Тёмный

Duh! Waraka mzito kwa Rais Samia baada ya Polisi kuwapiga na kuwaumiza Viongozi, wafuasi wa CHADEMA 

Yuhoma Tv Media
Подписаться 288 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 27 дней назад
mim ndio wa kwanza naomba like zangu jemeni🎉🎉
@charlesmagahi-rr6wl
@charlesmagahi-rr6wl 11 дней назад
Sisi maaskofu sio sisi askofu
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 27 дней назад
Tulia anahusika bila chenga yoyote kauli zake zinaakisi kabisa
@kayombogregory8241
@kayombogregory8241 26 дней назад
AsanteBaba Askofu, pia bila kuwasahau wanawake wengine waliodhalilishwa sana. Mungu ilinde na ibariki Tanzania.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
Hii siyo Haki kabisa
@user-el1eh6xn6w
@user-el1eh6xn6w 26 дней назад
Mchungaji MUNGU akubariki sana umemaliza kazi Yako
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 27 дней назад
Ziko family za marais waliostafu na walikufa wanafanya awezavyo ccm ibaki madarakani hata kwa damu ili waendelee kuiba rasilimali za nchi yetu
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 27 дней назад
Mama pia anapewa maagizo na mjomba,sasa mnategemea afanyeje?sakata la chadema aulizwe Awadhi nani kampa kiburi hicho???
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 26 дней назад
Mungu ameshaikataa ccm kwani matendo yao hayaendani na ucha Mungu wajue madaraka ni mtihani nafuu kuwa na madaraka yasiyotoa maamuzi
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 26 дней назад
Chadema bado yan bado kabisa mnafikir nchi ccm wataitoa Kwa njia mnazo pita naona mnajidanganya hakuna nchi inayo patikana Kwa makaratasi kama wenyewe walivo sema..
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 26 дней назад
Hujitambui wewe unaleta ushabiki wa kichoko huku sio ushabiki wa Simba na yanga kama ulivyozoea hujawahi kuona vita ya wenyewe kwa wenyewe ndio maana domo lako linapayuka rais Hana shida kabisa shida ipo Kwa machawa kama nyinyi
@illomowerner7690
@illomowerner7690 26 дней назад
Uko sahihi Mohammed
@petermasanilo732
@petermasanilo732 26 дней назад
Kumbe wamesikitika wengi hadi kutoa waraka wa kuhuzunisha namna hiyo Eee Mungu wa mbinguni sikia vilio vya wanyonge utuepushe na majanga kama haya amina
@musolo.yanzambe4404
@musolo.yanzambe4404 27 дней назад
Tuambiye.mambo.ya urusi.
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 27 дней назад
Amen Amen Amen 🙏 🙌
@SaddamkhamisSaddamkhamis
@SaddamkhamisSaddamkhamis 27 дней назад
Tunataka habari za urusi babaa hatuelewi team russia tunadanganywa tu na bbc.
@IssacNtacho
@IssacNtacho 26 дней назад
Wewe ndo unataka kudanganywa,,hzo unazosikia ndo habar za kweli,,Kama unataka habar zinazokuoendeza ,,utaranganyika,,,unatakiwa kujua kuwa kunawakati mamb yanabadirika,,
@newtonnyembe8228
@newtonnyembe8228 26 дней назад
Tanzania. Tunatabia ya kupoteza tukio kwa tukio. Mfano, issue ya aliyechoma picha, Makonda, msichana na Sasa Sugu.😂😂😂
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 26 дней назад
Sasa munatuma baruwa kwenye balozi za manyag'au uili Wawa saidie Nini nyi nyi ndo walewale vibaraka wao kuwa wakupeni musaada wa Nini Sasa
@anselmokasipa-rn2zl
@anselmokasipa-rn2zl 26 дней назад
Huna uwerewa
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 26 дней назад
NINI MAANA YA VYAMA VINGI;;KWA NINI KISIBAKI HICHO HICHO KIMOJA TU;;KAMA HIVI VYENGINE HAVI ONEKANI KAMA NI VYAMA
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq 27 дней назад
Ikiwa viongozi wametendewa hivyo sisi RAIA wakawaida sindo tutauliwat
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 27 дней назад
Malipo ya majinga ni kuumia.
@user-wg9jl7bp6x
@user-wg9jl7bp6x 26 дней назад
Big up
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 26 дней назад
Amina asante Mungu
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim 26 дней назад
ALOO GWIDO EE USRIPOTI SIASA ZA TANZANIA INCHI HAINA SHERIA HII WATAKUBANA KISHA SISI TUTAKOSA HABARI ZA URUSI TWENDE RUSSIA ACHANA NAO HAWA
@yuhomatvmedia
@yuhomatvmedia 26 дней назад
Usiwaze katiba ya Tz 1977 ibara ya 18 inakupa fursa kusema
@thadeombani7869
@thadeombani7869 26 дней назад
Mbona hutujulishi kinacho endelea urusi nasikia ukrain wameingia huko na wamwkiwasha vibaya mno
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l 26 дней назад
Matamko haya hayana uzito wowote uwoga mwingi na kusifiasifia😂 wakati watu wameumizwa ,
@FatumaRashid-db6cc
@FatumaRashid-db6cc 26 дней назад
Hayo ya lisu na wenzake Wanafki tuu
@GONGALIFESTYLE
@GONGALIFESTYLE 27 дней назад
Hatumtaki mama
@user-rz9xx7nx8t
@user-rz9xx7nx8t 26 дней назад
Pongezi sana kwa waraka huo.maana ni aibu sana kwa tais samia.mumemtia aibu sana rais mpaka kimataifa.
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 27 дней назад
Rais katukanwa mara kibao lakini hamjakemea wala kutoa maandiko hayo.Leo unaleta udini hapa,uoga tu mnapenda sana kupata huruma.
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 26 дней назад
Hakuna mtu choko kama wewe kwa hiyo unataka Bora watu wauwawe kwa sababu ya uchawa wako choko wewe
@Grataaaaa
@Grataaaaa 26 дней назад
Akili zako za mmbu au za chawa
@user-bz3kk5te4m
@user-bz3kk5te4m 26 дней назад
Tumia kichwa
@hajjisanga789
@hajjisanga789 25 дней назад
Na wao waheshim kiti cha rais mda ule kaitwa mzanzibar Hakuna waraka na maneno ya kuudhi sasa mmeona ni mama basi ndio mjue mkileta ujinga mtapata zawadi hapa sio Kenya kwahiyo acheni ubinafsi kama wakweli heshimuni kiti pia maandamano mshafanya wakati ule nchi nzima kwahiyo elewen
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 27 дней назад
This is tanzania
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
Mungu hadhihakiwi. Mungu sikia kilio cha watoto wako. Hii siyo TZ.
@johnjulius3092
@johnjulius3092 27 дней назад
Police na ccm wanavunja Sheria hakuna wa kuwakemea jamani
@ndeshilema4788
@ndeshilema4788 27 дней назад
ubarikiwe baba askofu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
WATUMISHI WA MUNGU ENDELEENI KUPAAZA SAUTI
@alexmatt9504
@alexmatt9504 26 дней назад
Ahsante kwa ufafanuzi kwenye huo waraka,inabidi Chadema wafungue mashtaka dhidi ya Jeshi la Polisi kwa kupeleka vielelezo vyote mahakamani hasa vinavyoonyesha kwamba viongozi wao walipigwa ikiwepo ripoti kutoka kwa daktari na kama itakutwa Polisi wana makosa basi Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani na IGP wajiuzulu nafasi zao.
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 27 дней назад
Wewe askofu muhuni mbona rais kutukanwa watanzania hatujawahi kusikiaukikemeakamaunavyokemea toaujingawako mshenzi sana wewe tunajua maaskofu wengi nichadema kwasababu mzeesilaa acheniuchochezi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 27 дней назад
Unalaaniwa punde kama askofu au sheikh unamwita mhuni Tulia hakujui na wala Rais hakujui usijipendekeze ili uonekane lakini wanaopigwa wanakutetea hata wewe ulie gizani upate kuyatambua mazingira yako kama wewe una bei yako ya sukari basi ujue kuwa sisi wengine tunaumia huku lakini nikufahamishe kuwa Ikulu hawanunui chochote kwa ajili ya matumizi yoyote kutoka mifukoni mwao
@davidmrema2527
@davidmrema2527 26 дней назад
Hii siyo enzi ya kupiga wasomi wanaotuelekeza stadi za kuishi
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 5 дней назад
Kwani huyu mheshimiwa askofu ni msemaji wa chadema?
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 26 дней назад
Amen
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 26 дней назад
Wapigwe tu mana hawana mbinu mbadala toka enzi za mkapa, jk, JPM, hata sasa hawajabuni mbinu mbadala yapo yapo. Hata mtu mzuri yalimpinga. Pigeni kabisa mpka wapate akili
@Moonshine-x8p
@Moonshine-x8p 26 дней назад
MIMI KURA YANGU CHADEMA MMEIPATA 2025. LAKINI NAWAOMBA MUNGU NA WATANZANIA WAKIWAPA NAFASI MSITUMIE KULIPA VISASI ACHENI MUNGU AWALIPE NDO ANAJUA ZAIDI ADHABU YA MUNGU ITAWAPA WANACHOSTAHILI
@rithaurassa
@rithaurassa 24 дня назад
Sasa nyie mnaingiza udini mna hekima kweli Udini mnaujua nyie mliokamata Dola.Ccm Kwa heri hamlitaki Kuna Mtajua hata Kwa LAZMA TUU.
@SungwaFrancis-sx1ls
@SungwaFrancis-sx1ls 27 дней назад
Mwamakula ni Bora ukatangaze kuwa wewe si askofu bali ni mwanasiasa na wanasiasa wakujue wewe ni mwanasiasa mwenzao.
@aloycejames4862
@aloycejames4862 27 дней назад
Gwajima ni askofu?
@PaulMsema
@PaulMsema 27 дней назад
Tena kiongozi wa dini hatakiwi kunyamazia uovu,kupiga na kutesa watesa watu ni mjinga tuu au kichaa tuu ndio anaweza kusifia vitendo hvyo
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 27 дней назад
Tulia ni mshamba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
HAKI HUINUA TAIFA
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 27 дней назад
mbona hapo hajataja ni Mungu yupi maana wako miungu wengi.
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 27 дней назад
HIVI MNAJUA VIJANA WANGAPI WAMEKUFA KENYA?HIVI MNAJUA MATAJIRI WANGAPI WAMEIBIWA KENYA?HIVI MNAJUA VIJANA WANGAPI WAMEKOSA AJIRA BAADA YA MABOSS ZAO KUIBIWA?MLICHOKOSEA NI KUJIFANANISHA NA KENYA,KENYA HAIFAI HATA KWA MFANO
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
Hivi mtu anaadhibiwaje kabla ya kufanya kosa😢😢😢
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 26 дней назад
Anaewaombea ccm,anapoteza muda wake,mungu ashawakataa kitambo.mashetni wakubwa,kiongozi wadini yeyote au muumini wa dini yeyote mcha mungu kutoka moyoni hawezi kupiga goti kwa kuimbea ccm iendelee kubaki katika uso wa dunia,
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 27 дней назад
AMEN 🙏 AMEN 🙏🙏
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 27 дней назад
Wafuguzwe Bila ivyio ni haibu
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 27 дней назад
KWA NCHI ZA WATU WASTAARABU WAZIRI MAMBO YA NDANI ,IGP , HUYO DHALIMU AWADHI WALITAKIWA WAWE WAMEISHA JIUZURU NI AIBU KUBWA.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
SIYO TANZANIA YA SASA
@RajabuSeify
@RajabuSeify 24 дня назад
Waraka wenu nikutokujua usalama wenu hubirini diñi mpate sadaksa siasa waachieni wana siasa pia acheni uchochezi hamtakua salama kwa mungu azabu ipo😊
@Raphael51312
@Raphael51312 27 дней назад
Samia endelea kulinda nchi yetu..... Sisi chadema hatuwataki waje kushika nchi Hawa ni wezi
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 27 дней назад
Sio kweli ndugu nchi inaongozwa na katiba tena kukiwa na mfumo wa kubadilishana madaraka ndipo rushwa zitapungua
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 26 дней назад
Sasa kwa NIni kuwe na vyama vingi??kwa NIni kisibaki kimoja TU Chama Cha ccm;;miaka YOTE;wenye ccm waka panga mwaka HUU RAIS NI HUYU mwaka ujao RAIS NI HUYU::Kama hivi vyama vingine havina thamani:;;Dunia tuna pita TU;makazi yetu kaburini;;MUNGU NDIE mkubwa WA duni mkubwa WA nchi;;;
@knight6757
@knight6757 27 дней назад
🐸👂
@kassimsuleiman6720
@kassimsuleiman6720 27 дней назад
Wachungaji sasa mmenunuliwa na wanasiasa uhuru wa siasa upo ila utaratibu hamuutaki
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 26 дней назад
Wewe ni fara hujitambui wamenunuliwa na nani?
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 26 дней назад
Kwa hiyo yaliyofanyika
@user-hh5bb1gx6v
@user-hh5bb1gx6v 26 дней назад
𝖢𝖢𝖬 𝗎𝗈𝗇𝗀𝗈𝗓𝗂 𝗐𝖺 𝖼𝗁𝖺𝗆𝖺 𝗎𝗓𝖺𝗅𝖾𝗇𝖽𝗈 𝗁𝖺𝗄𝗎𝗇𝖺 𝗇𝖺 𝗁𝗂𝗂 𝗒𝗈𝗍𝖾 𝗇𝗂 𝗄𝗎𝗋𝗎𝗄𝖺𝗋𝗎𝗄𝖺 𝗄𝗐𝖺 𝗆𝖺𝗁𝖺𝗀𝗐𝖾 𝗇𝖽𝗂𝗒𝗈 𝗄𝗎𝗂𝗏𝖺, 𝗁𝖺𝗂𝗐𝖾𝗓𝖾𝗄𝖺𝗇𝗂 𝖢𝗁𝖺𝗆𝖺 𝗄𝖺𝗆𝖺 𝖼𝗁𝖺𝗆𝖺 𝗄𝗂𝗅𝗂𝖼𝗁𝗈𝗉𝗈 𝗆𝖺𝖽𝖺𝗋𝖺𝗄𝖺𝗇𝗂 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗎𝖽𝗁𝖺𝗂𝖿𝗎 𝗄𝗂𝖺𝗌𝗂 𝗁𝗂𝖼𝗁𝗈, 𝗇𝖺 𝗇𝗂 𝗄𝗎𝗃𝗂𝗉𝖺𝗅𝗂𝖺 𝖫𝖺𝖺𝗇𝖺.
Далее