Тёмный

DIAMOND kuileta GRAMMY kwa mara ya kwanza? Ni muda wa kuwanyoosha kina BURNA BOY? afanya hili kubwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#diamondplatnumz #grammy
Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@bakaribakari_
@bakaribakari_ День назад
Turn this thing into a Podcast. You can call it The SNS podcast or something like that, change the studio setting to comfortable couches then do 1 hour + content of different topics. Mwachie Recap kaka Sky.
@TanzaniteInAmerica
@TanzaniteInAmerica День назад
I love it when you guys do recap Don’t change the name roho inapenda kuwasikiliza sanaaaaaaaa na hapa giant man namuelewa vizuriiiii team sns tuongee team
@filskischannel9737
@filskischannel9737 День назад
Grammy award is coming to Tanzania, no doubt at all. No song can battle with Komasava, the song and video it's just Wow , highest level.(That Michael Jackson level)
@allykwaya
@allykwaya День назад
Let wait
@Lassana755
@Lassana755 День назад
@@allykwayaTswalabam inabeba tuzo
@SandySafari
@SandySafari День назад
​​@@Lassana755never bro just check the numbers komasava iko mbele ki views but pia iliwekwa nyuma yake so komasava iko Na all chances ZA kua ngoma Bora 😊
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g 2 часа назад
Kumbe kweliiiiiiiiii.... Dar
@LoveAron
@LoveAron День назад
Diamond tuletee tz ushindi ni wetu bila shaka koma sava 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@AfonsoFabiaoKamuth
@AfonsoFabiaoKamuth День назад
Jen men ana sauti smart sana
@BHALEEALI
@BHALEEALI День назад
siku hizi SKY amepoa sana kwenye RECAP yani hajitokez sana kwenye kongamano hizi za SnS
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 17 часов назад
Asubuhi tu kaka
@fabicshofficial
@fabicshofficial День назад
Simba to the world
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 День назад
Jeh Men jamaa anasauti yake peke yake Tanzania 😂
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in День назад
Mwamba ana balaaa huyo
@ramayonline2281
@ramayonline2281 День назад
Very true
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy День назад
Ana sauti nzur eeeh😊
@achimosaide3355
@achimosaide3355 17 часов назад
Uyo jamaa ana sauti ya peke yake ❤️‍🔥
@SifaEmma
@SifaEmma День назад
Majini ya Harmonize na Baba ake ni Laana kwenye Taifa yetu... Harmonize anaroga Komasava isikubaliwe na Grammy 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@NicholasKyule-qm3zu
@NicholasKyule-qm3zu День назад
😂😂😅
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi День назад
Mungu atusaidie Gramy award in Aest africa pleas God bless
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 21 час назад
😂😂😂alipakwaa mafuta na dd akishinda tu hiy tuzo sir zote nje aliliwa 😂
@ramayonline2281
@ramayonline2281 День назад
Last time Diamond Platnumz alipeleka Grammy wimbo wake wa Pounds and Dollars kwahiyo Komasava inakua mara yake ya pili
@aloycemwambwiga2318
@aloycemwambwiga2318 День назад
Wahispania ndio huamka J kama H (Mexico sababu wanatumia Kihipania).
@JullianaJuma
@JullianaJuma День назад
Kila raheli daimond platinumz tuzo yetu
@jackokoth2859
@jackokoth2859 День назад
Wimbo wake mwenyewe I say😂😂😂😂😂 watanzania muko na ubwakni mingi sana
@helberthwrld3766
@helberthwrld3766 День назад
🙌🏾
@mugalujoseph1220
@mugalujoseph1220 День назад
Diamond can not do anything in front of nigerian 😂😂😂 is just dreaming like he said he wanna be a billionaire number 1😂😂😂 asake is very dangerous
@Pweza
@Pweza День назад
Aendelee kufirwa kwanza alafu aendelee kuomba, alafu kuomba iwe ndio ushindi wake
@saidinaweka9425
@saidinaweka9425 22 часа назад
Shoog wa kimataifa
@BarakamussaBarakamussa-go7nv
@BarakamussaBarakamussa-go7nv День назад
Nasemaje kama hawaangalii asili ya mziki ulipo toka atawekwa kama wanaangalia wenywe mapiano yao ni ngumu kuchaguliwa, kiukweli
@isayaRivis17
@isayaRivis17 День назад
Jakob bwana 😂😂 Anarudia maneno sana,, Afu anaongea weehh
@LucienmuliriMbuto-z9v
@LucienmuliriMbuto-z9v День назад
Sasa Mario Kuja Tanzania njo diamond kuleta gràm Tanzania
@Insumbazose
@Insumbazose День назад
Na wish iwe hivyo kabxa mungu atie mkono wake kwa simba la masimba
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt День назад
Kwa kuwa ameshapakwa wese atashinda tuu
@allykwaya
@allykwaya День назад
​@@IbniAbbas-yz3kt watanzania ujinga ni habari muhimu sana
@BarakamussaBarakamussa-go7nv
@BarakamussaBarakamussa-go7nv День назад
Ange peleka mziki wetu Sasa komasava siyo wetu jamani msijisahau😅😅😅
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 23 часа назад
​@@BarakamussaBarakamussa-go7nvc upeleke ww basi
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c День назад
KWA ILI LA JUZI,,IO YA KWAKE
@jumajames1767
@jumajames1767 День назад
Ile siku diamond atakufa mujie kua mziki wa bongo fever umekufa kabsaa coz diamond ni kama kanumba tu alienda industry itachanganyikiwa kama miaka kumi hivi ndio wajipate Tena kidogooo ila kiukweli itakua hamna Tena mtu wakujivunia nae tena
@isacksimonmahungilo
@isacksimonmahungilo 20 часов назад
Si kwasababu mziki umeshikwa na shetani wake
@jumajames1767
@jumajames1767 20 часов назад
@@isacksimonmahungilo bongo hua mnadhamini mtu anapolifa ila anapokua hai hamumthamini ispokua mnamtaka aanguke kisanaa na kumlinganisha na wasanii wadogo wadogo ila akishakifa ndio mnajifanya kumjali na kumuenzi
@AliSaid-yw7jp
@AliSaid-yw7jp День назад
kipengele cha tatu kwenda kwa p flan kumelipa.
@augustfive5279
@augustfive5279 День назад
Je yule jamaa muamerika mweusi mwenye akojela sikuli ndo diddy sikuli ndo nani anadza kua anaushawishi kuhusu hili😂😂😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 21 час назад
😂😂😂 akishinda tu tunajua didi alipaka wese hakuna
@kimah9855
@kimah9855 День назад
I have a feeling that ataleta😂InshaAllah
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt День назад
Kweli kwa kuwa wese la Didy alimuachi mtu salama lazma alete!!
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 23 часа назад
​@@IbniAbbas-yz3ktn kwli hta ww ulipopakw ndiomana unafaulu
@BarakamussaBarakamussa-go7nv
@BarakamussaBarakamussa-go7nv День назад
Shida mziki asili yake ni wapiiii kaka wewe wanaangalia Kila kitu wale
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 День назад
Aloo mzee wa futa mwenye Grammy zake mzee wa vixhimo utam yupo jela Hana hata dalili kesi ndo kwanza itasikilizwa 2025 huko dah sijui itakuwaje
@chumujuma171
@chumujuma171 6 часов назад
Mekzedek maana yake nini?.
@Rojo_Rojo
@Rojo_Rojo День назад
Hilo jinii😂
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt День назад
Kwa kuwa amesha pakwa wese la upako wa Didy lazma apate
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys День назад
Lazima apate alisema atakuwa star na pesa nyingi,kulera Grammy sio kazi itafika
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar День назад
Wadanganyika😂
@sumbaonline4002
@sumbaonline4002 23 часа назад
P DIDY
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 16 часов назад
P diddy already did
@DM_15
@DM_15 15 часов назад
Gramy ije tz 😂 did atakua ame did, 😅😅😅
@Bongomovie718
@Bongomovie718 День назад
mwamba akichukua aiseeeee hatutopumua
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 День назад
Ushatoa kafara eti usifanikiwe?!...
@r.m.a7570
@r.m.a7570 День назад
P- didy p-didy kafanya kaz yake
@BHALEEALI
@BHALEEALI День назад
ovyoo
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 23 часа назад
Vijana wa Hovyo mmejawa na ungese akilini mwako
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 718 тыс.
Unafanyaje ukigundua rafiki yako ni snitch
15:27
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
VIDEO YA JOHO KUHUSU GACHAGUA INAYOSAMBAA
5:25
Просмотров 82 тыс.