@@MagaTrio William Miller alikuaka najuhudi mpaka anasahawaka kukula nakulala juya utamu wa neno la Mungu... Calcul za William ziko sawa hazinamo ata kosa kidogo, shida ilikuaka ku événement...(tukio) aliwazaka kutakasika kwa patakatifu nikuchoma dunia kwa moto, alisahawaka kwamba mbinguni kuna hemaaaa... Mungu atusaie kua najuhudi kama ya William Miller kwasiku zetu za leo