Тёмный

DHULMA part 3 

Подписаться
Просмотров 176 тыс.
% 504

Assalaamu Aleykum warahmatullaahi wabarakaatuh.Watazamaji wetu wa channel ya tamthilia za pwani tuna imani ya yakini kuwa mpo vyema.Tunawatakeni sana radhi watazamaji wetu kwa kukosa kuweka kazi zetu kwa kipindi kirefu sio kutaka kwetu ni kwa dharura zisizo epukika.Walaakin sasa tumerudi rasmi kwa kasi mpya na nguvu mpya.IN SHAA ALLAAH kwa uwezo wa mola tutafanya kazi nyingi nzuri musiketi mbali watazamaji. Tunaomba ushirikiano wenu kwa kushare kazi zetu na kusubscribe.jaza yenu ipo kwa mwenye Ezi

Опубликовано:

 

17 сен 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@anisabakari5298
@anisabakari5298 3 года назад
Mwendelezo plz hongereni mambo ni 🔥🔥🔥🔥 sana uyu mama kiboko duuuu
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 3 года назад
Dua Zenu tumekwama Pesa na location
@aslamhoussein6865
@aslamhoussein6865 5 лет назад
Maasha Allah M/mungu awazidishie juhudi katika kazi zenu za kheri inshallah.
@aslamhoussein6865
@aslamhoussein6865 5 лет назад
From Zanzibar
@maryamhilal4019
@maryamhilal4019 3 года назад
He mbon ndog Mashaalh kaka ashkua mkubw Lkn hu hatujaufahamu mbna
@ibrahimomar1073
@ibrahimomar1073 4 года назад
Jamani watusubiri sana part 3.Masha Allah muko vizuri.
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 4 года назад
Shukraaaan
@NurdiniMheni
@NurdiniMheni 22 дня назад
​@@tamthiliazapwaniofficial4361❤
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 года назад
Mashallah movie nzuri sana
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
Masha Allah mbona kiduchu mwatuonjesha tu
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 5 лет назад
Shukra dada sakina fanya subra IN SHAA ALLAAH mazuri yapo njiani
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 лет назад
@@tamthiliazapwaniofficial4361 Insha Allah
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 4 года назад
Aslm alaykum Sasa hussein alikua ameenda masomoni mbona amerudi kwa mamake nakuendelea kunynyaswa? nakuendelea k
@zamratallly4148
@zamratallly4148 4 года назад
Sasa si part2 tuliambiwa km hussein alirudi na akawasamehe wazazi wake? Sasa mbn ipo hivi???
@khamisramadhan5775
@khamisramadhan5775 5 лет назад
MashaAllah nzuri Sana Allah awazidishie
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 5 лет назад
Ameen sote
@akjunior5542
@akjunior5542 5 лет назад
Am waiting eagerly for this part 3.....but u left us in suspense......but Masha Allah..... So nice
@mathiassteven6695
@mathiassteven6695 3 года назад
I guess Im asking randomly but does any of you know a tool to log back into an Instagram account..? I was dumb lost the password. I appreciate any tips you can give me.
@mathiassteven6695
@mathiassteven6695 3 года назад
@Justin Jesse Thanks for your reply. I found the site on google and im in the hacking process now. Takes quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@mathiassteven6695
@mathiassteven6695 3 года назад
@Justin Jesse it did the trick and I now got access to my account again. I am so happy:D Thank you so much, you saved my ass!
@justinjesse6417
@justinjesse6417 3 года назад
@Mathias Steven Happy to help xD
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 5 лет назад
part two iliishia husen ashawasamehe wazazi wake wakaishi kwa aman
@nelsonmhali7957
@nelsonmhali7957 4 года назад
Yaan hii part 3 wamekosea jmn wakt part 2 picha ishaisha jmn bt tee
@ustbll6181
@ustbll6181 3 года назад
Dah sijamuona firdaus alivyokuwa mkubwa
@abunusaibah1240
@abunusaibah1240 5 лет назад
From Tz, Assalaamu alaykum, Kaz nzur maashaallaah keep it up!! Narudia keep it up coz kona hii ya FILAMU/TAMTHILIYA ZENYE MAADILI imesahaulika sana, najua mna changamoto nyingi sana lkn msiwache please!!! Ila kitu kdg kuhusu hii part3 cjapata connection ilorandana vzr kati ya part2 na hii part3 coz nakumbuk mwisho wa part2 husein alipata scholarship akenda masomoni, na tukaambiw baad ya miaka 10 alirejea na kuwasamehe wazaz wake wakaishi kwa amani, sasa hii clip yaonesha ni km bdo yupo hapoapo na wazazi wake yuanyanyaswa vilevile na hendi shule, hpo kdgo yakanganya, part3 ilitarajiwa ioneshe kwanz husein kakua mkubwa na amefanikiwa kimaisha yan kamaliz masomo kwa ufaulu mzur, na kwa tabia yke njema kapat kaz nzur ama biashara nzuri. Na kwa upande mwingne tuoneshwe maisha mabaya ya zubeda kama matokeo ya malezi mabaya ya kudekezwa, lkn kwa roho nzuri ya husein kawasamehe wote na kawa msaada mzur kwa familia (ilokuw yamnyanyasa hpo kabla) Afwan
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 5 лет назад
Shukran tutasawazisha Walaakin kuna nzuri nzuri za maadili zipo njiani In shaa Allaah mutafurahi.Twashukuru kwa ushauri wako na kuenzi kazi zetu Kay suu
@abunusaibah1240
@abunusaibah1240 5 лет назад
@@tamthiliazapwaniofficial4361 Maa Shaa-a LLaah, Allaah akuwafiqisheni, Twasubir kwa hamu sana
@mrmuyaballo6606
@mrmuyaballo6606 3 года назад
Kizungu .....? Swahili tamu mkovizuli 🙏
@saumrajabpalomar9569
@saumrajabpalomar9569 4 года назад
Jamani twasubiri part 3 plzzzzzzz✌️✌️✌️✌️✌️
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 5 лет назад
hili chezo halifahamiki mbonaaa
@shakiraaswalah9917
@shakiraaswalah9917 5 лет назад
A.a jmn mbona mwatuweka kwa taharuki kidogo sana jmn
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 5 лет назад
W.s usikhof fanya subra mazuri yanakuja
@sahlamussa8538
@sahlamussa8538 4 года назад
@@tamthiliazapwaniofficial4361 mbon hamtumi
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 4 года назад
@@sahlamussa8538 In shaa Allaah tuombee Mungu tumekwama Sababu ya hela
@ameenaalameena4968
@ameenaalameena4968 4 года назад
Sasa tuwaelewen vp mara kiswahili mara kizungu heeee
@mwanarusimusa3620
@mwanarusimusa3620 6 месяцев назад
Kwa huyu ni mama wakambo ama nini.
@alisheikhbabu2986
@alisheikhbabu2986 5 лет назад
Masha Allah ni Nzuri Lakini ni fupi
@tamthiliazapwaniofficial4361
@tamthiliazapwaniofficial4361 5 лет назад
IN SHAA ALLAAH fanyeni subra kuna mazuri yanakuja
@alisheikhbabu2986
@alisheikhbabu2986 5 лет назад
@@tamthiliazapwaniofficial4361 Insha Allah
@mwajumanangameta6567
@mwajumanangameta6567 5 лет назад
Mmh hatali
@mesalimumwabidia5607
@mesalimumwabidia5607 4 года назад
Kazi nzuri lkn kizungu cha nn!!?
@mariamshemweta328
@mariamshemweta328 4 года назад
V
@twaharmbegambega5824
@twaharmbegambega5824 4 года назад
.