Тёмный

DC KUNAMBI ALIVAMIA DANGURO MCHANA KWEUPEEE BUBUBU 

ZINJIBAR TV
Подписаться 143 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@ntubiibomo5730
@ntubiibomo5730 3 года назад
Taarifa safi . Kupingwa music ni keloooo
@jumaally7325
@jumaally7325 3 года назад
Vizuri sana mueshimiwa
@MaryamMakame-to2jp
@MaryamMakame-to2jp 10 месяцев назад
Naipenda bububu
@zuwenamazruiy9293
@zuwenamazruiy9293 3 года назад
Kweli bbb sio kituo cha police to much mambo yamezidi
@salimkt5146
@salimkt5146 3 года назад
Waandishi tuweni wa kweli sio kukimbilia kupa views tu Title inahusu kivamiwa kwa danguro ila haikuwa ivyo ni tofauti kabisa tuweni wa kweli waandishi wa habari
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 3 года назад
Yaani hawana hata haya kuandika kichwa cha habari hakiendani kabisa
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 года назад
Waandishi wengine sijui wanawaonaje wasomaji
@asrymohd6690
@asrymohd6690 3 года назад
Hhhh kituo mapenz
@kassimomar6951
@kassimomar6951 3 года назад
Zanzibar TV waongo
@othmanalnabhany3208
@othmanalnabhany3208 3 года назад
Zanzibar pambaneni hayo madanguro na upuuzi unaofanywa uondolewe ila tatizo ni police na masheha ndio wanawaachia watu kufanya uchafu
@rahalee5479
@rahalee5479 3 года назад
Fukuza wote hao, bado wanaongea pumba! Ukishindwa mhe rais watumbue pamoja na huyo dc! Bado waonaongea mambo ya michakato!!!
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 года назад
Elimu ndogo kwa WAANDISHI. ..wahuni
@munakhamis1979
@munakhamis1979 3 года назад
sikogani milioni kumi na tano muache uwongo
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 года назад
Police wa bubu wauwaji wametuulia ndugu yetu shenzi hawa
@jamalhatmustafa7374
@jamalhatmustafa7374 3 года назад
Mbona sioni danguro craze
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 3 года назад
Sema mama yangu vituo vyapolice ikiwa wamevigeuza mapenzi sasa lazima wawajibishwe
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@muhsinali7427
@muhsinali7427 3 года назад
matangazo mpunguzeee mnatunyima uhondoo
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Hao police wenyew wengine walevi
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 года назад
Wana habari wa Zanzibar wooote wanaigana sauti kama mawio upuuzi hem jiongezeni bana kila mtu awe na ubunifu wake mmeregeaaa hem changamkeni mkiripoti kila kitu sie tupo nyuma
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 года назад
Kweli asa
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 3 года назад
Yaaani wanaboaaa kishenziiiii sijui wamepata wapi utangazaji ulee chefua
@samramohamed5629
@samramohamed5629 3 года назад
Hahahaha kweli kabisa
@samramohamed5629
@samramohamed5629 3 года назад
Bruhh utangazaji wao unatutapisha
@samramohamed5629
@samramohamed5629 3 года назад
Tatizo Sio wabunifu .
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 3 года назад
Kaya ndio nini sijawahi kusikia neno hili zanzibar naona vurugu tu
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 года назад
Hiyo kaya si ina afadhali hilo neno changamoto cjui wamelipata wapi tng nizaliwe sijalisikiapo ila siku hizi 😂 mimi nnavojua matatizo hilo changa ilikuajee 😭 maskini zanzibar yng wapii
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 3 года назад
@@nailamohd7693 ni hatari mara utasikia shule, kuongea,kwa majina naitwa ,wakati sisi wa zanzibar tuna kiswahili fasaha kabisa tunakipoteza kwa kuiga mambo yaliokuwa hayana maana
@nailamohd7693
@nailamohd7693 3 года назад
@@salmaelhinai833 kweli kabisaa mpk viongozi wao ndio wasemaji wakubwa wa hicho kiswahili kibovu wakati wao ndio waseme kiswahili kizur wawe mfano ili hao wanaoiga waone km sisi kumbe tunasema wrong lkn wapiii
@msanifgdf615
@msanifgdf615 3 года назад
Hilo danguro lililovovamiwa lipo wapi,ama kweli wandishi wengi kanjanja
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 года назад
Nyinyi badilikeni wacheni uongo munaandika habari sio,pia munatusomea taarifa kama mawio huu ni...
@saheedali7467
@saheedali7467 3 года назад
Zinjibar TV nyote wasenge ndio danguro Hilo mbwa nyie
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 3 года назад
Hahahaaaaaaa umehamakiii eeeh wanaudhiiiii kweliii
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Changamsheni midomo yaani wazenji tunaongea kam tumekatwa taya za midomo sasa uwakute hao watu wa kaskazini uuuwiii wapemba lafuzi yao inachekwa lakini wamechangamka wakiongea
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 года назад
Kucheka mtu kwa lafudhi ni ujinga umesikia lafudhi ya watu wa mombasa kenya na lamu
@bbishatuale1150
@bbishatuale1150 3 года назад
Sisi wa mvita(mambasa) twajivuniya kwa lafudhi yetu mwata mila ni mtumwa🇰🇪🇰🇪
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 3 года назад
Semeni baba zangu mnao wajibu wakusema na lazima hili lifanyiwe kazi viongozi tekelezeni sasa majukum hayo
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 года назад
Wrong heading kwa kusudi ni ishara ya udhaifu wenu. UNSUBSCRIBE!!!
Далее
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 153 тыс.
BI FATMA ISSA AFUNGUKA MAKUBWA DKT MWINYI ATAJWA...
19:26
UFUNGUZI WA SOKO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR
2:50:45
Просмотров 5 тыс.
RIZIKI PEMBE HAAMINI KILICHOTOKEA PEMBA
4:51
Просмотров 2,8 тыс.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 134 тыс.
Prince Of YEMEN Meets President TRUMP!
12:23
Просмотров 309 тыс.