Тёмный

EXCLUSIVE INTERVIEW YA KWANZA YA CHALINZE FM : CHOCHA STAR 

Chocha Star
Подписаться 1,7 тыс.
Просмотров 1,2 тыс.
50% 1

Kwa mara ya kwanza CHALINZE FM RADIO inafungulia matangazo yake Moja Kwa Moja kupitia masafa yake ya 97.5 Kutoka Pwani Bagamoyo Chalinze CHOCHA STAR ndiye msanii wa kwanza kufungua matangazo hayo kupitia kipindi Cha CHALINZE FLEVA kupitia Radio hiyo kikiendeshwa na DON,HAMZA NA FLORA
Chocha Star Amezungumza mengi kupitia interview hiyo lakini pamoja na shukrani kubwa kwenda Kwa MHESHIMIWA MBUNGE NA NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MH RIDHIWANI KIKWETE NA MENEJA WA RADIO IDDI GOMBERA
Chalinze FM Sasa inapatikana Kwa 97.5 Sauti ya jamii
‪@chochastar7781‬
#CHOCHA_STAR #CHALINZE_FM #CHALINZE_DC #ZUNGU #HAMZA #FRORA #DON

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@wemakatina8538
@wemakatina8538 Год назад
Hongera kaka
@Auntybetty_tz
@Auntybetty_tz 11 месяцев назад
Nice
@BYTONE255
@BYTONE255 Год назад
Og familia yangu kizazi Sana
@Auntybetty_tz
@Auntybetty_tz Год назад
Hongera Kaka angu pambana mungu atskusaidia
@evansonlinetv3052
@evansonlinetv3052 Год назад
Unymaaa
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 9 месяцев назад
Mh redio watangazaji Bado
@hadijahabibu8868
@hadijahabibu8868 Год назад
Mwanangu wewe 😅
Далее