Ndio wanasema upende chenu lakini duu barabara kama hii ingekuwa ya mitaa sio ya safari ndefu kusema kweri tunasafili tunaona nchi za wenzetu tena afrika hii rami mchanga mitaro mikubwa akuna pa kuegesha gari duu sio kwa tozo iyo ndio maana tunalalamika