Тёмный
No video :(

Ebitoke - Ben Pol akinigomea Najiua, Nitampa Chochote atakachotaka. 

TimesFMTZ
Подписаться 535 тыс.
Просмотров 480 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

19 июн 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 437   
@zawadirose7554
@zawadirose7554 7 лет назад
Hatari mtoto wawatu alipenda kweli dah mwana mke akipenda anapenda kweli mungu asikie maombi yako pia ben pol
@maryamali7700
@maryamali7700 7 лет назад
acha kuforce love sije ukaja juta baadae Maryam kutoka Dubai
@paschalvicent7497
@paschalvicent7497 7 лет назад
Homorapaa anatamani awe ebitoke
@betricedaud7541
@betricedaud7541 7 лет назад
kwali mapenzi ni upofu waweza penda usipo pendwa, Pole ebitoke, mapenzi ni utumwa mweeeeeeeeee!!!!!! Ben pol Mungu anakuona
@imanimbwaga7005
@imanimbwaga7005 7 лет назад
HAMORAPA HAMORAPA, ANAGAWA MPIRA KWA EBITOKEEE, SHIDAAA SANAAAAAAA TANZANIAAAAA
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 лет назад
khaaaaa BC we yaonesha ulimpendea zile picha eti uliota😝😝😝🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌woyooo ebipol 4 real
@ramadhaanmathey5065
@ramadhaanmathey5065 7 лет назад
Nampenda EBITOKE Anajua Ku Speech maneno ya kimahaba...HAKIKA HUYU DADA ANA KIPAJI
@angelbwija5664
@angelbwija5664 7 лет назад
jamani ebitoke nomaaa sana,hatari sana kabisa,,,, Ben pol mwezako anakupenda 😊😊😊😊
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
ebitoke ndio habari ya mjini amemfunika hadi harmorapa😂😂😂😂😂
@jamesmaleo3407
@jamesmaleo3407 7 лет назад
😝😝😝😝😝😝😝 harmorapa haoni ndani
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 7 лет назад
😂😂😂
@bishopbambwae997
@bishopbambwae997 7 лет назад
Duuuh asee hii sio kiki....kiki haina hadhi hii
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Umeona heeeee!!!
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
+Gerald Ndosi Mama Ashura kafunguka utamu, hadi raha.
@aminarandani5833
@aminarandani5833 7 лет назад
I love this girl for real
@sankaelizabeth8718
@sankaelizabeth8718 7 лет назад
acha balaa zako ebitoke uctuangushe wanawake wenzio, mambo mengine siri yako
@maryjackton6954
@maryjackton6954 7 лет назад
ebitoke don't give up.ben ukimuacha etiboke huna bahati.
@barakajoseph8674
@barakajoseph8674 7 лет назад
ndo ivy ametish mgogo kaoa mhaya suplizeee kwa ebitoke nakubali😇!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@emaesthermuchiri6208
@emaesthermuchiri6208 7 лет назад
Hallow....hio ni kali kweli kuliko zote....yangu macho 2..
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 лет назад
ebitoke mungu akusaidie maana ni wanaume wachache mno wanaojali icya za mchana akisema yuwampendaem emwengi uchukia utani
@jumakabange6347
@jumakabange6347 7 лет назад
Ebitoke ana mapenzi ya dhati kwa ben pol kwa jinsi anavyo ongea unaona kabisa kuwa ni maneno yatokayo moyoni kwake.
@fatmajuma8889
@fatmajuma8889 7 лет назад
Ben pol usimkatae ebitoke Jamani utaua😂😂😂
@sopiaahmad7795
@sopiaahmad7795 7 лет назад
dada ebitoke uko sawa kabisa na mpango wako,gud idear.
@judykimario9946
@judykimario9946 7 лет назад
ebitoke kwiukweli umenikuna mama nimefurah kuona mwanamke jasir kama ww waooo
@aminaibrahim1789
@aminaibrahim1789 7 лет назад
nakupendaje Ebitoke upo juuu mwaya mfano wako bado cjauona
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Ebhana hii cyo kiki, hii ni really love.
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 7 лет назад
Fan Nakupenda Kumbe Ujawai "Rogwa" Love The Representer Maswali Duh Love in the Air
@wazambulitv5735
@wazambulitv5735 7 лет назад
Ebitoke home tunakupend sanaa vituko vyako sanaa tuu mama Ben Pol jichek tuu ucje tulizia Dada etu banaa Hahahah
@aminasaid226
@aminasaid226 7 лет назад
Ebitoke jasiri jamani hongera sana kwa kua jasiri mamy
@khadijaomar767
@khadijaomar767 7 лет назад
hongera ebitoke kwa kujiwekae wazi hisia zako
@khadijaomar767
@khadijaomar767 7 лет назад
hahah tuko tofaoti swaiba mwenzio hisia zake kaziweka wazi
@khadijaomar767
@khadijaomar767 7 лет назад
hahah tuko tofaoti swaiba mwenzio hisia zake kaziweka wazi
@fridasosovele7481
@fridasosovele7481 7 лет назад
God bless you for real
@mathiasmjukuu6505
@mathiasmjukuu6505 7 лет назад
Daaah Huyu demu Kampenda Kweli Jamaniiiiii ,,,,,Maneno matamu -ata Mwenyewe Benpol Atatamani Sana Aile. Slid Ya Ebitoke Hahahhha
@janethfratern4980
@janethfratern4980 7 лет назад
Ebitoke kanitoa chozi jamani 😶😶....Nataman Ben pol Akuelewe.
@marimuhamis3471
@marimuhamis3471 7 лет назад
Hahahahaaaaaaa chezea mubashara ww Ebitoke ng'ang'aniaaaaaa mpaka kieleweke daaah hisia noumaaa.
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 7 лет назад
😂😂😂😂😂nimekupenda bure Ebitoke😘😘😘😘
@twaatwee533
@twaatwee533 7 лет назад
smart lady.Keep it up, Been Paul will love you, no matter what. You are a woman of confidence, we need in you in this world.USA
@theonasarsen7013
@theonasarsen7013 7 лет назад
Ben pol MTT kazamaaa kula sildiii hio blazaaa
@igilimawitandayi7421
@igilimawitandayi7421 7 лет назад
mimi ndio Ben pol aisee ningejaribu kumkula kidogo bhana
@nanciemungai3821
@nanciemungai3821 7 лет назад
nice one Ebitoke watchin frm Doha
@alima7862
@alima7862 7 лет назад
ebitoke ata awo watangazaji wanakuceka Mama ashura anakushanga yani aca kufosi penzi kwamwanawume. badaye wutawumiya kwakile atakaco kufanyiya. beni po bado ajatuliya. anaitaji kila rangi yamwanamuke mwewupe namwenye kisusu aca kuji ayibisha wote wanakuceka sosiri
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 7 лет назад
haahaaa huyu ebitoke kweli kashikwaaaaaaa chezea dudulaaaaa mweeh!
@isaackmwinuka3301
@isaackmwinuka3301 7 лет назад
pamoja xana ebitoke umetisha
@luizaenock9948
@luizaenock9948 7 лет назад
Hahahahaha Ebitoke mweeeee ni shidaaaa
@hemedazizi1284
@hemedazizi1284 7 лет назад
mbona vzur tu Kumwambia usimuhisi vbaya mwanamke pia na yeye anahisia
@luizaenock9948
@luizaenock9948 7 лет назад
Hemed Azizi hapana simwisi vibaya ila awe makini
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 лет назад
Hemed Azizi hisia zipo sawa ila hata mwanaume hawezi tangaza mtandaoni,ndo kwanza nasikiliza kwa ebitoke kusema hadharani kwenye mitandao,,
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 лет назад
Hemed Azizi sawa kaishatangaza hisia zake ila Majibu ayapokee tu kama ni ndio au hapana,,ili mzazi mwenza na ben pol awe salama anaweza akajiua na yeye kwasababu ya ebitoke kumzibia rizki kumyanga'nya mwanaume wake,,bora Ben pol angekuwa single ingekuwa poa,,basi awaoe wote wawili mi naona ebitoke nikama anahamasisha mwenzie aachwe ili awepo yeye,,umeona wapi hiyo basi ben awaoe wote na aliemzalia kwa uchungu abaki salama😢😢😢
@hemedazizi1284
@hemedazizi1284 7 лет назад
+Mira Abdullah mm natafuta mwanamke kama huyo afunguke kwangu nahic moyo wangu utatulia mana wanawake wengi wanapenda mali tu
@kipepeo410
@kipepeo410 7 лет назад
vizur Sana dada ongera vzur kwa kueleza isia yako
@zeinabguthera1299
@zeinabguthera1299 7 лет назад
ebitoke masha Allah.ama kweli she is in love
@filbertmasanganya7895
@filbertmasanganya7895 7 лет назад
bitoke love sanaaaa wew
@theodoralalika6869
@theodoralalika6869 5 лет назад
Nakupendaga sana ebitoke nice
@masoudmiraji845
@masoudmiraji845 7 лет назад
dah! nimevutiwa sana na ujasiri wa uyo mdada
@tinasanta4080
@tinasanta4080 6 лет назад
Mbio za sakafuni huiishia ukingoni,haya mbona hatujasikia umejiua Ebitoke 😁😁😁uliambiwa mjini shule ukajitia hamunazo
@zubedamwasha8010
@zubedamwasha8010 6 лет назад
Tina Santa..........hahahahahahah mbavu zangu
@Jjstarfashion3567
@Jjstarfashion3567 7 лет назад
Unyu jamaa anamganda sana ebitoke😂😂
@engomaryshibe8445
@engomaryshibe8445 7 лет назад
bibi khadija pia alimwambia mtume Muhammad saw Kama anampenda,hivyo ebitoke sio kioja
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 лет назад
Omary shibe sawa ni kweli ya bihadija na mtume,,ila sio kama ebitoke kutangaza mitandaoni alafu ben pol hayupo singel anamzazi mwenzie na wangekuwa waislam angewaoa wote,,sasa nani aachike kwa ben pol??aliezaa nae au ebitoke?shughuli ipo ebitoke anatumia mabavu kuchukua mwanaume wa mwanamke mwenzie😨😨😨wabadili dini basi awaoe wote
@engomaryshibe8445
@engomaryshibe8445 7 лет назад
Mira Abdullah hapo kazi ipo wacha mziki uanze..tunasikiliza tu
@miraabdullah57
@miraabdullah57 7 лет назад
Omary shibe 😅😅😅😀hatariii, ,
@lilianstanley3288
@lilianstanley3288 7 лет назад
ana moyo wa kishujaa kwel, wamebak wachache watu kama hawa
@papilumona1896
@papilumona1896 7 лет назад
shida ebitoke anapenda sana korogwa
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 7 лет назад
namkubali ebitoke yuko harisi
@raymondjulius7614
@raymondjulius7614 7 лет назад
Kaza sana dada Ebitoke!
@valerieedwin2544
@valerieedwin2544 7 лет назад
Ebitoke tafadhali harmorapa yualia na wewe. muache ben pol coz yuakudanganya. mtunzie harmorapa yuakuhitaji
@zaitunamrangi950
@zaitunamrangi950 7 лет назад
Ujiue kwa ajili ya mwanaume loh pole yako we ukifa mwenzio aponda raha kama kawa hahahaaa ebitoke mtihan wewe😂😂😂😂from Oman 🇴🇲
@cutesarah376
@cutesarah376 7 лет назад
Mh
@naimarama5741
@naimarama5741 7 лет назад
😀😀😀chiz sijiui kwaajili ya mwanaume mm
@mariumjuma608
@mariumjuma608 7 лет назад
ebitoke wewe Noma sana Love you
@jamesmaleo3407
@jamesmaleo3407 7 лет назад
oyoooooo ebitoke we ni mwanamke shujaa kweli
@gracemushi1283
@gracemushi1283 7 лет назад
ebitoke, Kama ni mkristo tubu futa Hilo neno la kujiuwa, maana hata kama sio benpol utakuja jiuwa ukiachwa na mwanaume mengine, mdomo unaumba, utakufa kwa ajili ya mapenzi, kwa kuwa umesha jinenea kujiuwa, na ukumbuke mapenzi yanaumiza,
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 лет назад
mmmmh we kama wajiuwa jiuwe tu ila mm naona kama upuuzi tu Ebitoke
@umusaeedahamed5383
@umusaeedahamed5383 7 лет назад
ebitoke we mtoto mdogo Sana Ila wacha kujivisha mashaka Ben pol angekua anakupenda yeye hapo lakini ww wajipendekeza kwamtu alo na shuhuli zake
@davidndomba1068
@davidndomba1068 7 лет назад
há há há a 😁😁😁😁😁😁😁 maigizo mengine bhana 😂😂😂😂 et utajiua,,,,, ### mambo madogo yatakupeleka pabaya soma sheria..... kwan
@silaonesmo1322
@silaonesmo1322 7 лет назад
nmependa Ebitok Ulivyofunguka
@kulwamkopak6190
@kulwamkopak6190 7 лет назад
ebitoke wanaume Wengi majanga naamini ungetuliza moyo
@hancengobola5200
@hancengobola5200 7 лет назад
ebitoke nomaaaa San
@wilfredjoseph7899
@wilfredjoseph7899 7 лет назад
ebitoke we ndiyo habar ya mjini
@hapakazi7907
@hapakazi7907 7 лет назад
Huyu dada msenge kweli 😂 Hahahaaaaaaa
@khadigappi3618
@khadigappi3618 6 лет назад
Duuuuuuuuu hii kali shikamoo mapenzi
@aminamassare888
@aminamassare888 7 лет назад
kwel hii tz ina mambo mengi kaaah nmecheka ebitoke mpk bac
@faridaramson6266
@faridaramson6266 7 лет назад
vichekesho vya ebitoke
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 7 лет назад
eti nimekutunzia sealed yako hahahahah daaah ndugu yangu huyu naye daaah
@SouthTheatreAcademyTVsu
@SouthTheatreAcademyTVsu 7 лет назад
😂😂😂 oooh my ribs... Ebitoke wewe ndiyo Wife material 100% i SAY. Niko nauakika u will be a great wife to any man that will marry you. like za Ebitoke hapa chini Jameeni.
@zaifathussein8195
@zaifathussein8195 7 лет назад
STA TV South Sudan sure
@majumaq59
@majumaq59 7 лет назад
kweli huyu mtoto anabikra mwenya bikra huwa anaaibu
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 7 лет назад
wacheni kusumbua huyu sana na maswali mob Mungu aweone tu mapenzi ni sumu dada ashaa penda ben pol
@najmababz2410
@najmababz2410 7 лет назад
😂😂😂😂you made my day EBITOKE, ,BUT uko aawa kuweka isia zako wazi ila chunga asije kuacha koz ulimfoce
@suzansimbatohana8075
@suzansimbatohana8075 7 лет назад
Nimependa sauti na maelezo ya Mama Ashura
@saidahj2543
@saidahj2543 7 лет назад
big up Ebitoke
@hagighkf8604
@hagighkf8604 7 лет назад
bado mdogo sana wew kwanin unajiangaisha? unaonekana huwajui vzr wanaume wew.
@shabanimachibya4806
@shabanimachibya4806 7 лет назад
nampenda sana dokii
@shizomiller8873
@shizomiller8873 7 лет назад
U a so bright ebitoke
@marymayeye7947
@marymayeye7947 7 лет назад
bby rey, kila Mtu anaisia zake hajakulazimisha ufatilia, ndiyo akuchafuwa usiharibu Saumu yako kwa sababu ya Ebetoke .pole mpedwa!
@lachelmethusela8533
@lachelmethusela8533 7 лет назад
hongera ebitoke nakuombea san ben pole niwako lov u
@celvinjamec9282
@celvinjamec9282 7 лет назад
mwambie icia zako akuelewe Ben pol
@salhaayoubalmas7127
@salhaayoubalmas7127 6 лет назад
duh umetutumua haswaa ebitoke ila sishangai sana maana kabila lako linakuruhusu kuto kuona haya.
@subiracharles8722
@subiracharles8722 7 лет назад
Ebitoke umefunguka hadi raha
@reybaby6783
@reybaby6783 7 лет назад
balaa sana Ebitoke
@valerieedwin2544
@valerieedwin2544 7 лет назад
ha ha ha wee ebitoke kaamua kukitunza kwa sababu ya ben pol.utaniuwa wewe ebitoke
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 7 лет назад
je Ben paul nae kakitunza kweli?
@valerieedwin2544
@valerieedwin2544 7 лет назад
Mussa Tendeli aah wapi.yuaka ka mtu wa kupeana kuni
@khadija0mar238
@khadija0mar238 7 лет назад
Mussa Tendeli jamani mhh kazi ipo
@aminasaid226
@aminasaid226 7 лет назад
Neema Abdallah
@tamika5440
@tamika5440 7 лет назад
ebi am happy for you dear.
@cestjolie5574
@cestjolie5574 7 лет назад
Oh God, et atajiua kwajil yake😭😭😭😭😭😭😭😭??? kwel Mungu akusaidie dada uez kuish nae milele il u6je jiua bure akikukataa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭...
@seraphianombo5506
@seraphianombo5506 7 лет назад
mbavu zangu jamani ebitoke nafwaaaaaaa
@godiiurassa5400
@godiiurassa5400 7 лет назад
ebitoke kweli hana aibu
@KWEMILY
@KWEMILY 7 лет назад
am a Kenyan.I have never seen this in here...lmao!
@naomymtiki6789
@naomymtiki6789 7 лет назад
Jaman muachen ebitoke kapenda kaoza
@belysejumabb7485
@belysejumabb7485 7 лет назад
haya basi nammi namtunzia idris sultan😀😀😀😀😀😀😀
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 7 лет назад
Huy Dada kachanganyikiwa mapenz ni shida.
@kulwamaugele4024
@kulwamaugele4024 7 лет назад
safi sana kwa majibu mazuli
@dexvlogdexstar8673
@dexvlogdexstar8673 7 лет назад
dah Ebitoke unazingua
@qaysimilanzi9354
@qaysimilanzi9354 6 лет назад
Dah! Kiukweli bitoke kauzunisha sana hii story yake, kiukweli ata ningekuwa mimi sidhani kama ningemuacha, ila Jambo nzuri umeeleza hisia zako big up sana Dada, jamaa nadhani kasikia awezikukukataa kwa jinsi ulivyo onesha hisia zako. Ila kumbukeni watoto wenu lazima waje kuoa hii video jinsi mlivyo kutana.
@jerseym.robloxian7248
@jerseym.robloxian7248 7 лет назад
atakupenda siyo kiivyo aisee
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 6 лет назад
beautiful ebitoke!
@daybrelimite6126
@daybrelimite6126 7 лет назад
Harmonundu haoni ndani sa hvi mjini na Ebk....wa pol
@elinidickson6357
@elinidickson6357 7 лет назад
dah nzuri sana
@mamujally3814
@mamujally3814 7 лет назад
Sanaa sasa mmh!! umgande mwana wa watu ka ulotumwa
@matiasyathumani4726
@matiasyathumani4726 7 лет назад
ebitoke safi sana
@Nickojunior
@Nickojunior 7 лет назад
huu demu is beautiful we unaona je ?
@denismzale7390
@denismzale7390 7 лет назад
mungu akusaidie mdogo wangu
@alialbusaidi9130
@alialbusaidi9130 7 лет назад
Jaman Na mm nampenda mtangazaji
@acreysteven5997
@acreysteven5997 7 лет назад
Ni shida ebitoke jmn
Далее
Gelik yoki Velik?
00:20
Просмотров 464 тыс.
ASLAY - ANGEKUONA (OFFICIAL VIDEO)
3:47
Просмотров 17 млн