@@mzingtingofficial7401Huogopi???Mnaishi maisha magumu sana Nairobi…Most of y’all mnaishi kwa nyumba za mabati…Mkipanga apartment basi ni studio aprtmnt choo hapa kitchen hapa…
@@mzingtingofficial7401Sawa lakini tuoneshe hiyo single room yako au huyu domo pana. Lakin pia kama una macho hebu tazama hayo mazingira yanayomzunguka huyo mtu wenu hapo kwenye interview. Kuna nyumba kama ya Mwijaku hapo? Au si Kenya hapo?😊