Poverty ilikuwa ngori hadi chapo zilikuwa zina countiwa, siku hizi ata sipendi kuziona, time ya moi 2002 unga ya ugali ilikuwa 28bob unga ya chapo ilikuwa 56, double the price, buda na usiniulize nakumbuka aje, unga ya chapo ilikuwa double price
Night runners huwa wanashonde Mwaf,akisharukaruka hapo kwako anamalizia na kushonde,na huwa hawarogi mahali hawajui,they are always familiar with their surroundings