Тёмный
No video :(

EBITOKE NA MLELA USO KWA USO BAADA YA UGOMVI/EBITOKE HANIDAI/ZILIKUWA HASIRA/ANAMISS MAPENZI YANGU 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 494 тыс.
50% 1

Baada ya Msanii Ebitoke kumfanyia fujo aliyedaiwa kuwa mpenzi wake Yusuph Mlela, leo wameeitwa na uongozi wa chama cha wacheza filamu mkoa wa Kinondoni na kupatanishwa.Ebitoke aomba radhi kwa Watanzania na wadau wa sanaa.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@irenemoris2855
@irenemoris2855 4 года назад
Mlela muongo ET labla kamisi penzi langu then baadae anasema n rafiki km unahc mlela marioooo gonga like twende sawa
@julianapeter8482
@julianapeter8482 4 года назад
Amemis penz kivip nakat walikuw kikaz tu cy kmapnz uyu mlela mshenzi
@irenemoris2855
@irenemoris2855 4 года назад
@@julianapeter8482 anajichanganya
@edwinswallo9602
@edwinswallo9602 4 года назад
Ujaona kasema alipiga kizungu akasepa haikuwa serious relation
@irenemoris2855
@irenemoris2855 4 года назад
@@edwinswallo9602 lakin haipendez kumchezea mtu kiivo yaaan nyie wanaume wenye io kupiga kizungu mungu anawaona
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 года назад
Alipga kizungu yuko sawa. Achen swaga
@beutymttobeutty2273
@beutymttobeutty2273 4 года назад
Kama umeona yusuf ni muongo gonga like😂😂😂😂😂😂
@bensonsilivery3660
@bensonsilivery3660 4 года назад
Tena muongo sana
@anatolyeleutery4100
@anatolyeleutery4100 4 года назад
beuty mtto beutty tena muongo pureeeee
@africandarling6925
@africandarling6925 4 года назад
Macho tu yamsuta Looooooooohhhhh
@shekinahfaymatatiana5875
@shekinahfaymatatiana5875 4 года назад
kiki zina msumbuwa 😖
@ommyTv194
@ommyTv194 4 года назад
mshaaaamba tyuuu mlelaa
@angelstephan218
@angelstephan218 4 года назад
Kiukweli aliyeona kuwa ebitoke bado hajasamehe anatunza kazi yake na bado anahasira za kumnyoa mlela nywele kwamkono gonga like
@Esty1248
@Esty1248 4 года назад
Akienda kumnyoa aniite nimsaidie, nitamnyoa na uma 😂😂😂😂. Kuchezea wanawake
@angelstephan218
@angelstephan218 4 года назад
@@Esty1248 hahahha
@marthaomary9539
@marthaomary9539 4 года назад
Angel Stephan hahaaaaa yaaani
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@johnmanento4454
@johnmanento4454 4 года назад
@@Esty1248 😂😂😂
@tysonphilip2094
@tysonphilip2094 4 года назад
Kama umeona mlela mshamba wa mapenzi gonga like
@najmaabdul3836
@najmaabdul3836 4 года назад
Mshamba sana huyu mpuuz leo anasem a ukweli kuwa kayamis mapenz yake sasa inakuwaje kuwa mnafanya biashara wakat unasema amemis mapenz yako mbwa ww
@joyceamoni8728
@joyceamoni8728 4 года назад
Yani afai
@suleshak4547
@suleshak4547 4 года назад
Tyson Philip mmmh
@ariyuabbakari7301
@ariyuabbakari7301 4 года назад
Nashukuru Sana washuruishi maana wawiri hao kupitia sanaa zao niriwapenda mno rakini kwa hiri waritaka kupunguza washabiki
@kinjakiputa6772
@kinjakiputa6772 4 года назад
@@ariyuabbakari7301 keel mshamb huy yusufu boy
@crismamapunda7831
@crismamapunda7831 4 года назад
Mlelaaaa yan haufanan na umarioooo.yan sjui unakwama WAP.ebii mama pole sana endelea na maisha yako
@chloenyota4823
@chloenyota4823 4 года назад
😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kamirogosasiri9097
@kamirogosasiri9097 4 года назад
Ebitoke akusamehe
@humudsaid5278
@humudsaid5278 4 года назад
Hafai mlela nooma
@humudsaid5278
@humudsaid5278 4 года назад
Msamaha ndio suluhu tu
@humudsaid5278
@humudsaid5278 4 года назад
Bora wasameheane tu.
@fredtchalewandeki1431
@fredtchalewandeki1431 4 года назад
Namshukuru Mungu sana kwaajili yako Ebitoke. Nakuomba sana umtambue Mungu katika maamuzi yako kuwa anayo nafasi kubwa sana. Majibu yako is of a matured lady. I love your response mbele ya chombo cha habari.
@fatmalyego2531
@fatmalyego2531 4 года назад
Pole my dear najua umeonakana umekosea, poleee wangu mungu ndyo mtenda haki
@thelesiakalinga5214
@thelesiakalinga5214 4 года назад
Fatma lyego sio vizuri uvofanya
@shummylove4611
@shummylove4611 4 года назад
Wangapi siku izi wapo muda wote kwenye Youtubu kufatilia Historia ya Youssuf na Ebitoke tujuane apa wadau
@stellaloves9879
@stellaloves9879 4 года назад
Yeni sikosi
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 года назад
😂😂😂
@esdaroyaute8992
@esdaroyaute8992 4 года назад
MIMI KUTOKA CONGO KEIKEIKEIE
@marrymgimba7905
@marrymgimba7905 4 года назад
Mmh
@rahmasuweyd827
@rahmasuweyd827 4 года назад
Mm nnae huyu mpaka amlipe eby
@everlynekakatoi1704
@everlynekakatoi1704 4 года назад
Wow!I love what am hearing from ebitoke,hongera ebitoke
@antonymsalilwa7180
@antonymsalilwa7180 4 года назад
Ambaye amjui comedian kaka yake bitoke kama mimi a like hapa
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 4 года назад
Kama umeona mlela ni tapeli muongo gonga like hapa 👍
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 4 года назад
Me ndo wakwanza kukoment Leo, jamani naomba Like zenu
@neymansalum3011
@neymansalum3011 4 года назад
Mjing ww nini unaomb like za nini
@mamugonas607
@mamugonas607 4 года назад
Tu like video au tulike wewe?
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 4 года назад
@@neymansalum3011 mmmmmh!! 😀😀😀
@chido_wa_south2171
@chido_wa_south2171 4 года назад
@@mamugonas607 🤔🤔
@neymansalum3011
@neymansalum3011 4 года назад
Nini
@asmanicolaus1328
@asmanicolaus1328 4 года назад
Ebitoke we hujatukosea mi binafsi nilifurahia
@asmanicolaus1328
@asmanicolaus1328 4 года назад
Ebilela ebi bondia umetuwakilisha
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 года назад
Pia mihajanikosea
@fridahdulle6284
@fridahdulle6284 4 года назад
Ata mimi ajanikosea kbs
@elizabethdamas6355
@elizabethdamas6355 4 года назад
Simnataka haki sawa mwanaume akihudumia hamna tatizo ila mwanamke akiweka mchango wake hata kidogo mkiachana inakua noma aph mnasema haki sawa dah!! not fair smtym
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 4 года назад
Marioo
@azenathnyaway2328
@azenathnyaway2328 4 года назад
Hyu kakake ebitoke anachukizwa sana na mlela from his speech indeed mlela kamkosea ebitoke
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 4 года назад
Ebi ulinipandisha mzuka pia umeushusha mzuka wangu
@irenejustine2765
@irenejustine2765 4 года назад
Kama Kuna mtu alisikia mlela ananywele zakijani Kama uoto wa asili gonga like
@aminaluttu649
@aminaluttu649 4 года назад
Esha bwana eti sauti kama spika za msondo
@magymagy2156
@magymagy2156 4 года назад
@@aminaluttu649 lakini nikweli iyo 🐴
@estergeofrey4851
@estergeofrey4851 4 года назад
Hahaha
@jaliasued3487
@jaliasued3487 4 года назад
Hahahaaaaaaaa
@elizabethullanga5034
@elizabethullanga5034 4 года назад
Tetetet jamn
@merryethipia6047
@merryethipia6047 4 года назад
Pole sana ebitoke yan mlela sura imemshuka kama mbuzi mwenye mimba
@emarkimaro7297
@emarkimaro7297 4 года назад
😂😂😂😂😂
@halimajay2477
@halimajay2477 4 года назад
huyo mlela pumbavu sana umekula pesa za dada wa watu tambua kwamba dunia ni mzunguko asipofanyiwa hivyo dadako atafanyiwa mwanao fala wewe. huna akili. umenikera sana. -mwizi mkubwa tapeli jinga kabisa😛😜😜😜😜😜
@merryethipia6047
@merryethipia6047 4 года назад
@@halimajay2477 kwan hujui tabia za marioo
@mamurama3142
@mamurama3142 4 года назад
Hahaaaa safiiii
@dorothearaphael9692
@dorothearaphael9692 4 года назад
Pole sana dada
@marysaituni4584
@marysaituni4584 4 года назад
Ebitoke anampenda Mlela bado Ila kwa Sasa atumie akili zake..
@winifridasylivestermachila9490
@winifridasylivestermachila9490 4 года назад
Pole mumy Ebi achana nae huyo songa mbele kunamengi ya kufanya mbele yako uvae ukamanda kupambana na maisha huyo mariooo asikuchanganye be strong 💪 mumy wewe Ni kioo kwa jamii
@boazmvellah6286
@boazmvellah6286 4 года назад
Mlela marioo, alafu kumnyonyaa mtoto mdogo jasho lake ni uchokoo tyu!!!
@lenathapeter6658
@lenathapeter6658 4 года назад
Umeona eeeh
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 года назад
Kweli Mungu atqmlipia
@marvinowen6873
@marvinowen6873 4 года назад
True
@glorylema6738
@glorylema6738 4 года назад
True
@dorotiakwoba3728
@dorotiakwoba3728 4 года назад
@@lenathapeter6658 mlela umeshut filamu nyingi Sana,mwanaume we huna hata haya kuzila hela mtoto mdogo Rika la mjukuu wko,ulaniwe na ulagai wko wakjifanya kibentemu Cha mtoto mdogo .nyoooooo
@zalhaally9717
@zalhaally9717 4 года назад
Sura jamani imemshuka mlela aibu imemjaa
@halimasimwnza9547
@halimasimwnza9547 4 года назад
Zalha Ally umeona eeh yaa niabu tupu
@frankmiraco9844
@frankmiraco9844 4 года назад
Aibu mnayo nyie washamaliza no bifu
@halimasimwnza9547
@halimasimwnza9547 4 года назад
Frank Miraco acha shobo tafuta. Pesa
@halimasimwnza9547
@halimasimwnza9547 4 года назад
Frank Miraco usitafute kiki
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 4 года назад
Uso umemshuka Hana ata mudi 😂
@jailethjosephales8860
@jailethjosephales8860 4 года назад
Ila Mlela ni muongo kama hujamuelewa Mlela na kuamni aliyosema gonga Like tujuane
@janenyambura5357
@janenyambura5357 4 года назад
Unaakili wewe ugewekwa kiyumba ugepewa pesa Kama unapesa
@mwanahamisizonga6775
@mwanahamisizonga6775 4 года назад
Mlela fala ww
@catherinesinyole8519
@catherinesinyole8519 4 года назад
duuuuh ni shida jaman pole sana ebitoke Mungu yupo tu
@iddywalocation1030
@iddywalocation1030 4 года назад
Gonga like hapa Kama Mlela hujamielewa Kama Ulivyo muelewa EBITOKE
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 4 года назад
Wow...issa good step tz..chama cha waigizaji mmefanya cha maana sana kuingilia kati..I hope Ebitoke now you have accepted the situation And as for Mlela this is as a lesson,learn from it
@issaamiry6887
@issaamiry6887 4 года назад
Emotions zilimkimbiza mbaya Ebitoke, Unapompenda mwanamke au mwanaume halafu ghafla ukampiga chini hiyo mbaya mazee xo Ebitoke hakuweza kuvumilia kipindi hicho kifupi ambacho kilikuwa ni kigumu sana.
@janeeliah7256
@janeeliah7256 4 года назад
Km umemwelewa kakaake ebitoke gonga like.
@tiphabashir937
@tiphabashir937 4 года назад
Shilkamoo mlela naomba room moja
@enisamywanga890
@enisamywanga890 4 года назад
Pole ebitoke nakupenda sana mdogo Wang mungu atamlipa
@enisamywanga890
@enisamywanga890 4 года назад
Mungu ataludisha vityu vyako vyote muamini mungu hajawai shindwa na kityu chochote
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 года назад
Dah umepiga kinzungu not seriously wanaume mungu anawaona kuwachezea watoto wawatu
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 года назад
Fatuma Ally na nyiee mung anawaona kwn nyie mnaofnyga n mazr
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭
@lucasmachibya6976
@lucasmachibya6976 4 года назад
Kwani ukiambiwa nitakuoa ndiyo uanze na kuzini nyinyi wenyewe hamjitambui umeambiwa nataka nikuoe c msubir ndoa mnataka baraka kwenye uzinzi kweli mungu atabarki uzinzi muwe mnajitambua muache kuwa vyombo vya starehe msubir ndoa
@gibsonnyari8502
@gibsonnyari8502 4 года назад
Mmh hv kwan mwanamke asiye bikra huwa anachezewa pia? 😳
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 4 года назад
hatuwachezei sweety tunachezeana bhana
@jadalovedagold3149
@jadalovedagold3149 4 года назад
dah pole Sana Ebitoke mlela si mwanaume wa kujenga nae maisha bado Ana ujana mwing
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 4 года назад
Fanya kazi Ebotoke hachana na mlera mungu atakulipa kwa yote ulofanyiwa ebitoke pole sana
@suzanpatrick2289
@suzanpatrick2289 4 года назад
Na Mimi nimekua wamwisho Leo kukoment naomben like zangu....
@teddykomba5261
@teddykomba5261 4 года назад
Unatak ukazinywee chai
@yassiniabbassi6674
@yassiniabbassi6674 4 года назад
Uzipeleke wapi eti naombeni like zngu kwan ulimpa nani hizo like zako
@suzanpatrick2289
@suzanpatrick2289 4 года назад
hahah nashukuru kuona comment yangu imewaatract na imejibiwà coz sikuwah jibiwaa even ma comment mpoo
@yassiniabbassi6674
@yassiniabbassi6674 4 года назад
@@suzanpatrick2289 😂😂😂😂😂nyoooo kaone
@ritamrembo3351
@ritamrembo3351 4 года назад
Wallah mlela....Mungu anakuona jinsi anavyo jikaza mdada wa watu uchungu unamuumiza sana ila Mungu atamlipia.malipo hapa hapa tu Ahera hesabu
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 года назад
Kazi Yangu kusoma comment tu kwa huyu Muongoza Marioo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 года назад
Hahaha muongoza mario
@kkkkftbbhgft9118
@kkkkftbbhgft9118 4 года назад
Mungu anakusikia napita
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 года назад
@@kkkkftbbhgft9118 syo mm ni Yusuf 🤣🤣🤣ur so funny habit
@kkkkftbbhgft9118
@kkkkftbbhgft9118 4 года назад
@@zennakailo8106 ww ndo unamuita mario dah Mungu apend naten ukifatiria vizur sio mario ni eb tu alishiduk napenz la mlel
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 года назад
@@kkkkftbbhgft9118 bro umetumwa Eeeh ukiangalia interview ya Esha buheti ndo utajua km nmesema mm au yeye Loh embu nipishege 🤣🤣🤣🤣mxiiiuuu zako
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 4 года назад
Abi Wang usiludiane na mlela plz
@halimahamad4114
@halimahamad4114 4 года назад
kama dawa umeipika safi sana
@dorotiakwoba3728
@dorotiakwoba3728 4 года назад
@@halimahamad4114 nikiwa Nairobi,ebitoke hongela Sana kwa kunyenyekea,kilicho mwangusha kwako,kikampandisha kutoka kwako,msubirie tu na zarau lake ataporomoka tu.hajafanya nidhamu yyote ,n unyama tu means wa mwenzie.duuuu
@queensalema3084
@queensalema3084 4 года назад
Duhhh ebi pole jaman
@eddahdaniel9267
@eddahdaniel9267 4 года назад
Kama umeona tusuph anapanga Cha kuongea gonga like
@hawaabdallah2041
@hawaabdallah2041 4 года назад
Pole sana Ebitoke usingemjua kwa kutumia macho dear au pua maana pua hunusa harufu tu hanusi tabia mdogo wangu
@shamimswabra6459
@shamimswabra6459 4 года назад
Kweli inauma mapenzi alafu uchanganye na pesa hapo ndio utakua chizi ukifikiria vyote🤔pole Ebi
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 4 года назад
Haaaaaa nilimpa mtu laki tatu mpk Leo inaniuma
@shamimswabra6459
@shamimswabra6459 4 года назад
@@miriyamasanja6766 hyo huezi sahau wallahy kila ukimuona utatamani hata kumvua nguo
@deejaymessoscratch7251
@deejaymessoscratch7251 4 года назад
Kama unaamin huyu jamaa mtu mbaya yaani baharia achia like 2juane
@julianapeter8482
@julianapeter8482 4 года назад
Kubw jinga hili, loooooh!!!hovyooo mie anantia kichefuchefu ebi ukirudiana nae takueleza siri ya mafanikio
@fathiyhaji7981
@fathiyhaji7981 4 года назад
yani ww nimuongo jamani kama mmemuona mlela nimuongo gonga lik
@mwatibamkwawa9281
@mwatibamkwawa9281 4 года назад
Ebi we mzuri move on my Dr achana na bwege asiye jiherewa uyo angejielewa asingefanya yote hayoo ,mungu atakupa Wa ukweli na anakupenda ndio mana amekutoa kwa MTU ambae c mkweli huwenda angekuaribia zaidi,Ila ameipata amejifunza
@rafaelmwakasendeka9163
@rafaelmwakasendeka9163 4 года назад
Ww Mlela unachezea hisia za wanawake, Tabia yako mbaya sana brother achana na mambo haya fanya kazi
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 4 года назад
Dahh!! Yaani Mlela Jiingaaaa!!! Unamiaka zaidi ya 15 kwenye uigizaji ila unategemea kulelewa na Wanawake!!!!
@aminangarama1670
@aminangarama1670 4 года назад
Mlela anasura nzito Aibuuu usoumeshuka
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 года назад
Hajapaka makeup
@MaryamMaryam-sr8zp
@MaryamMaryam-sr8zp 4 года назад
Anazeeka sasa
@rukiahassan9277
@rukiahassan9277 4 года назад
🤣🤣🤣🤣na sauti lake km speaker za msondoòo
@mamavero4004
@mamavero4004 4 года назад
Unayeomba like zetu unaenda kuzipika 🤣🤣🤣🤣
@josephinemndolwa689
@josephinemndolwa689 4 года назад
Sura imemshuka kwa haya😝😝
@tusamwangasa3156
@tusamwangasa3156 4 года назад
Wangap tumeona mlela anageuka geuka kama anaogopa vile anaogopa kipigo
@balangdalaluamb6540
@balangdalaluamb6540 4 года назад
We n Marioo tu usijitetee tapelii wew umemchuna m wenzioo nilikuwa nakuona wa maana kumbeee huna lolote jaribu kuheshimu hisia za watoto za waty
@agnessherman6864
@agnessherman6864 4 года назад
We mwanaume nyoko kuwachezea watoto wa watu pia wadada tujitambue ili ni funzo tujifunze
@wemanathanael9909
@wemanathanael9909 4 года назад
Jiheshimu mlela
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 года назад
Fanya kazi Ebi hasira hazitakusaidiya kitu samehe funika kikombe mwana haramu apite ila onyo asikumbeleleze mbembele tena fanya maisha yako
@glorianikiza92
@glorianikiza92 4 года назад
Hauna kitu achawongo hauna nyumba wala chochote
@vannymoke7153
@vannymoke7153 4 года назад
Awenanyumba asiwenayo haikuhusu mssengewewe
@grfgt1930
@grfgt1930 4 года назад
hhhhh hana lolote😀😀😀😀
@silasilazaro0074
@silasilazaro0074 4 года назад
Gloria Nikiza angekuwa na nyumba angekaa kwa mama yake
@josephlucas3634
@josephlucas3634 4 года назад
Kumbe unajua 🤣🤣🤣
@farysany6149
@farysany6149 4 года назад
Hana nyumba shoga huyu
@naftalimkini5931
@naftalimkini5931 4 года назад
hivi ni sawa mtanganzaji kumshika bega au sehemu yoyote ya mwili anayemuhoji.... wataalamu wa sekta ya habari tusaidieni
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 4 года назад
Khamisi kitenge uko vizuri broo.👍
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 4 года назад
Mweeee Eb pole bwana, pole sana
@Matfa-Alsaad
@Matfa-Alsaad 4 года назад
She still so sad and yet she have not forgiven him.....
@veronyanganda2166
@veronyanganda2166 2 года назад
Bitoke pole mdogo wangu.
@hadijakabona955
@hadijakabona955 4 года назад
Wanazengo Nani mnaona yuko Sawa Kati ya eb na mlela mie naona ebi
@selemaninassoro2171
@selemaninassoro2171 4 года назад
Mim naon ebi
@didadisminder5559
@didadisminder5559 4 года назад
Hadija Kabona ebiii
@anneewamiye1380
@anneewamiye1380 4 года назад
Mungu akusamee Mlela ila Mungu atakujibi yako Ebitoke cause life doesn't allow us to go back for what happened but to move on, in your stuff
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 года назад
Kama umeisikia kauli ya Mlela kuwa "alikuwa anapiga kizungu" gonga like
@agaaah6697
@agaaah6697 4 года назад
Ha ha ha kwan wanapigaje kizungu mbona mm cjui
@medadiissa324
@medadiissa324 4 года назад
Heheheheeee
@jacquelinerutaya2204
@jacquelinerutaya2204 4 года назад
Ni msenge Wa akili huyo
@gudbwoy3569
@gudbwoy3569 4 года назад
😂😂😂😂
@samaalexmaleto2509
@samaalexmaleto2509 4 года назад
haaaaah noma sana
@happynessnjoka2702
@happynessnjoka2702 4 года назад
Ebitoke pole mamy wangu nakupenda sanaaa achana na Malaya atakuchafulia jina...naasikufanye wewe taraja Malaya huyoo.
@rahmasuweyd827
@rahmasuweyd827 4 года назад
Ebitoke amepozwa duuu kwahio vitu vyake vimeenda na maji,pesa millioni kumi zimezama,pesa kanunulia Beyonce wigi duuu rahaa
@code1294
@code1294 4 года назад
Million kumi (ebitoke) atatoa wapi?
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
@@code1294 hasira2 zile zilikua
@callgodbaraka9904
@callgodbaraka9904 4 года назад
Hahahaaaaaaa kweli beynce kanunuliwa wigi lakwenda kwenye usinduzi.
@lyina1699
@lyina1699 4 года назад
walichomwambia huyo dada wanajua wao, ila kiukweli huyo dada anaumia na yatapita....
@sissykhadija5343
@sissykhadija5343 4 года назад
😆😀😁😁😃
@xulleybakary2524
@xulleybakary2524 4 года назад
Yap yeeeeeeeee babaaaaaaa
@kingsultan2223
@kingsultan2223 4 года назад
Regesha chupi za ebitoke fala weee dume zima wapenda kubebwa utaolewa
@najmaabdul3836
@najmaabdul3836 4 года назад
Msenge huyu hajielew ananunuliwa chakula bado hata chup 😂😂😂😂 aludishe fasta
@shillahmahiri855
@shillahmahiri855 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@marumbojames7218
@marumbojames7218 4 года назад
🤔🤔🤔🤔😁😁😁😁😁😁😁
@livingchuwa2690
@livingchuwa2690 4 года назад
@@marumbojames7218 😅😆😆😆
@ellykimu9288
@ellykimu9288 4 года назад
acha kibur. zawad haurudi
@eunicewambuinjoroge6045
@eunicewambuinjoroge6045 4 года назад
Dah pole sana Ebi inaumisa lakini itabidi umezoea
@zainabually9934
@zainabually9934 4 года назад
Kama ulimckia esha behuti akimwambia mlela ahame kwa mama ake akapange na hpa umeckia mlela ana Nyumba kubwa kapangisha😩😩😂😂 gonga like
@khadijaseleman3296
@khadijaseleman3296 4 года назад
Hahaha kumbe mlela una lelewa
@luvunodzunga5131
@luvunodzunga5131 4 года назад
Huyo mlela angeli shirikiana na Embitoke angelifungukiwa Sana maishani Walai
@raymanmwangosi5041
@raymanmwangosi5041 4 года назад
Mlela sawa Nyumba unazo na vyombo vya production. Boxer je?
@rehemachilalu4770
@rehemachilalu4770 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣👊
@husnamtuveta8056
@husnamtuveta8056 4 года назад
Hapo sas
@ruwaidaali8937
@ruwaidaali8937 4 года назад
😂 😂 😂
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 4 года назад
😅😅😅
@evalinejohnsonmollel9737
@evalinejohnsonmollel9737 4 года назад
hana nyumba, amepanga
@nazleenabdirahman461
@nazleenabdirahman461 4 года назад
Yussuf mlela mskini namhurumia sanaaaa sasa hivi anaonekanaa ana huzuni .....ebitoke mskini mhurumieee plzzzz
@subiraomar4771
@subiraomar4771 4 года назад
Tatizo ebitoke mlela kamuingia kwenye damu maskini kumtoa itachukua mda
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад
NDIO HERI KUACHA BADALA YA KUWACHWA
@purityzawadi4662
@purityzawadi4662 4 года назад
Huyu ni mfano mzuri Wa wale wanaume ambao wanatumia mwanamke kupata kipato. Inawezekana hata hiyo pesa ambayo anasema amejiekea alidhulimu tuu wanawake wengine. Sijakataa anaweza kuwa anafanya kazi zake tuu za kawaida tuu kuficha hiyo hali yake halisi (mdangaji) Ila Ebitoke ashukuru kama ni mzima Wa afya. Maana huyu mwanamume khaah ugonjwa hauko mbali naye. Kuwaombea tuu Mungu wote wawili
@nancyfantasia5781
@nancyfantasia5781 4 года назад
Una miaka kumi na tano lkn huyo ebitoke wa juzi kakuzid kila kitu yaan kwa mara ya kwanza nimekuchukukia 😏miaka yote hyo ata ka baby worker huna fyuuuuuu kwendraaaaa ebi njoo mtie vichwa huyu
@mamavero4004
@mamavero4004 4 года назад
Pumbavu zako ovyo kachambe huko umemlaghai bint wa watu
@mamavero4004
@mamavero4004 4 года назад
Leo wamekubamba uso umekushuka kama uko leba kumbe mekap huwa zinawasitiri eeee
@mamavero4004
@mamavero4004 4 года назад
Na wewe Ebi mbona ulisema mavazi yako yatakuwa track wee lainika halafu baadaye utuletee kilio chako mapenzi yamekupa upovu mbogo ya dar hiyo mtoto watakufunua sketi wasanii woteeeee
@snuramohd8309
@snuramohd8309 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 года назад
mama vero shkamo meck up umeona eeh 😂😂😂
@naiiemkosovo8132
@naiiemkosovo8132 4 года назад
Pole dada achana nae jamaa mshamba sanahuyo
@straightkonect1613
@straightkonect1613 4 года назад
Cha ajabu mnamdiss huyu jamaa bila kusahau kumshauri Ebitoke afuate wanaume type yake na hadhi yake cause ataishia kuchezewa tu
@rhodajohn3119
@rhodajohn3119 4 года назад
Uko sahihi San awa wengin wanalopok lopoka tu
@mohammedjuma5103
@mohammedjuma5103 4 года назад
kweli kaka
@mackandrew6397
@mackandrew6397 4 года назад
Hili neno
@restutankwabi4862
@restutankwabi4862 4 года назад
😂😂😂kwa kweli
@valeriakunji2990
@valeriakunji2990 4 года назад
Kabisaa broo watu wanaropoka sanaa kwani Huyo Ebi hakujiona jmn vtu vingine banaaa na kama anamdai kweli kwani alishikiwa kisu jmn c alimpa wakiwa wanamahaba yaoo
@teleziapius2131
@teleziapius2131 4 года назад
Kuna kitu anacho moyoni ebitoke😪😪navyo jiskia mm naisi na yy anajiskia ivyoivyo...ndo mana we aokota makopo ni wengi...dar kw sababu kama izi ila ebitoke mwachie mungu kw kila jambo ukumu ya mungu inanguvu my
@xkingx8041
@xkingx8041 4 года назад
Kumbe Yusuf pia jioni kabisa!! Uso umekua na mmm !!!Napita tuu jamani 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ ;;;;
@evamhufu7698
@evamhufu7698 4 года назад
Yaani pole sana Ebitoke yaani imeniuma sana
@cecilemilabyo4245
@cecilemilabyo4245 4 года назад
Director wa wamarioooo uyooooo😂😂😂😂
@haleemasulthan4894
@haleemasulthan4894 4 года назад
kiukweli asio kubali msamah ni shetan Ebi nimekupenda kwa kusameh mungu atakusameh na ww
@vero57
@vero57 4 года назад
Mkuu wa mkoa wa Tabora itabidi aingilie, hakuna ujanja unjanja 🤣🤣
@adventurekaskazini2238
@adventurekaskazini2238 4 года назад
🤣🤣🤣🤣 kwa kwel
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 года назад
hahaha kwakweli sukuma ndani
@godfreymagayane4263
@godfreymagayane4263 4 года назад
Asukumwe ndani au siyo
@briannyiti8234
@briannyiti8234 4 года назад
Niliposkia mkuu wa mkoa tabora mimi sauti ikaja sikuma ndani
@magrethmusa7493
@magrethmusa7493 4 года назад
Weka ndani
@erickdangote3851
@erickdangote3851 4 года назад
Dah Kama mntaka ebitoke awe shemeji yenu gonga like
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 4 года назад
Huyu kitenge nimempenda bure jamani. Anajua kuongea yaani n mzima wa kichwa
@nellymwachai4638
@nellymwachai4638 4 года назад
Bxgdh Ydydh 😂😂
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 4 года назад
@@nellymwachai4638 kweli
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 года назад
Nime mpenda kitenge anajua kujibu maswal ya kizushi
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 4 года назад
@@Amneamne-qi2du kweli kabisaa
@youngmwema5266
@youngmwema5266 4 года назад
Daah msingesuluhishwa bhn mm nltaka ebitoke aendelee kutembeza kichapo
@irenekatumwa5963
@irenekatumwa5963 4 года назад
Ebi hayuko sawa pole mwaya
@magrethmtambulo2871
@magrethmtambulo2871 4 года назад
Irene Katumwa yaan had makeup haijakaa leo
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
Pole sana Ebitoke nakupenda mwaya
@catenzeki678
@catenzeki678 4 года назад
@Irene Katumwa inauma saana eti ukijua mtu kakutumia na kakurubuni kimapenzi na pesa pia
@jacklinenyamwihura3607
@jacklinenyamwihura3607 4 года назад
Pole ebi uyo Malaya I memo acid is go
@jacklinenyamwihura3607
@jacklinenyamwihura3607 4 года назад
Kapata fundisho uyo Malaya wakiume
@helenchristopher5965
@helenchristopher5965 4 года назад
Ah. Mlela unaboa kinomaaaah.
@fathmasalim7934
@fathmasalim7934 4 года назад
Duhuu🙄Sijui Ebitoke Ulilipendea nn hilo mlela..maana si kwa sura hiyo kama uji wa afyabora
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 4 года назад
Hahahaha
@auntyominde3565
@auntyominde3565 4 года назад
Seriously eti sura mbaya kama uji wa afya bora 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 года назад
Tuone sura yako
@ashuuyusuf3978
@ashuuyusuf3978 4 года назад
hahahaha daa fathma salim umeweza
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
yaani kama yule jike lake alovyuliwa wigi wote sura zimetangulia zimewashuka mbayaa kwa utapeli
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
😀😀😀 mzee marioo ujue Mungu anakuzumu, mrudishie pesa zake Ebitoke bana acha janja janja
@dainagano3656
@dainagano3656 4 года назад
Yaani ebitoke mpk upate the ryt one lazma ukutane kwanza na watoto wa farao wakuumize, kukuvunja moyo mpk uwe motivation speaker😂😂😂😂😂tuulize sisi makonkodi tuliozoea.......
@joselynegafurero2619
@joselynegafurero2619 4 года назад
😂😂😂😂
@ebramaarifa6504
@ebramaarifa6504 4 года назад
😂😂😂😂😂
@OmanOman-uw1nn
@OmanOman-uw1nn 4 года назад
Mwenzangu🤣🤣🤣
@catenzeki678
@catenzeki678 4 года назад
@Demy brownie kweli kabisaa
@vhchjff6523
@vhchjff6523 4 года назад
Watoto wa nn😆😆😆😆umenigusa
@agathakavishe3486
@agathakavishe3486 4 года назад
kama umeona ebitoke bado anaumia rohoni like hapa
@barakarobert7003
@barakarobert7003 4 года назад
MACHO ya MLELA yanakubal kudaiwa MDOMO unakataa......hahahahaahah
@mrpadlockxxjohnjoo3034
@mrpadlockxxjohnjoo3034 4 года назад
😆😆😆😆
@carinadavid8214
@carinadavid8214 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@sarahminja7255
@sarahminja7255 4 года назад
Hahahahahahaha jamanieee ebitoke Leo anataka kukimbia uwiiiii
@flavianagrace3924
@flavianagrace3924 4 года назад
This is a poor man, a poor man, for still living with his parents so embarrassing.
@sophiemwanina5979
@sophiemwanina5979 4 года назад
😂😂😂😂
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 4 года назад
Are u rich ur self silly u
@priscamosses7368
@priscamosses7368 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sophiemwanina5979
@sophiemwanina5979 4 года назад
@@jacklinengozi1122 nkama mlela kakutomba kwa sababu u r so bitter😂😂
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 4 года назад
Am not a Tanzanian, but all I can say is that ur pipo are a mess. U are not civilised.
@omarymohamedy9041
@omarymohamedy9041 4 года назад
Yaan ebitoke anamuelew mzee baba
@darlyplatnumz6189
@darlyplatnumz6189 4 года назад
Kama mlela sio maskini gonga like
@nagmynamahin2463
@nagmynamahin2463 4 года назад
Umeshachafuliwa tayar brooooo tafuta kazi piga sasa kwa nguvu zakooo
@shabanimrishokimt3874
@shabanimrishokimt3874 4 года назад
Kama umiona ebitoke bado anampeda mlela ngonga like twende sawa
@ichukagaum9732
@ichukagaum9732 4 года назад
Sio anampenda maumivu ya vitu vyake
@evamhufu7698
@evamhufu7698 4 года назад
Mwanaume siku izi sifa nzuri ni familia. We we unaona sifa kubadilisha wanawake. Ona aibu....
@mathayomatondo4024
@mathayomatondo4024 4 года назад
Mtangazaji msenge kweli umepoza sauti kwa ebitoke😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂
@fatmakhamis7876
@fatmakhamis7876 4 года назад
Maskini pole sana my haya si yakwako wewe tu my wanawake wote tunayapitiaaa ila mwisho wa siku maisha yanaendelea pia nakushauri usikurupukie mapenzi mtu kwanza usimkabizi moyo wako kwa asilimia 100 mchunguzie kwanza usijifanye limbukeni wa mapenzi mamaaaaaa
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Kama umemuona mlela nimbwa koko gonga twende sawa
@yusuphhabibu6955
@yusuphhabibu6955 4 года назад
Pole Sana ebii jaman dah someone kwann unafanya ivo lkn dah Yan Kama ndio. Mm wall ningejivunia ebii pole mama njoo unipende mm naitwa yussuf msomally
@regneralex819
@regneralex819 4 года назад
😂😂😂hv mnao omba like 😂zikiwa nyingi mnapt hela au😂
@ceciliachiunje11
@ceciliachiunje11 4 года назад
Mi nashangaa
@regneralex819
@regneralex819 4 года назад
😂😂😂😂Watujulishe zikifk ngp wanapt hela n ss tuombe
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 4 года назад
Ndio hapo😅😅😅
@marryerick556
@marryerick556 4 года назад
Regner Alex 😂😂😂
@salmaalbarwani2618
@salmaalbarwani2618 4 года назад
😂😂😂😂
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
Pole sana ebitok ila mlesema ni marafik tu ila nisiwe mnafk mlela nampnda yupo vzr muonekano asa saut ana nimaliz ndio yeshapita ayo
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 3 месяца назад
Toa umalaya hapa
@outisblack8568
@outisblack8568 4 года назад
2:08 i've seen that reaction...
@makamejuma8875
@makamejuma8875 4 года назад
Pole ebitoke
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 140 тыс.
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,4 млн
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,6 млн
TENZI NAMBA 25
6:50
Просмотров 690 тыс.
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,4 млн