Тёмный

Diamond, Billnass, Ommy Dimpoz, Nandy, Salama Jabir wahudhuria harusi ya kifahari Italia 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 месяца назад
Safi sana SNS ,nawapenda sana Kwa habari zenu zenye mvuto
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Safi Sana mim nàpenda Sana muungano huo safiiiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania kwanza 🇹🇿 umoja ni nguvu utengano udhaifu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад
😂😂Umoja ni nguvu!!inaingia vipi hapa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 месяца назад
Ni vizuri ❤❤❤
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 2 месяца назад
Zuu kwa mwinyi Zanzibar ❤
@TanzaniteInAmerica
@TanzaniteInAmerica 2 месяца назад
Mji unaitwa Lake Como, Italy I have been there for my bday
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 2 месяца назад
Mwenzetu una ela😢
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 2 месяца назад
😂😂
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 2 месяца назад
@@sarahmuhammed6872 kweli ana ela wenzie tunasikiaga tu hizo nchi🥺
@geoufo2858
@geoufo2858 2 месяца назад
Harusi ya nani hii?
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 месяца назад
Harusi ya ma tycoons
@sweetie6934
@sweetie6934 2 месяца назад
Mwanamme na mwanamke
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 2 месяца назад
Nandy yaaani hamkubaligi Mondi yaaani cjui Mondi alimfanyaje😂❤
@amostaita4429
@amostaita4429 2 месяца назад
Alishapigaga kitambo sana
@awadhally1052
@awadhally1052 2 месяца назад
Nandy anamkubal king kiba.
@aishabrondi236
@aishabrondi236 2 месяца назад
Kwani walilipwa shingapi 😂😂😂😂eti yakifahari yani sns mnabala haswaaa Sky anajua kuunga chumvi
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 месяца назад
Ni ... wa WCB
@LoveAron
@LoveAron 2 месяца назад
Kwahiyo siyo ya kifahari 😂😂😂 uwaalike masupa ster, gharama za ndege, pesa ya kuwalipa hapo vipi, weeh unaweza kumwalika hata Daimond tuu 😅😂😂😂
@MansaMusa255
@MansaMusa255 2 месяца назад
Kusafirisha watu hao had italy hata wasipolipwa, huoni kuwa ni ya kifahari?
@aaa64sa13
@aaa64sa13 2 месяца назад
❤❤🎉🎉🇹🇿🤜👍
@VidaTomas
@VidaTomas 2 месяца назад
Tuwaje Wana Simba comung Moz
@NgindoNdingo-nm4in
@NgindoNdingo-nm4in 2 месяца назад
Nice
@bongo39
@bongo39 2 месяца назад
Kumbe na wao pia wamealikwa harusi ya ambani india duuuh sio mchezo kumbe wanajulikana kweli
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 2 месяца назад
Italy sio india
@Gersah
@Gersah 2 месяца назад
😂😂😂
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 2 месяца назад
Sio bwana, ni harusi ya judith mtoto wa mmiliki wa serengeti breweries.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 месяца назад
Na wamelipwa pesa ndefu kuliko Justin Bieber (India) 😂😂😂😂😂😂😂
@timothnakiz-zb4rz
@timothnakiz-zb4rz 2 месяца назад
Mji WA como
@HASSANKAMGUNDA
@HASSANKAMGUNDA 2 месяца назад
Vzr😂😂😂
@khizzer_jr
@khizzer_jr 2 месяца назад
Mji ni COMO,ITALIA
@Wizy_store
@Wizy_store 2 месяца назад
Umesahau na Djjoozey yupo hapo😢
@MagomaPato
@MagomaPato 2 месяца назад
Diamond Platnumz ni Star njema.....Mzee Popo Harmonize laana tupu😅😅😅😅😅
@fatmasaaed144
@fatmasaaed144 2 месяца назад
😂😂😂😂
@JamalKanani
@JamalKanani 2 месяца назад
Umempa wewe hiyo laana
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
Utatukanwa mzee mwenzangu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 месяца назад
laana km ulizonazo wewe kuwa maskini
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 месяца назад
Como Milano italia
@OmegaJustine
@OmegaJustine 2 месяца назад
Mbona Zuchu hamumutajiii
@MsAggie5
@MsAggie5 2 месяца назад
Naye alikwepo na aka imba sukari 😂😂😂😂 mbona hayumo kwenye picha 😂😂😂
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 2 месяца назад
Hiyo ni poa
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 месяца назад
Biden tyr huko kashachomolew kuwania Urais
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 2 месяца назад
Izo suruali 😂😂
@omarlalisaida3258
@omarlalisaida3258 2 месяца назад
The name of vile is comé italy
@floraflora9490
@floraflora9490 2 месяца назад
Diamond amevaa nguo ya zuchu
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Yaani Mondi hata huko pia ameenda kuwachanganya!!!!! Yaani huyu anapenya tuu hata iweje! Alafu kuna kikaragosi wa kikonde amejilinganisha naye......fyuuuu!
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 2 месяца назад
Chuki hafai,kwani diamond anaimba nyimbo gasni?kila mmoja atapenya kwa nafas yake
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
@@sarahmuhammed6872 jifunze ku andika mwanzo alafu u comment! Umeona nimemchukia nani? Nimetoa wazo langu na nazidi kutoa tena kikonde fyuuuuuuuuu! Hapo alipofika ndio basi!!!!!! Soko lake ni tz peke yake!!!! Ona Mondi kapiga show Kwa harusi ya mtoto wa Serengeti!!!!! Tena ufaransa! We huogopi?
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 2 месяца назад
Mtoto wa serengeti ndyo nani?Tz nchi yangu ,kazi wafanye wengine chuki tuzalishe wengine!
Далее
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн