nikuvumilia tu iposiku ataondoka bila kufkuswa jamani simlizi hiyi inafunzo kubwa sana
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 11 месяцев назад
Kwa kweli awapo Kama grori nikweli Anko J
@florenceakothotieno3673
@florenceakothotieno3673 11 месяцев назад
Ankol j,kwanzia Leo mm siitwe tena flora,maana naona sasa mme wangu mtarajia atajua mm ni msaliti😅😅😅
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 месяцев назад
😂😂siyo kweli,tabia ni kama ngozi ya mtu
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 11 месяцев назад
😂😂
@ankojay_
@ankojay_ 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 11 месяцев назад
weee dada dear kemea hayo mawazo mabaya usijitabirie wala kujiwazia hayo maana maneno ama neno huumba
@AminaHusseni-yd7nm
@AminaHusseni-yd7nm 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@user-dq5yj9ts4h
@user-dq5yj9ts4h 11 месяцев назад
Asante sana anko J mungu akupe nguvu na umri mrefu Kwa simulizi zako zenye mafunzo mengi,🎉🎉🎉🎉
@esterchota7333
@esterchota7333 11 месяцев назад
Thank you ❤❤❤ anko jay
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 11 месяцев назад
Leo nimewai
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 месяцев назад
Daa😂😂😂😂Flora anajianika hadi amekauka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@user-qw7un1nf2f
@user-qw7un1nf2f 11 месяцев назад
Jamani mimi wa mwisho Kila siku tabaraka Allah anko Jay na Stephan Allah awape itaji la moyo maisha marefu
@kaneza932
@kaneza932 11 месяцев назад
Nishidakweri kabsa 💌💌💌🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@yusrambodze3804
@yusrambodze3804 11 месяцев назад
Nimewahi leo asante anko nimeisubr kwa hamu sana❤❤
@DeboraMwasweba-ij4qf
@DeboraMwasweba-ij4qf 11 месяцев назад
Sijachelewa kivileeee
@HalimaMousa-xu3qt
@HalimaMousa-xu3qt 11 месяцев назад
Dawa ya msaliti kumuacha ipo siku atakukumbuka kwa upendo wako
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 10 месяцев назад
Si mungu anipe wa kufanana na hansy
@nindymuruga4798
@nindymuruga4798 11 месяцев назад
Asante ankojay❤❤❤😊
@user-hv7ob7ts3y
@user-hv7ob7ts3y 11 месяцев назад
Jamen jamen
@ashamenza2212
@ashamenza2212 11 месяцев назад
Kazi safii Ankojay Asante saana
@juliennealimasi6378
@juliennealimasi6378 11 месяцев назад
Anko j nakukubali sana mambo sinjo ayo Sasa simulizi zako ninzuri sana Mungu akubari
@hellenodhiambo4342
@hellenodhiambo4342 11 месяцев назад
Flora anaboo 🙄Gloria pia anaboo she not even thinking that hafai kuingia kwenye mausiano na mwanaume ameumizwa na mapenzi mbona atajuta
@susansamira8137
@susansamira8137 11 месяцев назад
Leo nimechelewa ila tupo sote hujambo kaka Ankojay ❤❤❤
@stellahrobert5
@stellahrobert5 11 месяцев назад
Leo nimewai kindongo
@everlinekenga437
@everlinekenga437 10 месяцев назад
Haki ako watokosha sana❤❤
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 11 месяцев назад
Chamii kwa Ankojay 🙏👌❤️❤️❤️
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 10 месяцев назад
ina uma sana anko jy
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 месяцев назад
Maskini Flora,kakosa busara kwaajili ya tamaa mbaya,sidhani kama hawara yake ataweza acha mkewe sababu yake
@polinlizzlizz
@polinlizzlizz 11 месяцев назад
Thanks anko jay
@wertqwe8326
@wertqwe8326 11 месяцев назад
Kimeumaa kimeumana
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 10 месяцев назад
apo patamu sana kweli anko jy
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 11 месяцев назад
Flora kitamramba hadi ashangae.nj utabiri tu.much love Anco j❤❤❤nkiwa KSA
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 11 месяцев назад
Eeh mwanathumu huyu ninae mjuamm nini ni Priscillah uyu tuko pamoja 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 11 месяцев назад
@@priscillahsirya6544 sijui dada .we uko saudi kwan
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 11 месяцев назад
Thank you so much Ankle Jay
@LetisiaWilliammanyama
@LetisiaWilliammanyama 11 месяцев назад
Dawa ya msaliti ni kumusamehe
@estherimbotsi7553
@estherimbotsi7553 11 месяцев назад
Asante Ankojay ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr 11 месяцев назад
😭😭😭 Pole sana Hans kwa misukosuko inayo kupata Mungu akukinge na madui walio mbele yako
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 месяцев назад
Khaaaa,Flora hupokea kila mzigo bila kufikiri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@WwEe-qc7tc
@WwEe-qc7tc 11 месяцев назад
Anko jay shukurani mkiwa na stephen zacharia kwa kutupa mwendelezo ili tuzidi kujifunza pia kuburudika MUNGU awakirimie mema ili mzidi kutupa injili yakimaisha
@salmahasani5169
@salmahasani5169 10 месяцев назад
Mh kali sn hii jmn
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 11 месяцев назад
Dawa ya msaliti ni kumwacha akachague na kuacha hadi aridhike na dunia yote au kumsamehe kila siku 7x70😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 3 месяца назад
Heri kuachana naye tu
@HoseaVyizigiro
@HoseaVyizigiro 11 месяцев назад
Sijachelewa Anko jay
@victoriangasa
@victoriangasa 11 месяцев назад
Ahsanteee sanaaa Anko J kwa simulizi nzuri ❤❤❤
@anjelinandambuki-fi4ip
@anjelinandambuki-fi4ip 11 месяцев назад
Ankojay hapo Kwa mganga umetisha😂😂😂😂😂😂
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 10 месяцев назад
Hatari sana anko jay asante kwa simulizi tamu
@Mziwandaa
@Mziwandaa 11 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@JusminYassin-gs7bk
@JusminYassin-gs7bk 10 месяцев назад
Ankojay cna cha kukulipa maan una nipa raha sana wala cjali bando langu kuisha maan kwa cku namaliza bando la mwezi❤️❤️❤️❤️🙏
@ankojay_
@ankojay_ 10 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥
@user-vg5og7en8u
@user-vg5og7en8u 6 месяцев назад
Wao ❤❤❤❤
@user-hg7pv3vh3u
@user-hg7pv3vh3u 10 месяцев назад
ASANTENI ANKO JAY NAPENDA SIMULIZI ZAKO MUCH LOVE FROM UGANDA 🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 11 месяцев назад
Nakupenda bure much love Ankojay ❤❤❤
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 11 месяцев назад
Eeeee jmn wamuonee huruma basi Hanc kila kona anaandamwa yy!!!frola uchawi rais nguvu ya Dora jmn!!!Swali kwa sisi wenye hali za chini kunyanyaswa na wenye hali za juu hatuna thamani ya kumiliki vitu vizuri?mmmh mungu atusaidie maskini wote
@Ivyagua
@Ivyagua 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤ anko mapesa march love
@millicentochieng161
@millicentochieng161 10 месяцев назад
Wanawake bwana!!
@binthassan9191
@binthassan9191 11 месяцев назад
Hatimae tunamalizia simulizi yetu nzuri 😂😂...Ankojay alisema alimsaliti mpk mtoto wa Rais 😂😂😂Ahsante Anko jay ❤ ubarikiwe sana 😊
@binthassan9191
@binthassan9191 11 месяцев назад
Kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri
@saumuchibule3267
@saumuchibule3267 11 месяцев назад
Mpaka rubani dooh kazi anayo huyu anko jay 🤣🤣
@binthassan9191
@binthassan9191 11 месяцев назад
@@saumuchibule3267 ndio kwa vile yeye ni handsome boy ety😂😂
@user-vg5og7en8u
@user-vg5og7en8u 6 месяцев назад
ANamapesa mengi ndomana ariwasaliti mpaka rubani kweri
@khadija.kkhadija.k7885
@khadija.kkhadija.k7885 3 месяца назад
Asante anko j utamu utamu❤❤❤🎉🎉
@salmasasha
@salmasasha 11 месяцев назад
❤❤❤
@user-il7ck3tw2n
@user-il7ck3tw2n 11 месяцев назад
Marahabà mapenzi jaman!!!😉😉
@roseobara9091
@roseobara9091 3 месяца назад
Nzuri sana
@rachypsalms2869
@rachypsalms2869 11 месяцев назад
Thank you❤❤❤❤
@shantellekwamboka7444
@shantellekwamboka7444 11 месяцев назад
Yaani nameza mate nimejikuta 44,anyway nikae hapa nyuma,asante sana pia huyo mwandishi ana uko n Dktr Mbetu,,n swali tu
@kibibi7826
@kibibi7826 11 месяцев назад
Wakwanza leo
@fentafesh9790
@fentafesh9790 10 месяцев назад
Asante Ankojay😍😍😍
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 11 месяцев назад
Asnte Anko ❤❤❤❤
@leah5307
@leah5307 7 месяцев назад
Thanks Anki Jay🎉🎉🎉❤❤
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 10 месяцев назад
atari sana ❤
@jamilarimo5546
@jamilarimo5546 11 месяцев назад
Thanks anko jay kwa mwendelezo
@user-pb1ug4zr1j
@user-pb1ug4zr1j 10 месяцев назад
Dawa ya msaliti ni kumsamehe kwakua Mungu ametuambia tusamehe
@binthassan9191
@binthassan9191 11 месяцев назад
Haya mapenzi ni balaa kwa kweli..yani unasilitiwa bila kupumzika unapata mwengine hapo hapo 😂😂😂😂mapenzi shikamoo
@manfredmteganya3332
@manfredmteganya3332 11 месяцев назад
🤣🤣🤣cjui nacheka nn
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zainabmohamed9439
@zainabmohamed9439 10 месяцев назад
I like floral kumwambiya Mume wake Upo kama mzanzibarkwa mafumbo hajiwi kwamba ukupigao ndio ukufunzao
@GloriaMassawe-kc3fj
@GloriaMassawe-kc3fj 10 месяцев назад
Amchukue glory wa rahisi2
@brendanasimiyu2420
@brendanasimiyu2420 11 месяцев назад
😢 pole sana lakini amuaje
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 10 месяцев назад
ngloriy mungu akubari
@LissaBosh
@LissaBosh 9 дней назад
No nazan Ana mpenda
@janetkazungu7795
@janetkazungu7795 11 месяцев назад
Wakumi mie
@stephanierona6592
@stephanierona6592 11 месяцев назад
Mbona tupo wengi tu akina glory😂😂😂😂
@MaryBosibori-iw1yo
@MaryBosibori-iw1yo 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂 kweli kabisa dear
@user-re1qf5ph9l
@user-re1qf5ph9l 11 месяцев назад
Dawa yamsaliti kuacha tu kk azi muchetu
@LeticiaJoseph-vc7ql
@LeticiaJoseph-vc7ql 11 месяцев назад
Masikin ya Mungu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Далее
DAWA YA MSALITI - PART 03 [ MWISHO ]
3:00:05
Просмотров 26 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 648 тыс.
SIMULIZI MPYA - X - PART 01
3:09:23
Просмотров 50 тыс.
SIMULIZI FUPI: ROSE WANGU By Ankojay
2:04:48
Просмотров 27 тыс.
SIMULIZI YA KUSISIMUA: PENZI LA UMAUTI, By Ankojay
2:34:14
SIMULIZI MPYA - SUCH KIND OF LOVE ( part 01 ) By Ankojay
2:20:43
SIMULIZI YA MAPENZI - BUSU LA SHEMEJI
3:08:15
Просмотров 49 тыс.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 648 тыс.