Тёмный

EXCLUSIVE:AHMED ALLY AMJIBU INJINIA HERSI |ATHIBITISHA FREDY KUUZWA | YANGA WANALAZIMISHA KUWA SIMBA 

KISHAMBA MEDIA
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 месяца назад
we love you semaji la dunia , unatisha sana katk kazi zako
@rachelpatrick8401
@rachelpatrick8401 2 месяца назад
Wa pili ubaya ubwela naipenda simba yangu ❤❤❤
@stevennicholaus
@stevennicholaus 2 месяца назад
jamani natamani nikujue we mdada maana umenena kwa hisia sana❤❤
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 2 месяца назад
Ubaya ubwela,simba nguvu moja💪💪
@LuckMmbaga
@LuckMmbaga 2 месяца назад
🎉🎉🎉 Love you semaji
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
MAMA SAMIA ASANTE SANA KWA KUIPENDA MICHEZO. ILA OMBI TUNAOMBA NA TIMU ZA WANAWAKE WANAPOFANYA VZR GOLI LA MAMA TUNAOMBA
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 2 месяца назад
Ahmedy amecheka😂😂😂😂 namii nimecheka sana😂😂😂😂
@SamsonSimba-k4l
@SamsonSimba-k4l 2 месяца назад
Simba bingwa 🦁🏆💪
@KakeSimba
@KakeSimba 2 месяца назад
Amin
@mazanzagar1
@mazanzagar1 2 месяца назад
Semaji umetisha sana nakubali sana😅😅😅😅😅😅
@GeradGmwambe
@GeradGmwambe 2 месяца назад
Wakwanza nguvu moja
@AllyMohamed-w5x
@AllyMohamed-w5x 2 месяца назад
Bravooo
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 месяца назад
Kwl kbs huyo injinia na viongozi waende kila supu ya kafala
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 2 месяца назад
Jamani vipi Simba lmemtumia mchezaji siwake kagoma bodi yaligi tff vipi point 3tunazitaka tabola twende sawa
@DanielChaula
@DanielChaula 2 месяца назад
❤❤❤
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 месяца назад
Pwagu na pwaguzi😂😂😂 Ahmed Ally🎉🎉😂
@pascalvitalis
@pascalvitalis 2 месяца назад
Walioelewa namna ya kumshtua injinia anavyomaanisha Ahmed Ally tujuane😂😂😂
@LinusKyando
@LinusKyando 2 месяца назад
YANGA KULAZIMISHWA KUWA kama SIMBA ni Kuferi
@hamadbakar7091
@hamadbakar7091 2 месяца назад
Nikweli mbona wamepewa baruwa na CUF ya lipumba hao nyuma mwiko semaji
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 2 месяца назад
Wanazindua nini mbona laundi ya kwanza tayari washacheza😂😂😂😂,,
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 2 месяца назад
😂😂😂😂😂LAZIMA ashtuke tu huyo Eng Heris
@EliasShringi
@EliasShringi 2 месяца назад
Wa tatu ubaya ubwera 😂😂
@DonatelaSanga
@DonatelaSanga 2 месяца назад
hatali sana huyu jamaa hkuna wakumuwaza mashine ya simba hiyo wana simba tunajivunia kwakweli tulinge sana
@evalistogmcomkilaga
@evalistogmcomkilaga 2 месяца назад
🎉. Kilaga
@alitante4279
@alitante4279 2 месяца назад
Vital O na nyuma mwiko😅
@LassonDominick
@LassonDominick 2 месяца назад
😂😂 uzinduzi wa CAF yanga Vs Vital'o kwerii? Hapo ata kama ni haki sawa haiko hivo daah! Nyuma mwiko mbele supu munazingua sana
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 месяца назад
INAONEKANA UNANJAA SANA, wenzenu TAJIRI WA kuwapa supu wanae NYIE nmatajiri WA kuwavesha mabango ya Mo.
@davidmkapa599
@davidmkapa599 2 месяца назад
Hilo ni somo kwa CAF kwamba wanapaswa kufanya uzinduzi wa mashindano yao kila mwaka hivyo YANGA wanawapa darasa la kiutu uzima kuanzia kesho CAF watabadirika tu shika maneno yangu
@LassonDominick
@LassonDominick 2 месяца назад
@@IddyyFumbwe 😂😂 jionee huruma kijana!! Munapewa supu ili musisuse kuingia uwanjani maana tabia zenu wqnazijuwa wapuuzi nyie 😅
@LassonDominick
@LassonDominick 2 месяца назад
@@davidmkapa599 😂 Hamna lolote hapo! Yanga mutabiki kuwa wadogo wetu kimataifa mukubali2😅
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 2 месяца назад
Halafu eti uzinduzi wenyewe wanaenda kuzibdulia Azam complex,hivi wanawaona mshabiki wao kama mazuzu eeh? Hao viongozi lengo lao ilikuwa ni kutaka mashabiki wao wahamasike kununua tikets wasije wakatia aibu
@ThomasMorris-p1s
@ThomasMorris-p1s 2 месяца назад
Sasa apo kosa nn
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 2 месяца назад
Utopolo wehu kweli,tatizo wanapenda sifa zisizo zao
@mbarakarajabu8748
@mbarakarajabu8748 2 месяца назад
Sema semaji kichwani zimo mnoooo.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 2 месяца назад
Umechanganyikiwa Bado wanacheza mchezo wa pili kutafuta kucheza round ya kwanza na Vitalo mtangazaji ananogesha mazungumzo
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 месяца назад
UNAONA HAJIELEWI YAANI HAJUI YY ANACHEZA MASHINDANO GANI, MUULIZO HABARI ZA SHIRIKISHO.
@barakachaula7050
@barakachaula7050 2 месяца назад
Ww una miaka mingap hujaingia club bingwa😂😂😂
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 месяца назад
Siyo Caf og ni uhuni tu Yanga wanajaribu kudanganya mashabiki wao na kama ingekuwa hivo mechi ingechezewa Benjamen Mkapa Uwanjani si unaona wamekataliwa kuchezea humo wapelekwa Chamanzi mmmh jamani waandishi hamtumii hakili kuwaza na kuona?? Siasa 😂😂😂
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 2 месяца назад
Akili ya kujua kwamba ni caf huna utajuaje,subiri leo uone uzinduzi wa caf
@abdulshah918
@abdulshah918 2 месяца назад
Acheni kulazimisha utopolo aliyechora kachora 😂😂😂😂 ubaya ubwela ulishawalevya
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 2 месяца назад
Sasa kama semaji la cf hana taalifa hiyo itaku cf ya sokoni buguruni 😂😂😂
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 2 месяца назад
Nyuma mwiko si watu wa propaganda ahmedy umesahau 😂😂😂😂😂
@why-ir8zl
@why-ir8zl 2 месяца назад
😂😂😂 halafu mechi ya pili😅😅😅
@fidelisjoseph-tt9zl
@fidelisjoseph-tt9zl 2 месяца назад
Ali kuna mtu hana kazi tunkuomba umpe kazi awe mnara akuletee habari
@MO_updates
@MO_updates 2 месяца назад
nguvu moj
@vicentKomba-v2q
@vicentKomba-v2q 2 месяца назад
Kwa nini viongozi wanakuwa wazushi kiasi cha kusema vitu visivyokuwa na uhalisia? Uzinduzi wa aina gani huu usiokuwa na mpangilio? Au ndiyo mazwazwa watupu?
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 2 месяца назад
Hakuna hadui ambaye anaweza kukupa sifa uku akijua wewe ni mpinzani wake Tuwaache na kejeli zao wana uhakika kwa sababu wamejichukulia timu saba na wanawapa wachezaji wao dawa za kuongeza nguvu tusipate shida nao mda utaongea
@rajabumalonda2625
@rajabumalonda2625 2 месяца назад
Unaden gua na kubenua midomo unajiuza Nini ,hayo mambo ya nafanywa na mashog au na wew umo Nini?
@PendoMkaka
@PendoMkaka 2 месяца назад
Mnafungua masusu ya miogo mabigwa wa matusi poleni mmesomea matusi
@JamilaJam-i8o
@JamilaJam-i8o 2 месяца назад
Hahahhhahaa 😅😅😅 wamebigiiiiiii
@HgguHhij
@HgguHhij 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 kwakweli pumba na mchele
@ThomasMorris-p1s
@ThomasMorris-p1s 2 месяца назад
Mbona unaizungumzia yanga wakat ww msemaj wa simba acha comedian brother
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 2 месяца назад
Umesikia kaitaja yanga hapo
@HussenMadimbwala
@HussenMadimbwala 2 месяца назад
Cafu ya lipumba nkweri
@why-ir8zl
@why-ir8zl 2 месяца назад
Raisi wa vilabu😂😂😂
@PendoMkaka
@PendoMkaka 2 месяца назад
Na hamfiki popote mnajisumbua tu wKosaji
@AlfredHamis-d3o
@AlfredHamis-d3o 2 месяца назад
😂😂pwagu vs pwaguzi🎉
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 2 месяца назад
Ahmed Ally ukijipima Kwa semaji la wananchi unajiona kuikaribia hata nusu yake Tu? Yaani wewe ni comedian!!
@saydonahmed5469
@saydonahmed5469 2 месяца назад
Huna akili wewe
@MgazaMhina
@MgazaMhina 2 месяца назад
Tutamshitua si hashituki,atashituka tu
@daudmagayane1556
@daudmagayane1556 2 месяца назад
5G+2,1
@abdulshah918
@abdulshah918 2 месяца назад
😂😂😂utopolo akili 0
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 месяца назад
HUYO NDIO MJINGA, HAJUI YY NI LUZA ANACHEZA SHIRIKISHO HAJUI MAMBO YA CLUB BINGWA, MR COMED.
@hamisitoky6724
@hamisitoky6724 2 месяца назад
Pumba na mchele😂
@PendoMkaka
@PendoMkaka 2 месяца назад
Simba sio kolo we mshamba ukusoma kiswaili uyo manala qenu ndo aliwapa kina la KOLO, msijisahaulishe MAKOLO nyie na malangi ya njano kama majaniakavu ya ndizi rangi isiyo na mvuto jina baya eti yanga yanga ee hamkuona majina poleni MAKOLOKCHO
@carolinemasonga6429
@carolinemasonga6429 2 месяца назад
Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@FloraHwago
@FloraHwago 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm 2 месяца назад
Yani kama kachizi
@JohnReonald-up8zr
@JohnReonald-up8zr 2 месяца назад
Huyu mwandishi akili Hana sio kuzindua ni kufungua mashindano
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 месяца назад
Michuano mbona washacheza raundi ya kwanza ?au wanaenda kunywa supu za tambiko
@emmanuelpeter8149
@emmanuelpeter8149 2 месяца назад
Kishamba media😂
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 2 месяца назад
​@@SaumuSaidi-z2v😂😂😂😂😂kafara fc
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 месяца назад
Ifunguliwe mechi ya pili we nae pwagu😂😂
@SephBakari
@SephBakari 2 месяца назад
Au wewe ndo huelewi 😂😂😂 nyuma mwiko bwana😂😂😂
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 месяца назад
Kweli wewe fala hizo hatua za preliminary ni za caf au acha ujinga wewe
@barakamarko8835
@barakamarko8835 2 месяца назад
Fara baba yako
@selemanihassan6616
@selemanihassan6616 2 месяца назад
Shoga anamuhoji shoga mwenzie
@PendoMkaka
@PendoMkaka 2 месяца назад
Mjinga ni wewe usie elewa maana kwani luza wote mi waongo, kuwana kauri za kisomi, inaonekana hukusoma pole na elimu yako ya .......
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 месяца назад
HUYU AHMED ALLY ANAFAA KUWA COMEDY NAONA ANACHO HICHO KIPAJI CHA UCOMED.
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 месяца назад
YANGA HAIWEZI KUA KAMA KOLO, ILA KOLO ANAJIONGELESHA AFANANE NA YANGA, YANGA WANAMEDALI YA CUF, KOLO ANAMANENO NA COMEDY TU,
@mackiewilfredmguhi5859
@mackiewilfredmguhi5859 2 месяца назад
Kwenye ubora CAF wameiweka yanga ya ngapi kwenye ubora.
Далее
无意间发现了老公的小金库 #一键入戏
00:20
NALIMI &FRIENDS
36:47
Просмотров 4 тыс.
AHMED ALLY: HATUCHEZI na YANGA TENA WANABEBWAGA
10:37