Duuuh 😭😭Kuna watu wa kijijini wanajua ukiwa mjini ndo una Maisha kumbe afadhali wa kijijini it pain nyimbo Ina ujumbe sana sillah ila sijui tittle na ukweli wa nyimbo unayumba ???
Lil Bro you are so talented mimi pia natokea Tanzania na najuwa great Tanzania Artist lakini naamini ukishakuwa mtu mzima utakuwa msanii bora zaidi Tanzania.