Yeah Hello pokea simu weka loud speaker// Kila ninachoongea hapa kiweze sikika// Naona sio fair unavyozid dhalilika// Mwili hauna spair unachoka ukitumika// Ni yule mchizi uliemtesa moyo wake // ulikataa ndizi Leo unataka Ganda lake// Yan dah ah nteee aisee ona Leo uko wapi waliodanganya kukupenda kukupenda wako wapi// Wana come na kukuacha Wanakutumia// unajiita single mother wakat hujawah kuolewa// Ndo mm yule niliepanga kukuoa // Ukadharau na kujiona hujakua// Oky haya Leo mm naenjoy ndani ya ndoa// We kutwa kubadili wanaume si watakuua// sifurahii kukuona hvyo // Najua unaumia unahitaji pia tulizo// Ila unakumbuka simu nyingi nilipiga ila hukutaka pokea// Sms nilituma zilijaa kwenye box hukujibu hata moja//
VERSE 2 Moyo wangu umeuchana vipande pande/Siwezi amini nimepona afande..(Without you sipo sawa darling) Ooh nana. You promised ningekuona sunday/Till morning,we'd have a fun-day...