Тёмный

DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA UBORA WA JEZI ZA YANGA/APIGA SALUTI KWA WANANCHI. 

Yanga TV
Подписаться 672 тыс.
Просмотров 148 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 477   
@martin_james1034
@martin_james1034 Месяц назад
Jamani Kila siku najaribu kuwa wa kwanza nashindwa,dk 2 Leo lakini pia wapi...nipeni likes basi
@mnllyboy_tz9107
@mnllyboy_tz9107 Месяц назад
😅😅😅 polee
@cathbertjohnson408
@cathbertjohnson408 Месяц назад
Kweli kuna watu wamekosa kazi za kufanya 😂😂 daah
@EliasMyeya
@EliasMyeya Месяц назад
Za nn
@emmanueltimothy8534
@emmanueltimothy8534 Месяц назад
Jaman kusema kwel jezi zone ni kali sana ila nyeusi nmeikubali sana😊😊😊
@winfredngaeje6969
@winfredngaeje6969 Месяц назад
Kumbe Jezi Umezindua wa😂😂
@romanmwaisela
@romanmwaisela Месяц назад
Naomba like zangu cos wa kwanza,, Hongera yanga Kwa Uzi poa
@KingimmaKelela
@KingimmaKelela Месяц назад
Wew Sheria ngowi huna mpinzani 💚💛🔥🙌🇹🇿
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 Месяц назад
Ukiwa huna mpinzani huwezi kufanya vizuri. Wapinzani wapo ila hana wakumzidi kwasasa.
@WarrenWright-mj5dh
@WarrenWright-mj5dh Месяц назад
@@beatbyrich2891 hahahahaha
@gladgasper6664
@gladgasper6664 Месяц назад
Kibega hapa leo nimeazima simu kuangalia huzi wangu w yanga haisee mpeni mauwa bosi wangu mauwa yake like you ♥ Jezi ❤❤😊
@misambo7539
@misambo7539 Месяц назад
Wakuu gongeni like za mbunifu wetu anajua tena anajua kweli kweli like 1000 zinamtosha sana.
@WingoNamtema-u9l
@WingoNamtema-u9l Месяц назад
Ally kamwe hongera kua na daimond na daimond hongera kua na sheria ngowi sheria ngowi hongera kua na Ally kamwe.
@vedastusmlavumba1158
@vedastusmlavumba1158 Месяц назад
Injinia hongera kwa uongozi imara sana
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Месяц назад
Topest artist in the Superior Club in the world..that combination is so sweet🎉🎉🎉🎉
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Yesssssssss
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Месяц назад
Jamani mnatupa raha wananchi , Hongera sana kaka yetu Sheria ngowi kwa ubunifu wa jezi hakika Mungu akubariki sana uzidi kututumikia wananchi.
@5googleuuu727
@5googleuuu727 Месяц назад
CONGRATULATIONS MY BROTHER. MASHAALAH. JEZI NI NZURI SANA 💚💛💚💛💚🇴🇲 FROM OMAN
@nicksonmlay542
@nicksonmlay542 Месяц назад
Yangaaaaa💚💚💚💚💚💚💚💚 forever
@omaryamiri3175
@omaryamiri3175 Месяц назад
Dah jamani huyu jamaa mpizani Hana Asante Sheria ngoi💚💚💚🤝
@mariamMilha-st3qu
@mariamMilha-st3qu Месяц назад
Ally Kamwe umeuwa umependeza sanaaaaa💞💞💞💞💞💯💯👌👌👌👌
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Месяц назад
Mm kama 🇰🇪 huu uzi wa jezi mara hii wanihusu manake tamu ni balaa na nusu❤❤❤🎉🎉🎉
@DicksonNasibu-tv7vr
@DicksonNasibu-tv7vr Месяц назад
Sheria Ngoyi Umetisha Baba Pokea Maua yako ungali hai maana watu tunakasumba ya kumsifu mtu pindi ameondoka Big up saana
@MajaliwaJuma-c5g
@MajaliwaJuma-c5g Месяц назад
Siku zote time kubwa namambo yake makubwa jezi nzur kweli kweli time ya sanda fc watatukoma mitaani wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mwaaaaaaaaaaaaaaaa
@Amosmpaji
@Amosmpaji Месяц назад
Nakukubali sana sheria ngoyi kwa ubunifu wako wa jezi Ila mm ni ngoye bini kalimanzira kutoka kigoma tu nakukubali sana
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 Месяц назад
Hongera Mr Sheria Ngowi Kwa ubunifu wa hali ya juu ktk Jezi hizo. " Yanga Daima Mbele "
@aminaathuman4701
@aminaathuman4701 Месяц назад
Yanga bigwaaaaaaaa 💚💚 💚 💚💚💚💚💚
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Bingwaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw Месяц назад
mimi cjui kwanin mnasema wa kwanza nataka like zangu😀😀😀( ni za nini ) jezi ziko poa sana💚💛💚💪💪
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
😂😂😂😂😂umeona we
@dullamuso6955
@dullamuso6955 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉 Hizi Jezi unapeleka ukweni unapewa mke
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Unafanya masiara🎉🎉🎉🎉
@norbertnjali2862
@norbertnjali2862 Месяц назад
😂😂😂😂 hongera Sana Sheria ngowi kwa jezi Bora hizi 👏👏👏👏👏👏👏
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Safi sana endeleeni kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi
@AllyRamadhan-cw8we
@AllyRamadhan-cw8we Месяц назад
Good jersey!! 🎉🎉 I'm said as Rwandan 🇷🇼🇷🇼
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Ww mbongo kabisa unjidai mrwanda😮😮😮😅
@user-iv1it9yy3c
@user-iv1it9yy3c Месяц назад
Nice kit biug nice work
@danielbenard9053
@danielbenard9053 Месяц назад
We are young Africa, the pride of Africa ❤❤❤
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
There is a good team ❤❤❤❤
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Umeona eeeh ni timu 😂😂😂😂
@abuu-hx3ru
@abuu-hx3ru Месяц назад
Sheria ngowi hujawai kukosea kwenye swala la jezi🙌🙌🙌🙌 jezi tunazo na tunatamba nazo😂😂😂😂💚💚💚💚💛💛💛💛
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi Месяц назад
Ngoi noma Sana chukua maua yako kk🌹🌹🌹🌹🌹
@allydecortz
@allydecortz Месяц назад
wakwanza mimi leo nipeni like zangu
@songombingo108
@songombingo108 Месяц назад
Like zanini wakati huku kila mmoja anaingia kwa wakati wake. Kumbafffff
@GharibJoseph
@GharibJoseph Месяц назад
😂😂😂
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
😂😂😂😂😂
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Месяц назад
NYUZi kalii Saana 💯🙌🔥
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Месяц назад
Wenzetu wameandika Sanda, sisi 5 au 🖐️KOMA SAVA
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Umeona weeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Месяц назад
Hongera Sana Ngoi Kwa ubunifu 🎉🎉🎉
@chops63entertainment
@chops63entertainment Месяц назад
Apewe maua yake kazi nzur Sanaa ....kweli Yanga haha sana mpaka chibu anajua sana
@mohammedhilal1855
@mohammedhilal1855 Месяц назад
Mashallah 🎉🎉hongera doctor umetuletea kitu chenye faida ❤
@PeterSevere
@PeterSevere Месяц назад
Welcome Diamond platumz the biggest artist in Africa karibu jagwani unanyota nzuri sana hongera Eng Hersi kwa kumvuta simba la simba dangote HAUJUi
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Hajui hajui?????😅😅😅
@MRMONEY5480
@MRMONEY5480 Месяц назад
TIMU KUBWA, MSANII MKUBWA, NGOMA KUBWA YA KOMASAVA NA MASHABIKI WAKUBWA😊😊😊
@ErickMsinde
@ErickMsinde Месяц назад
Wafurahii wao
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Месяц назад
Duh! Umetisha Sana
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Wananguwadaaaaaaaa!!!!!!!!!limeisha sana😂😂😂😂😂😂
@user-ok3bc8of5q
@user-ok3bc8of5q Месяц назад
Daaah saluuuut saaaana kwa Sheria ngowi
@Alexismadimo
@Alexismadimo Месяц назад
Big up kala sheria GSM mshikilieni sana uyu jamaa anatufikisha mbali sana
@TeresaRaimundo-m8o
@TeresaRaimundo-m8o Месяц назад
Young Africans on fire I'am KONDE KIDD
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz
@ConfusedClipperButterfly-rk1gz Месяц назад
Ngowi ni 1 TU 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Tuuuuuuuuu😅😅😅😅😅
@KhamiarMshimba
@KhamiarMshimba Месяц назад
Yanga bingwa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Месяц назад
Ali kamwe you are so smart! Kweli UDSM wana product nzuri sanaaaaa Proud of it🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 Месяц назад
Jezi ni noumaaaa saana asee Yanga ni kibokooooooo My Young African 💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚💛💚
@fredyalex8909
@fredyalex8909 Месяц назад
Yaani hii interview tamu kweli huchoki kuisikiliza💛💚💛💚💛💚🔰✅️
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Месяц назад
Sheria Ngowi Wewe ni Kiboko, Naogopa Uwezo wako wa Kufikiria, Yani utawakera watu mpaka Ligi Uishe kwa 🖐️Koma Sava
@farahmohamedali846
@farahmohamedali846 Месяц назад
Ishara yetu hii🖐️ hata mama mitano tena ❤komasava young african ✨
@marthamjandwa4325
@marthamjandwa4325 Месяц назад
Yanga 💚💚💚💛💛💛🖤🖤🖤
@claratango9262
@claratango9262 Месяц назад
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@vinny.morales
@vinny.morales Месяц назад
Kwako Eng. Hersi, Ukiwa kama raisi wa timu yetu pendwa tunakuomba Ally Kamwe anunuliwe viatu vingine. Hivi alivyovaa inatosha. Vikapumzike sasa. Ni mimi mwanachama ya Yanga, tawi la Goba.
@clarakingiomary9655
@clarakingiomary9655 Месяц назад
Tupo kitenge batiki kama wanavyo ita sis ndo tumekufa tumeoza nando vazi la Afrika kitenge kwaiyo atujaenda nje tupo mule mle we uwogop💚💚💚💛🖤🇹🇿🇹🇿🙏🔥🔥🔥
@user-dr9jh6bj6t
@user-dr9jh6bj6t Месяц назад
Yanga fire✊✊
@joojombi2341
@joojombi2341 Месяц назад
Kazi Iendelee akhui tupo pamoja
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 Месяц назад
Nyie tajeni zenu ila hii ya njano ni fanya sana 🔥🔥🔥
@ismailkiwawas5982
@ismailkiwawas5982 Месяц назад
Kabisaa👏👏
@Maryc2G
@Maryc2G Месяц назад
Yanga jezi zenu nzuri sana. Good job Ally Kamwe 💚💚💛💛
@HashimIssa-v3k
@HashimIssa-v3k Месяц назад
Hongera sana Sheria ngowi na uwongozi wote wa timu ya wananchi
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 Месяц назад
mara hii tumekuja kivengine zaid haswa kwny jezi nyeusi niekubali sn wananchi💚💛🇹🇿
@NouhBakar
@NouhBakar Месяц назад
❤❤❤ilove yanga na jenz kali
@aminaathuman4701
@aminaathuman4701 Месяц назад
Anajua mno 10000000
@IbrahimRashidi-wq3qk
@IbrahimRashidi-wq3qk Месяц назад
Likes za mondi hpaa😅😅
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
@CharlesPaul-g6o
@CharlesPaul-g6o Месяц назад
Very good boy
@user-pd4wr7ls5r
@user-pd4wr7ls5r Месяц назад
Sanda ipo? Hongera Sheria baba upo vizuri. Sanda ni maziko.
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 Месяц назад
Hongera sana ngowi umetisha uzi mkali sana
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 Месяц назад
Ali umeupiga mwingi hongera 🎉🎉🎉
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 Месяц назад
Jezi nzuri sana hongereni sana 🎉🎉🎉🎉💥🔥🔥🔥🔥💯👌 naona madunduka Kila ikitokea jambo la yanga wanajitahidi kuja na kitu siku hiyo hiyo kuzimia kiki ya yanga mfano mzuri siku mnacheza na ts galaxy wakaja na kuzindua jezi zao kesho mnacheza na kaizer wamekuja nawao na mechi ya kirafiki so mkishamjua mpinzani wenu jueni kudeal nae in proper technique
@ismailkiwawas5982
@ismailkiwawas5982 Месяц назад
Khaaa❤hii nyeusi inanihusu hii
@enockjlory1814
@enockjlory1814 Месяц назад
Sheria ngowi ni mmoja tu
@RamadhaniKassim-g4d
@RamadhaniKassim-g4d Месяц назад
Yangaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LeylaSaria
@LeylaSaria Месяц назад
Ila yang rahaaaaaa saaan💚💛💛
@GharibJoseph
@GharibJoseph Месяц назад
Masha Allah❤❤❤
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Месяц назад
Naomba wapewe Taifa star jersey za yanga watumie la sivyo wambe tenda ngoyi
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад
Mashallah jersey nzuri ✅✅✅🔰🔰🟢💚
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Месяц назад
Ngowi upewe mti wako kbs hujawahi feli safiiiii
@WarrenWright-mj5dh
@WarrenWright-mj5dh Месяц назад
Sheria ngowi anajua🙏🙏🙏🙏
@domisonrichman6499
@domisonrichman6499 Месяц назад
Kumbe mzee WA komasava ni yanga basi namimi ntaaanza kufatilia nyimbo zake ...komasava n yanga to the world
@adieljoshua640
@adieljoshua640 Месяц назад
Jezi ni nzur ni fireeeee🎉🎉🎉🎉❤❤
@user-it2pz1hf9t
@user-it2pz1hf9t Месяц назад
Kaz mzur mbunifu wet pokea🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MoTalentTz
@MoTalentTz Месяц назад
Wananchi 🙏🙏👋
@emmanuelamlali3666
@emmanuelamlali3666 Месяц назад
Uwiiiiii Uzi mweusii utanitoa rohoooo❤ nani aninunulie Moja tu😅🎉
@vumiliazacharia5633
@vumiliazacharia5633 Месяц назад
Asante sheria goi
@SixbetrWilibrod
@SixbetrWilibrod Месяц назад
Yangaa bingwaaaa💛💛💛💚💚
@user-iv1it9yy3c
@user-iv1it9yy3c Месяц назад
Safi jezi nzur hdhi kubwa achana sanda
@user-fy6hg8dp9r
@user-fy6hg8dp9r Месяц назад
WA Kwanza kuangalia kutoka Kumamoto JAPAN
@manenomkumba4054
@manenomkumba4054 Месяц назад
Uko uliko ilo jina utata😂😂
@user-fy6hg8dp9r
@user-fy6hg8dp9r Месяц назад
@@manenomkumba4054 Eneo maarufu huku Japan
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
Kwa Kijapani maana yake ni mlima wa moto!
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u Месяц назад
huyu jamaa mwambaaaa!!!!!!sanaaaaaa!!!!!!uzi mkaliiiiii mno.
@mansouromary9246
@mansouromary9246 Месяц назад
Bonge moja la kipindiii🔥🌍 bonge moja la ubunifuu👏 quality ya mambele mbele uko😂 wananchi tuna raha bn
@Samaritan202
@Samaritan202 Месяц назад
Sema Mimi mwanzo nmeona kama haijanivutia sana kumbe ni ni jezi nzuri pro max, Wananchiiii 🎉🎉🎉
@SuhuurFarxaan
@SuhuurFarxaan Месяц назад
Diamond akishakubali we Nani wa kubisha uzi wa njano na black 🖤 ni 🔥🎉walai
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 Месяц назад
Hii jezi ni Kali bro
@victorkiungo7447
@victorkiungo7447 Месяц назад
Respect to sheria ngowi
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Месяц назад
Hii ndo maana ya clab kubwa unatengeneza kitu na unakielezea syo mtu unajaziwa vitu vingi mpa jesey inakuwa kama bango na hata ukiuliza maana zake haupati wa kukuelezea heshima kwako sheria ngowi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@wakolelajohn8259
@wakolelajohn8259 Месяц назад
Hatariii
@EdwardKamilo
@EdwardKamilo Месяц назад
Da nimependa maisha ya yanga burudani nzur jez nzur upendo mkuu 🎉😂❤
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
Sheria ngowi..jina linajitosheleza SHERIA❤❤😂😂
@encernstudios3745
@encernstudios3745 Месяц назад
Am The One Yeah💡
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove Месяц назад
Hakika una tuzidi ku tueshimisha sana hakika uzi ni mkali sana leo leo nime shukuwa tatu tayari kwa jachoo kupigania sana makao makuu jangwani
@bethmahela2182
@bethmahela2182 Месяц назад
Jezi hata ukiombea mkopo unapewa,kazi nzuri sheria ngowi
@peterkusaduka862
@peterkusaduka862 Месяц назад
Noma sana
@AsaniMbwambo
@AsaniMbwambo Месяц назад
Hongera kwa sisi wananchi kwa jezi kali sana
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Wanayangatunajezikaliiiiiìiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@paulchaula6796
@paulchaula6796 Месяц назад
Diamond na harmonize wote ni wananchi sasa..inabidi wawe marafiki sana
@Kazaulajrlv5vs2uo3o
@Kazaulajrlv5vs2uo3o Месяц назад
Ss nimeelewa maana halisi ya jez zetu wananchi,asante sana sheria ngowi
@HappinessSulle
@HappinessSulle Месяц назад
Atupingiwiiiyangaaaaaanaipendasanaaaaa❤❤❤❤
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 Месяц назад
Haha safi sana komasava
@scopy0428
@scopy0428 Месяц назад
Sheria Ngowi kiboko ya ma-design
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Harmonize - Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)
3:33
Просмотров 833 тыс.
ALICHOKISEMA OZUAMAKA IGWE BAADA KUTAMBULISHA YANGA.
9:11