Aisee hii nyimbo aliimba kwa hisia ya kutoka ndani ya moyo kabisa, Sasa hivi huyu dada yupo kwenye muziki wa gospel kwa Gwajima wapo bendi yao. Esther Wassira Big up sana dada ...nakumbuka umewahi kukomenti kwenye moja ya nyimbo ya Bob Rudala ukimkubali huyu legend mwenzio. ukisema "long time no see Bob"
huu wimbo nimeuckia kwa mara ya kwanza 2003, mbekenyera sec huko ruangwa lindi, at that real reflected my situation in love, jamaa yng mmoja alinipokonya mrembo wangu, hali yeye alikuwanao wengi na hakuwai kukataliwa, hadi leo twaishia kusalimiana tu yule jamaa
Inaonekan hii nyimbo ilitafutwa sana na watu, ngoma pendwa sana ambayo aikupewa promo k bsa..tunakushukuru mtoto wa mheshimiwa kwa kutuachia bonge la ngoma
Hahaha!!! I went as far as looking for the actress herself if she could send her song for the way I was looking for it. Glad it come to the platform a couple of years afterwards. Wakati wa waptrick.
Hiyo sio picha yake! Mwimbaji ni mmoja tu anaiywa Esther wasira ni mtoto wa wasira!.. sahivi nae nafikiri yupo kwenye mambo ya uongozi kama baba yake..