Тёмный

EMMANUEL MGOGO - ANAKUTENGENEZEA USHUHUDA (SKIZA CODE 6382654) 

EMMANUEL MGOGO Official Tz
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 907 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 387   
@frankmussa7666
@frankmussa7666 5 лет назад
Huwa nabalikiwa sana nisiliza mahubili ya mtumishi Emmanuel mgogo kwa njia ya uimbaji wake hakika yanitia nguvu na kusaha maumivu niliyo nayo najua yakwamba mungu ananiandalia ushuhuda kwa mapito ninayo pitia ubalikiwe na mungu azidi kukutumia kama apendavyo amen
@happyjohn6266
@happyjohn6266 Год назад
Amina ubarikiwe kaka huu wimbo na amini ipo siku nitatoa ushuuda mungu zidi kunilinda 🙏
@cherotichjuddy9598
@cherotichjuddy9598 3 года назад
Amina.Kweli nyimbo zako iko na upako inaguza sana mioyo ya watu wengi.Mungu akuinue uwe kiwango cha juu
@aishaathumani8769
@aishaathumani8769 4 года назад
Hongera sana Kaka Mgogo Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vikubwa UMEBEBA MAJIBU YA WENGI, kupitia gospel music.
@girukwishakavenantie497
@girukwishakavenantie497 3 года назад
EMMANUEL ninahakikisha kwamba ulitumia wimbo huu kwa ufunuo wa MUNGU alie ona watu wake ambavyowanateseka na dunia na akakatumia kama chombo chake kwa kurudisha watu imani ya kumfuata JEHOVAH. Kabisa i love so much this song inanirudisha imani wakati nakata tamaa!
@mgogosinger
@mgogosinger 3 года назад
Amina amina
@girukwishakavenantie497
@girukwishakavenantie497 3 года назад
@@mgogosinger And i'm so happy to get now your Amen. GOD bless U!
@irenemdede4665
@irenemdede4665 5 лет назад
Nikweri mtumishi mungu anatutengenezea ushuhuda mungu akubariki nyimbo zako ni nzuri na unacheza kimungu inavyo takiwa mtakatifu acheze mungu akubariki sanaa
@samyotieno
@samyotieno 3 года назад
Wakati mwingine Mungu ni wa ajabu tonight I just felt my world has come to an end, I have never heard of Emmanuel Mgogo kwa maisha yangu nilienda bedroom kulala lakini nikashindwa kulala juu ya mazito niliyokuwa nayo moyoni, kurudi sitting room nikaamua kufungua RU-vid and the first name I Saw was Emmanuel Mgogo, hizo nyimbo umenifanyia maajabu moyoni barikiwa ndugu yangu.
@everlynndunge6166
@everlynndunge6166 6 лет назад
Emmanuel MUNGU na akuinue zaidi nyimbo zako safariji,saimiza,satianguvu,....MUNGU ananitengenezea ushuhuda.
@annajustin1945
@annajustin1945 Год назад
Wimbo huu umeufufua Imani yangu kwa upya Tena..maana majaribu kwangu hayakomi..ila naamini MUNGU ananitengenezea ushuhuda.
@mathambonera4810
@mathambonera4810 Год назад
MUNGU akubariki sana Mtumishi wa MUNGU, nimebarikiwa sana na huu wimbo
@kiruranseka7669
@kiruranseka7669 6 лет назад
Wimbo huu nausikiliza nikiwa nyumbani ao garini sababu umekuja kwangu kama jibu la maswala mengi nilikuwa nikijiuliza kwa mapenzi ya Mungu kwetu. Tunakufuata ndugu Mgogo huku USA tuna haja ya kuwasiliana na wewe, shida ni moja hausome comments
@mgogosinger
@mgogosinger 6 лет назад
Amina, karibu sana Kirura Nseka, namba zangu ±255769505537
@mariamumwashuya7197
@mariamumwashuya7197 5 лет назад
kirura Nseka amenii
@judithkarisha4342
@judithkarisha4342 3 года назад
Hakika Mungu anatengeneza ushuhuda kwa ajili ya baadae ya watu wake..safi sana mtumishi..
@bjk9557
@bjk9557 3 года назад
Wow Wow wow amen and amen Asante Yesu nipe nguvu ya kustahimili kuandaliwa ni uchungu lakini naomba neeema yako initoshe sitakuacha Yesu hadi nione ushindi wako huuu ni ujumbe wangu barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@kavuthairene7572
@kavuthairene7572 Год назад
Nyimbo zako zina chemichemi ya uzima mtumishi....kila ninapo skiza nyimbo zako ninapokea nguvu mpya....be blessed man of God
@girukwishakavenantie497
@girukwishakavenantie497 3 года назад
Mungu akuzidishie na akupe kumaliza mwendo salama. Tunakupenda sana na tunafuatiria kazi yako nzuri kutoka kwa MUNGU. Huku Burundi
@fredrickmikera5998
@fredrickmikera5998 2 года назад
Wimbo nimeurudia zaidi ya mara 100 kwa kweli umeniimbia mim mtumishi wa Mungu
@samsonkiyugu9753
@samsonkiyugu9753 4 года назад
Mimi ni shujaa, MUNGU ananiandalia ushuhuda, Amina
@hossianadam7560
@hossianadam7560 3 месяца назад
Mungu akubariki . Ananitengenezea ushuhuda Bwana Mimi nitakuwa Mkuu ❤❤
@rogersmjata3566
@rogersmjata3566 4 года назад
Imekuwa hakika karibu Kanisa Halisi la MUNGU BABA tuko tegeta namanga kiwaanja no 195 karibu sana
@happybali6721
@happybali6721 5 лет назад
Mtumishi ubarikiwe sana na barikiwa nikisikiliza nyimbo zako...mungu akiinue kwa viwango vya juu
@naomiclement-cq7bt
@naomiclement-cq7bt Год назад
Nyimbo zako zinanibariki xana. Cna chakukulipa Ila Mungu aliye juu atakulipa, God bless you..............!
@annastaziamatemela3266
@annastaziamatemela3266 3 года назад
Kiukweli wimbo huu huwa unanifariji sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@innocentnnko2292
@innocentnnko2292 5 лет назад
Mungu wa Mbinguni na Bwana wetu Yesu Kristo wanaona mnavyomtumikia na maombi yangu kwake azidi kuwabariki na baraka zoooooote za rohoni na mwilini pia. Mnabariki wengi wenye nia ya kupata baraka kutoka kwa Mungu kupitia uimbaji wenu!
@zestattorneys3364
@zestattorneys3364 5 лет назад
kaka umejaliwa sauti jaman nabarikiwa sana na nyimbo zako
@f6mbwana619
@f6mbwana619 4 года назад
Wimbo wenye ujumbe mzito sana mtumishi Mgogo Mungu akubariki sana
@lindashadrack7470
@lindashadrack7470 3 года назад
Wimbo huu umetoa machozi, wakati mwingine unahisi kukata tamaa lakini Mungu anatutia nguvu, Asante sana Mtumishi wa Mungu, umenifanya nisimame tena, ujumbe mzuri kweli🙏
@jairosattu9634
@jairosattu9634 2 года назад
Hakika nipo kwenye matengenezo Yesu nisaidie kwenye haya
@willhector9478
@willhector9478 5 лет назад
Amen, napokea ushuhuda wangu kwa jina la Yesu.
@rehemamilambo1466
@rehemamilambo1466 2 года назад
Barikiwa sanaaa mjori wa Yesu
@wendemnegelwa2562
@wendemnegelwa2562 4 года назад
Alfa mugini mtumishi mungu akzdshe maisha maref
@enoxmabula8881
@enoxmabula8881 6 лет назад
kaka Mgogo,Mungu anajivnia ww hivyo maintain your status that GOD has given you.
@salahnestory4877
@salahnestory4877 3 года назад
Ubarikiwe Sana Kaka
@tuombemathias1755
@tuombemathias1755 6 лет назад
Kaka mgogo MUNGU akubariki zaidi aisee huu wimbo wa ushuhuda ni babukubwa. Huu ni wimbo wa mwaka kwangu hongera sana kaka
@cecilialucas7655
@cecilialucas7655 4 года назад
Amina umegusaa Moyo wangu Mungu anatengeneza USHUHUDA.
@lainesimfyagisi8071
@lainesimfyagisi8071 5 лет назад
Mungu akubaliki naam na uzidi kufanya kazi shamban kwake
@SafiKashindi-h2o
@SafiKashindi-h2o 9 месяцев назад
MGOGO. MUNGU HAKULIDE SANA MACHOZIYANANITOKA. NIPO KAMBINI NYARUGUSU. KIGOMA MIMI NIMKONGO
@lightnessjoseph5608
@lightnessjoseph5608 6 лет назад
Wimbo huuu umeniliza jaman Mmmh ,,,,,Mungu akubariki akupe maono zaidi
@barakamwinga5547
@barakamwinga5547 5 лет назад
Kaka emmanuel mungu akubaliki kwa nyimbo zako nzr.
@emilianlaurent3449
@emilianlaurent3449 5 лет назад
Amina ubarikiwe sana
@lovenessothiniel1487
@lovenessothiniel1487 4 года назад
God bles you and be with you mgogo forever sure unanibariki nakunitoa sehem moja hadi nyingine yaani utukufu hadi utukufu kupitia nyimbo zako ubarakiwe
@christopherdishion5618
@christopherdishion5618 4 года назад
mtumishi mungu hakulinde nyimbo zako yananitoa mbali
@christopherdishion5618
@christopherdishion5618 4 года назад
kaka mkubwa nyimbo yana hupako mkubwa
@faithmachimo6132
@faithmachimo6132 3 года назад
Mungu akupe kibali cha juu Kaka imanuel by faith machimo
@ledisiagaga9404
@ledisiagaga9404 6 лет назад
Ameni mtumixhi kwa huu wimbo .Ubarikiwe na Mungu.
@nurathisteven3809
@nurathisteven3809 6 лет назад
kweli mimi mungu anamitengenezea ushuhuda maana ninavoishi naihitaji msaada wa mungu ila ipo siku nita cheka asante kwa kunitia moyo
@rehemapeter877
@rehemapeter877 4 года назад
Asante kaka angu kwa kunitia moyo
@abeidmwakyoma8553
@abeidmwakyoma8553 3 года назад
Kazi yako ibarikiwe sana ikafanyike baraka katika mioyo yetu
@JustinKadima-hn1gu
@JustinKadima-hn1gu 3 месяца назад
Kueli e chima ni kua mungu tu n'a rudicha sifa kua mungu
@rispathequeen
@rispathequeen 3 года назад
Nikweli kwa mapito yangu mangumu hitakuwa ushunda. 😭😭😭
@hilendowalomichel4456
@hilendowalomichel4456 6 лет назад
Umeniubiri kitu kipya na nina imani kwamba nina tungenezewa ushuhuda na nimebeba majibu ya Wengi,ubarikiwe kwa maubiri yako ndugu yangu
@colettequeen1751
@colettequeen1751 5 лет назад
Amen
@odilinadonard7936
@odilinadonard7936 4 года назад
Uimbaji wako mzuri na ujumbe mzuri na unacheza kimungu sana wewe na Ambwene mwasongwe Na Abiudi mko vizuriii sana
@seddamwaipungu6566
@seddamwaipungu6566 4 года назад
Ee Mungu nishike mkono peke yangu siwezi.
@Wakereu
@Wakereu 6 лет назад
Ukiona maadui wameinuka, ujue kuna kitu kizuri Mungu amekiandaa! Amina na iwe hivyo.
@eliasadrian5026
@eliasadrian5026 3 года назад
Amen bwana ananitengenezea ushuhuda huyo bwana Mungu
@aronrwebembera3306
@aronrwebembera3306 5 лет назад
Ananitengenezea ushuhuda,ananiandaa kwa viwango vya juu sana
@lovemuhmad9668
@lovemuhmad9668 4 года назад
Amina kaka
@ernestjohnbosco2053
@ernestjohnbosco2053 5 лет назад
Barikiwa sana kaka hakika mungu ameweka kitu ndani yako maana naona kama unaniimbia mm,
@abinesskosana9583
@abinesskosana9583 5 лет назад
Ni kweli kabisa kama naimbiwa mimi Jamani
@judithkarisha4342
@judithkarisha4342 3 года назад
Hakika unaubariki moyo wangu..na nyimbo zako..Songs..MSIKILIZE MUNGU..NA USIPOTELEE MWISHO WA SAFARI barikiwa..
@frankdavid8592
@frankdavid8592 5 лет назад
Kaka nyimbo zako nzuri tatizo mavazi hunaa
@mgogosinger
@mgogosinger 5 лет назад
Nisaidie ndugu yangu yaweza kuwa umeguswa ktk hilo.
@raphaelgeorge9654
@raphaelgeorge9654 6 лет назад
Amen mtumishi nimebarikiwa sana na hii nyimbo sikati tamaa tena maana ni ushuuda Wang.
@meshaephraim6885
@meshaephraim6885 5 лет назад
Mungu afanyike njia katika uimbaji wako nema ya mungu yatosha
@francisosiah8653
@francisosiah8653 3 года назад
God keep you safe"
@faithtimothy6396
@faithtimothy6396 4 года назад
Ameeen! Kaka Emanuel unajuwa kuubarki moyo wangu hakika
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 4 месяца назад
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa huduma, Mungu akubariki
@gracembise906
@gracembise906 4 года назад
Mungu akubariki kaka... Nyenyekea tu azidi kukutumia kuongea na wtt wake... Wewe ni chombo cha Bwana YESU
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 лет назад
mungu akubariki sana my bro
@pamelanabokolweojuma1964
@pamelanabokolweojuma1964 5 лет назад
nimebarikiwa sana na Huu wimbo
@dotosaloon9827
@dotosaloon9827 Год назад
Asantee Mungu wangu kwa kunitengzea ushuhuda.
@PendoNdaki-wx3ce
@PendoNdaki-wx3ce Год назад
Napenda nyimbo zako zinautukufu
@deonatuspius6761
@deonatuspius6761 6 лет назад
Mungu aliye hai akuzidishie upako Mara dufu
@rajabulingwenje5911
@rajabulingwenje5911 5 лет назад
Ubarikiwe mwana Wa Mungu. Nyimbo zako nazipenda sana kwasabau unaimba ktk roho na kweli wachache sana wanao to a arbam ya kwanza. Mpaka 2,3,4 zikiwa bado na upako Wa Roho mtakatifu. Mfalme Wa amani aendelee kuachilia upako Wa Roho mtakatifu juu yako. Tuzwa na Bwana.
@daudiwiston5485
@daudiwiston5485 4 года назад
Namimi naamin mapito ninayo pitia Mungu ananitengezea ushuhuda
@aminakarisa4215
@aminakarisa4215 4 года назад
My favourite song amen mtumishi
@pendomwambogolo6179
@pendomwambogolo6179 3 года назад
ubarikiwe sana kaka wimbo ni mzur
@jacklinemusa5644
@jacklinemusa5644 Год назад
Barikiwa sana napenda sana nyimbo zako
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 4 месяца назад
Wimbo mzuri sana na una ujumbe mzuri
@piterprivatus6133
@piterprivatus6133 3 года назад
Immanweli, mgogo itakua je
@primtivamhagale4822
@primtivamhagale4822 4 года назад
Ipo cku nitakutafuta kwa ajiri ya wimbo huu, Ktk nyimbo zako zote hii imenigusa kwa tofauti mno na kunitia moyo inapotaka kukata tamaa. Ubarikiwe Sana kwa kipaji
@nsabimanaaimable3815
@nsabimanaaimable3815 4 года назад
Emmanuel ndi umunyarwanda ariko ndagukunda cyane nkunda indirimbo za we (I'm Rwandan by nationality ,I love so much the servant of God Emmanuel and his songs are my diet and medicament. God bless you son of God).
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 6 лет назад
huu ni ujumbe wangu kaka bwana akuinue zaid napenda sana unavyoimba ubarikiwe sana ima
@شادنالقحطاني-ق3ل
wimbo huu kiukweli umenigusa sana hadi najiskiya kulia aca mungu atutengenezeye ushuuda i love emmanuel inuka zaidi
@samusonisamusoni2390
@samusonisamusoni2390 2 года назад
Nakupenda.wimbo.wako.muzuri.ushuhuda
@evaibrahim793
@evaibrahim793 6 лет назад
Nakupenda Sana kaka Emmanuel unanibariki Sana nyimbo zako
@jakobomwakabana3798
@jakobomwakabana3798 6 лет назад
Ubarikiwe mtumishi nimebarikiwasana naujumbe Bwana azidi kukupandisha.
@joycecollection6876
@joycecollection6876 4 года назад
Nakupenda kaka yangu, Napenda hudumavyako kaka Nikisikiaga nyimbo zako mara paaaaaaaaaaaaaap Napata nguvu 💪🏻💪🏻 Barikiwa kaka
@jennifermuthonimwaniki4722
@jennifermuthonimwaniki4722 3 года назад
Usishuhurike na maadui tazama hatima.
@enoxmabula8881
@enoxmabula8881 6 лет назад
kaka mugogo,Mungu anajivunia wewe,hivyo endelea kuishi sauti ya Mungu.Aksante pia barikiwa saaaana.
@esternkulikiye9893
@esternkulikiye9893 3 года назад
Mungu akubaliki nabalikiwa sana napo sikiliza nyimbo zako zinanifaliji sana
@mathazyunga839
@mathazyunga839 5 лет назад
Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai wimbo umenitoa kwenye maumivu na kunitia nguvu ktk utumishi wangu Leo aaaaaaaaaaa kutengeneza ushuhuda ni maumivu makali ,be blessed
@AgnesIbanga-xx8mu
@AgnesIbanga-xx8mu Год назад
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
@sarahchilanga8401
@sarahchilanga8401 3 года назад
Amina my brother mungu akulinde sana
@deboramichael8234
@deboramichael8234 6 лет назад
wimbo mzuli saana bwana anatutengenezea ushuuda balikiwa mtumishi
@merymera9472
@merymera9472 2 года назад
Napenda Nyimbo zako tunabalikiwa
@feliciakimea9006
@feliciakimea9006 6 лет назад
Mtumishi Ubarikiwe sana, kweli wewe ni Mtumishi huu wimbo umenibariki sana
@marryndagiwe4456
@marryndagiwe4456 4 года назад
Ni kweli munhu anatengeza ushuhuda
@lightnesssekajingo5944
@lightnesssekajingo5944 5 лет назад
Ahsantee mtumishi wa BWANA nyimbo zako znanibariki saana
@aishaathumani8769
@aishaathumani8769 4 года назад
Endelea kukunyenyekea kwa Mungu.
@divinekahindo9277
@divinekahindo9277 5 лет назад
Amen! Mungu ananitengenezeya ushuuda iyi mwaka wa 2019. Ndapambana sitachoka sababu najuwa Mungu wangu ananiandalia ushuhuda kabambi yaeshima. All my enemies shall put in to shame. mutumishi Emmanuel you a truly a 🌟 of God, u are #one servant of God sent to save people in this World. Am blessed through this song😚😍😍❤🇨🇦
@joycejuma3630
@joycejuma3630 5 лет назад
mungu akutie nguvu sana wimbo huu umenigusa sana mapito nilivyopitie
@neemageorge5577
@neemageorge5577 3 года назад
Yesu nitengenezee ushuhuda
@ruthjoseph5014
@ruthjoseph5014 6 лет назад
Hakika kwa Yale niliyopitia kumbe Mungu ananitengenezea ushuhuda natiwa moyo kwa nyimbo nzur.
@regieomie965
@regieomie965 4 года назад
Nyimbo zako kaka Emamanuel Mgogo huw znanisogeza sana na Mungu, barikiwa sana
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 5 лет назад
asante.wimbo.mnzuri.sana.unanibariki.nami.siwenzi.kukataa.tamaa..mgogo.ubarikiwe.sana
@exuperkamili5174
@exuperkamili5174 3 года назад
Eeeeeunatisha umeimba baba
@enezaelmbise1710
@enezaelmbise1710 5 лет назад
Napenda sana nyimbo zako kweli ata kwangu mungu nanitengenezea ushuuda kwangu
@fayongala3287
@fayongala3287 4 года назад
I like this song nikisikia nafalijika
@merrypaulo1386
@merrypaulo1386 Год назад
Amen mtumishi mung akutie ngvuu
@neemamwita3835
@neemamwita3835 4 года назад
Amina mungu nitashukulu sana kwakunitengenezea ushuhunda ubarkiwe sana mgongo
@paulsaimon8750
@paulsaimon8750 5 лет назад
mungu yupo kazn kunitengenezea njia ntapta bila woga wacha nipitie haya nipitiayo n kwa ktambo tu, barikiwa ujumbe huu kaka
@tumainimtingitingi3232
@tumainimtingitingi3232 4 года назад
Asant kaka kunitia nguvu
@roberttyeflo6316
@roberttyeflo6316 4 года назад
Ni hazina ya utukufu mkubwa baadae INATIA MOYO SANA
@amosarajick1490
@amosarajick1490 6 лет назад
Kweli unapopitia mapito flani katika maisha usichoke maana Mungu anakutengenezea ushuhuda
@elizabetjmillel3351
@elizabetjmillel3351 6 лет назад
ameneen Bwana ananitengenezea ushuhuda
@dominicmligo7926
@dominicmligo7926 6 лет назад
Barikiwa MTU wa mungu
@paulmwunva4414
@paulmwunva4414 6 лет назад
Mungu anaweza unanitiyanguvu sana mungu nimwaminifu kwaahatizake kabisa
@isackmsofu6136
@isackmsofu6136 5 лет назад
Ambwone mpya
Далее
EMMANUEL MGOGO - NANI ANGETUTOA HUMO (Official Video)
10:22
Uso Wangu
9:52
Просмотров 157 тыс.
EMMANUEL MGOGO - PAGALA (Official Video)
11:56
Просмотров 635 тыс.