Тёмный

DIDA ALIPAMBANA KUNIUNGANISHA MIMI NA MKE WANGU,MANENO YA SHEHE ABDUL MSIBANI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@salmaabdallah9598
@salmaabdallah9598 2 часа назад
Sawa abdul umeongea jambo zuri sana kusameheana ni jambo kubwa sana na itakua vizur na dada diva akusamehe na wewe na miarejesha ndoa yenu kwani ndoa ni nusu ya dini👏
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 3 часа назад
Mganga anapenda Sana kiki,na anajua Ili apate kiki lazima amtamke Diva,Diva kazi unayo,Yani utatumika kwa jina lako kwa mganga paka basi
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 2 часа назад
Heeee kwanini mnakuwa hivyo watu wapo na msiba na mnaongea mambo mengine khaaa kwanini lakini 😢 ila sawa tu ukweli mnaujua wenyewe 😢 huenda mlikua na utofauti na dida angekuepo basi mgeliweka sawa ila basi tu kazi ya MUNGU haina makosa malizeni tofauti zenu na pia muombeeni didah MUNGU amlaze mahala pema peponi na ampunguzie adhabu ya kaburi 🙏
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 3 часа назад
Fala sana huyu kijana anatoa siri za marehemu kudaiwa😢
@MAGOLIYAMBALIKILAVIRE
@MAGOLIYAMBALIKILAVIRE 22 минуты назад
DEREVA BAJAJI KWADIWANI KIPUNGUNI UKONGA HUYU JAMAA KAMA KWELI KAONGEA KATOKA ROHONI MUNGU NIMWEMA
@ashuranganga2571
@ashuranganga2571 3 часа назад
Hv Kwan hamjui kuchuja vitu vya kuongea kwenye public 😢
@HabibaSelf
@HabibaSelf 3 часа назад
Mnatuumiza namaneno yasomana maden ya fatuma namsiba yanahusu nini kupitia divamjini ushaenda achen kelele tuzike tumuombee dua da mkubwa .ntakupenda hatahuko uliko
@BerthaModest
@BerthaModest 3 часа назад
Sijui anacheka nin abdull nawe
@Marjeby
@Marjeby 2 часа назад
Huyu jamaa mbona kilaza anaongea mambo kama vile ni msemaji wa familia mambo ya madeni ya marehemu unayaleta hapo ya nini msenge ww
@cdeleo9336
@cdeleo9336 26 минут назад
Huyu kaka ana mambo ya ajabu
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 3 часа назад
Usijikanyage Abdul,umesema aliyekuwa mkeo means meshaachana,acha kuwafanya Watanzania wajinga
@teddymutani856
@teddymutani856 3 часа назад
Mh
Далее
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 3,2 млн
VITUMBUA
13:12
Просмотров 78 тыс.