Тёмный

Dr. Chris Mauki: Athari 5 za Kukosa Usingizi wa Kutosha 

Chris Mauki
Подписаться 304 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Je unafahamu kwamba kukosa usingizi wa kutosha kunaweza ku kusababishia magonjwa makubwa ya kiafya? Je unafahamu yamkini matatizo ya kiafya unayo yapitia mara kwa mara yanasababishwa na wewe kukosa usingizi wa kutosha? Hizi hapa athari 5 za kukosa usingizi wa kutosha. Nina uhakika zitakusaidia sana.#DrChrisMauki#Athari#Usingizi

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@-zj2zd
@-zj2zd Год назад
Asate sana
@modestazakaria7141
@modestazakaria7141 2 года назад
Naomba msaada nashida Sana yausingiz
@estermathias8354
@estermathias8354 2 года назад
Dah umeelezea vzr sn.nimekuelewa
@SalomeGombanila
@SalomeGombanila 10 месяцев назад
Doctor mie Pia nakosa isingiz
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 3 года назад
Dr Umebadilisha maisha yangu, be blessed
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 года назад
Asante sana
@dathua1717
@dathua1717 2 года назад
Ahasant sana nimeelewa
@HudhaimaJoseph
@HudhaimaJoseph Месяц назад
Asante sana dokter mungu akubariki yaan kichwa huniuma sana
@razatrazat6833
@razatrazat6833 2 года назад
Hii inanihusu sana
@SarafinahMwakyusa-uk4zz
@SarafinahMwakyusa-uk4zz Год назад
Hii imenihusu mimi
@shedrackjacksonkaboza4348
@shedrackjacksonkaboza4348 2 года назад
Ahsante , je m2 afanyaje ili aweze kupata ucngizi
@teddyjoseph3996
@teddyjoseph3996 2 года назад
Je mtu analala sana ani kama Mimi kunasiku nimelala na mtoto ndani asubuhi watu walikua nje waliweza kumsikia mtoto analia lakini Mimi nilikua nimelala nae sikuweza kumsikia na ilikua asbuhi nilihitwa lakini sikusikia badae kidgo ndo nikashituka iyo inakua shida nini naomba kuuliza
@abdoulkarim2964
@abdoulkarim2964 Год назад
asante xaana kwa hili kaka
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 года назад
Sasa Dr ,hivi tufanye vipi tunaokosa isingizi
@user-jn4mf7ys9p
@user-jn4mf7ys9p 8 месяцев назад
Mm ni mjamzito wa miezi mitano nalala hadi naona kelo nasimzia nikishakunywa chai hadi Sasa nane sio shida
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 3 года назад
Ubarikiwe chriss mauki
@mutwalesylvie1305
@mutwalesylvie1305 3 года назад
Tufanyeje maana n'a mm nimoja wapo
@easthernaini7377
@easthernaini7377 3 года назад
Wengi tunafanya kazi uwarabuni hatulali inayostahili
@easthernaini7377
@easthernaini7377 3 года назад
But umenisaidia sanaa966
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 2 года назад
Wallah tena
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 2 года назад
Nifanyeje ili kupata Tiba ya kurudisha kumbukumbu?
@kelvinchadulaga310
@kelvinchadulaga310 3 года назад
Kweli kabisa
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 3 года назад
Thnx and bless you always
@palangiyoaimbio3465
@palangiyoaimbio3465 3 года назад
Nifanyie nin nipate usingizi maana mie sipati usingizi kabisa
@stanleymathias7877
@stanleymathias7877 3 года назад
Tufanyeje ili kupata usingizi wa kutosha dkt?
@vumiliamatchu370
@vumiliamatchu370 10 месяцев назад
Teacher mm nina swali kwa mfano mtu anatumika kazi ya usiku alafu ana lala. Mchana . Nayo nitatizo ? Au mtu anastahili kulala usiku tu ? Maana mm natumika kazi ya usiku . Please nijibu ili unisaidiye Teacher 🙏🙏🙏🙏🙏🤦‍♀️
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 года назад
Asante Kwa somo nzuri Ila mi spati usingizi sijui nifanye nini
@modestazakaria7141
@modestazakaria7141 Год назад
Dokta Asante kwa SoMo zuri Ila Binafs had nimekuwa sugu kwenye tatizo ili msaada plizzz dkt
@dathua1717
@dathua1717 2 года назад
Samahani nataka kujuwa jicho langu la kushoto kwachini linatetemeka mwezi 4 huu kila siku unaweza kunishauri au nini tatizo?
@salehsuleiman9140
@salehsuleiman9140 9 месяцев назад
Nenda hospital
@easthernaini7377
@easthernaini7377 3 года назад
Nitumie hapa hiyo namba yako ya whatsapp plzz
Далее
Ozoda - Lada (Official Music Video)
06:07
Просмотров 834 тыс.
Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kila Siku - Joel Nanauka
9:52
NJIA BORA ZA KUPATA USINGIZI KWA HARAKA
15:39
Просмотров 9 тыс.
TATIZO LA KISAIKOLOJIA LA KUKOSA USINGIZI
9:23
Просмотров 5 тыс.
Dr. Chris Mauki - Tabia Za Mwanaume Party 1
12:07
SABABU KUBWA YAKUKOSA USINGIZI NI HII..?
11:27
Просмотров 36 тыс.