Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE! MENEJA WA MWAMNYETO AFUNGUKA KUPOKEA OFA SIMBA "Tumepata Ofa NONO, Simba Kumtaka Bakar" 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@azizaj776
@azizaj776 2 месяца назад
Kweli Simba imempa offer signing fees 100,000/- Tshs na Muhali AliMshahara 30,000/- Tshs HAKUNAGA BONAS
@MakameJenje
@MakameJenje 2 месяца назад
Smba kaishiwaaaaaaaaaa Mimi cimba damu lkn akuna kaz
@mupetv6381
@mupetv6381 2 месяца назад
Aondoke tu MWAGUIRE wa bongo😂🤦
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
NENDA SIMBA MWAMNYETO
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 месяца назад
Sijawahi ona presenter wa hovyo kama huyu Pol Mnkai. Nashangaa ni kwanini hajawahi kuongea na wakala wa chama au wa Inonga😊
@stanny74
@stanny74 2 месяца назад
Mkali wa dimba😂
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 месяца назад
Mwamyeto aendee tu Simba kiukweli Mimi sina hata presha aende Simba kwangu itakuwa jambo zuri
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 месяца назад
@@michaelthobias9967Halafu nafasi yake utamsajili nani hapa Tanzania?
@rockygappi1018
@rockygappi1018 2 месяца назад
😂😂😂...hapo wa hovyo ni wewe na si mtangazaji maana hujajiuliza mara mbili mbili kuzungungumza na wakala ni utashi wa muhusika kuzungumza au kutozungumza na presenter na unajuaje hao mawakala wengine walishatafutwa wakakataa mahojiano??..au umetanguliza unazi na ushabiki maandazi 😂😂😂
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 2 месяца назад
@@rockygappi1018 mambo ya utashi mkayafanye na mama zenu vyumbani mwenu. Ila linapokuja suala la weledi wa uandishi wa habari hilo ni suala jingine. Kwa kifupi tu, chama na mwamnyeto wote Yanga. We rudi ukaendelee kumkosoa mangungu
@4revertv523
@4revertv523 2 месяца назад
Anataftiwa kutrendi mbona mwanyeto hana jipya anazidiwa na lameck lawi mbali sanaa
@LucasMagukuru-hc9kr
@LucasMagukuru-hc9kr 2 месяца назад
Unaonekana ww ni mgeni kweny mpra, au Kam sio hivyo ww ni mshangiliaji tu, kajifunze mpra mpak hp ndio beki mweny magoli na asisit nyng kwenye ligi hii, ndio mwenye clean sheets na saves nyng, ndio best in control and skills, pole sana
@mashamassingisa8738
@mashamassingisa8738 2 месяца назад
MTU anaejua mpira hawezi kumkataa captain ila watu ni chuki tuu
Далее
SIMU YA TAJIRI 'MO' DEWJI KMC COMPLEX
2:19