🤣🤣🤣tata essy finally 💜 smiling...looking so good with pikin..mcee ur channel is our stress reliever 💖..watu wote wale unawaletanga aki wanakuanga openly and strong 💪 💖
Huyu usimwache,wale wazungu hawapeani pesa ovyo ovyo huwa ndio wazuri na ndio wananunua nyumba,.wale wanapeana pesa wakienda hawatakangi communication,au kusumbuliwa .
Hizo ni fikira zako wanajua mnaeapea cheo watawatumia sio kila mzungu ako na hizo pesa kama hao retired ni ka Euro kakibadilishwa unaona kama ni hela ,uliza wenye tumeishi nso@say as is
Mimi naona niko Nduna yangu pekee yangu,mimi hata sina Mtu single mum of three widowed for 6 yrs na hata nimeishi kutafuta mtu sioni,Ngugi,, wooi njethera mundu.love ur shows 💕💕
Huto tunyumba tuko I knew one known person and a famous person who had one in thika but the mbabaz was later killed 🤭🤭🤭essy we love you and still waiting for a story of your grandma waugire ahana thufana 🤭🤭
I like her spirit...Hiyo Depression ingekuua peke yakoo..Don mind them live your life to the fullest...Raha jipe Mwenyewe...Why do women judge others..?
How people nowadays openly glorify evil and praise that which God hates! And whats more disgusting is they pretend to be God's people. God hates hypocrites. Be cold or Hot, not lukewarm
ESSY LAST YR YOU SAID, YOU'RE NO LONGER WITH THIS MUZUNGU. OR ITS A DIFFERENT ONE🤣🤣🤣 ANYWAY LAZIMA WATOTO WAKULE NA VIZA MY DEAR,I HOPE HUYU SIO KENYA KIMBO
Ngugi your channel is our stress killer❣️❣️❣️❣️, I personally,and ilove this channel so deeply. sijui Hawa watu mavibes unatoanga wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hujawai Leta watu boring,
Mcee aki venye essy anaongea kuhusu makanisa ni ukweli kabisa kwanza kuwekelewa mikono ovyo ovyo ati juu wanajiita wachungaji mmmwatu wajichunge kabisa zaidi ya yote..Mcee ebu enda kwa kamuhunjia channel uone venye mchungaji wa kishetani ameishi ku sacrifice watu wa Church yake per year mpka brother yake na mtoto wake na mamake mzazi ati juu ya tamaa ya utajiri
Me personally I know one muheshimiwa amekomboa 1bedroom 😂😂😂na ako na wife tushai kutana uko tukiwa wawili nahatukua tumemwambia tuna enda ku m visit 🤣🤣🤣alitukaisha chini akatwambia ati nyinyi wote niwangu mwenye ata skia hata weza ajitoe 😂😂😂