Тёмный

EBM Scholars LOVE STORY | TULIKUTANA MTANDAONI 

Official Dating Assistance
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Tulikutana mtandaoni, tukaonana mara ya kwanza na kuanza kupanga ndoa na miezi Sita baadae tukafunga ndoa.
EBM ametufungukia mambo mengi kuhusu uhusiano, ubaguzi wa rangi, matumizi ya mtandao na fikra za vijana katika kutimiza ndoto zao.
‪@EBMSCHOLARS‬ ‪@EBMSWAHILI‬
Subscribe to his channel to learn more about visa, green card, maisha ya ughaibuni, scholarships na mambo mengi ya ki maisha, biashara ya mtandaoni na mambo mengi kadha wa kadha. You will never regret, I promise you …
Thank you EBM for allowing it to be online

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@Marygabry
@Marygabry Год назад
Asante Kaka , Asante pia Shena tunaendelea kujifunza vingi. Natamani hii iwafikie wengi zaidi watoe hizo negativities about online dating.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana
@EBMSCHOLARS
@EBMSCHOLARS Год назад
Karibu sana @officialdatingassistance Ilikuwa great experience ku-share haya kwenye mahojiano. Keep it up with your good work
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Thank you very much, I really appreciate 🙏
@JuvinariesNyandoto
@JuvinariesNyandoto 6 месяцев назад
EBM hongera Sana leo umefafanua vizuri Sana kuhusu ubaguzi wa rangi
@allthingsafrican
@allthingsafrican 7 месяцев назад
EBM Scholars nimekubali maelezo yako
@naimayusuph-z9t
@naimayusuph-z9t 9 месяцев назад
Nimependa sana hii interview jamani Kaka EBM namfatilia sana
@annatemu4488
@annatemu4488 10 месяцев назад
Kwahiyo laka EBM akiwa darasa la nne ameshaanza kuwaza kuoa mzungu😊😊😊
@hassankhamis344
@hassankhamis344 6 месяцев назад
Asante sana shena huyu kaka namfatiliya sana sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 месяцев назад
He is amazing Ana nondo zote 🙏
@judithlugongo8804
@judithlugongo8804 4 месяца назад
Safi sana unafafanua vema hongera
@edmundmmuniedmund1623
@edmundmmuniedmund1623 10 месяцев назад
safi sanaaa, namkubali sana EBM,
@Witnessvlog
@Witnessvlog Год назад
🔥🔥🔥EBM Scholars ndani ya nyumba
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
EBM ametupa nondo za malovie davy kali ❤
@leilaassey1726
@leilaassey1726 Год назад
Ndani ya mjengo kavimba kweli kweli katupa madini ayo
@liannsambu7264
@liannsambu7264 9 месяцев назад
Jaman naona ilikuwa FIRE INTERVIEW naomba kesho nisikilize maana kaka EBM nafurahia sana kumsikiliza
@leilaassey1726
@leilaassey1726 Год назад
Wow fantastic jamani ameilezeea vizuri sana makofi 🎉
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Makofi mengi kwake 🥰💃🏾
@ubunifunautafiti2494
@ubunifunautafiti2494 Год назад
Mahojiano mazuri.... Lakini kama zitakuwa dakika 30 ivi zitakuwa poa ... Au zikivunjwa kwa dakika 30 ivi ..🎉
@IANA2030
@IANA2030 Год назад
Wow!he has expanded so well on racisim🎉🎉🎉🎉🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿💃🏾💃🏾💃🏾😍😍
@samwelpanga2404
@samwelpanga2404 Год назад
Shena nakupata vzr na ebm❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana, EBM mtu wa watu
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Nimejua tabia za wazungu kupitia nyie mungu awabariki sana asanteni❤❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Shukran sana
@doedoyne-te6ty
@doedoyne-te6ty Год назад
Kazi nzuri kaka
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
He is amazing
@upendomahenge3802
@upendomahenge3802 Год назад
nice story Aiseeee
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Sana
@aledesiomushi875
@aledesiomushi875 Год назад
One of the best interview sema huyu baba nimempenda bure yuko real swala la ilubaguzi amelielezea vizuri sana congratulations shena❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana.. ametoa darasa kubwa san
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 Год назад
​@@OfficialDatingAssistancenajua sooomoo zuri lakin mim natka kukuowa weew madam
@djmrisho9264
@djmrisho9264 Год назад
Ndio tatizo la sisi watu wa kigoma ukimuliza swali yanaanza maelezo kigoma kweli noma
@muniramtika3614
@muniramtika3614 Год назад
Nawapenda❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana 🙏
@valenakomba9218
@valenakomba9218 11 месяцев назад
Nyie nanyi msituzingue hapaa, Miminaamini maisha yanapangwa na Mungu. Na ulaya , au Amerika, zilikuwa zamani kwa sasa hakuna la muhimu. Labda kwa Amerika sababu sijajuwa maisha huko yakoje. Ila tu nachotaka kusema, hakuna experts wa kuishi ulaya, au Amerika. 😊
@Lizzyktd
@Lizzyktd Год назад
Hii nzur sana apewe maua yake huyo brother 🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅
@Lizzyktd
@Lizzyktd Год назад
Mungu akubarki sana dada
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Muha og..anaongea kama anagombana...hahaaa wabishi sana hii kabila. Shemeji yetu anayo kazi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
He is amazing
@munirahassan5969
@munirahassan5969 11 месяцев назад
😂😂😂 wagombanq
@KIMALEX255
@KIMALEX255 Год назад
umetisha sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 Год назад
@@OfficialDatingAssistance inaandikwaje iyo dating hamon nataka niiserch
@Marygabry
@Marygabry Год назад
@@hamidahnassoro-12 eHarmony
@gra8098
@gra8098 4 месяца назад
Mshikaji nlisomaga nae, haki tangu tuko undergrad alikuwaga anawaza mambele..... yani si tukipambania LL za Ruge, ye anawaza ulaya tu.... yani i can remember stori zake...
@hamisimasimbi5019
@hamisimasimbi5019 Год назад
Nataka online dating, how can I get it. Please. But I appreciate for what you are doing ,sster
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Nimeweka video za online dating check utaelewa
@annatemu4488
@annatemu4488 10 месяцев назад
Nimechekaaa eti hujanitoa Sitimbi mimi😅😅😅😅EBM bhana
@sherry7339
@sherry7339 2 месяца назад
Hahahhahahaha jamanii dada amemeza shoka nimefurahia huo ucheshi
@hellenondiso9542
@hellenondiso9542 Год назад
Nimeskiza toka mwanzo hadi mwisho amenisaidia sana. Sikujua ukitaka kumjua mtu kiundani unaenda Google mie mkenya ila napenda kusikiza juu ya online dating hapo nyuma hatukuwa Na waelekezi angalau nimejifunza mengi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana nafurahi kama umepata kujifunza
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 11 месяцев назад
Jamaa anaakili huyu
@LizycharityHumphrey-mf4fc
@LizycharityHumphrey-mf4fc 10 месяцев назад
Jamani Mimi pia nataka kuolewa na mzungu nianzie wapi naomba msaada
@Lucy_ikupa
@Lucy_ikupa Год назад
Ebm unaongea ukweli mtupu tabia kweli kuna ya ndani na nje
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Very true
@kevinmary7129
@kevinmary7129 7 месяцев назад
Utumwa wa akili 100%
@IANA2030
@IANA2030 Год назад
Uweee nilikutana na kimeo mjerumani😂😂😂😂I thank God am out of that marriage and peaceful
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Hongera kwa kutoka salama Kama hutojali siku moja tujifunze kutoka kwako +4367764790884
@gily5931
@gily5931 Год назад
ila online datings it works kwa huko Ughaibuni kutokana na life style yao. In Africa hatuna utamaduni wa online dating.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ndiomana hii platform inatoa elimu juu ya online dating, matumizi na watumizi wake. Binafsi nilikutana na mume wangu mtandaoni nikiwa nipo nyumbani Tanzania
@gily5931
@gily5931 Год назад
@@OfficialDatingAssistance Ohh that's nice. I live huku Ughaibuni ni too ma online...
@redemptaanisio2770
@redemptaanisio2770 4 месяца назад
Naomba namba yako tuongee mambo
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 7 месяцев назад
Huyu Ndugu yetu Makulilo alifika Marekani kwenda kufundisha kiswahili. Sasa mbona anazungumza kiswahili cha Kiha si atakuwa amewaambukiza kiha hao Wamarekani? Kwamfano badala ya kuuliza "Vipi?" yeye anasema "niaje?"😂😂😂
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 6 месяцев назад
Nimecheka sana hapo kwenye kupiga mizinga eti dada amemeza shoka
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 7 месяцев назад
Ila hii kabla siyo siri ubishi sana ujuaji sana uongeaji kupita kiasi mmmmm kazi ipo shena leo haongei ataitikia mpka kipindi kiishe
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 Год назад
Anapoteza muda. Come to the point plse, jibu ulichoulizwa.
@LizycharityHumphrey-mf4fc
@LizycharityHumphrey-mf4fc 10 месяцев назад
Naomba unisaidie namna ya kukutana na mzungu dating nyingine ni gharama sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 10 месяцев назад
Karibu darasani +4376664790884
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 6 месяцев назад
😁😁😁😁😁😁😁 kaka EBM
@simonsonelo1467
@simonsonelo1467 6 месяцев назад
Ianzishwe ligi ya kuongea kati ya Waha na Wazaramo
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Nimecheka kama mazuri 😂😂😂😂😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
EBM anaongea ukweli na tunafurahi juu
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
Me too 😂😂
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 6 месяцев назад
Hakukuwagi rahiya wa kizungu
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 Год назад
Kuna wengine wanapenda kupata wenzi wao toka nchi za nje, lakini wanasita kutumia Online Dating! Wakati huo huo wanawaomba wanao deal na Online Dating wawaunganishie! Sasa kuna tofauti gani? Hata kama wataunganishwa, wataanza ku date online!
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Na wengi hao wanaowaomba ni wanawatapeli .. coz kiukweli hakuna wazungu wa mafungu wa kugaiwa kama njugu
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Год назад
Hizi Headfone 🤔🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Amazing
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 11 месяцев назад
Mbona anafokq sana huyu?
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Год назад
Hahahahahah hapo kwenye kumeza shoka😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Hahaha
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 Год назад
Mimi nakutaka weew madam kubali ombii langu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Kunitaka tena ? 😳
@missmoona4497
@missmoona4497 Год назад
Mmmmnh anaongea sana harafu hapumui, ongea taratibu taratibu tutakuelewa tu kk
@piusgadau6328
@piusgadau6328 10 месяцев назад
Nini ambacho huelewi apo unafiki tuu umekujaa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
​@@piusgadau6328😂😂😂😂😂😂😂😂
@billtv3342
@billtv3342 Год назад
Hiyo eHarmony kwa hapa Tanzania bado haijakua available pengine app nyingine wanaweza kujalibu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Iko available ila ina restrictions sana
@HadiyaOmar-n8j
@HadiyaOmar-n8j 9 месяцев назад
Can he talk slowly
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Год назад
Mbona anafoka au ndio alivyo???
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Anaongea kwa msisitizo
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 Год назад
Kumbe🤗
@hawababy120
@hawababy120 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@MissKaliz
@MissKaliz Год назад
Hakika Maisha ni kuji funza kila siku, hongera Shena kwa kuzidi kufumbua watu Macho juu ya Mtazamo wa Online Dating n.k . Kaka EBM ame toa nondo za kutosha.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante sana Kipenzi.. 🙏 Kaka EBM kashusha nondo kabambe tushindwe sisi tu
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Год назад
Mbona naongea sina kwa Jamba khaaaaa anakera hivi huyo mzunzgu navumilia hiyo samtidigt kweli?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Sijaelewa kipenzi Unamaanisha nini ?
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 11 месяцев назад
​@@OfficialDatingAssistance...napataje mawasiliano Yako...tuwasiliane privave
@victorianambololo5718
@victorianambololo5718 10 месяцев назад
Shena mambo? Mbona dating chat ninazoingia zimeandikwa free lkn nikianza kuvhat inaniletea price kulipia kwa mwezi
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
Ndio ulipie sasa maana hakuna kitu cha bule tena.
@victorianambololo5718
@victorianambololo5718 4 месяца назад
@@ELIZABETH-uz6dv sio kwamba sijalipia dear! Nimelipia more than three tyms.na niliwahi kuuliza mbona nimelipia lkn bado kila nikituma email haziendi? Ninayo hadi card nilijaza hela katibu laki nzima
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 11 месяцев назад
Mimi kuna mzungu wa marekani ananitaka lakini lugha ndoshida jamani ,
@zidatv1122
@zidatv1122 9 месяцев назад
Nitumie namba yake
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
​@@zidatv1122😂😂😂😂😂😂😂yakazi gani sasa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
Jifunze lugha kwanza ❤❤❤na wewe.
@shitamct6984
@shitamct6984 Год назад
Safi sana kazi nzuri
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Ahsante
@mbashaaston4278
@mbashaaston4278 Год назад
Inawezekana kweli? kupata mpenzi wakike kwenye matandao .naje? Online dating za kweli zipo kweli
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Zipo na watu wanakutana
@mbashaaston4278
@mbashaaston4278 Год назад
@@OfficialDatingAssistance nitajie basi nijalibu zali
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 месяца назад
​@@mbashaaston4278😂😂😂😂😂😂unajalibu au unafanya maamuzi.
Далее
RAHA NA KARAHA ZA KUOA UGHAIBUNI
1:15:26
Просмотров 21 тыс.