Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE: MANDOJO Aweka wazi ALI KIBA hajaiba/DIAMOND ameanzisha kitu /Sijawahi kujuta 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

#Alikiba #MandojonaDomoKaya #Diamond--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@sistersade9039
@sistersade9039 4 года назад
Inafurahisha sana kusikia mazungumzo ya msanii alokua Na busara Na ustaarabu wa hadi ya juu namna hii. Huyu ndo anahitaji support ya watu!
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 года назад
Mashabiki wa yeee baba kiba mkowapi njooen huku mumsikilize mandoj kisha shusha lik hap
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
😅😅😅😅Ebaba huy sio yebaba
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 4 года назад
😅😅😅😅 tumekuja eeeeh baba
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 года назад
@@frankakuno.9511 y ni eeee
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 года назад
sisi yeah babaaaaa
@markmpangala1488
@markmpangala1488 4 года назад
Ali katumia ye baba nyie mlitamka eeh baba
@youngmoney4498
@youngmoney4498 4 года назад
Big up mandojo umeongea poa. King 4 life🔥🔥🔥
@edommwakibete3031
@edommwakibete3031 4 года назад
Kama umesikia sauti ya mtangazaji Kama millado ayo nipe like plz
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 года назад
Huyu jamaa anamuinga et namfatilia sana
@arafajabir3194
@arafajabir3194 4 года назад
MANDOJO amesafisha au amenyoosha kaweka sawa maneno hakuweka bifu hongera kaka
@nindwakulwa8279
@nindwakulwa8279 4 года назад
Broo mungu akupe maisha marefu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@julietjotham8812
@julietjotham8812 4 года назад
Kaka umeongea poa👍👍💕
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 4 года назад
Kama umeskia sauti ya Man dojo kwa mbali ni kama ya Shafii Dauda kwa mbali akiwa anachambua soka , nipe like
@abdallahally194
@abdallahally194 4 года назад
Bomba sana mandojo
@abdulichikuti2669
@abdulichikuti2669 4 года назад
Safi sana mzee unabusala sana uko sawa mzee
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
Well said mandojo 🙏🙏🙏
@mwinjanavil
@mwinjanavil 4 года назад
kuna tofaut kubwa ya eehbaba na yeehbaba.. nani kagundua kuwa kiba hasema eehbaba anasema yeehbaba
@victorkileo4184
@victorkileo4184 4 года назад
Kweli ni tofaut kabisa
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 года назад
Eeeh baba, yeee baba🤣 watu waduanzi
@mikombeomary5476
@mikombeomary5476 4 года назад
Safi man dojo
@rahmashaban8967
@rahmashaban8967 4 года назад
Nakukubari uko good
@salmaathumani8562
@salmaathumani8562 4 года назад
Safiii yebabaaa
@ooredooooredoo7426
@ooredooooredoo7426 4 года назад
Big up mandojo
@kezbjanja4521
@kezbjanja4521 4 года назад
Najiskia furaha sana kuskia intervew kama kizi
@samcharzy4657
@samcharzy4657 4 года назад
Yeeeeh baba eeeeh baba, tueni nyimbo na king kiba
@sospeterkaponoke3789
@sospeterkaponoke3789 4 года назад
Nimekubali kaka mkubwa umejibu kiukubwa kama mtu mzma bless you 🙏🙏🙏
@2mara_og186
@2mara_og186 4 года назад
Mandogo nimekuelewa sana mkuu
@2mara_og186
@2mara_og186 4 года назад
@Amina Said kwli nilikosea2
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 года назад
yoooooooooooooooo####
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 4 года назад
Kaka anasauti nzuri anafaa kuwa mtangazaji
@freddiemwela4131
@freddiemwela4131 4 года назад
Una busara sana
@seifsuleiman1078
@seifsuleiman1078 4 года назад
Unabusara sana
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 4 года назад
🤝🤝🤝uko vizuri
@daudikipusa7327
@daudikipusa7327 4 года назад
tenaaaa yebabaaaaaaaaaa
@husseinmejja1710
@husseinmejja1710 4 года назад
Ye baba una busara man dojo
@doctor_fazi
@doctor_fazi 4 года назад
This guy is very wise
@casmirysylidion721
@casmirysylidion721 4 года назад
Uko sawa mkuu good
@muddiballo3421
@muddiballo3421 4 года назад
Yeyeyeebabaaaa king anaakili nyingi sanaaa DOJO SARUT
@barakastanley4143
@barakastanley4143 4 года назад
Nkubli Sana kakaaaaa umeongeaa point sanaaa bro mandojo
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
Tupo mashabiki wa yebabaaaaa
@abditari7998
@abditari7998 3 месяца назад
mashaallah
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 года назад
Poooooooooooooooooiiiiiiiinnnnnnnt mannnnnnnnnnnndoooooojooooooh unamiakiriiiiii kinomanoma
@raphaelntambi6404
@raphaelntambi6404 4 года назад
Well said
@jmm1840
@jmm1840 4 года назад
Hii mitandao ya kijamii inagombanisha sana wasanii. Msipokuwa makini ninyi wasanii mtagombana kwa kuchonganishwa
@barakabakari5987
@barakabakari5987 4 года назад
Good brother
@jamalali3875
@jamalali3875 4 года назад
Wanafiki Ayo Sio Mapenzi kwa Mondi ila Akiwakaziya Kuto wa honga hela Mta mkariri.Nyiye Mnao Jifapendekeza kwa mondi Wanafiki.gonga like kama ww aupo kwenye kamati ya roho chafu
@kennedymmbando
@kennedymmbando 4 года назад
Tufanye Nikupe Vern 2 tufanye na video au Vepe Mandojo ? 💪
@kingkabeje9273
@kingkabeje9273 4 года назад
Nakubar utu uzma dawa
@raphaelntambi6404
@raphaelntambi6404 4 года назад
💥💥💥like it
@yusuphmaziku6106
@yusuphmaziku6106 4 года назад
Yeeeeebaba
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 года назад
mkubwa ni mkubwa tyu...said well broo
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
Hongera kaka unajua kuongea big up
@axiommirgab882
@axiommirgab882 4 года назад
minapenda sana wasanii kuongeleana vizuri ingekuwa mwingine hapo angeshasema kiba hajui mara kaiba nn ila watu na busara zake kaongea kibusara
@frankchibago833
@frankchibago833 4 года назад
Kwamala ya Kwanza kukuelewa man dojo
@ismailally2549
@ismailally2549 4 года назад
kwel mandojo hata mim nilikua sikufaham isingelikua kiba
@lainoshababi7500
@lainoshababi7500 4 года назад
Nimependa sana ulivyo ongea
@mussajeremiah715
@mussajeremiah715 4 года назад
Ali kiba hasemi eeehh baba" yeye kingkiba Anasema YEEEHH BABA !!! HEBU MUWAGE MNAJUA KUTOFAUTISHA ??
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 4 года назад
Ngozi nyeuxi xi unazjua lakini kwa uvivu wa kusoma😂😂.Ngozi nyeuxi hua inadandia gari kwa mbele kikubwa tu amechangia maada
@kagoggoalfred2730
@kagoggoalfred2730 4 года назад
Copy cat kiba
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Kwani utofauti uko wapi? Si kakopi tu?? Yeye kaongezea tu hiyo *Y* tuu basi
@mussajeremiah715
@mussajeremiah715 4 года назад
@@officialmrtop1018 kwahiyo wewe unasemaje?
@mussajeremiah715
@mussajeremiah715 4 года назад
@@mohamedpesambili9460 Uko sawa mzee wanakurupuka tu ili nao waonekane wamechsngia mada. .😂😂
@eliaslameckdotto8376
@eliaslameckdotto8376 4 года назад
mandojo sarut bro
@saidmsuya9420
@saidmsuya9420 4 года назад
Mwanangu kitambo toka tukiwa A town kambini
@maulidrehani
@maulidrehani 4 года назад
man dojo unaakil sana bro bifu hazijengi
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 года назад
Omba colabo taratibu
@jebace
@jebace 4 года назад
uyu jamaa anaakili sana
@simonmtuka8473
@simonmtuka8473 4 года назад
Nice talk dojo
@rosedavis4828
@rosedavis4828 4 года назад
Ndugu mtangazaji nakubali sana saut yako na unaitendea haki sana
@halimasulaimani9085
@halimasulaimani9085 4 года назад
Ama nikupe moyo wangu uchukue ,ama nikupe kidan cha dhahabu uu ❤❤enzi za primary hata mapenz yenyew hatuyajui😆😆
@sampatrick9519
@sampatrick9519 4 года назад
Tuungane sasa tutengeneze penzi
@halimasulaimani9085
@halimasulaimani9085 4 года назад
@@sampatrick9519 😆😆😆🏃‍♀️
@selemanmsuya8921
@selemanmsuya8921 4 года назад
Ukiimbiwa hivyo tuuh unalegea kabisa mzee mamaaah😋😋😋😋😋😋
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 4 года назад
Kama namuona skandarsing mweus vilee
@andersonchibule4761
@andersonchibule4761 4 года назад
Rahma your looking good...
@michaelanthony7470
@michaelanthony7470 4 года назад
man dojo nimekuelewa mzee.. words.
@bestfightscene5978
@bestfightscene5978 4 года назад
Huyu Pia mwanamziki Dohh
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Clouds wamewaleeni vipi isipokuwa kuwanyonya tu?? Watu weusi bwana
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 4 года назад
Upo sahihi Mandojo watu wanavimba wananyea kambi sababu wamejenga nyumba zao,Cloudz media 4life.
@freelancer6368
@freelancer6368 4 года назад
Ujinga clowns media🚮
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 4 года назад
Clouds ni baba la media zotee
@katunation8803
@katunation8803 4 года назад
Mzee wa kubet official video--ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-6-isfQfz2zg.html
@amanianodi8439
@amanianodi8439 4 года назад
Watu awaishiwi maneno mie nilipenda king kiba angesema eemama wanafki wangepoa
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 года назад
Kama mwepesi imbasasa
@djgmp8140
@djgmp8140 4 года назад
Wewe Jama acha usnich wew
@JBWETEJBWETE
@JBWETEJBWETE 4 года назад
wewe ndo hujui kuiba mana mpaka leo huna ulilo nano huna lolote upoupotu
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 4 года назад
Hana lolote wap wewe unafikir watu wanegmea kuimba et hana lolote mkismama kmaisha umkuti hata kibanda huna wewe unamdis mtu acha ujinga wewe
@mwendwamjukuu9468
@mwendwamjukuu9468 4 года назад
J.b skiza interview mwanzo ndio ucoment
@henrysobrill386
@henrysobrill386 4 года назад
J b km vp rudi shule mbona elim bure mana huelewi kabisa kinachoongelewa
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 года назад
@@kakaaignas3675 safi sn kk nimekuelewa
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 4 года назад
@@zainabubakari3630 0656879637ntafte kwanza kumbe unaelewa ee
@augusteselemani5453
@augusteselemani5453 4 года назад
Si walikuwa wamesha kufa wamefufuka 😀😀😀😀😀😀kuna wajinga kweli ao awafai ata kuojiwa
@mussashabani169
@mussashabani169 4 года назад
Auguste Selemani unajua maana ya kufa achautoto
@michaeljoseph5175
@michaeljoseph5175 4 года назад
Auguste Selemani kwer
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 4 года назад
Kahojiwe wewe useless
@allykasalala6919
@allykasalala6919 4 года назад
Mtangazaji tumia kipaji chako mwenyewe sio lazima utumie saund ya miladi ayo. Unafeli
@nurdinimndeme2912
@nurdinimndeme2912 4 года назад
@@allykasalala6919 ndo umeona leo sauti kufanana ..mbona unashangaza
@josephemanuel6910
@josephemanuel6910 4 года назад
Nakubali sana mandojo safi sana kama na ww umemkubali sema yee baba
@simonmtuka8473
@simonmtuka8473 4 года назад
Nice talk dojo
Далее
СЕРЕГА ПИРАТ - TEAM SPIRIT
02:37
Просмотров 339 тыс.
HIKI NDO CHANZO KAMILI KIFO CHA MANDOJO.
9:09
Просмотров 1,3 тыс.