The bassist (mr kazire ) asee u guy ufike mbinguni aseee i hv repeating this album the improvisation n arrangement are too epic for bass lovers God bless u essence of worship 🥲❤️🔥
Nani Kama wewe Mungu! Tunakutukuza, tunakuinua maana hakuna Kama wewe!!! Baba unastahili sifa na utukufu!!!! Mungu awabariki watumishi kwa kumwinua Mungu wetu, Haleluya!
Essence Essence Essence nimewaita Mara 3 hii ni zaidi ya baraka kuwa na kundi kama lenu Tanzania nawapenda sana na I hope one day tutakutana katika huduma hizi za kusifu na kuabudu
This is not music, it's an art of ministering and hence should be taken to archives for remembrance. If you're watching this in 2080, know Essence of Worship saved us from depression in our times.
Kwa jina naitwa sospeter tibezuka napenda kutuo maon kwenye wimbo huu, kiukweli umenigusa sana hivyo hongoren kwa wimbo mzuri nawapenda sana Mungu awabariki sana
Always a joy seeing young people having fun as they praise God. This is beautiful. The lead singers, the instrumentalists, the audience ... It's electric!
The song is about the God praise “ Tunakuza”=we bless you “Tunakuinua”= we lift you “Wewe ni mwema kwetuuu”= you are so good to us So the full verse is like this “We bless you, We lift you, You are so good to us” “Wewe ni mwema baba heee”= you are so good father hee Now sing😂
Quick analysis. You have 155,000 subscribers, 230,000 viewers within four hours. Imagine how big is you audience. This is super church. Keep on doing it, God will reward you.
Wewe ni mwema Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaac na Mungu wa Jacob. Asante kwa baraka, wema na fadhili zako. Mungu awabarikiwe na kuwalinda watumishi🙏🏿❤🇹🇿🇬🇧
thannkyou much for igniting my soul with a nice melody of praise i wish you will minister live in Nairobi for aday is coming am a staunch follower and fan of essence of worship 🙏🙏🙏🙏@essenceofworship
Essence you such a blessing to many and specifically me and the way you guys inspire my daughter with your songs.....I feel like travelling all the way to Tanzania just to be in that presence......much love from Kenya🇰🇪....I love you guys...baraka