Тёмный

Diamond Platnumz kamtolea uvivu Hamisa HIKI NDICHO ALICHOSEMA 

Precious Blessing TV
Подписаться 102 тыс.
Просмотров 194 тыс.
50% 1

Diamond atoa maneno mazito baada ya Hamisa kumpa mtoto wake majina ya Diamond ''ABDUL NASEEB"

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@hadijajumanne5493
@hadijajumanne5493 7 лет назад
Mwanzo ilikuwaga diamond hazai sasa hivi mpaka analazimishea mtoto kweli life changed
@mariamomary2175
@mariamomary2175 7 лет назад
Diamond sio vizuri kubali tu mshua lea mwanao
@withneynelsonsmith9215
@withneynelsonsmith9215 7 лет назад
Hamissa young fresh ad beautiful. Hahaha I knw this was going to hppen. wema laugh last. Ad I laugh wth my girl wema blc I love her. zari secound babby mamma on the air . ije koko ka ije na ke bishope maka ike okukum ahhha.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Kazi ipo Famous
@annateano5644
@annateano5644 7 лет назад
DNA is the only solution to stop this scandal.
@giftenmmari2249
@giftenmmari2249 7 лет назад
mbna mnamlizimishia mtoto kweli bongo shimo la umbea wenu mnawashindwa mnafatilia ya wengine kila mtu akome na Hali yake
@waridaharidi8232
@waridaharidi8232 7 лет назад
mi napenda vya nyumbani Huyo bibi ndo ajambe vizr I love u hamisa tz baby sweet sweet limewaganda team Zari hahaAAAAA WACHA NIKALEWE CI KWA RAHA HIZI
@azizaelia6643
@azizaelia6643 7 лет назад
hamisa alikuwa star kabla yake mtoto ni wake hizooo shombo ni zabibi wa kiganda na kigodoro cake anachowekaga kwenye mknd
@kongamen3212
@kongamen3212 7 лет назад
Zaria. dadayangu. waachee. wapayuke. wakonde.mshukurumungu.atakulipia.achananao.mamakongaman
@kongamen3212
@kongamen3212 7 лет назад
daimondi. asopenda. watotowako. huyoniaduiyako. napenda. kukuonamsimamowako. Ukosawa. babamzurianaeipenda, familieyake. mamakongamaan. zanzibar
@wotewangu243
@wotewangu243 7 лет назад
kama mtt ameshapata baba wawili na wa tatu yupo njian.wanawake tunapenda kujidhalilisha looooooooooo
@ashaherzog3566
@ashaherzog3566 7 лет назад
Kumbe Baba ashapatikana 😂😂😂List ilikua ndefu yawaliopitia
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 лет назад
Asimlazimishe else alee.mtoto wake. Diamond ni mshirikina atamtoa kagera mtoto.
@annickgalaxy8281
@annickgalaxy8281 7 лет назад
Diamond his fearing to loose Zari 😂😂😂😂 aliingiza ikaingia mbona hakutoa inje immediately akawachilia ndani diamond buree kabisa
@lucyhadwiger3164
@lucyhadwiger3164 7 лет назад
Hamisa awezi kujiamini hivyo lazima familia inajua hii issue...yetu macho na masikio..Hayatuhusu ila kusikia na kuona yanatuhusu.
@nassorkhamis2578
@nassorkhamis2578 7 лет назад
Lucy Hadwiger xxvi
@zuhuramuyinga5953
@zuhuramuyinga5953 7 лет назад
Lucy Hadwiger hata kama kweli,mashauzi ya nini?atabaki kutunziwa mtoto,atafute kwingine wa tatu.
@cheupestefano3303
@cheupestefano3303 7 лет назад
Zuhura Muyinga na kweli alivyokosa akili atabandikwa mwingine wa tatu by a different man na pengine ukimwi pia juu ya kutafuta mabwana wenye pesa ili uishi kiufahari
@dianafrancis9130
@dianafrancis9130 7 лет назад
kwann mashabiki amtaki kukubali ukweli Uyo Diamond mtt angekuwa wake asingekataa jmn ukweli tuupe nafac kama kasema siyo wake ni haki yake maana Yeye ndo anajuwa Nini kinaendelea
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
kiki anatafta mobbeto hna jipya
@rahmamavura406
@rahmamavura406 7 лет назад
ila nass wanawakw hatuna akili mtu unamuona ana mtuwe unaenda jibebesha mimba yann.kuwa yule hazai au?dai mkatae hivyohivyo anataka kukuharibia kwan mlipanga mzae
@carolmamakebritney5266
@carolmamakebritney5266 7 лет назад
Rahma Mavura kabisaa
@pacifiqueevalist7760
@pacifiqueevalist7760 7 лет назад
Rahma Mavura , for real
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 лет назад
Kama kweli huyo mtoto c wa Diamond, basi Huyo mwanamke atakuwa obsessed/stalker na Diamond
@gasparmmassy2655
@gasparmmassy2655 7 лет назад
Noma
@filimonfisseha5753
@filimonfisseha5753 7 лет назад
The baby looks like the father and the mother she's younger more than the wife very beautiful woman the younger one who have the right baby for him the first wife she's the one who is a bad malaya the biggest one she was married and left her man for younger boy that's what u get when u trying hard to get on others gal man that's what she did to wema
@cheupestefano3303
@cheupestefano3303 7 лет назад
filimon fisseha what are you talking about you also when zari met Mondi he was just a struggling Tz musician the lady built Mondi by zari pumping into him business ideas and that's why Mondi is who he is today. wa tz tuache uswahili usiokuwa na maana letz get education may be our reasoning power will make sense instead of kuleta ujinga mwingi wa kuita watu majina ya ovyo
@anghamij7046
@anghamij7046 7 лет назад
Diomond amuogopa zari ndio sababu anasema ivyo
@cheupestefano3303
@cheupestefano3303 7 лет назад
anghami J Mondi anampenda zari hamuogopi bali anampenda mno zari
@joycemosha5926
@joycemosha5926 7 лет назад
jaman
@asaamwidanyasaa6578
@asaamwidanyasaa6578 7 лет назад
uyu hamisa mxhamba sana ni bora ata d azidi kumshushua... kwanza kipo kibaya kweli na kijuso chake km bundi
@lovekambua7413
@lovekambua7413 7 лет назад
Hvi niulize kwani kuitwa kwa jina la diamond mtoto wa hamisa ni kumaanisha ni wa diamond kwahvyo me nikizaa wangu na nimuite majina za jaguar atakua niwa jaguar? Aii
@marychibo697
@marychibo697 7 лет назад
akapime mtoto
@phetyhussein4772
@phetyhussein4772 7 лет назад
Watu bhana mnachagulia mtu hisia zake et me nampenda hamisa kuliko zari 😂😂😂
@khamisalaamri3913
@khamisalaamri3913 7 лет назад
achana na zari wew..bwegeee
@greysonmwanjesa4318
@greysonmwanjesa4318 7 лет назад
usiwasogeze vichenchede kwenye penzi lako na Zari(ndoa) watakuhalibia shauli yako
@sumamwakyambiki6214
@sumamwakyambiki6214 7 лет назад
kwan diomond ananini haswa , upumbafu tu.
@saramamu3040
@saramamu3040 7 лет назад
Aaaa wacha waoane
@swagosamatta6038
@swagosamatta6038 7 лет назад
👯👯
@khamisalaamri3913
@khamisalaamri3913 7 лет назад
ulimbukeni..hamjijuuuiii
@ahmedalshammari9372
@ahmedalshammari9372 7 лет назад
zari umeezeekaka unajitahid lakn sura ya yaonyesha kaka
@christinabiyengo2955
@christinabiyengo2955 7 лет назад
Hivi mnaendaga kucheck HIV kabla hamjajibandika kwa hicho kidume cha mbegu?
@zuhuradmbonde3532
@zuhuradmbonde3532 7 лет назад
hivi mtoto atakuwa na baba 2 yule aliedai ndie mwenyezi ujauzito je? au kumchokoza zari tu aseme sio vizuri acheni hizoo.
@antipasshirima3364
@antipasshirima3364 7 лет назад
Mambo harakat vip
@rashidydickson451
@rashidydickson451 7 лет назад
de. analelewa. na zari. awezi. kukubali. atakula. wapi
@davidorito1707
@davidorito1707 7 лет назад
Njoakome kuvamia waume wa watu
@salmachuma2595
@salmachuma2595 7 лет назад
jamani uyo amisa yupo wakat mguumu
@dejazminemwaluvalile5029
@dejazminemwaluvalile5029 7 лет назад
hahahaaaa imekula kwakeee
@jasminemasiga5930
@jasminemasiga5930 6 лет назад
amisa m bayaaa sura ngumuuu
@upendoakio5825
@upendoakio5825 7 лет назад
unajuwa kila kitu inatakiwa mtu utumie akili ata Kama kazaa na diamond sio kujitangaza kwani uyo diamond mungu
@janethjackson5370
@janethjackson5370 7 лет назад
Upendo Akio chukua tano mrembo! Namshangaa sana huyu hamisa,kwanini asipige kimya amlee mwanae? Kila kona diamond diamond,rubbish
@mdogo_ake_zarizarin1546
@mdogo_ake_zarizarin1546 7 лет назад
Anajipendekez sn huy dem
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 лет назад
Wanaoumiza kichwa kwajili ya ishu hii wamekosa chakufanya
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Hivi kwa nini wasichana wengi wanatamani kuolewa na kaka yangu nasbu? Kumbe kaka yangu nasbu ni nzuri Sana eeee.
@witinessaisari350
@witinessaisari350 7 лет назад
ivi mwanangu akiitwa maguful mtoto atakuw wa magufuli? achen kupumbazw
@saudasaid898
@saudasaid898 7 лет назад
msimlazimishe mtoto kama watoto anao kwanini ajipe mizigo wamtafute baba wa mtoto kwani lazima awemondi kisa star au
@ismailmsuya5129
@ismailmsuya5129 7 лет назад
WAPUMBAVU HAO WANAKUWA KAMA HAWANA AKILI
@daudyzegu5036
@daudyzegu5036 6 лет назад
Ismail Msuya hahahahaaa umeonaee
@dejazminemwaluvalile5029
@dejazminemwaluvalile5029 7 лет назад
Anahangaika tu,atasota sna Malaya huyoo
@merrysabina7798
@merrysabina7798 7 лет назад
utakuwa unamuogopa zari tu
@mercyjepkemboi6656
@mercyjepkemboi6656 7 лет назад
Haaaaa misa ni mariamu kajizalisha unataka kuzingizia
@allenmongi5451
@allenmongi5451 7 лет назад
kwani walivyokua wanatombana mlitushirikisha
@wotewangu243
@wotewangu243 7 лет назад
Akafanye DNA test.huyo ndo msema peke
@rismoshkidoti6689
@rismoshkidoti6689 7 лет назад
kubali mtoto wako simba kwany iko nini
@estherjonas4630
@estherjonas4630 7 лет назад
ya kaisar mwachie kaisar hapo sisemi sabu hata nyie wanaume hamjatulia na we mond usijishaie unalo la moyon unalijuaa
@siznic2156
@siznic2156 7 лет назад
mond kubali mtoto wako acha kumkana..kwani zari atakuua ukikupali?mbona ww umekubali kulea nilan na wa Ivan..acha kubumbazwa vile vile
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
siz nic hwezi kukubali makombo jmn
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 7 лет назад
azh zha yassin 😁😁maybe ni mtoto wake mm nataka tuu DNA.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
+fatuma Ababy 😂😂😍 Exactly
@annymsupa5175
@annymsupa5175 7 лет назад
😂😂😂😂MBNA umesahau kuwataja wale wengine watatu
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 7 лет назад
siz nic UMEFANYA DNA UKAJUA NI MWANAWE
@sumamwakyambiki6214
@sumamwakyambiki6214 7 лет назад
umbea ambao hauna mshiko mnatangaza ujinga tu,
@ziadaalute3159
@ziadaalute3159 7 лет назад
Mnagombania matoto ya zinaaa fyuuu!
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 лет назад
Msishangea , Hiyo ni moja kati ya dalili za ugonjwa wa aina ya kichaa cha akili. Hilo ndilo tatizo linalo msmbua huyo Bi Haamisa. Ni ogonjwa wa kutaka kuwa fulani wakati yeye siyo fulani. Zaidi ya maeleza haya naomba mwoneni Doctor wa magonjwa ya akili atawaeleza zaidi.
@aishauwimana4338
@aishauwimana4338 7 лет назад
Valena Komba sasa amisa anaugonjwa gani uliwahi kumpima kwani simaelewano yao kuzaa na mond walasio ajabu kwa mastar
@aishauwimana4338
@aishauwimana4338 7 лет назад
Kuwa na zari ndo kumemkataza monde asizaye nawanawake wengine zari anawanaye wengine lajabu lipi nawashanga kwel
@cheupestefano3303
@cheupestefano3303 7 лет назад
Aisha Uwimana Mondi hajupanga kuzaa na Hamisa bali Hamisa alipanga kuzaa na Mondi hivyo basi Hamisa ajipange vile atalea alichokipangia asisumbue watu kumsoma mtandaoni kila kukicha
@aishauwimana4338
@aishauwimana4338 7 лет назад
cheupe stefano na hamisa siomwehu kuchukuwa ma amuzi bila makubaliano na mond msikuze jambo msilo lijuwa na mond anasababu kusema hataki huyo mtt zari asijemtupa nje mond muwe mnafaham ya kuelewa jambo linaloteke tumeona wangapi
@aishauwimana4338
@aishauwimana4338 7 лет назад
Wanaume wangap wanaza nje nawanawambiya wake zao watt sio wao na huku anaudumiya msiwi wajinga hivyo mwanaume wakiwa ndani niwakwel wakienda siwakwel hilo utambuwe
@aikamosha7654
@aikamosha7654 7 лет назад
anatafuta kiki huyo hamisa
@merrysabina7798
@merrysabina7798 7 лет назад
acha kukana mwanao wewe
@maggietuwa2032
@maggietuwa2032 7 лет назад
Nilijinga,,,
Далее
HOUSE GIRL EP 30 | S3 | Love Story 💕💞
21:00
Просмотров 90 тыс.
Hamisa anaiga kuongea kama Zari? Jionee hapa
2:34
Просмотров 184 тыс.