There is a Maa speaker who happen to be my neighbour na the guy love this song paa, he plays it almost everyday and I love the song too...nice masterpiece Dj Queen
Kwan msanii anapoperfom mbona watu hutulia tu hawamsapoti ata kuimba nae ,,inadiscourage ata nimeona siku ingne tu Sanino akipafom Siha ad kapiga wimbo moja na kuondoka ,,si fare Changamkeni engaji emaa
Ni sawa lkn unaona hadi huyo Queen anamfuata mtoto kucheza nae ameona hana wa kumpa mungari ,,fuatilia wasanii wengi wetu wakipaform kwetu ndugu zetu wanavyoshangaa tu