Assalamu alaykum ndugu katika uislam samahani kuhusu kumlipia maiti deni hio ni amri kabla warithi hawajagawana kwanza walipe deni Rejea aya ya 12 النساء Annisai
Nakuunga mkono Asia Issa; na mimi na kwambia Sheikh usome aya ya 11, 12 surat Nisai hata mwisho utaona ni lazima kulipiwa deni maiti kabla ya kurithiwa.. kwa hivyo sahihisha makosa haya katika darasa yako nyengine. Maryam Albakry
Asalamuakeikum . Ni bora tuwe twaandika deni zetu. Itakuwa bora kwa watu wako kukulipia. Na wewe ulohai wadaiwa ni bora kulipa deni la mtu. Allah atufanyie wepesi tusiwe tutaondoka na deni.
Asalam alaykum Lau samaat sheikh ningependa kile kipindi cha uliza ujibiwe kirudi hata kama ni wiki mara 1, tena ningependa kama kitarudi ukiweke siku ya alkhamisi wakti baadal ishai au vile utakavokuwa na nafasi ki upande wako , shukran
Kamchukulia mtu sasa yeye alo chukuliwa dhamana hakulipa na bado yuko hai but babangu ashafariki sasa deni hakulipa yule je dhambi hizi nikwa baba ama yule alochukuliwa dhamana alipe deni la watu b coz yeye ni mzima