Тёмный

DUH! APOTEZA MILIONI 90 KWENYE MAFURIKO HANANG', AELEZA "VYOTE VIMESOMBWA NA MAJI" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 71 тыс.
50% 1

DUH! APOTEZA MILION 90 KWENYE MAFURIKO HANANG', AELEZA "VYOTE VIMESOMBWA NA MAJI"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 10 месяцев назад
Pole mnooo kakangu.... kiukweli kama hayajakufika unaweza kusema chochote cha kipuuzi....Mungu awape ustahimilivu na atawafungulia milango mingine ya Baraka
@moseslaizer7349
@moseslaizer7349 10 месяцев назад
Kiukweli kama Huna Cha kuandika pita tu unaongea upuuzi badala ya kumtia moyo kwani yeye alijua mvua itanyesha 😢😢 Pole sana kaka Mungu atawagusa serikali utachangiwa
@ernestgomba7840
@ernestgomba7840 10 месяцев назад
Shukuru mungu kwa kuipigania na kulinda uhai wako wengi wamepoteza familia ,,hayomengine yanatafutwa,, ilauhai wa mtu hauludi,,
@MhamediRamadhani
@MhamediRamadhani 10 месяцев назад
Poleee sanaa walio fikwa na mafuriko
@RenatusBuzuri-zv8zq
@RenatusBuzuri-zv8zq 10 месяцев назад
Daaa poleni sana hanang
@SophiRamadhani
@SophiRamadhani 10 месяцев назад
Poleni huyu anamaanisha vifaa na mashine jumla mil 90 sio pesa
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 10 месяцев назад
Polemi sana ndugu zetu wa manyara
@JeremiaMolell
@JeremiaMolell 10 месяцев назад
Mungu awafariji walio poteza marafiki na familia mungu awatie nguvu.
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 10 месяцев назад
Watu wengi walidhani ni hela cash Cha msingi ukiwa na mradi kama huo ni bora kukata bima ingawa ya Mungu ni mengi😭
@AbeidMuyaKumoka
@AbeidMuyaKumoka 10 месяцев назад
Poleni Sana ndugu zetu a wa Hunung
@EMANUELFRED-m6g
@EMANUELFRED-m6g 10 месяцев назад
polen sanaa Wapendw
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 10 месяцев назад
Pole sana. Ila nawe milion tisini kutunzia ndani ni uzembe wako kaka, usirudie.
@zakiakusaja8603
@zakiakusaja8603 10 месяцев назад
Kakwambia kaweka hela muwe mnasikiliza kwanza si kukurupka tu
@StevenGiven
@StevenGiven 10 месяцев назад
Daaah pole sanaaa
@ANNAKILLO-o7d
@ANNAKILLO-o7d 10 месяцев назад
Badala amshukuru mungu kwa uhai wake na afya njema na kuwaonea huruma wenziwe walio kufa yeye akili yake ipo kwa mali kwa kweli huyu sijui kabila gani. Mungu amsaidie hajaonyesha majonzi yoyote kwa jamii wala jirani zake😊
@MandefulemasiyaLaizer
@MandefulemasiyaLaizer 10 месяцев назад
Poleni sana mungu awabarki
@AugustinoPeter-rn9bn
@AugustinoPeter-rn9bn 10 месяцев назад
Kaka pole sana ndg
@JohnpurkeiLaizer-kq7he
@JohnpurkeiLaizer-kq7he 10 месяцев назад
oooh kumbe ,ni vitu vilivyobebwa na mafuriko ndo,imefikisha milioni 90! me nikajua pesa tasilimu,omba mungu akupe uzima,na afya ili uweze kutafuta pesa zingine ndugu wangu
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 10 месяцев назад
Pole bro.total asset 92 million inawkana ikawa kweli tools and equepment for work shop ni exspensive
@Zubaiba
@Zubaiba 10 месяцев назад
Jamani kuweni wastaarabu kwenye comment,huna cha kucomment.si uache tu
@CharlesJamesMakanyanga-q3s
@CharlesJamesMakanyanga-q3s 10 месяцев назад
poleni watanzania wenzagu
@rosekimaro384
@rosekimaro384 10 месяцев назад
Sio cash money kuwa mwelewa mtanzania
@hawamjungu3396
@hawamjungu3396 10 месяцев назад
Poleni sana mungu awape moyo wa uvumilivu katika hali hii ngumu😢😢😢
@obedpeter6874
@obedpeter6874 10 месяцев назад
Bora wewe upo hai ndugu shukuru mungu upo hai vitu vinatafutwa Kuna watu wamepoteza family nzima wanalia uyu jamaa bila shaka mchamga uyu
@CharlesJamesMakanyanga-q3s
@CharlesJamesMakanyanga-q3s 10 месяцев назад
poleni watanzania wenzagu😂 7:17
@JosephTibu
@JosephTibu 10 месяцев назад
poleni sana
@FauuFabian
@FauuFabian 10 месяцев назад
Dah polee sana
@SamsonSamwely-s6h
@SamsonSamwely-s6h 10 месяцев назад
Pole sana tajiri yangu hapo ndipo nilipoanzia maisha mwaka 2012
@JanethJohn-p3h
@JanethJohn-p3h 10 месяцев назад
Tuwe wastaarabu kwa wenzetu siyo kucomment ujuinga
@mamasalhat
@mamasalhat 10 месяцев назад
Wengine Wanatoa pole huku wanacheka hao ndio wachawi wenyewe
@josephwilliam9736
@josephwilliam9736 10 месяцев назад
pole sana
@uhuru.24
@uhuru.24 10 месяцев назад
Mungu awasamehe akosa yao yote wafu wa Hanang
@JanethJohn-p3h
@JanethJohn-p3h 10 месяцев назад
Kumbuka haya ni majanga hata wewe hujui saa wala siku litakavyokupata😭
@PatrickMisigalo
@PatrickMisigalo 10 месяцев назад
😢pole sana mungu atawasaidia
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 10 месяцев назад
Dah ukweli ni ngumu lakini tusemeje basi, Zaidi ya kusema Mungu fungua milango mingine tena
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 10 месяцев назад
Binadamu kuweni na huruma hili Jambo la graffa huwezi kumlaumu mtu kuweni na kauli nzur za kuwafariji kama huna la kuongea kaa kimya acha kuwao ngezea maumivu
@ISACKKILEO-e7z
@ISACKKILEO-e7z 10 месяцев назад
hakuna haja ya kumfariji mpunbavu, ela watu wanaweka benk, milioni 90 unakata Nazo ndani alafu unazubutu kusa et zimeenda na mafuriko, hatuongelei swala la mafuriko nasemea uzembe wa kulaa na ela nyumbani angekuwa ameziweka bankajanga yalivyotokea zingemsaidia na ndioaan nasema ni mpunbavu mbali na matatizo yalivyotokea,
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 10 месяцев назад
Huyu mjinga badara ya kusikitikika Watu wamefiw
@AirinSumeno
@AirinSumeno 10 месяцев назад
​@@ISACKKILEO-e7zwew ni jinga kwel emb msikurupuke kakoment kabla ya kusikiliza af mkumbuke hii ni ajali
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 10 месяцев назад
⁠@@ISACKKILEO-e7zwewe kweli jinga yaani hiyo milion 92 na makadilio ya bishara yake na sio pesa cash. next time sikiliza kwa makini acha ushabiki wa kucomment tu..
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 10 месяцев назад
Inasikitisha ndugu zangu
@WemaMwaikambo
@WemaMwaikambo 10 месяцев назад
Jamani watu wameambiwa wahame dar jamani
@DoreenLembriss-xd1bz
@DoreenLembriss-xd1bz 10 месяцев назад
Bwana asipo ulinda mji aulindae akesha bure
@MshudaBJohn-ll5bk
@MshudaBJohn-ll5bk 10 месяцев назад
Wapendwa❤❤ wote pole😂😂😂😅😅
@mamasalhat
@mamasalhat 10 месяцев назад
Unawapa pole huku unacheka ivyo unamaanisha kweli au Sababu haujaondokewa na wapendwa wako??
@vibetz9991
@vibetz9991 10 месяцев назад
Zitafute kwenye matope utazipata,,,,acha uvivu
@AirinSumeno
@AirinSumeno 10 месяцев назад
Hili janga lipite na kwako pia mfuuu
@vibetz9991
@vibetz9991 10 месяцев назад
@@AirinSumeno ushindwe na ulegezwe,,kumamayo
@MarryBonifas-
@MarryBonifas- 10 месяцев назад
😢😢poleni Sana watanzania wezangu
@claudiajames2003
@claudiajames2003 10 месяцев назад
Mtangazaji anauliza nonesense questions
@RehemaJuma-c6w
@RehemaJuma-c6w 10 месяцев назад
Polen wapendwa
@AshuraNyamziga-qc3qs
@AshuraNyamziga-qc3qs 10 месяцев назад
Wewe unajali Hela je waliopoteza maisha ni sawa na Hela? Hayo siyo ya kuongea
@Priscamikemo004-bu8mt
@Priscamikemo004-bu8mt 10 месяцев назад
😓😓😓
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 10 месяцев назад
Kufa kufaanaa muongo huyo
@ISACKKILEO-e7z
@ISACKKILEO-e7z 10 месяцев назад
alikaa Nazo za nn ndani kama sio mpuuuzi kwann asipeleke bank
@2116-n
@2116-n 10 месяцев назад
Heading imedanganya, na ww ume-comment kwa kukurupuka bila kusikiliza, SIKILIZA KWANZA NDIO U-COMMENT
@2116-n
@2116-n 10 месяцев назад
Heading imedanganya, na ww ume-comment kwa kukurupuka bila kusikiliza, SIKILIZA KWANZA NDIO U-COMMENT
@tom4dj
@tom4dj 10 месяцев назад
Madhara ya kucoment kabla ya kuangalia na kusikiliza,pesa imepotea si pesa kama pesa ila vitu vilivyopotea ndo vina thamani hiyo
@flova7022
@flova7022 10 месяцев назад
Kwani Karakana zinawekwa bennk mzeee mbona akili zako za kimbulula. 😂😂😂😂
@stevensosipita
@stevensosipita 10 месяцев назад
SIKILIZENI MTU ANAVYOJIELEZA KASEMA JUMLA YA BIDHAA ZOTE NA MASHINE NDO HIYO MILIONI 90 SIYO MNAKURUPUKA TU
@awamhusen1054
@awamhusen1054 10 месяцев назад
Nnnn
@CharlesJamesMakanyanga-q3s
@CharlesJamesMakanyanga-q3s 10 месяцев назад
poleni watanzania wenzagu
Далее
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
Просмотров 4,4 млн