Тёмный

Dr. Chris Mauki: Dalili 4 Kwamba Mpenzi Wako Amekuchoka 

Chris Mauki
Подписаться 308 тыс.
Просмотров 232 тыс.
50% 1

Hivi unajua mpenzi wako akikuchoka kuna vitu utaviona kwenye tabia yake? Sasa kama huvijui ndio unaweza kukuta unajipotezea muda tu. Nataka kukusaidia kujua, Hizi hapa Dalili 4 kwamba mpenzi wako amekuchoka#DrChrisMauki#Dalili#Amekuchoka

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 468   
@mbelemmunga-ps4df
@mbelemmunga-ps4df 8 месяцев назад
Nina imani siku moja mungu atanibari kitampata my future babe naamini mungu atanibariki tu one Day God bless me
@rehemambwambo3925
@rehemambwambo3925 2 года назад
Kiukweli dr kwa upande wangu nayaona hayo yote ila nimejipanga kutokumwambia chochote kinachonihusu mimi na tupo ndani yandoa Nimeamua kuwa karibu na mungu
@DamtuAbdalla-yk7dk
@DamtuAbdalla-yk7dk 8 месяцев назад
❤ mm mna mtu nampenda anavyojidai na yeye ananipenda lakini sina uhakika kama ananipenda kweli
@DamtuAbdalla-yk7dk
@DamtuAbdalla-yk7dk 8 месяцев назад
Mahusiano yetu bado yapo kwenye mazungumzo tu hakuna kitu chengine ❤
@geestar2837
@geestar2837 2 года назад
Kaka unasema mambo mazuri sana mungu akujaalie maisha marefu tuendelee kujifunzaa👌
@EdwinSimon-n1g
@EdwinSimon-n1g 22 дня назад
Suala la ndoa ni gumu Crismauki,linahitaji msaada wa Mungu,ndoa nyingi zina shida sababu ya kuacha Agano la Mungu,kujali khari mwili kuliko kujali Roho aongozaye.
@elimuaridai6337
@elimuaridai6337 2 года назад
Nikushukuru sana Dr kwa darasa zuri unalotupa ,Mungu akupe maisha marefu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@fatmasaid4806
@fatmasaid4806 6 месяцев назад
Yaaan acheni nilie mwenzenuuuu😢😢mm nakosea kila kitu hata wtt hana mda nao tena hanijal hata iweje akirud na cm yke anaongea akimaliza kachoka kuongea na mm analala fofofo kiufup cjui chochote kuhusu yeye mpk nataman nipate mwanaume wa kuniliwaza nnje naamin hvo ntakaa sw mana sina aman kibaya zaid sina baba wala mama hata wa kunipa moyo sina naumia sanaa nkimpgia cm hapokei kazn akpokea ukali npo bz na kaz
@latifarajab3445
@latifarajab3445 6 месяцев назад
Pole saana dear 😢😢
@ramadhanimuya2847
@ramadhanimuya2847 5 месяцев назад
Pole Sana dear
@fatmasaid4806
@fatmasaid4806 5 месяцев назад
@@latifarajab3445 shukran
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 5 месяцев назад
Pole ila ukweli tayari wapo anao wazingatia pembeni,kwako kakinai,ila wanaume tubadilike kwakweli mtu kama huna upendo ni heri kuto mtongoza mdada wa watu mwisho kumtesa tu.aaaaahhh😢😢😢😢
@SeuriWilliam
@SeuriWilliam День назад
Jamani ndo mim mume kabadilika kkaham nyumb analal nyumb ya wtt
@sarahhappy4465
@sarahhappy4465 Год назад
Inshallah one day one time I will get a man who will love me and respect me as a woman 🙏😭
@shangweyussuf640
@shangweyussuf640 Год назад
Omba sana!!!!
@amsolkembo4160
@amsolkembo4160 Год назад
Amen
@selechacha8283
@selechacha8283 Год назад
nisaidiehapa tupowana wakewawili ndoayagu imekua nashida nyigi
@selechacha8283
@selechacha8283 Год назад
ilakule wanaish bilashida
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Год назад
Amin yah bint
@rahmamwatete7833
@rahmamwatete7833 11 месяцев назад
😢😢😢😢napiga magoti na kuinamisha kichwa changu chini nkiomba na kumwaga chozi nipate ....mpenzi wa kweli atakaenipenda ...kwa dhati
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 9 месяцев назад
Rahma nipo apo wa kukupenda kwa dhati tuwasiliane plz
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 5 месяцев назад
Rahim nipo mimi hapa nitafurahi kuwa nawewe 🎉🎉🎉 kama utaridhiya asante
@anthonymarco8256
@anthonymarco8256 Месяц назад
Mhhh
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 Год назад
Daktari you are very important to us. Watu tunapaswa kufahamu. Tunazidi kujifunza. Ubarikiwe sana na Bwana YESU Kristo wa Nazareth azidi kukukirimia neema na hekima zaidi. Tunabarikiwa mno na Asikiaye afahamu. Binafsi nafunguka sana ufahamu ili kuacha kupenda kizembe. Haleluyah tunapona jamani🙏🙏🙏🙏
@subilarent4975
@subilarent4975 Год назад
Duh
@MaggyA-zf9db
@MaggyA-zf9db 4 месяца назад
Very true doctor mapenzi ya siku hizi haina utamu❤❤😢😢
@AlfafuteAlfa
@AlfafuteAlfa 3 месяца назад
Asante kwa kutupatia elimu Mungu aki baliki❤❤
@KikubaRamadhani
@KikubaRamadhani 8 месяцев назад
Inaumiza sana any way one day yes 🙏
@AngelArnest
@AngelArnest 5 месяцев назад
Yan umenigusa sana kwenye hii mada yako yote yananihusu mimi ila kwa sasa moyo wngu kwenye eneo hili la mahusiano umekufa kabisa nataka ku move on kwa huyu niliyeko nae maana naona hana faida yoyote kwenye maisha yangu ya sasa,wala yajayo namuomba Mungu anikutanishe na mwanaume sasahihi kwenye maisha yngu amen,
@rozinahedwin5811
@rozinahedwin5811 2 года назад
Mmmh hakika mungu akufanye kuwa kichwa daima na si mkia, wew ni mwalimu mzuri sanaaa
@susannaikuni8595
@susannaikuni8595 2 года назад
Dr mauki Mungu akubariki sana unamafindisho ya kimsingi sana ahsante
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@lightinessmnyanga
@lightinessmnyanga 8 месяцев назад
nashukuru sana, kwakweli hali somo umenifundisha mimi kabisaaa yaan hivyo dalio ya 3 jamani nitakua nateseka sana ila baada ya hili somo nimeelewa sasa asante babaangu Mungu azidi kukutunza
@JoyceMartin-m3s
@JoyceMartin-m3s 2 месяца назад
Mungu akupe maisha malefu kaka
@rebeccqhnyqngoso3772
@rebeccqhnyqngoso3772 3 месяца назад
Pastor nashukuru mungu sana nakupinga asante kira jombo good advice 💪🔥🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤️🥰💯
@EyenaeEkai
@EyenaeEkai 11 месяцев назад
Thanks for your help mimi niko hiyo shida ya kuachwa but nishaahanza kuona dalili naomba unisaidie
@bisemwabernadette
@bisemwabernadette Год назад
Na mimi piya asha nito asante kwa mashauri yako Mungu akumbariki mimi piya yame sha nikuta ayo tu liishi naye vizuri ila alipo safiri alimbadilika kama una nviyosema niliumiya sana ila nashukuru Mungu amenipanguvu
@linababy4351
@linababy4351 Год назад
Duh Yani unasema sahihi sana mungu akulinde sababu napenda sana kukuskiliza
@rizikiramadhani7986
@rizikiramadhani7986 Год назад
DA KWELI WEWE DR MUNGU AKUBARIKI SANA KWA ELIMU YAKO NZURI
@balihappy5628
@balihappy5628 8 месяцев назад
Nashukuru kwa ushauri wako,naamini mungu yuko na sababu yy kanichoka
@BabaQayllah-p8d
@BabaQayllah-p8d 3 месяца назад
Thank you brother
@AnakretaMsawe
@AnakretaMsawe 3 месяца назад
Ubarikiwe sana kazi yako n njema Dr Chris nimeipokea hii
@stainasimkoko708
@stainasimkoko708 2 года назад
Mungu akubariki saana
@lawrencelisakeli7067
@lawrencelisakeli7067 2 года назад
Dr umeonge Jambo limenigusa Sanaa shukrani Sanaa uishi mno kwakweli
@yasintakafulila5005
@yasintakafulila5005 Год назад
Exactly Baba..... nimejifunza sana inabidi nichange
@petermadokola7625
@petermadokola7625 2 года назад
Man your really good, I appreciate it , your an amazing, great job,
@fatumakale7004
@fatumakale7004 4 месяца назад
Thanks so much ni ukweli kbsaaa
@omariGala
@omariGala 20 дней назад
Dhaaaaa Yani nimefurahi kuipata hicheneli Yani ikosahihi sana sana sana mungu awabariki wausika kwani kwanafndisha nakutupa moyo namafuzo Mimi binafsi nilisha kata Tama nahaya Maisha kisa mausiyano yalokufa ila kwasasa nimeipata Nuru nyingine mupya mungu awabariki
@رحيمهكينيا
@رحيمهكينيا Год назад
Alhadhulillah ama kweli wanifungua masikio shukran sana Allah akuzidishie na kwenye uzito akuekee wepesi inshaallah
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 2 года назад
Shukran doctor mngu akubariki
@scollalema4674
@scollalema4674 2 года назад
Ahsante sana MUNGU akubariki 🙏 maana unatufundisha somo zur mnoo..yaaan wengine tulikuwa vipofu sana ..
@julieteinamahoro6470
@julieteinamahoro6470 2 года назад
Mrc past
@juliawnjeri5913
@juliawnjeri5913 2 года назад
Napenda mafunzo yako sana 😍🥰🥰🥰
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@balihappy5628
@balihappy5628 8 месяцев назад
Naamini siku moja mungu atanipatia mume mwema
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 Год назад
Asanteh sana Dr. Nimekuelewa kwa kweli kila kitu ulicho sema ni tiba sahihi.
@tabithamoraa2428
@tabithamoraa2428 Год назад
Thanks kwa mafundishi nimejua ukweli sasa
@janethntegwa605
@janethntegwa605 11 месяцев назад
Maneno yako kweli tupu, barikiwa sana
@BahatiLubembela
@BahatiLubembela 2 месяца назад
Asante kaka
@NellySanke
@NellySanke 7 месяцев назад
Nakukubali sana ❤❤🎉
@celinabura5047
@celinabura5047 2 года назад
Nashukuru sana kwa mafundisho
@WilliamthomasManyili-zw7vk
@WilliamthomasManyili-zw7vk 11 месяцев назад
Asante sana kwakunitoa gizani kaka.
@smay9
@smay9 2 года назад
Thanks doc Mauki ubarikiee mno kwa hekima kibwa.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@SalomeMaiko-l4g
@SalomeMaiko-l4g 4 месяца назад
Mungu.anisaidie maana nipo kwenye wakati mgumu sana
@julianalameck9045
@julianalameck9045 2 года назад
Somo zuri sana kaka. Naomba ushauri juu ya namna yakuishi kwenye mahusiano yenye long distance pasipo mikwaruzano Asante
@mauwabijoux6966
@mauwabijoux6966 2 года назад
Kumbe nawe pia upo kwenye hayo mahusiano duuuh mpaka naogopa
@florencedamaa4809
@florencedamaa4809 2 года назад
pia mm nko kwanye mahusiano ya long distance mikwaruzano kila siku
@hafsahussein505
@hafsahussein505 2 года назад
Me pia niko mbali na mume wangu kila Siku ni mizozo mpk nimechoka
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 года назад
@@hafsahussein505 tuko weng ndugu zangu mm nko mbali na nko kwenye ndoa ila kila cku mizozo mpaka nakata tamaa kurud kwake
@TrizahBhoke
@TrizahBhoke 11 месяцев назад
Kaka unasema maneno mazuri sana mungu akubariki
@gshbnz4368
@gshbnz4368 2 года назад
Asante sana Yaani natajikuta naliya zote mule mule
@Asteria-h4u
@Asteria-h4u 9 месяцев назад
Thanks for your advice I learn something🤔
@annachuwa3432
@annachuwa3432 2 года назад
Asante sana kaka mauki Mungu akubariki sana
@Mrkigoma
@Mrkigoma 2 года назад
Waooooh uko vizur baba
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 9 месяцев назад
Mungu natamani kabla sijaondoka duniani nipate anayenipenda kwa dhati maumivu kila ck mhuuu
@joycekatana1858
@joycekatana1858 5 месяцев назад
Inshallah mungu atanipa wakunipenda na mimi😢😢
@oliverjoseph55
@oliverjoseph55 2 года назад
Wewe ni mwalimu mzr sn kwangu,asante.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@SuperTervin
@SuperTervin 2 года назад
Asante sana kaka nimejifunza kitu
@KesafariDorothy
@KesafariDorothy 8 месяцев назад
Thanks for educating us, why does the ex want to come back after years yet he's the one who quit the relationship?
@paulzachalia-xm3zy
@paulzachalia-xm3zy 5 месяцев назад
Nikwel bro nakubali
@Princeloma392
@Princeloma392 Год назад
Kweli nimejifunza yote ambayo sikuwai jua ❤️ #show love
@elesianamlamuzi
@elesianamlamuzi 9 месяцев назад
Roho yangu inaniuma mpaka bas cjui haya mambo yataishaje, mmmmh eee Mungu nisaidie, asante dokta
@TundaSacto
@TundaSacto 6 месяцев назад
😢😢
@Christina-dz7ff
@Christina-dz7ff 5 месяцев назад
Asante sana 🙏🙏
@baranimkara3907
@baranimkara3907 2 года назад
Awesome 💯
@balihappy5628
@balihappy5628 8 месяцев назад
Be blessed Dr
@rodemaryatieno5547
@rodemaryatieno5547 2 месяца назад
Kweli kabisa 👍
@zawadipeter7152
@zawadipeter7152 Год назад
Nasikiliza uku moyo unadunda nilipo sijijui daaa asante doctor
@AishaNgungulu-lq5kb
@AishaNgungulu-lq5kb Год назад
😂😂😂
@janethcasmir9652
@janethcasmir9652 2 года назад
Asante sana dk Chris upo sahihi
@Christinagodfrey-m3o
@Christinagodfrey-m3o 8 месяцев назад
Nimejifunza kitu daah🙏🙏
@queenmakere2849
@queenmakere2849 2 года назад
Asante sana docta cris hakika najifunza mengi sana japo na mim napitia changamoto sana kwenye mahusiano yangu najisikia vibaya sana sana
@anethjoseph355
@anethjoseph355 2 года назад
Pole ❤️
@queenmakere2849
@queenmakere2849 2 года назад
@@anethjoseph355 asantee dear
@getrudarichard1391
@getrudarichard1391 2 года назад
Tupo weng
@queenmakere2849
@queenmakere2849 2 года назад
Polee dear tujipe moyo tu tutayashinda majaribu
@getrudarichard1391
@getrudarichard1391 2 года назад
Nikwel ipo cku haya nimapito ya mda tu
@dannypeter4951
@dannypeter4951 3 месяца назад
😢😢😢nayapitia sana hayo yoteee cjui mwisho wake hata
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 7 месяцев назад
Kaka Hapo kwenye vitimbi Nakupenda sna Ndio shida kaka halaf Kwel hasemi Unampenda lakn yy anakuwa wakiongeelea wana wake Wengine maana yake na bado unampenda
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 5 месяцев назад
Ila wanaume wengi ni kolofi,unaanza kumtongoza mdada wa watu ,mwisho anakupenda , halafu unamcheat sio vizuri,Bora mtu usimtongoze kabsa kama unajua ni mlaji tu
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 месяцев назад
@@ivomhagama9796 kabisa half akijua unampenda utateseka wanfnya haza kusudi ilimrad tu uonekane una makosa apete ⁷bu ya kukusema
@nizerenene2793
@nizerenene2793 2 года назад
Nashukuru sana
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Год назад
Asante Dr kwa mafunzo Yako
@joselyne5633
@joselyne5633 7 месяцев назад
Umenifungua Dr mauki
@uswegendile9121
@uswegendile9121 2 года назад
Asante dk mauki
@johnsonsway6515
@johnsonsway6515 2 года назад
Asante
@happinessjonathan9994
@happinessjonathan9994 Год назад
Jamani mm ninakosolewa kila ninachokifanya, asante Dr
@bondenatieno2488
@bondenatieno2488 Год назад
Mimi nmechoka na nimejiondoa maanake huyu mchumba tulihaidiana ndoa hadi akanipeleka keep nikajuana na watu wao. Shida ilikuwa ni tulipokutana kila wakati , it was all about sex. Alafu mbaya zaidi he could depart to the city and come back without informing me and wanted to take it normal. While in the city, every time I called him via phone, he could only tell me he is tired.
@bondenatieno2488
@bondenatieno2488 Год назад
Mimi nmechoka na nimejiondoa maanake huyu mchumba tulihaidiana ndoa hadi akanipeleka keep nikajuana na watu wao. Shida ilikuwa ni tulipokutana kila wakati , it was all about sex. Alafu mbaya zaidi he could depart to the city and come back without informing me and wanted to take it normal. While in the city, every time I called him via phone, he could only tell me he is tired.
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 5 месяцев назад
Yupo anaesifiwa kwa Kila anachokifanya na sio wew.
@SuperTervin
@SuperTervin 2 года назад
Asante sana nilikuwa kipofu muda mrefu mungu akubarik kwa somo zuri
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 2 года назад
Kazi kweli kweli.
@AgnesMusau-hm6cj
@AgnesMusau-hm6cj 6 месяцев назад
Mungu yupo nitapata
@angelinamussa7521
@angelinamussa7521 2 года назад
Thanks
@lydiaedwin6911
@lydiaedwin6911 2 года назад
Mungu wangu nisaidie maana Naona Niko kwenye wakati huu mgumu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@farajafelix9964
@farajafelix9964 2 года назад
Shukrani kwa somo
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 6 месяцев назад
Ni kweli mzee😊
@Francsimba64
@Francsimba64 2 года назад
Salute brother
@paulinampwila2148
@paulinampwila2148 Год назад
Asantee Dr Kwa neno nzuri
@emmyminah1261
@emmyminah1261 2 года назад
Dr Chris umenipa kitu San apa Asante
@FarajaMamboGospelMinistryTz
@FarajaMamboGospelMinistryTz 5 месяцев назад
Haya mambo tumtegemee Mungu tu mwanadamu anapita kama upepo Mungu ataganga mioyo siku moja
@nahishakiyeassuman5541
@nahishakiyeassuman5541 2 года назад
Asnte sana doctor kwakweli
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Год назад
Really kaka inachosha sana hiii kitu
@ZayanaZubery-nq2jm
@ZayanaZubery-nq2jm 11 месяцев назад
Very true
@RachelPatrick-w7v
@RachelPatrick-w7v 2 месяца назад
Duuh kweli kakaangu 🎉
@MussaThomasmassawe-ji9hv
@MussaThomasmassawe-ji9hv 4 месяца назад
Mm nipo Arusha njiro njooo tuendeleze maisha yetu
@azizaahmadramadhan2579
@azizaahmadramadhan2579 3 месяца назад
aki haya yote nayaona kwangu nashindwa kuelewa mimi ndo mwenye shida au yeye ndo anashida duh Mungu anipe ukomavu jamani najitahidi kukomaa lakini nashindwaa kabisa .... Mungu nisaidie mimi
@SahraHalifa
@SahraHalifa Год назад
Kwel kabsa kaka mauki
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 2 года назад
Yani Dr Chris Mauki anawongeya 100%maisha yetu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@samratsadiq8726
@samratsadiq8726 2 года назад
Nikweli kabisa
@syliviaomsikoyo1045
@syliviaomsikoyo1045 2 года назад
Thanks kwa kunifundisha
@elizabethelisaria6730
@elizabethelisaria6730 2 года назад
Napenda Sana mafundisho yako mdogo wangu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
Asante kwa kunifuatilia na kujifunza. Natumaini umesha subscribe channel hii. Kwa Ushauri 0713407182
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 2 года назад
Your good kwa ushaur
@shadiaissa7631
@shadiaissa7631 2 года назад
Daah sijui lini ntapata wa kunipenda kwa dhat nami nkampenda mbona mausiano kizungumkuti ivi
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 2 года назад
njoo kwangu.
@muniratamani4357
@muniratamani4357 2 года назад
Mungu akubariki
Далее
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Просмотров 216 тыс.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Просмотров 137 тыс.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Dr. Chris Mauki:   Tabia 5 zinazoua penzi
8:29
Просмотров 44 тыс.