Hapo Kuna pacha mbili, Abel, Mulenga na Gama (gitaaa),Cosmas, Hamis Juma na Gurumo(waimbaji)aliyefunga kazi na midomo ya Bata ni King Enock, hayo yote yamo kwenye maisha tuliyonayo Leo na vijana wa Sasa mgogoro wa wazazi anaamua kulalia upande mmoja, Cosmas katoa funzo Sana kwenye wimbo huo, ndio nyimbo za kwanza kabisa baada ya bendi kuanzishwa, (1)Barua-Cosmas(2)Celina-Mulenga(3)Kassimu-Gurumo, Nchi ilisimama kwa muda baada ya nyimbo hizi kutoka redioni kwa Mara ya kwanza, hongereni Sana Mlimani hasa hasa Abel Barthazal
Kwa kweli hii nyimbo inanikumbusha mbali sana kuna siku nimetoka Shule hela sikuwa nayo nimeshinda na njaa toka asubuhi mpaka natoka Shule mchana .nikapita nyumba moja hivi nikaona mama na mwanae wamekaa wanakula nikaenda nikaomba wanisaidie chakula wakanikaribisha nikakaa na kuanza kula.mda huo kulikuwa na Redio ya mkulima ukawa unaimba HUU wimbo. Daah kila nikiusikia nakumbuka hiyo siku aisee
Miaka ya 78 baba akiwa masomoni Mzumbe, ss watoto na mama tunaenda shambani njaa inauma kishenzi lkn baba akirudi likizo ilikuwa faraja sana kwa kila mtoto, pia santuri mpya za muziki tunacheza tunakesha! It was real goldsh family! Hongera sana mama yangu! R.I.P. my dady
1983 na 84 nilikuwa nikisikia wimbo huu nilikuwa nalia sana sana. NI wakati nasoma primary, wakati huo naishi kwa bibi yangu na wazazi wangu walikuwa wametengana. Nikapoka barua kutoka wa mama. Mungu ampumzishe baba yangu. Bado nasikiliza 2024
Kisa Cha kweli kabisa Mwenyezi mungu awapumzishe wazazi wangu mbele za haki Mama yangu amenilea kwa shida sna Sina baba simjui hata kwa sura kwa roho inaniuma R.I.P wazazi wote waliotanguria mbele za haki
I miss my baba😍😍😘😘R.I.P my lovely father.Ndo vilikuwa vitu vyake hivi hadi nasi wanawe vimetuingia kwenye damu,Sasa mwezi wa 7 huu sinae duniani,.Nikisikiliza hivi kama namuona vile 😭😭😭dah sina la kusema yani
My parents separated 27 years now,, my mom struggle alone all those years and she only have me,, the only son,,, My love to her is unmeasurable this song make me cry 😭
Niligombana na mke wangu mtoto wangu wa kwanza alilia sana huku akisema,"dad plz don't ditch my mom i beg ye",ikabidi nimsikilize na mpaka leo tupo pamoja.
N iutunzi wa cosmas chidumule.akiimba pamoja na hamisi juma maalim kinyasi.na muhidini gurumo.solo Abel Baltazar.ibass joseph mulenga.ridhim Abdala gama.tumba Haruna Lwali.drums Habib Abassj eff.saxfone juma town.Joseph Bernard.King michaelEnock Teacher.Trumpet Ibrahim mwinchande Bonifas Kachale.mafundi mitambo.chuma na kitwana....Sikinde ilitisha.....
Linus Leon namna ulivyo wataja musicians hao unaninikumbusha namna Julius nyaisanga (RTD)na Fred obachi machoka (VOK) walivyokua wakiwataja kwa mbwembwe!
Umepatia hasa huyo ni Cosmas Thobias Chidumule akiwana Hassan Rehan Bitchuka na Gurumo enzi zao za Sikinde ngoma ya ukae 1979 nikiwa darasa LA Vi, walitisha mno mno.
A true story refering to Chidumules' parents.They had familiy issue of which later they divorced.This song is as a consequence of this situation.Chidumules mother wrote to his son LETTERS (referred to this song)b regarding the hardships she was experiencing in her marriage.Fantastic,touching, song
Pia marehemu MDJ Eddie Fondo,the best radio dj in the late 70s and 80s,complete with their dates and places of birth.Those were them days.I wonder whether any of our so called musician today will ever reach such levels.
Ninaposikia nyimbo kama hizi natamani kutembelea ndugu zetu kule Tanzania, the home of many great musicians kama Mbaraka Mwinshehe, Remmy Ongala, DDC Milimani Park, Ramadhan Rajab na wengine wengi. Tz you're a blessed nation
2022 listening to this song and I feel like crying....may the lord continue to keep my parents with good health and long life nawapenda sana...this song makes me visit my aged parents more often....
Wimbo huu sitoweza kuusahau katika maisha yangu, kwani mwaka 1986 nikiwa chuo cha elimu ya ualimu ilinibidi nifanye uamuzi mgumu ili kuwapatanisha wazazi wangu ambao walitengana. Daah! Chidumule Cosmas nitaendelea kukumbuka kwa kuwa mkweli katika maisha halisi.
Kisa cha kweli wazazi wa chidumule walitengana wakati huo wakiw Tanga,chidumule alilazimika kurudi songea pamoja na mama yake,then alijiunga na Butiama jazz ,Urafiki jazz,Dar international then akaenda kuanzisha Mlimani park na ndio akatunga wimbo huo
I Heard This Song When I Was In High School At Alliance High School In Kenya. We Used To Sing It Without Paying Much Attention To It. Now I Do. A Master Piece For All Ages!! Congratulations DDC Mlimani Park.
loooh...!! jamani kipande hiki namaliza kdt cha 6 Mzumbe High School Morogoro. ...lkn nikaendelea kuupenda mpaka nikiwa " kuruta Mafinga National Service 1979.
I watched mzee Chidumule narrating how he came with this song.This is a true story that was happening in his family.His father and mother were separated and thus the song.He is an inteligent old man.Kongole kwa utunzi huo.
na hata mtu akiisifu sikinde kwa nyimbo hizi anamaanisha sikinde ya enzi hizooo sio ya sasa.Asikilize safu ya wanasikinde ktk tufurahi na wanasikinde.Asifkirie hii ya sasa.Ilikuwa nadra kuiskia sauti ya muhidin ngurumo bila rehani bitchuka.
Barua zangu wakati niko shule nimezitunza hadi leo haswa zile zilizokuwa unakunja karatasi hiyohiyo upande mwingine ni bahasha, huu wimbo huwa unanitoa machozi kwani mama na baba walitengana nikiwa na miaka 3, na mama akapambana hadi nikamaliza chuo.Mwezi mmoja toka nimalize chuo kbla hata kazi sijapata mama yangu akatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu aiweke roho ya mama yangu pahala pema peponi, Amina.
kwakweli tungo za mashiri ya mziki huu imetulia, inagusa huwa ninapo usikiliza wimbo huu huwa namkumbuka sana mamaangu, kwakweli mziki wa zamani bado ungali unaishi.....
Nilikuepo kwenye tamasha la kutimiza miaka 40 ya mlimani park pale viwanja vya bandari wiki iliyopita lkn badala ya kufurahi nilitoka pale nikiwa na huzuni kubwa baada ya kumuona mpiga rythim ya wimbo huu ABDALAH GAMA akiwa hoi bin taaban,ni mlevi kupindukia hawez tena kufanya chochote,,,kwakweli iliniuma sana nikimuangalia
“MAISHA YA ZAMANI🪘 Ukienda Kwa Mjomba Unakaa Muda Mrefu Huwezi Kusikia Hata Kelele za Kuchokwa..😭 Mnakaa Kwenye Mbalamwezi Mnapiga Story..🎑 Siku Hizi Muda Wote Watu Wanafuatilia Watu Amabao Hata Hawajawai Kuwaona Kuliko Ndugu😥 HAYA MAISHA YA PESA HAYANA FURAHA KABISA😭
2020.. niliishi na kulelewa na mama wa kambo na alikuwa muungwana sana kwangu lkn bado nilikuwa nikisikiliza kibao hiki nilimkumbuka mama mzazi ambaye kimsingi alishaachika na baba..!!
Kama mama yangu angekua hai, I swear baada ya kusikiliza wimbo huu, kesho ningepanda basi niende popote alipo nikamsalimie na kumuambia nampenda kwa kiwango gani!Rest in power my mom Christina Mballa Mwakatah!
Hizi nyimbo za kale kwa kweli hazina mfano ni nzuri sana na zinafikisha ujumbe kwa jamii,mimi binafsi kwa ujumla ni shabiki kindakindaki wa nyimbo hizi nawapongezeni sana kutupatia uhondo huu asanteni sana
Daaaaaah yani natamani ningekuwa na helaa nyingi awa wazee wotee walikuwa wanaimba izi nyimbo niwaweke kwenye maisha mazuri ngoja nipigane kwa nguvu zote daaaah
Wazungu wengine wanasema miziki ya waafrika vurugu kelele tu,,ngoma ngoma na kuruka...lakini hapo JEE meseji ya maana mziki umetulia classic namiss hiome mama yangu
simon joseph nyangusi wazungu wanataka waonekane kiichopo afrika ni upumbavu, ila sisi tunayaju mambo yetu yalivyo azuri kama haya ya wazee wetu,hivyo tuwaenzi.
Ni wimbo wa miaka mingi sana rakin unaishi mwaka2006 juzi tu apa niradhimika kusikiliza wimbo wa mwyaka ya 80 nikiwa bukoba mama akiwa wilaya ya manyoni Kijiji Cha makale, hakika watunzi mulikuwepo hatuko nanyi nyimbo zenu zinaishi duniani tunapita nyie mbele sisi nyuma yenu
Heard this song recently on Rogaroga radio citizen when Obachi Machoka was hosting Chidimule the composer of the song. Very inspiring music! The songs had a message and lesson to be learnt. Gone are those days.
Thank Machokaa for hosting Chidimule. song that bring back the days of VOK, natuma salamu nikiwa kakamega show.Ujumbe dawa ya ndeni ni kulipa.Goods days No HIV,No CORD NO JAP.
Ipyana Mwakanosya Rogaroga ni kipindi kwenye Radio Citizen ya Kenya.Na Fred Obachi Machokaa ndie anaekiendesha hicho kipindi.Husikika siku ya Jumamosi na Jumapili,kianzia saa Nne asubuhi hadi saa Saba mchana.Na sasa pia kiko kwenye runinga ya Citizen.Hata mie nlipata fursa ya kusikia hayo mahojiano kati yake Fred naye Chidumule,pia nkawahi kurekodi sehemu tu ya hayo mahojiano.Natumai nmekujibu vyema ndugu.
Thanks for listening to RogaRoga on Radio Citizen FM-Kenya. Hope you enjoyed listening. It was indeed a privilege and pleasure to host the legend of Rhumba.
Aee mama eeh jaribuni kuyasuruhisha mambo hayo Kutengana kwenu kunanipa wasiwasi manenu Sina kaka sina dada kwa hiyo naomba muishi kama vile mwanzo Ningali mdogo ninahitaji msaada wenu wazazi wangu Aee mama eeh jaribuni kuyasuruhisha mambo hayo Kutengana kwenu kunanipa wasiwasi manenu Sina kaka sina dada kwa hiyo naomba muishi kama vile mwanzo Ningali mdogo ninahitaji msaada wenu wazazi wangu Aee mama eeh jaribuni kuyasuruhisha mambo hayo Sina kaka sina dada Kwa hiyo naomba Muishi kama vile mwanzo
Mama salamu zako nimezipata, ninashukuru kwa kunikumbuka. Taabu na mateso unayoyapata yananiumiza roho......Mambo haya yapo sana katika jamii yetu, hongera sana Mlimani Park.
The moment I listen to this sad song I always go visiting my mother the following day bearing in mind that she lives alone with home assistants and my father died many years ago and we her children left to start our own homes far apart
ndugu yangu Abdallah nimekuwa naitafuta ile nyimbo ya DDC inyoanza na kusema ''niliusiwa na babu na babu, ukimya busara ndio heshima, maisha bora popote duniani, sio chuki choyo au fitina, '' tafadhali sikumbuki inaitwaje ila utenzi wake unaanza hivyo, tafadhali
Hii nyimbo imeniliza nimewakumbuka kakazangu nadadaangu pia babaangu kipindi hicho tunasikiliza.kwenye.redio yetu.mkulima.huu.wimbo.kwasasa wote. wamefariki.dah.inauma sana
Binasfi huwa nazikubali mno hz nyimbo nakumbuka miaka ya 90- nikiwa kijana nlikua Namibia baba dude prufuu yake nakanayo chumbani kipindi hicho rdo Tanzania wanapiga nyimbo hz....
Dah hii Nyimbo inanikumbusha zamani sana nilipokuwa darasa la nne kule Kijijini kwetu tulipokuwa naenda shamba kulinda zao la mpunga na Mahindi yasiliwe na tumbiri
Nyimbo hii imenikumbusha enzi za makuzi yangu wakati huo RTD tupo shule ya msingi nk nimekumbuka mengi sana na watu kibao wengine wapo hai wengi Marehemu RIP.