Ambao tupo nchi za nje tunapitwatuu ira mingu nimwema tunasngaria kwenye simu zetu tunawapa sapoti tuombeeni ipo siku tutamariza mikatamba na sisi tunarejea makwetu tz
Wanachama tulipieni kadi zetu jamani si mnaona timu yetu ipo kwenye Gym ya nyota 5 club inahitaji pesa tulipie kadi zetu za uwanachama, Daima mbele nyuma mwiko.
sasa yanga viongozi , wanachama na mashabiki. Hivyo vyombo vinavyotumika vyote tunatakiwa tuviweke kwenye kiwanja chetu. Sio bure gharama ni msingi wa mafanikio.