Habari wapendwa, samahani kama nitakuwa nje ya wakati. mimi ni shabiki na mpenzi mkubwa wa EMMAUS BAND, jana nimeupata wimbo wa KIFO na kuona picha za waimbaji ambao ni miongoni mwa waimbaji wa Emmaus band wanao ikonga roho yangu. swali langu: NI KWELI HAO WAPENDWA WAWILI HATUNAO TENA DUNIANI?! kama ni "ndiyo", nini chanzo cha kifo chao?!