I remember my ex boyfriend from Tanzania I hear is voice If I hear this song 2023 is very bad for me without you Anthony much love from 🇿🇲 Zambia still in my heart
If you are here in 2023 you a true legend and a lover of good music. May we all be happy in 2023. I hope everyone dreams and goals come true🙏🏾 Happy blissful new year to y'all, love from Paris❤💯.
Ni muda sasa Tanzania inapaswa kumpa heshima kubwa sana Diamond Platnumz,maana huyu genius ameupa heshima mziki wa Tanzania, heshima ambayo hata serikali imeshindwa kuupa.🙏🇹🇿🌍👑.
this song reminds me of a friend who left us this morning, when they announced his death to me one of the things that i remembered is that he loved this sound. rest in peace brother😭🤲
Napingana naww ktk hilo,dogo ana ngoma kali zinakimbiza sana afrika kuliko hii ko zipe subira tu utajua ukweli miaka michache ijayo zitakavyoipita kwa viewers
Congratulations to all of you who are still here viewing this song,,finally 60 million views.....kama waupenda na unaendelea kuutazama huu wimbo hongera pia kwako kwa kuchagua goma la taifa
Iko poa sana,... Diamond kasha imba sana inajulikana kwamba yeye ni mtunzi mzuri sana kasha chukua tuzo nyingi sana za utunzi bora sasa ni zamu ya kwenda international zaidi. Muziki wa international hauangalii mashairi mazito ya kuteka hisia sana sana wanaangalia melody tamu na style za kudence mavazi au mwonekano na video kaliiii kama hii,... Mimi nimeipenda sana hiii. Sema diamond usiwaache sana ndugu zako watanzania wapo wasanii wazuri sana hapa ndani angalau ungeonesha apriciation kwa kushirikiana nao mfano ben paul mpe nafasi yakuonekana na kuinteract na wasanii wengine wakubwa ili tanzania iendelee kunga'ara kwenye anga za kimataifa. Tunakukubali sana diamond
Yani kweny wasanii wabongo ht ucmuulize diamond, waulize hao hao wasanii wenzake, maana wanaona kinachoendlea, baadhi wenye kumuapriciate wameshafnya nae ila kwa wale weny roho za fitna kuona km vile waki apriciate alipofka ni kumpapa, watabak ivo ivo, na hyo platnum walah nawapa garantii miaka 6 mbele, hakuna msanii wahpa tz atakae kuwa kasogea jpo step mbil kat ya zte alizopta diamond
Nice comment ila hapo mwisho ukaharibu. Wao wasanii ndo wamfuate Dai ila sio Dai awafate mfano angalia kina prof j kina linex kina nay wa mitego shetta nk kama wao wasanii wengine hawajaona la kujifunza hapa basi waendelee kukaza
diamond he is brave enough to understand what am taking about,..diaomond huwa hajighulishi na kitu ambacho hakina faida na hiki ni kitu kinamchomtofautisha diamond na wasanii wengine wa nyumbani. labda niongee kwa mifano , historia ya may d ilianzia kwenye wimbo wa p squre chop my money,lakini tunaona p square ndio walio mleta may d karibu na akon... kwa lever aliyofikia diamond he can do the same thing and the world will apriciate him