Тёмный

EBITOKE KAMKOMESHA TENA MLELA CHEKI MPENZI WAKE MPYA.RAHA TU 

Подписаться
Просмотров 78 тыс.
% 384

#theminutestv #ebitoke #Mlela

Развлечения

Опубликовано:

 

15 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@rachaelsabiti5615
@rachaelsabiti5615 4 года назад
Ebitoke you’re looking so beautiful my dear just move on
@charleskisanga6822
@charleskisanga6822 4 года назад
Uyo mwana ume siyo mbwa
@alimaalima6016
@alimaalima6016 4 года назад
Wapendeza sana. ..Ebitoke hongera
@tusamwangasa3156
@tusamwangasa3156 4 года назад
Watangazaji wa the minutes big up kwenu bonegy love much bro ang
@shamimswabra6459
@shamimswabra6459 4 года назад
Mbona sikomi🤗 ndio hayo ss nkiumizwa leo kesho nna mwengine😂😂😂
@khadijazinga8173
@khadijazinga8173 4 года назад
😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Duh huyo na sie walahi style zile zile uwiii pole wewe Dada
@ismisalmu7058
@ismisalmu7058 4 года назад
Walhai shida
@tatusharifu4924
@tatusharifu4924 4 года назад
Uyo ni bod gad wake
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 года назад
Si mpenzi wake madia tuu izo
@ayushjhay1979
@ayushjhay1979 4 года назад
Utachezewa sana dada maana waume ni wale wale.ww fanya kazi mapenzi ayaishi
@amissaitangisha8586
@amissaitangisha8586 4 года назад
Kitenge iko wapi amuone shemeji mpya
@mishiomarabdhallahassan6106
@mishiomarabdhallahassan6106 4 года назад
Bodyguard kama wote thezea ebi nn team kipigo hakinaga masiara😂😂😂
@ruqiyaruq5142
@ruqiyaruq5142 4 года назад
Uyo mpo sawa kwanza nimependa
@tinnaebunka8848
@tinnaebunka8848 4 года назад
Ebi umenoga ila mbona sielewi huyo ndo shem mpya au pls answer me
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kumbe uko vizuri katika kulea mariooooo na kwa mtindo huo utalia sana!!!!
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 4 года назад
Ebi mapema mama ungetuliza akiri kwanza my lv 😘😘
@zakizzyjrajuu1706
@zakizzyjrajuu1706 4 года назад
Kanana kangu umependeza saaaana mwaaaaa love
@sulaimanafrican8134
@sulaimanafrican8134 4 года назад
Unajikomoa ebey ungefata kazi tu
@TanzaniOman
@TanzaniOman 4 года назад
Mm nakukumbusha 2 ckuzote mwanaume hakomolewi kiivo zaid utakua unajikomoa mwenyew kaachin ujitambue kwanza
@mamyemmymohd5891
@mamyemmymohd5891 4 года назад
Ebi tunakupenda sana pia naomba nikushauri km shabiki wako kwasasa ungetulia na kuangalia maisha mengine acha na wanaume mana wanaume si watu wazur ht kidg fanya kazi mapenzi yanakuja wenye pindi ukituliza akili coz umeumizwa sana mama
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 4 года назад
Jamaa amekomaaaa kama matako ya nyani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@josiepinky177
@josiepinky177 4 года назад
Mbona hyu kaka mmbaya hmmm🤯🤯🤯😟😟😟👀👀milipsi sasa
@tbs0583
@tbs0583 4 года назад
Nilikuw sijamuona vizur huyu jamaa km umeona wigi la huyu jamaa like hapa
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 года назад
Hey ebi nakupenda lkn chunga...
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 4 года назад
U need deliverance to discover ur self I pray God to touch ur live an set u free in Jesus mighty name Amen
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 4 года назад
Ebitoke ujazoe kope nani kaona anavyopepesa macho gonga like hapa
@officialgifty5208
@officialgifty5208 4 года назад
Wala sio kope chunguza akiulizwa kuhus mlela kuna point anafkia anataka kulia kila anapoulizwa hiyo hali inamtokea hop anamaumiv sana anajitaid kukaa kawaida na kz ziendelee lkn akiwa sehem tuliv yaonesha analia sana angalia vzr hapo kataka kulia huyo mjamaa kamchukua waondoke
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@julytito3891
@julytito3891 4 года назад
Hahahahahah mm sina neno napita tu
@zubedamwalami2620
@zubedamwalami2620 4 года назад
Mapenzi ya wabongo bwana ebitoke nawewe haya huyo utampa million ngapi kwa style hii utawapata wengi
@happynessmarki2780
@happynessmarki2780 4 года назад
Unapotea dea,kama n mtu wako kwel,,,take careee
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 года назад
🤣🤣🤣🤣ebi ungetulia kwa kipindi hiki usishindane na mwanaume
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 4 года назад
😂😂😂Ebitoke naona nyimbo za Diamond zamusu mawegi tuna kanyaga,Ebitoke mama lao,alivo nifanyia mlela siyawezi sema ila nimejifunza siwaamini wacheza sinemaa moyo aliupatia mateso na wegi lawatu nikaenda toa..bado sikomi skomii...reeemix ndo hiyo sasa
@happymaiko5121
@happymaiko5121 4 года назад
Hahaha
@rosemaryhuka4177
@rosemaryhuka4177 4 года назад
Hahaha hahaha umetsha sana
@nimahassen4686
@nimahassen4686 4 года назад
🤣🤣🤣🤣👊
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 4 года назад
Hahahaaaaa
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Ni kweli mariam. Ya Ebi wanasemaga hivyo mapenzi hayaigizi hata mie nilisema
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 года назад
Huyo anakufaaa! Mdogo angu
@Nickojunior
@Nickojunior 4 года назад
Hahah huu ni Bouncer wake 👊🏻😂 Dogo anaogopa mic na camera 📷
@rehemaadhur4643
@rehemaadhur4643 4 года назад
Haaaa yajayo yana furahisha
@neemakiwasila5815
@neemakiwasila5815 4 года назад
Hahaaaa haaaaaaaaa
@solomonimkwere498
@solomonimkwere498 4 года назад
waa vitunguu anaonekana kauzu kweli katiyao kunanini
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 4 года назад
Borake usitulilie tenaaaaaaa Usiseme ni kiki Ebitoke nmekuita mara kadhaa I hope you are okay
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Mondi ebu remix ya MBONA SIKOMI naitaka
@mkandamizajimkandamizaji584
@mkandamizajimkandamizaji584 4 года назад
🤝
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 4 года назад
Hivi aliachana na Ben Paul!!!?! Ebipaul hahahhaha ,nipen like za Ebipaul
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 года назад
Daah ebitoke mzuri sana lkn 🤔😂
@esperancenathali
@esperancenathali 4 года назад
Balaaah uwiii mapenzi kizunguzungu kweli
@rahmasuweyd827
@rahmasuweyd827 4 года назад
Hehehhehehe ebi unachezewa mbna
@jumayusuph8471
@jumayusuph8471 4 года назад
Yani huyu naye Ni kichefuchefu Sana mamaeeeh yani haya mapenzi bhana alafu wew ebitoke ujui kuchagua njoo kwangu upate raha dah huyu jamaa sura imemkauka utazani kileja kilichopatwa na mchanga.
@fauziaisma1335
@fauziaisma1335 4 года назад
Mapenzi yanarun dunia
@adelinesayore192
@adelinesayore192 4 года назад
Duh
@elizapanga9532
@elizapanga9532 4 года назад
Mh jamani
@kababatatu1060
@kababatatu1060 4 года назад
Hahaaaaa
@jonathanmichael602
@jonathanmichael602 4 года назад
Juma hujafa hujaumbika weee sio uliomuumba ogopa Sana kukosoa uumbaji was Mungu🤐
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 4 года назад
Huyo nae ana milioni kumi au,,,,,unatuambia unataka mwanaume mwenye hela sasa huyo ana hela sana ,,,,,
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 года назад
Dmond njoo tufanye remix ya SIKOMI 🙈🙈🙈
@aminamatengu6837
@aminamatengu6837 4 года назад
Hahahaaaa nimecheek
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 года назад
@@aminamatengu6837 walimwengu tuna vijimambo 🙄🙄😃😃😃
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 года назад
Huyo bwana mwenyewe kanyata
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 года назад
Ebitoke kwakweli unajielewa, karibu Belgium
@pendomatobo975
@pendomatobo975 4 года назад
Oo sahiv sitaki mpenz hata mwez bado
@bartvonline9084
@bartvonline9084 4 года назад
TAZAMA EBITOKE ALIVYO MFANYA MLELA 👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-LpCEBBxgDNQ.html
@jenifferassenga361
@jenifferassenga361 4 года назад
Yeeesu na Maria😂😂
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 4 года назад
Have mercy on us in Jesus mighty name Amen
@finemubah
@finemubah 4 года назад
Daah hizi Kiki hizi,nitafungua balaza la Kiki tanzania
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 4 года назад
Waandishi mngemuacha huyu mtoto akapumzika maswali yenu ya kumchuma na mnajua hakajui kujibu maswali. Ni wazi alimpenda Mlela na Mlela alikua anamtumia tu. Kapewa onyo ili aendelee na kazi yake kwa usalama, anajitahidi kujizuia kutukana hadharani mngemuacha sasa
@sarahminja7255
@sarahminja7255 4 года назад
Jamani hizi kiki ni nomaaaa
@janeesilayo4435
@janeesilayo4435 4 года назад
But huyo kijana ni saizi wa ebitoke mlela hata waendane hata
@preciouscute407
@preciouscute407 4 года назад
Ohooo
@witnessjosephmtanke4757
@witnessjosephmtanke4757 4 года назад
Eb acha usenge bas
@anitucciamuvurwaneza8579
@anitucciamuvurwaneza8579 4 года назад
Haaaaa ebitoke umeniangusha yani kweli hulikuwa hueneyanikabisa awo njo wasaizi yakoo😅😅😅😅🙊
@kavirasikulihopejoyce3413
@kavirasikulihopejoyce3413 4 года назад
Umependeza mimi na kukubali da ebi
@halimams2127
@halimams2127 4 года назад
ahaaaa kumbe ebitoke ulikua nakidum pumbavu siku chache tuu una mwingine ukimwi haushi tanzania
@aminamakacha6258
@aminamakacha6258 4 года назад
Weraaa na. huyo Ana. hudumiwa🤣🤣🤣🤣
@kababatatu1060
@kababatatu1060 4 года назад
Hhaahahah aendelee tu kuhudumia
@omanjahaziipojuusanaphone6563
@omanjahaziipojuusanaphone6563 4 года назад
Sf pg kazi achana na ujinga wa wanaume ni mateperi tuh hawapendi kufanya kaxi
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 4 года назад
Ebitokeee kizungu 😂😂😂😂i dont love hem
@mercyhabathi6198
@mercyhabathi6198 4 года назад
Haha. Abitoke. Najuwa. Watak. Naw. Umumize. Mlela
@witnesskihaga2241
@witnesskihaga2241 4 года назад
Wengine jaman mnaachana na wengine wapo pending
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 4 года назад
Na huyo akizingua mpe chai nae!!
@SophhhiaOnono
@SophhhiaOnono 4 года назад
Ebi ww ni mrembo piga kazi maa
@lucyngwale5645
@lucyngwale5645 4 года назад
Ebitoke acha kuhagaika nawanaume ushamba huo baba agaliakazi kwa sasa
@rehemajuma655
@rehemajuma655 4 года назад
Kwa urembo upi sasa
@SophhhiaOnono
@SophhhiaOnono 4 года назад
Mbonaa abi ni mrembo tuu tena bado mdogo sana
@rehemajuma655
@rehemajuma655 4 года назад
@@SophhhiaOnono bado mdogo angalia alivyokomaa sura, mwanamke hata ukijiona mrembo vipi usipotulia ukajenga maisha yako Kazi kuruka ruka ovyo na kila mwanaume urembo wako ni bure tu, heshima ya mwanamke ni mume mmoja na kuwa na familia yako, sio kutwa kashfa mtandaoni, amuulize mwenzake wema na akina johari, walikuwaga warembo wakavuma sana, lakini now wanataman ndoa hawazipati sababu ya ujinga wa kutojielewa
@regneralex819
@regneralex819 4 года назад
😂😂😂uyo wa vitunguu kanyata😂
@ayshasalim6118
@ayshasalim6118 4 года назад
Hahahaha
@rhodaamimo3581
@rhodaamimo3581 4 года назад
😲😂😂😂😂😂
@regneralex819
@regneralex819 4 года назад
😂😂😂
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 4 года назад
duuuh ujachukua mda mref una mwingin😂😂😂😂
@evasadala4409
@evasadala4409 4 года назад
mhmhmhmh kazi kwel ss huyu nae alindwa nini kwel ajira hamna watalinda hata visivyo lindika kaa nishida2
@aishaaisha18
@aishaaisha18 4 года назад
Kwel ww hujaoshi kaz inyokupa pesa ndio kaz yk ingawa wao wanalinda waliohai je wanaolinda makaburi utasemaje
@suzypastory1864
@suzypastory1864 4 года назад
uwiiiiii.sikio la kufa.alisiki dawa ebitoke awamui unavua nguo nakutembea uchi
@janethlusasi3048
@janethlusasi3048 4 года назад
Duh na hiyo mikope sasa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Siku hizi wanaume ni kuvaa hereni na kusuka nywele,,,,,,,,,,,basi unapata demu wa kukulea!!! Hahahaaa!!!
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 года назад
Tatizo la mapenzi mtu akiumizwa uona shuluwisho ni kupata mpenzi mwengine kwa wakati ule ule ili amkomeshe alie mwacha ila anae pendwa na mtu amwtoka kuwachana na mtu ampendae ua hapana tenaapenzi ya kweli
@adamuadamu855
@adamuadamu855 4 года назад
ebitoke uyo mwanaume anagar na nyumba hhhhh
@mingumatai6559
@mingumatai6559 4 года назад
Kameshikwa benet hana pakupumua hehehe ebitoke akili huna hata zakunyelea kumbavu
@stellaloves9879
@stellaloves9879 4 года назад
Jamani ebitoke mbona ni juzi tu ugetulia kwanza
@mariemymare5879
@mariemymare5879 4 года назад
Jipange kwanza
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 года назад
Mtangazaji achamaswali yy pia anamoyo lzm apate mwezake
@ruqiyaruq5142
@ruqiyaruq5142 4 года назад
Wacha we ebitoke kama bwana wako nakukubali me mlela simpendi sababu akupendi upo mdogo wangu
@kalungikingalu9694
@kalungikingalu9694 4 года назад
Kweli nimeamini wanawake viti vya basi ananyanyuka huyu mwingine anakaaa Du!!!!!!!
@damianmwamelo5949
@damianmwamelo5949 4 года назад
Ebitoke mjinga hatari kanapenda kiki
@Basagamp4
@Basagamp4 4 года назад
Ujanja Mwiiingi mbele Giza
@anithagilibert6808
@anithagilibert6808 4 года назад
Jamani kwahiyo mumeona mfanye mashindano
@tundaclassic2704
@tundaclassic2704 4 года назад
Wanahabari wabongo mupunguze umbea
@dericachristian6235
@dericachristian6235 4 года назад
Hahaaaaa eb jaman naona wa nywele za rangi ya blue amekushinda sasa ni zam ya nyekundu hahaaaaaaa wakomeshe,wakomeshe
@nahianahia2635
@nahianahia2635 4 года назад
Khaaa sio poa
@rajabmsinzia7921
@rajabmsinzia7921 4 года назад
In short huyu demu hajielewi masikini angalia katoka kuruka mkojo anakanyaka mavi hehehe hebu muwangalie huyo katuni au challe Chaplin aliekuwa nae duh
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 4 года назад
Ebu mwaacheni ebi banaa😎😎
@aishamawalla733
@aishamawalla733 4 года назад
Ebi domo la shemela na kiduku cha rasta hahahaha
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад
KILA MTU TANZANIA ATAKUWA STAR
@memawiliam8221
@memawiliam8221 4 года назад
Ahaha ebi ww hufai hata kdg😤😤😤😤
@germanamrosso3188
@germanamrosso3188 4 года назад
Ebitoke punguani,ukiumizwa cool down,sio kutafuta mpenzi mwingine kwa wakati mfupi, inawezekana hii ni movie
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 года назад
Waandishi wengi mtakwenda motoni kwa uongo mnamtukanisha dada wa watu tuu wapi alimtambulisha kuwa ni mpenzi wake umbea ufitina tuu ndo mnaoujua sasa akitukanwa na nyiny mnaandikiwa maovu mkumbuke kuna cku ya kufa iyo kazi mtaiacha
@shamilarashid346
@shamilarashid346 4 года назад
hivi ukikaa.bila kua na bwana unajisikiaje.au unapungukiwa na nn.juzi2 leo mmmmmmmh
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Na hizo nywele wewe Dada Ebitoke mbona unapenda vitu vya ajabu ajabu.Tulia acha kujitia aibu
@seifsharrif4461
@seifsharrif4461 4 года назад
Nywele tena zimekuwaje
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 года назад
Umependeza ebitoke wetu
@morineinziani1080
@morineinziani1080 4 года назад
Huyu naye apana..
@amishawatif8222
@amishawatif8222 4 года назад
Ebi ww mtoto saaana umesalitiwa Na waume wawili Tulia angalia life yako ya mbele utaishiwa usipojiangalia mdogo wangu umekosea saaaana dogo
@leonardflavour7533
@leonardflavour7533 4 года назад
Wew fala ndomaana unaachwaaa
@mercyjairos8694
@mercyjairos8694 4 года назад
Hawa wote warikuwa malaya 2 nimeamin..
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Basi waandishi wa Habari hawatolala wala hawato tafuta vitu vywa maana
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 4 года назад
Huyu nae ebitoke kwa kuokotaokota kweli huyu kibibi jitu
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 4 года назад
Ebi choko tu mna tuletea ujinga tu hapa
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 года назад
Kijamaa ni kishmba ata kujibu hakijui
@nazleenabdirahman461
@nazleenabdirahman461 4 года назад
Ebitokee iko mrembooo
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
Uyo kaka kafanana na Diamond kipindi hicho. Diamond alikuwa hivo kipind hicho. Eb na ww et najalib jalib utajalibiwa sana kwa hapo Tz ukichoka tulia kama wema
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 года назад
Sasa huyu mbona ana vitunguu kichwani?
@mariamukingazi3668
@mariamukingazi3668 4 года назад
Hahaha halaf kabaya
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Vitunguu na pili pili boga
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Majanga tu hadi naona aibu kwa kweli
@Sifam634
@Sifam634 4 года назад
Wivu ,ebitoke kapendeza.
@ommyTv194
@ommyTv194 4 года назад
duuuu jaman
@fatmaomar8497
@fatmaomar8497 4 года назад
Ebi nakwambia wanaume isijirahisishe..na huyo atakuchezea akutupe mbali
@beatycosta6352
@beatycosta6352 4 года назад
😂😂😂😂mmefanana