Тёмный

DAWAH KWA ANAYEUZA KAMBA ZA KUJINYONGA 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Please remember to subscribe to our channel for more videos. ‪@StraightPathDawah‬ tunafikisha ujumbe hadi mashinani.

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 4 месяца назад
MaahaAllah Dawah ime fika Mpeketoni, stronghold ya WaBaraa kutoka Mlima Kenya. Jaribuni ku ongwa na watu wengi kul7ko ku spend time na hutu Mtu moja tuu wa Khamba! BarikAllah Team.
@aminajumale6805
@aminajumale6805 4 месяца назад
Ma Sha Allah may Allah make them to understand
@fatmaali6780
@fatmaali6780 4 месяца назад
SubhanaAllah sheikh mwakumbana na majanga ila mwenyezi mungu atawaongoza na kuwahifadhi Kwa himaya yke InshaAllah
@KashavuMichel
@KashavuMichel 4 месяца назад
⚡🌙
@abuunayfatu8701
@abuunayfatu8701 4 месяца назад
Karibuni na Tanzania
@softymoha5484
@softymoha5484 4 месяца назад
huyo mwanamke ni ibilisi...wololo...na amevaa uchi...mtihani wallahi. Allah...awajaliye kher kwa kazi ngumu mnayoifanya,...na mitihani mnayoipitia...
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 4 месяца назад
Tunamuomba Allah amhidi huyo dada
@salmaminja7714
@salmaminja7714 4 месяца назад
Uctadh Ramadhan na timu yko Allah awape subra ktk uwalishaji wa da'awa kwn ni kazi ngumu mnoo kiwackisha daawa kwa watu ambao hawaijui dini ya khaq. Namuomba awalipe bighari hisabu.Dunian na kesho akhera Allahumma Amiiyn.
@salmaminja7714
@salmaminja7714 4 месяца назад
Subhanallah hakika hii ndio akhir zaman imefika.Allah atujalie tuwe ktk misingi ambaye yy Allah Swt anaikubal Biidhinilah. Allahumma Amiiyn. Yaa Rabby.
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg 4 месяца назад
Ustadh Ramadhan Kuria Nawapenda sana kwa ajili ya Allah
@hamisikassimmwatamu7949
@hamisikassimmwatamu7949 4 месяца назад
Mtiani shekh Alhamdulilah Allah awaongoze kwa njia ya haki inshaAllah
@josemu870
@josemu870 4 месяца назад
Marshal ah
@MohamedMeja
@MohamedMeja 4 месяца назад
Huyoo mwanamkea anarohoo mbayaa mwenyezi mungu atamuongozaa
@mifunga3414
@mifunga3414 4 месяца назад
Mashallah
@salmanassor8732
@salmanassor8732 4 месяца назад
Mashallah ❤
@adanabdi5249
@adanabdi5249 4 месяца назад
Fikeni Mandera siku moja insha Allah.
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 4 месяца назад
Allah awatie nguvu mashekh zetu pamoja na changamoto mnazopitia
@zanzibar-hf7vh
@zanzibar-hf7vh 4 месяца назад
Hii si ya kukosa, Allah atuongoze kwa Rehma zake
@swahabahusein23
@swahabahusein23 4 месяца назад
Assalam aleikum karibu mavuno musiende bila kufika mavuno tafadhali
@sarahronoh540
@sarahronoh540 4 месяца назад
Waleykum Salaam Waramadhulillahi Wabarakatu
@MohamedMeja
@MohamedMeja 4 месяца назад
Mashallah mungu ndio mlipajii
@NanaBini-b4h
@NanaBini-b4h 4 месяца назад
Mashallah kazi nzuri Sheikh
@SharrifCharo-mi1bn
@SharrifCharo-mi1bn 4 месяца назад
Asalam aleikum ustadh naomba mfike mpaka huku bamba
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 4 месяца назад
Allah akulipe
@Alinuribrahim1
@Alinuribrahim1 4 месяца назад
MashaAllah
@Ismaelnoton2543
@Ismaelnoton2543 4 месяца назад
Aslam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh. Hakika hii ya leo ni kali
@laclassic1336
@laclassic1336 4 месяца назад
Huyo Dada 😅😅😅😅
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 4 месяца назад
Assalamu Alaykum
@malikdodo5190
@malikdodo5190 4 месяца назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@Shillingi
@Shillingi 4 месяца назад
Waaaaa hii ni kali
@kadhyanassor5046
@kadhyanassor5046 4 месяца назад
Dada kachemka utadhani ibilisi alivyotolewa peponi ..😂😂
@muktarabdirahman172
@muktarabdirahman172 4 месяца назад
Thanks you Ramadan ❤
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 4 месяца назад
Kijana anahekima mimi nisingeweza ningempa Bonge la kofi
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 4 месяца назад
Subhannah Allaah asemayoooo yaani Auza hata kambaa ya kujinyongaa atiii niyeyee atajuwaaa mwenyewee vp wajuwa itamdhuruuh ummuuziyeeee?????
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 4 месяца назад
Mungu amsamehe kwn uislanu ndio uongifu ila hawajui mungu amuongoze kwn adabu yke haijui muuza na mnunuaji akinunua akijinyonga wote mungu wasamehe
@mariamsaidi1686
@mariamsaidi1686 4 месяца назад
Hii ya leo kali
@kihimbamushyaibrahim7284
@kihimbamushyaibrahim7284 4 месяца назад
Subhaana llahu wallahi wamama wabaya toka zama zamutume swalla llahu alaihi wasalam mufano muke wa abu lahabi akiwekea mutume wetu Muhammad miba nchiani huyu muke mukali anaweza mupoteza mume wake anamuzuwiya kuongoka shes not supportive she can led the husband to hell
@Adm9464
@Adm9464 4 месяца назад
Haki Ukristo matata
@molee2339
@molee2339 4 месяца назад
Si hawa Watu wanao promote Khamba zakuji Nyonga, si wana weza ku naswa na POLICE? Mji wa WaPAGANI, la ANTIOCH, ni 950Km from Jerusalem. WaPAGANI kama LUKE na WaPagani wenzawake walio TUNGA stories za GOSPEL, kule ANTIOCH, Upagani WAO, haziku FIKA Jerusalem na Kwa WA YAHUDI, ambao ni 950 km away! TabarakAllah Team.
@rizikiali328
@rizikiali328 4 месяца назад
Mtihani huu muislam anauza kamba watu wajinyonge
@saudahassan3804
@saudahassan3804 4 месяца назад
Hahaha jamani muuza kamba eti kama maisha yamekushinda
@justintabu7291
@justintabu7291 4 месяца назад
Huyo mwanamke Mungu amubariki sana❤
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 4 месяца назад
Abarikiwe kisa kumzalilisha kakake
@justintabu7291
@justintabu7291 4 месяца назад
@@Alithoya-qr7di ziii.. abarikiwe kwa kumuepusha nduguye na mafunzo ya uongo
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 4 месяца назад
@@justintabu7291 waumwa ww kuna mafunzo ya urongo au watu walikua wanasoma vitabu, mafundisho ya urongo yalikua shakahola
@Jingajinga64
@Jingajinga64 4 месяца назад
​@@justintabu7291una pepo mchafu wewe 😂😅
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 4 месяца назад
Soon both will be Muslims!​@@justintabu7291
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 4 месяца назад
Sheikh Ramadhan ungemsomea maandiko kwenye biblia huyo dada kuhusu kuvaa nguo sio ya heshima
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 месяца назад
Palichemka😅
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 4 месяца назад
Wivu ni mbaya
@AshrafBunu
@AshrafBunu 4 месяца назад
Kweli huyu mwanamke adhihirisha ubaya wao imagine Hawa watu wanafanya dawa county zote hawajawhi kuona vituko hivi but imagine mpeketoni avillage imezungukwa namiji ya waislam that lady aonesha ubaya na chuki juu ya waislam shame on you
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 4 месяца назад
Hata Lamu pia wako hivo, wamejazwa chuki nyoyoni mwao, lakini watu wasilimu makundi kwa makundi ulimwengu mzima. ALHAMDULILLAH kwa neemah ya Uislam
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 4 месяца назад
Mumefanya vizuri kutuonyesha mitihani inayowapata. Maskini dada amejazwa propaganda mpaka hataki kusikia kitu.
@christinauma387
@christinauma387 4 месяца назад
Nmetamani sana kuwa muslim kwa muda mrefu.
@mbarakadau7345
@mbarakadau7345 4 месяца назад
Karibu kwenye njia sahihi. Wasiliana na viongozi wa msikiti wowote karibu na ww
@christinauma387
@christinauma387 4 месяца назад
@@mbarakadau7345 thank you. Ill try
@SaleheAmiry-mx1yn
@SaleheAmiry-mx1yn 3 месяца назад
​@@christinauma387upo wapi dada unaetaka kuwa muislamu
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 4 месяца назад
We dada👆, Huyo kijana ni mtu mzima, ana uhuru wa kuchagua MBIVU na MBICHI, Hawezi kudanganywa kila siku, Ati YESU Ni MUNGU au MWANA WA MUNGU. "YESU NI MTUME WA MWENYEZI MUNGU" Kubali usikubali, ndivyo ilivyo. KASOME BIBLIA📖 KWA MAKINI, WEWE MWENYEWE, USINGOJE KUSOMEWA NA MCHUNGAJI AU PADRI. Amkaaaaaa🤷‍♂️
@Fumokale
@Fumokale 4 месяца назад
Si makosa yake huyo mdada ni yale ulosema ww shaikh rama...uislamu umepakwa matope haswa hp mpeketoni lkn namuombea huyo mdada roho yake itulie ili aione haki na aujue uislamu sio wanaojiita waislamu wenye kuharibu jina la uislamu...i hope nimeelweka
@ashrafissa778
@ashrafissa778 4 месяца назад
Mbona leo jaman haina saut
@andallaathman3856
@andallaathman3856 4 месяца назад
Duh 🙄😳 huyo mwanamke anachuki na uislam namna hio hata kusikia hataki
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 4 месяца назад
Anajuwa sehemu alipo sio sahihi inawezekana akafuatilia RU-vid anaona wanavyoelemewa na maswali
@mariamsaidi1686
@mariamsaidi1686 4 месяца назад
SubhanaAllah,hii ya mwaka
@kennodhiambo
@kennodhiambo 4 месяца назад
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya; 1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia? 2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia? 3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia? 4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia? 5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia) Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 4 месяца назад
Kumbe ni mpumbavu nilijua unatafuta elimu(ujue) Ujinga huisha , upumbavu ni Sifa kuisha ipo kazi.
@kennodhiambo
@kennodhiambo 4 месяца назад
@@AlkadoNkundwe-wb3of umefungwa akili naomba Yesu akuokoe
@mahmoudmohamed-w3l
@mahmoudmohamed-w3l 4 месяца назад
Soma Zephaniah 3:9
@kennodhiambo
@kennodhiambo 4 месяца назад
@@mahmoudmohamed-w3l Zeph 3:9 9 "Then will I purify the lips of the peoples, that all of them may call on the name of the Lord and serve him shoulder to shoulder. Unaashiria nini kwa andiko hili?
@Sal.0
@Sal.0 4 месяца назад
Ai Atoro Ngon'go, hio Nusu Mkate Brain yako, ita OVERHEAT uki overthink hizi Nonsense WaKristo huwa wana come up with against ISLAM! Here is some 'NusuMkate Brain' COOLING info: The reason we PRAY in ONE PURE LANGUAGE of ARABIC, is because it is a COMMAND from the Quran,.. AND also from the 'Bible': Zephaniah 3:9 King James Bible For then will I turn to the people A PURE LANGUAGE (one), that they may all call upon the name of the LORD, to serve him with ONE consent!!! That is why, a Chinese Muslim can arrive in Nairobi, and then go to ANY MOSQUE , and UNDERSTAND the SALAT and KHUTBAH being delivered in the ONE PURE LANGUAGE of ARABIC! Because of this ONE PURE LANGUAGE of ARABIC! OMERA, ume elewa, Kata BileBile?
@paulmwangi3438
@paulmwangi3438 4 месяца назад
Anajua bwanake akisilimu ndoa yao itaisha. Wengine watatu pap. Islam is all about sex ndio unaona wengi wanaosilimu ni wanaume. Dini inayodhalilisha wanawake kiasi cha haja.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 4 месяца назад
Una pepo mchafu wewe😂
@Jingajinga64
@Jingajinga64 4 месяца назад
Watatu wa ndoa lakini sio wenu hamsini wakumanga manga mukijifanya muna mmoja na huyo pia unoa baada ushazaa nae watoto nje ya ndoa sawa na kuishi na kahaba
@headboy7768
@headboy7768 4 месяца назад
Utakapo zungumza ovyo bila kujua uhakika wa kitu ndio matokeo yake haya Soma dada biblia yako vizuri utaelewa
@SaleheAmiry-mx1yn
@SaleheAmiry-mx1yn 3 месяца назад
Hujuwi ulitendalo dada huna maalifa
@SammyMuimi-xi2ql
@SammyMuimi-xi2ql 4 месяца назад
Watu si wajinga, na mkona majini xhenzi sana
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 4 месяца назад
Mashallah
@cabdisiciid6504
@cabdisiciid6504 4 месяца назад
Mashallah
@cabdisiciid6504
@cabdisiciid6504 4 месяца назад
❤❤❤❤❤mashallah
Далее
WACHUNGAJI WAPITIA WAKATI MGUMU
1:02:24
Просмотров 20 тыс.
ITZY "GOLD" M/V
03:20
Просмотров 6 млн
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 134 тыс.
MAFUNDI WAPIGWA NA BUTWAA KWENYE DAWAH MASHINANI.
1:12:01
TANGAWIZI MAJANI ASEMA KUWA ANAJIANDAA KUSILIMU
23:03
Просмотров 3,8 тыс.
OBINNA SHOW LIVE: TILL JOKES DO US PART - Kabugi
1:35:10
Просмотров 189 тыс.
Lion of daawa sheikh ibrahim in eastleigh
31:08
Просмотров 9 тыс.
ITZY "GOLD" M/V
03:20
Просмотров 6 млн