Тёмный

#EXCLUSIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 576 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: KIJANA ALIYEFUNGA NDOA HOSPITALINI AFUNGUKA, AJALI SIKU YA HARUSI "NILIONA KAMA MKOSI"
MIONGONI Mwa habari zilizosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii wiki hii ni pamoja na hii ya kijana aliyefunga ndoa akiwa kitandani hospitalini.
Wasafi Media tumemfuata kijana mwenyewe katika hospitali aliyolazwa na kuzungumza naye ambapo ameeleza kilichotokea mpaka akafunga ndoa akiwa hospitalini.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 551   
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 2 года назад
Pole sana ndugu, Mungu ni mwema atakupa uponyaji, Pia awajalie kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa.
@mabletandawili4128
@mabletandawili4128 2 года назад
Mungu ni mkubwa pole kaka
@DevothaJelome
@DevothaJelome 6 месяцев назад
Hongera sana kwa kufanikisha halus,na pole sana ka ajal
@mariamuhamadi4966
@mariamuhamadi4966 2 года назад
Wanawake kama cc tupo wachache sana duniani Allah atujalie tupate na wanaume waaminifu inshallah 🥰🤲🙏
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 года назад
Amiin yallaby
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 года назад
Pole sanaa Allah akupe subra na akuimarishie afya yako
@samymuhindo3716
@samymuhindo3716 2 года назад
Pôle Sana ndugu yangu! Na Mungu abariki bibi arusi sana kwaupendo ambao ameonesha kwako kweli nakumupa maisha marefu na utajiri mwingi sana kimaisha
@ntulilasamwel2455
@ntulilasamwel2455 2 года назад
Hongera Kwa kufunga ndoa ktk mazingira magumu na ya maumivu makali pole pia Kwa ajali mbaya mwenyezi Mungu awalonde ktk ndoa yenu!
@zaitunisuleiman9063
@zaitunisuleiman9063 2 года назад
@@ntulilasamwel2455 mungu ni mkuu 🙏🤲
@winniejumanne5915
@winniejumanne5915 2 года назад
Pole sana kaka mshukuru mungu kwa kila jambo
@officiallycyra6944
@officiallycyra6944 2 года назад
Mashaallah alhamdulillah Mungu mkubwa nimefurahi pia nimeumia na nimempenda mkeo kwakweli hongera sana sana kaka Mungu akupe uponyaji ukipona usijemdharau mkeo plz
@emamkuyu4061
@emamkuyu4061 2 года назад
Pole sana mwanangu,shetani ameshashindwa.Hongera pia kwa kubahatika kufunga ndoa hiyo.Nakuombea upone haraka.
@veronicashadrack5324
@veronicashadrack5324 2 года назад
Amina
@bonychange3304
@bonychange3304 2 года назад
pole Sana shukuru mungu
@fideahyera2599
@fideahyera2599 2 года назад
Amina
@asteriashios1852
@asteriashios1852 7 месяцев назад
Umefanya kitu kimoja kinzuri saaana hongera mno nimeipenda hiyooo mungu atakuponya hiyo ni kazi ya shetani haina mamlaka ktk jina la yesu na wote tuseme amina
@dayana5513story
@dayana5513story 2 года назад
Mungu akuponye halaka,awajalie ndoa yenu ikadumu
@tamalanyanga3953
@tamalanyanga3953 2 года назад
Pole Sana kaka Mungu nimwaminifu Sana. Utapona kwaJina la Yesu hongera bibi harus hakika unaupendo wadhat kukubali kufunga ndoa hospitarin.mwengine asingeweza
@emilymideva8783
@emilymideva8783 2 года назад
Congratulations bali na maumivu umefanikusha ndoa yako wishing you Quick recovery in jesus name #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷
@felisteranthony8688
@felisteranthony8688 2 года назад
Pole Sana kaka Mungu ni mwema utapona na huyo ndio mke mwema, mpende Sana
@valestermligo9204
@valestermligo9204 2 года назад
Kila jambo zuri lazima kuna majaribu pole sana kaka utapona ( nampongeza padre kwa kuelewa umuhimu wa tukio
@abigaeljeyy3934
@abigaeljeyy3934 2 года назад
Thanks 🙏 to God you are alive quick recovery brother.
@diamondplatfans500.kviews5
@diamondplatfans500.kviews5 2 года назад
Dah mungu akusaidie bro uludi kwenye haliyako pia pole Sana, kwel kesho ni fumbo aiseee duh!
@anjelamassawe8997
@anjelamassawe8997 2 года назад
Sio kesho hata dk moja mbele
@gabriellafaith6128
@gabriellafaith6128 2 года назад
😭Aya maisha Tunamuhitaji sana MUNGU, kila siku kila saa kila dakika, utapona kaka MUNGU ni mwema na hongera dada kwa upendo wa dhati👏
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Kweli kbs mung nimwema
@zaitunisuleiman9063
@zaitunisuleiman9063 2 года назад
@@nasraabdallah850 🇹🇿🙆‍♂️🤲🙏
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 года назад
pole sn jmn Agustino Mungu akutie nguvu na akupe uponyaji wa haraka lakn pia hongera kwa moyo wa ujasiri kuendelea na maamuzi ya kumshinda ibilisi na kufunga ndoa yako bila kujali ajali
@niyakirekwirina7851
@niyakirekwirina7851 2 года назад
Pole sana kaka Mungu ni mwema
@hurumaelias8332
@hurumaelias8332 2 года назад
MUNGU YUMWEMA DAIMA ..Hongera kwa Imani Iliyo timilifu ..Mungu yuko nawe Daima
@nunuuali5316
@nunuuali5316 2 года назад
Pole sana kaka mpendane na mkeo na muheshimiane
@zainabmusa2006
@zainabmusa2006 2 года назад
Pole sana mtoto wangu mung yupo pamoja na nyie ndoa yenu itadumu milele kila kitu uwa na sabab yake mung atawaponya amin
@eliwangumria9639
@eliwangumria9639 2 года назад
Pole sana kaka Mungu akupe wepesi upone haraka. Na hongera kwa dada uliyefunga ndoa katika hali hiyo aliyo nayo mumeo. Mungu awalinde mpendane milele Amina
@shamilamo9159
@shamilamo9159 2 года назад
Pole sana kaka mwenyezi mungu akufanyie wepesi azidi kuwa linda katika ndoa yenu
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 2 года назад
Pole sana kaka mungu yupo utapona
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 года назад
ALLAH kauponye haraka Inshallah 🙏🏿🙏🏿 uinjoy Ndoa yako jamon 🙏🙏🙏🙏
@jolizonex9161
@jolizonex9161 2 года назад
Sifa na shukrani zimurudie Mungu kwa kukuebusha na kifo ili uwe shahidi mbele zake, I wish you quick recovery na Mungu aibariki ndoa yenu awaepushe na lenye shari mbele yenu🙏🙏
@highonebalo8289
@highonebalo8289 2 года назад
Utukufu kwa Mungu Mwenyenzi kwa wokovu mkuu aliokufanyia, Pole sana mdogo wangu. Shetani alikusudia mabaya lakini alifeli vibaya. Mungu alikukusudia mema. Simama kwake kwa miguu miwili. Wewe na mkeo mna kusudi la Mungu ndani yenu. Mungu awakumbatie sana.
@marcellyimo283
@marcellyimo283 2 года назад
pole sana kaka Mungu akupe nguvu upone kwa upesi hapo shetani hajapata nafasi Mungu ni mwaminifu .shukuru kwa kila jambo kaka yako
@hellenjemeli4971
@hellenjemeli4971 2 года назад
Mungu in mwema kila wakati ndoa yenu itatuma milele...pole sana ndugu
@anethmawole48
@anethmawole48 2 года назад
Pole sana ndugu, Ee Mungu tusaidie, tupe ulinzi Yehova,
@mercymuranga817
@mercymuranga817 2 года назад
Pole sana kakangu Mungu wa mbinguni akuponye haraka nq hongereni pia kwa kutimiza jqmbo hili la ndoa Mungu aibariki ndoa yenu Amina
@sharifachepchirchir8863
@sharifachepchirchir8863 2 года назад
Allah akupe shifaa kakangu,Ndoa itadumu milele.tunakuombea all the way from 🇰🇪.
@ernestmbigo3318
@ernestmbigo3318 2 года назад
Mungu ni mwema akubaliki na familia yko. Nawapenda mungu ni mwema.
@AdelaErnest
@AdelaErnest 9 месяцев назад
Mungu atakupo ya
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 2 года назад
Dahh..kweli Mungu unaishi wewe nitakuabudu milele..pole sana kaka Agustno..bebgel congrats for having true love!!!
@edithtemu9606
@edithtemu9606 2 года назад
Aug pole Sana jamani Mungu aendelee kukuimarisha na kukutia nguvu tunakuombea
@officialteeh1213
@officialteeh1213 2 года назад
Am so sorry for you my brother quick recovery kila la kheri kwenye ndoa yako
@abiamugozi6413
@abiamugozi6413 2 года назад
Amen Mungu ni mwema kwa kweli 😍😍
@kaburunnko805
@kaburunnko805 2 года назад
Upendo wa kwelii ndo uwuu nimempenda uyu Dada mungu ampe maisha marefu aje kufuraia ndoa yake
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 2 года назад
Ameen
@stanleyeddo2446
@stanleyeddo2446 2 года назад
Aseeeh kaka pole sana mungu ata kuponya 🙏🙏
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 2 года назад
Pole sana kaka yangu mungu ni mwaminifu sana atakuponya kwa wepesi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
Pole Sana, Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi.
@faakizaa5421
@faakizaa5421 2 года назад
Dar pole sana kaka angu mungu atakuvuwa hili na jengine
@qatarrarre30
@qatarrarre30 2 года назад
Mungu ni mwema kaka,God saved u and protected u🙏🙏
@ashudahiza7871
@ashudahiza7871 2 года назад
Pole sana kaka mungu akujalieni Amani ya ndoa yenu na ikadumu
@elipidiuskalugendo4460
@elipidiuskalugendo4460 2 года назад
Polesana mungu akuponye na amtie nguvu bi arusi
@mgenibwanamdogo2826
@mgenibwanamdogo2826 2 года назад
Pole sana utapoa inshaallah
@rozeyousef9823
@rozeyousef9823 7 месяцев назад
Hii ndio maana kuu ya upendo na kipimo cha imani imezihilishwa kuwa umepata mke bola mtadumu kwenye ndoa😢😊😊❤️🙏
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 года назад
Pole sana kaka mungu ata kuafu inshaallah mungu mkubwa jambo la kushukuru uko salama amin
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 2 года назад
Pole sana mungu hasidi kukutia nguvu
@catherinemasakhwemakokhama9117
@catherinemasakhwemakokhama9117 2 года назад
Pole sana brother, God is still faithful and you can follow , protecte samweli kakande from Kampala Uganda for powerful healing in jesus name 🙏🙏
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 2 года назад
Ashukuriwe Mungu yeeye atupaye uzima bure
@kishepuonlinetv
@kishepuonlinetv 2 года назад
Pole sana kakaa mungu akujaalie afya njema na ukaimarike afya yako
@nurunurdin9785
@nurunurdin9785 2 года назад
Pole Sana Mshukuru MUNGU Sana kila saa na kila mda mkumbuke MUNGU wako
@lorineqween5219
@lorineqween5219 2 года назад
God is so good Amen
@fatumasalimo1744
@fatumasalimo1744 2 года назад
Aamiin 🙏🏼🙏🏼🤲🤲🤲 Aamiin 🤲🤲 Aamiin 🤲🤲🤲
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Pole.sana ndio mana watu wa zamani walikiwa hawatoki ndani karibu na harusi kwa sababu kwenye jambo la khery huwa kunakiwa na mitihani.
@josephineonyambu6789
@josephineonyambu6789 2 года назад
God is good all the time. U'll be well
@jaribumodest509
@jaribumodest509 2 года назад
Mungu ni mwema sana pole sana. Na hongera woteee kwa kukamilisha tukio la Ndoa
@mamakesharlyne956
@mamakesharlyne956 2 года назад
Pole kaka, nakutakia shifaa ya haraka
@christineosoro6184
@christineosoro6184 2 года назад
Quick recovery
@benignendikumana8009
@benignendikumana8009 2 года назад
Pole sanaa kaka mwenyezimungu atakuponya inshaallah
@josephbaby6654
@josephbaby6654 2 года назад
Mapenz ya kweli hayo apo nimejifunza kweli mwanamke amekuwa mvumilivu na kuweza kufunga ndoa kama ilivyokuwa imepangwa mungu atakusimamia utapona kaka
@carolyneokenyuri2605
@carolyneokenyuri2605 2 года назад
God is powerful brother utapona na mwenzio pia ni mwaminifu kwako hongera dadangu
@-KINKAU
@-KINKAU 2 года назад
Mungu yupo pamoja na wewe ndugu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@zaitunimrisho6377
@zaitunimrisho6377 2 года назад
Mungu ni mwema sana
@babalad983
@babalad983 2 года назад
God is good
@salomemrembo7482
@salomemrembo7482 8 месяцев назад
Pole sana.hutukufu wa mungu huko. Pamoja nawe..shetani ni muongo..Ameshindwa. hutukufu himrudiye..Mungu 🙏
@michaelkauku9714
@michaelkauku9714 Год назад
Watching from Nairobi, may God bless you Young man for the courage .
@rehemamashaka7398
@rehemamashaka7398 2 года назад
Mwenyezi mungu akujaalie upone kwa haraka uendelee na majukum yako
@marykakolaki1169
@marykakolaki1169 2 года назад
Hongera kaka na pole Sana Sana Yesu ashukuriwe Sana hongera Doctor na wauguzi wote
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW 2 года назад
Mungu akuponye
@alicewanyanya279
@alicewanyanya279 2 года назад
Let God be part of your life and quick recovery brother
@christinenzeva891
@christinenzeva891 2 года назад
Pole sana kaka,Mungu akuponye na azidi kukulinda
@nikizagloria2855
@nikizagloria2855 2 года назад
True love
@sophiaabdallah7821
@sophiaabdallah7821 2 года назад
Yes n true love never die
@litaemilykasambala4569
@litaemilykasambala4569 2 года назад
Mungu ni mwema
@rebecafelixmtiganzi
@rebecafelixmtiganzi 7 месяцев назад
Pole sana mwenyezi mungu akuponye ukawe na afya njema mkaishi vema na mkeo
@lilychanceline6677
@lilychanceline6677 2 года назад
Pole sana ila mungu ni mwema kweli
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 2 года назад
Allah Kareem, Pole sana Mungu adumishe ndoa yenu
@msalikemedia
@msalikemedia 2 года назад
Mungu Akuponye kaka
@najuf8021
@najuf8021 2 года назад
Ndio maana tumeambiwa ukikaribia kuoa kuolewa kaa nyumban utulie mambo nimengi barabarani pole sana Allah atukuponya
@roseallen7198
@roseallen7198 2 года назад
Kwakwweli mungu acha aitwwe mungu usichoke kumlilia ktk kila gumu pole sana faraja ya kweli utipata kwamkeo
@evamakassy9856
@evamakassy9856 Год назад
Ndugu mm nilitulia home lkn nilianguka choon sk ya shughul so n kuomba tu
@ummyally4569
@ummyally4569 2 года назад
Mungu akulinde broo 🙏
@nancyachieng1406
@nancyachieng1406 2 года назад
Ooh God is faithful in any situation
@gracekisamo2325
@gracekisamo2325 2 года назад
Pole Sana Rafiki yangu Agu Mungu azidi kuimarisha Afya yako
@nashakoyie5597
@nashakoyie5597 2 года назад
quick recovery bro in Jesus name
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 года назад
Pole kaka ghangu mashaallh kijana anampenda baba ghake mashaallh
@demekahamba6991
@demekahamba6991 2 года назад
Pole sana jaman inasikitisha lkn Mungu wetu ni mwema utapona na kurudi ktk hali yako ya awali
@SalahMalijali
@SalahMalijali 7 месяцев назад
Pole Tunakuombea mwemyezi mungu atakuponya
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Год назад
May the lord of all grace be your protector brother.watching and listening from 🇰🇪 kenya
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 года назад
Pole sana Kaka,mkewe ndio ana mtihani mkubwa
@joycekidulile5546
@joycekidulile5546 2 года назад
Pole Mungu ni Mkubwa jamani hadi nimelia lkn Kwa Mungu hakuna kisichowezekana ashkuliwe Mungu aliye juu ndoa yenu ikadumu milele.
@everlyne8595
@everlyne8595 2 года назад
Duhh hv kwnn harus zna changamotoo sana mpk kufnikish n kumshukuru mungu kweny harus kunmambo mengii sanaa. Pole sana kakaa mungu akulindee
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
Mungu ni mwema sana 🙏 🙏 pole Sana kaka huyo msichana Ana upendo wa dhati Sana
@annamwakilasa4468
@annamwakilasa4468 2 года назад
Pole sana kaka mungu ni mwema
@allyanton1366
@allyanton1366 2 года назад
Pole sana kaka mungu akusimamie utapona 🙏🙏🙏
@julianamnyampa7426
@julianamnyampa7426 2 года назад
Mungu awatangulie kwenye ndoa yenu
@ericrevo4230
@ericrevo4230 2 года назад
Pole sana kaka mungu atakuponya mungu akulinde
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 2 года назад
Pole sana Mungu akupe afya upone mapema
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 2 года назад
Mungu ni mwema sana, na akuponye haraka
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 2 года назад
Mungu ni mwema kila wakati!
@agathamarian8679
@agathamarian8679 2 года назад
Pole sana kaka mungu ni mwema utapona
@uwashemamary7910
@uwashemamary7910 2 года назад
SHETANI NA WAFANYAKAZI WAKE WAMESHINDWAAAAAAA HALELUYAAAAAAAAAAA AMINA EMINA AMINAAAAAAAA🙌🙌🙌🙌😍😍😍😍💃
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 года назад
Pole sana ndugu mungu yupo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Subhannallah, pole sana kaka kwa Ajali,Mungu hawabariki katika ndoa yenu.
@magcentakai5138
@magcentakai5138 2 года назад
Congratulations 💐
@oliverkyara8232
@oliverkyara8232 2 года назад
Mungu ana.makusudi na maisha yenu Mtumikieni Mungu kwa matendo yake makuu, pia tunazidi kuwaombea wote waliokuhudumia Madaktari na Manesi Mungu awatunze
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 2 года назад
Pole sana kaka MUNGU ni mwema. Ashukuriwe MUNGU sababu amekutoa mbali, yeye anaweza yote kwetu. Tunamwuomba MUNGU akuponye🙏🙏🙏
Далее